SIMULIZI ZONE
SIMULIZI ZONE
  • 1 644
  • 10 439 433

วีดีโอ

SHEIK JUMA AMTILIA SHAKA P DIDDY KAMA ALIWAACHA SALAMA DIAMOND LUKAMBA NA BABU TALE
มุมมอง 1.7K13 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HAPA TUMEPATA WASAA WA KUCHAMBUA YANAYOTOKEA KATIKA MZIKI MPAKA P DIDDY KUFIKIA KUWALA WANAUME HUKU TUKIPIMA KAULI YA DIAMOND KUSEMA WALIFANYA MAMBO YA SIRI
MCH HANANJA ATOA NENO KUHUSU MANDAMANO YA CHADEMA, WATU KUPOTEA NA TABIA ZA KI "P DIDDY KWA DIAMOND"
มุมมอง 8K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HUYU HAPA MCHUNGAJI HANANJA AKIZUNGUMZIA KUHUSU MAANDAMANO NA TABIA MBAYA ZA KIJAMII ZETU SIKU HIZI KUSABABISHA MAJANGA KWENYE JAMII
HOJA ZA PAULO, KIJANA WA MCH. NDACHA ALIYEACHA UISLAMU NA KUWA UKRISTO ZIMEJIBIWA NA UST SHAFII
มุมมอง 7K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USTADHI SHAFII HAPA AMEJIBU HOJA ZA PAULO ZILIZOMFANYA KUTOKA KATIKA DINI YA HAKI YA MTU SAW NA KUWA MKRISTO BAADA YA KUPEWA ELIMU YA UKRISTO KUTOKA KWA MCHUNGAJI NDACHA
MWL. CHIKAWE AJIBU HOJA ZA UST. MATHAYO KUSEMA UKRISTO SIYO DINI, AWATAJA UST. SHAFII, MAZINGE...
มุมมอง 3.2K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HAPA TUNAPEWA ELIMU KUHUSU UKRISTO, MKRISTO NA KRISTO, MAJIBU KWA USTADHI MATHAYO ALIYESEMA UKRISTO SIYO DINI, ILISAMBAZWA NA PAULO
UST MATHAYO AWACHAPA KOFI WAKRISTO, ATAJA UBORA WA UISLAMU, AMFUNDISHA NENO MCH NDACHA NA MWANKEMWA
มุมมอง 4.3K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MWENDELEZO KATIKA KUJUA UTUME WA MTUME MUHAMMAD KATIKA KUENEZA NENO LA MUNGU ULIMWENGUNI NA KUKANA HABARI YA MTUME KUROGWA NA KUINGIWA NA SHETANI
UST. MATHAYO AMALIZA UJANJA WA MCH. NDACHA KUSEMA MTUME ALIROGWA hiyo ni hadithi dhaifu
มุมมอง 2.8K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
LEO TENA TUNAENDELEA KUANGALIA JE, MTUME SAW ALIROGWA? NA JE, ALIROGWA NDIO ANAKUWA SIYO MTUME WA MWENYEENZI MUNGU, MBONA TUNAONA AYUBU ALIROGWA?
UST. MATHAYO AJIBU HOJA NZITO ZA MCH. NDACHA, Mtume MUHAMMAD ni kizazi cha Ibrahim
มุมมอง 5K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TUMEONGEA NA USTADHI MATHAYO MOHAMMED KIMBWEMBWE KUHUSIANA NA MADAI YALIYOTOLEWA NA MCH NDACHA KWAMBA MTUME MUHAMMAD SIO MTUME WA MWENYEENZI MUNGU
UKRISTO NI DINI YA KWELI? UST. MATHAYO ATOA SIRI ZOTE, AWAPA MTIHANI MCH NDACHA NA MWANKEMWA
มุมมอง 6K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mwendelezo wa ustadhi MATHAYO MOHAMMED KIMBWEMBWE KUHUSIANA NA Dini ya UKRISTO AKIENDELEA kuuchambua ulikotokea mpaka kuwa dini kubwa duniani
