ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
hata ukiwa umenuna utacheka tu mzee wangu mungu akuweke miaka mingi hapa duniani
Sichoki kumckiliza huyu mzee Kwa kweli
Zehebu laukweli kiongoz anakuwa nahofu yamungu sksante
Huyu mchungaji kuna kitu Mungu amempatia.anavitu vizuri sana
Full of wisdom like Solomon
Like father like.son,nakuelewa sana najiona mimi kwako mzee wangu Hananja,wewe ni mkweli asilimia Mia na umemeza mistari sio mchezo
Baba nakuitaji Sana mbeya mbalizi,napataje namba yako sm kimawasiliano zaidi kiuduma,mwalimu
Huyu Bwana nampenda kweli!
Mchngaji wa kipekee duniani,kutoka Kenya tunakuombea mema katika huduma..
Hicho kijamaa kimevaa kofia ya ccm chenyewe mkutano mzima duuu!!
Special kwa Taifa letu huyu baba
Ninampenda sana❤.ubarikiwe Hananja.wewe siyo mnafiki😊
maneno yako huwa yananibariki sana baba
hongera sana kiongozi wa roho
Kiukweli uyu mzee ana kitu kikubwa sanaa ndani yake
Uyu Hananja ni Mzee Majuto Namba Mbili kwa Kweli
Ni zaidi ya majuto
Huyo Mzee anajua
Nkubari sana baba❤❤
Rudia Tanzania Leo Leo .......kunakosa hapo au
Big up sana
Baba mungu akubari
Sijawahi kukinai kukusikiliza😂😂😂😂
Asante much"
Namkubal uyu mzee
HILI JEMBE
Amina
Aliyebarikiwa kabarikiwa tu,, huyu baba maneno yake hayachoshii
Kweli neno ipo
👏👏👏
🙏🙏
Huyu naye namukubari vile anavyoweka mistari vilivyo
❤
Makoi
Hananja wewe ndio sababu ya Mimi kuwa na moyo wa kwenda kusomea theology, nataka kuwa kama wewe mchungaji
Hananja unatisha
Huyu mzee ni hatar Yan mahubiri yako hayachoshi! Tembelea na makanisa yetu ya RC utupe neno
Most deeper man
Amen
Big up faza kwa kweli mtupu unaoutoa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