UST. MATHAYO AWABANA MCH. NDACHA NA MWANKEMWA, MMEOUTOA WAPI UKRISTO, bora GEOR DAVIE na LUSEKELO
มุมมอง 7K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HUYU HAPA USTADHI MATHAYO MOHAMMED KIMBWEMBWE AKIWACHUNGUZA WAKRISTO NA DINI YAO JE, UKRISTO NI DINI YA MWENYENZI MUNGU, ACHAMBUA KUTOKA KWENYE BIBLIA NA QURAN
USTADHI MATHAYO ATHIBITISHA UISLAMU KUANDIKWA KATIKA BIBLIA, AWAPA MTIHANI MCH. NDACHA NA MWANKEMWA
มุมมอง 8Kวันที่ผ่านมา
HAWA HAPA USTADHI MATHAYO MOHAMMED NA MZEE MKOI SAUTI YA ZEGE WAKITOA USHAHIDI UISLAMU KUANDIKWA KATIKA BIBLIA NA MANABII KUWA KATIKA DINI YA UISLAMU
PAULO, KIJANA ALIYEBATIZWA NA MCH. NDACHA ATOA SIRI ZA UISLAMU KUMKATAA YESU, AMTAJA USTADHI SHAFII
มุมมอง 21Kวันที่ผ่านมา
SEHEMU YA PILI YA KIPINDI CHA PAULO KIJANA ALIYERITADI KWENYE UISLAMU NA KUWA MKRISTO AKIFUNGUKA SABABU ZA YEYE KUHAMA KUTOKA DINI HIYO
MUISLAMU ALIYEBADILISHWA DINI NA MCH NDACHA KUWA MKRISTO ATOA SIRI, arusha KIJEMBE KWA UST SHAFII
มุมมอง 13K14 วันที่ผ่านมา
HUYU HAPA PAULO KIJANA WA KIISLAMU ALIYEBADILISHWA DINI NA MCH NDACHA NA KUWA MKRISTO AMETOA MAMBO MANZITO YA DINI YA KIISLAMU
QURAN NI KITABU CHA ALLAH AU MAJINI? USTADH. MATHAYO AJIBU HOJA ZA MCH NDACHA NA UST. MWANKEMWA
มุมมอง 6K14 วันที่ผ่านมา
HAWA HAPA WAALIMU WA DINI YA KIISLAMU, USTADHI MATHAYO NA SAUTI YA ZEGE WAKICHAMBUA HOJA ZA MWALIMU NDACHA NA DANIEL MWANKEMWA KUHUSU QURAN TUKUFU NA KUJIBU HOJA ZAO
NILIISHI KWENYE DUNIA YA KICHAWI, BIBLIA NA QURAN IKANISAIDIA
มุมมอง 91514 วันที่ผ่านมา
HUYU ROSEMINA AKISIMULIA MAPITO YA MAISHA YAKE MPAKA KUFIKIA KUSHINDWA HATA KUSOMA KWASABABU YA KUTOKEWA NA MAMBO YA KUSHIRIKIANA NA KUAMBIWA YEYE NI FAMILIA YAO
MCH. NDACHA ATOA SIRI ZA UKRISTO KUCHEZEWA NA WACHUNGAJI FEKI NA MANABII FEKI TOFAUTI NA UISLAMU
มุมมอง 7K14 วันที่ผ่านมา
MCH. NDACHA ATOA SIRI ZA UKRISTO KUCHEZEWA NA WACHUNGAJI FEKI NA MANABII FEKI TOFAUTI NA UISLAMU
BABA ANAYELEA MAPACHA WATATU BILA MKE AMWAGA MACHOZI AKIFUNGUKA MAZITO ALIVYOMPOTEZA MKE WAKE
มุมมอง 44014 วันที่ผ่านมา
BABA ANAYELEA MAPACHA WATATU BILA MKE AMWAGA MACHOZI AKIFUNGUKA MAZITO ALIVYOMPOTEZA MKE WAKE
USTADHI MATHAYO AMPA MTIHANI MNZITO MCH. NDACHA, YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU
มุมมอง 8K14 วันที่ผ่านมา
USTADHI MATHAYO AMPA MTIHANI MNZITO MCH. NDACHA, YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU
MCH NDACHA AMFUNDISHA USTADHI SHAFII KUHUSU YESU KUWA NI MUNGU HUKU AKIWA MWANA WA MUNGU
มุมมอง 4.8K14 วันที่ผ่านมา
MCH NDACHA AMFUNDISHA USTADHI SHAFII KUHUSU YESU KUWA NI MUNGU HUKU AKIWA MWANA WA MUNGU
MWL. NDACHA ABAINISHA WOGA WA UST. SHAFII KUKIMBIA HOJA ZA VITABU, vitabu vinakubaliwa na uislamu
มุมมอง 4.9K14 วันที่ผ่านมา
MWL. NDACHA ABAINISHA WOGA WA UST. SHAFII KUKIMBIA HOJA ZA VITABU, vitabu vinakubaliwa na uislamu
SIRI ZA NDOA ZIPO ZA AINA TATU, SHEIK KONDOBUNGO AFUNGUKA, UKIJUA HILI NDOA YAKO ITADUMU
มุมมอง 39114 วันที่ผ่านมา
SIRI ZA NDOA ZIPO ZA AINA TATU, SHEIK KONDOBUNGO AFUNGUKA, UKIJUA HILI NDOA YAKO ITADUMU
USTADH SHAFII ABANANISHA UJANJA WA MCH. NDACHA ANAPOSOMA QURAN NA BIBLIA
มุมมอง 5K14 วันที่ผ่านมา
USTADH SHAFII ABANANISHA UJANJA WA MCH. NDACHA ANAPOSOMA QURAN NA BIBLIA
KONDOBUNGO AFUNGUKA KUHUSU NDOA KUDHARAULIWA, KUOA SINGLE MOTHER NA MATESO KATIKA NDOA
มุมมอง 43714 วันที่ผ่านมา
KONDOBUNGO AFUNGUKA KUHUSU NDOA KUDHARAULIWA, KUOA SINGLE MOTHER NA MATESO KATIKA NDOA
USTADHI SHAFII APINGA UTATU MTAKATIFU, AWAUMBUA UST DANIEL MWANKEMWA NA MCH. NDACHA
มุมมอง 6K21 วันที่ผ่านมา
USTADHI SHAFII APINGA UTATU MTAKATIFU, AWAUMBUA UST DANIEL MWANKEMWA NA MCH. NDACHA
BABA ANAYELEA WATOTO WATATU MAPACHA ATOKWA MACHOZI KWA KUZAWADIWA MILIONI 3
มุมมอง 1.4K21 วันที่ผ่านมา
BABA ANAYELEA WATOTO WATATU MAPACHA ATOKWA MACHOZI KWA KUZAWADIWA MILIONI 3
SHEIK KONDOBUNGO ATOA SIRI WACHAWI WANAVYOTUMIA MAJINI MAHABA KUJIPATIA PESA NA MATATIZO YA WATU
มุมมอง 95421 วันที่ผ่านมา
SHEIK KONDOBUNGO ATOA SIRI WACHAWI WANAVYOTUMIA MAJINI MAHABA KUJIPATIA PESA NA MATATIZO YA WATU
SHEIK KONDOBUNGO AMVAA KIBOKO YA WACHAWI, PST EZEKIEL, MACKENZIE NA ZUMARIDI KISA MIUJIZA YA UONGO
มุมมอง 1.9K21 วันที่ผ่านมา
SHEIK KONDOBUNGO AMVAA KIBOKO YA WACHAWI, PST EZEKIEL, MACKENZIE NA ZUMARIDI KISA MIUJIZA YA UONGO
SHEIK KONDO BUNGO ATOA DARASA KUHUSU MAJINI MAHABA NA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
มุมมอง 1.1K21 วันที่ผ่านมา
SHEIK KONDO BUNGO ATOA DARASA KUHUSU MAJINI MAHABA NA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
SHEIK KONDO BUNGO AZUNGUMZIA HEKIMA KATIKA MIDAHALO KAMA YA AKINA MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII
มุมมอง 2K21 วันที่ผ่านมา
SHEIK KONDO BUNGO AZUNGUMZIA HEKIMA KATIKA MIDAHALO KAMA YA AKINA MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII
BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU? KIMEANDIKWA NA NANI? UKWELI WA GEOR DAVIE? MWL. DANIEL MWANKEMWA ANAJIBU
มุมมอง 8K21 วันที่ผ่านมา
BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU? KIMEANDIKWA NA NANI? UKWELI WA GEOR DAVIE? MWL. DANIEL MWANKEMWA ANAJIBU

ความคิดเห็น

  • @EricMapendano
    @EricMapendano 3 นาทีที่ผ่านมา

    MUNGU akubariki sana, na akupe kuishi maisha ma refu sana hapa duniani, na zaidi aku linde sana

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 นาทีที่ผ่านมา

    UNAWAZAJE NAMBA 1 DUNIANI WAKATI HATA KWENU KUNA WATU HUWAGUSI HATAA.NCHI ZIPO 54 SIJUI 56 UKO...KIPO KILICHOKUAMINISHA TUCHUNGE SANA NDIMI IZI...AFU TUPENDE KUTOSHEKA.

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 19 นาทีที่ผ่านมา

    Leo kuna kaziiii jamaa wanamistari kama Shabani robert😂😂

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba 26 นาทีที่ผ่านมา

    Ndiomaana kuna kipindi alivaa sket na vikuku

  • @samxx411
    @samxx411 40 นาทีที่ผ่านมา

    Simulizi hapo unafundishwa kwa maandiko lkn walimu wa kikristo wanakupindisha mana paulo alikwenda akarudi akamuona mtu, mtu alikuwa mrefu mwisho akavaa sudi akaipenda akamuota yesu....hivi ndivyo wanavyofundisha.

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 43 นาทีที่ผ่านมา

    Ajabu hawa wakrito haya maandishi hawayaoni au ni ubishi

  • @basilejuma
    @basilejuma 46 นาทีที่ผ่านมา

    Simulizi Fanya ivi,weka kukurukakara baina ya ndacha na huyu, uone vile atapata kibano kutoka Kwa ndacha

    • @samxx411
      @samxx411 43 นาทีที่ผ่านมา

      Tatizo lako husomi unataka ushabiki, wewe fuatlia ujuwe ukweli, kweli itakuweka huru.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 55 นาทีที่ผ่านมา

    Tatizo la wakristo hawajui Mungu wala mtume wao wapo wapo tu

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masha allaaaaaaah kaka nakupenda kwajl ya allah, allah akupe siha

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah,❤❤❤

  • @TheAlman
    @TheAlman ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwamba huyu hapa ❤❤❤❤

  • @FeisalFaraj-n9i
    @FeisalFaraj-n9i ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huo c mke bro

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uislam ni janga la taifa, uyo muhamadi amekufa na yuko kaburini, kwa akili ya kawaida Yesu yuko juu. Aliyekufa na kuoza yuko kaburini kama baba yangu anakupaje uzima wa milele?

  • @CharlesMapunda-d5i
    @CharlesMapunda-d5i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kajamaa kanajifanya kanajua maandiko na kutamba kwavile yuko peke yake. Kiboko yake Ndacha akitokea hapo utaona studio imejaa Mashekhee kibao wakimkabili mtu mmoja Ndacha

    • @hamisiramadhani14
      @hamisiramadhani14 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe unaonaje lakini anajua maandiko hajui?

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh nimekuelewaaa sanaaa

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jazakallah kheir sheikh

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ilaaa piddy

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HUYU SHEHE KAKUELIMISHA VYEMA SANA NDUGU MTANGAZAJI KMA UTATOKA KAPA HAPO BASI WEWE NI KICHWA NGUMU HUWEZI KUMWELEWA MTU MWINGINE YEYOTE MWENYE ELIMU YA DINI, TUBADILIKE JAMANI HII DUNIA ITATUMALIZA

  • @leonardmchome
    @leonardmchome 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu mwema akutumie kuokoa watu walioko gizani

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shafi ni kiboko ya wakristo asotaka kufahamu na ujinga wake afe nap tu

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nomaa sana

  • @niwagwenemayeye972
    @niwagwenemayeye972 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndacha unafundisha vizuri Amina

  • @orianamichael5295
    @orianamichael5295 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndg zangu kwa hakika ukiwa na akili timamu wajuwa wazi dini ya kufuata na uhakika ni ukristo. Sababu 1. Kama ni mtu anasikiliza mafundisho ya hawa waislam mfano huyu sheikh katoka kumkubali yesu atatumwa na muhamad kuja kuhukumu, kuua nguruwe n.k kisha anakuja kusema yesu huyo huyo ni rafiki wa shetani na kukebehi ... Hawa watu wamekaa kibishi na ni km waliotelekezwa jangwani. Eeh YESU wasaidie kwa maana hawajuwi walitendalo ona wanafundisha kwa kebehi. Fuateni amini YESU na yeye muweza wa yote MUNGU baba

  • @hezronpeterhongoli9060
    @hezronpeterhongoli9060 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vijana waache Viherehere, kizazi hiki kina tamaa

  • @zzeby2043
    @zzeby2043 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji unajua sana kuuliza maswali

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuchu atakua ana majibu halisi ya hii habari,wakiwa chumbani wanafanya yao,Zuchu ajaribu kuzamisha dole la kati kwenye tako la Domo,akiona limeteleza chap bila kusita.Basi ajue mchizi kawa kama chaji ya sim,yaani inachomekwa kwenye socket ya umeme ndiyo inachaji,au power bank!

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je yesu kuitwa cristo ati ndio imemaàìha ukiristo ni dini ushaĥdi simulizi mulize???????

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simulizi mbona humuulizi maswàli Ako na maneno mengi bila maandikoʻ

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa cĥikawe akisema yesu huezi kùsema ni mkiristo tumbleweed vipi

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simulizi hebu fikiria kati ya chikawe na ust shafi ninani and kufahamisha vyema.anae member na maandiko hatua kwa hatua.mii naona chikawe anatoa mawaidha yasio kua na ufafanuzi wa kimaandiko

  • @rabaniAmri
    @rabaniAmri 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikweli sahihi kambisa❤

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukilinganisha nahayo aliosema she Freemason wan faidika tena Sana kuliko unavo dhani kw 7bu Hionimoja ktk biasharazao inaitaj muda kuelezea lakini iko ivi wakisha kubaka naww ni MTU maarufu wana kulazimisha utoe kiasi chafedha au waachie video yako kwaiyo utahofia kudhalilika utatoa fedha iyo ni moja lakini izo hatua zipo nying huwezi kudhani kama hujui unaweza ukaona ni Mambo yasio wezekana lakini wana njia nyingi Lengo ni kuwa nafedha wafanye wanach kitaka kW 7bu mbeleya fedha hakuna kinacho kataa lakini khasara yake nikubwa zaidi.

  • @ramadhanikuhanga3324
    @ramadhanikuhanga3324 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mh. Mbn hata salam ya YESU aliyofundisha haijui

  • @alichaga4621
    @alichaga4621 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wemzee silimu manake ujui kitu

  • @alichaga4621
    @alichaga4621 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee hujui kitu paulo nikafiri na ni mzungu wazungu hawakupewa utume

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah mpe shafii muhadhil afya

  • @mauricemuema5255
    @mauricemuema5255 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama Mungu kamtuma mwanae ambaye akona hukumu yote, ambaye hana shetani ndani yake. Itakuaje ukombozi hautoshi amtume mtu mwingine akomboe watu. Tuache upuzi hapa waislamu. If the invetor can't explain well his inventions then no one else can explain the inventors inventions.

  • @joezeno8
    @joezeno8 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh 👍🏿👍🏿👍🏿🔥🔥🔥

  • @samxx411
    @samxx411 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mie muislam ila huyu mzee mara nyingi husema ukweli tofauti na wengine

  • @samxx411
    @samxx411 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simulizi hawa walimu wanakufunza sana lakini sijui unawaelewa???

  • @samxx411
    @samxx411 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mziki wowote haufai mara nyingi mziki hufuatana na ushetani yaani hupelekea kufanya machafu

  • @mohamedgandi8832
    @mohamedgandi8832 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ilikua lazima afikie hapo so sio kitu chakushangaza huyo sio rizki

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mondi kaliwa

    • @JoshuaSalimu
      @JoshuaSalimu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameenda kusafisha nyota wasemavyo wenyewe

    • @MjuniLaulian
      @MjuniLaulian 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ilo ni somo tosha shekhe umetoa elimu ya Bure asante

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ana akili sana. Brother Hongera sana wewe umefahamu ukweli siyo hao wanaoficha ukweli.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Diamond tabia yake kama choko kurembua mekap mbwembwe za kike kike

  • @abbyn.mwamba
    @abbyn.mwamba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    unaongea ukweli

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana shekh Wang

  • @moshantoj
    @moshantoj 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimengoja msafi atoe haya biblia inaruhusu uwongo na hakuna

  • @officialdayo0015
    @officialdayo0015 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iwapi mnaikubalii injili ya issah mbona basi hamuiburi katika misikiti Kwanini na ipo katika Qur'an

  • @officialdayo0015
    @officialdayo0015 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Manabii wangapi ...walitangaza ujio wa yesu ...tuambieni basi Muhammad katoka wapi ...manake hakuna katika kitabu chetu ambapo ametajwa ataja na kama iwepo basi huenda ikawaa ni nabii kama manabii wengine😂wanaohubiri makanisani na misikitini si mnawajua ...lakini Muhammad hajatajwa mahali na wala hatumfahamu period...pambaneni kuingia mbinguni nyi wenyewe we lako hulijui pamoja na huyo mtume wenu alafu mkoo hapa mnataka kutuonyesha njia tengezeni yenu kwanza sisi yetu Yesu alishatengeneza