EXCLUSIVE: DAHUU WA CLOUDS - AELEZEA STORY YAKE YA KUONANA NA MZUNGU AMBAE HAKUWA ANAFAHAMIANA NAE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2021
  • Zamaradi Mketema amefanya mahojiano na Dahuu wa Clouds FM kupitia Leo Tena ambae ameongea mambo mengi ambayo hajawahi kuongea popote pale
    Familia yake, mume wake, kazi yake, safari yake, mafanikio yake na mengi mengine
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 244

  • @rehemamakuburi8254
    @rehemamakuburi8254 3 ปีที่แล้ว +4

    One of the excellent interviews Zamaradi. Wote muko vizuri inakufanya upende kusikiliza mwanzo mwisho. Dahuu mbali ya kuwa very strong lady amshukuru Allah kwa kumpa bahati pia ya kufanikiwa katika mambo mengi. Namuona atafika mbali zaidi namshauri aanze sasa kufikiria pakubwa zaidi ya kuwa hapo alipo Inahalah atafanikiwa.

  • @swaumkatuga7474
    @swaumkatuga7474 3 ปีที่แล้ว +16

    One of the best interview 👌 nimeenjoy Sana❤️❤️❤️❤️

  • @bupejohn2926
    @bupejohn2926 3 ปีที่แล้ว +9

    Imani ni kilakitu kwenye maisha asa ukimuamini mungu

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 ปีที่แล้ว +14

    Ata mm nimesafili sijui napoenda sijui naenda kwa nani na atalugha sijui lkn nashukulu nipo mbaka Leo hii kuamini mungu tu

  • @juliethfrank6626
    @juliethfrank6626 3 ปีที่แล้ว +2

    Fantastic, mume wako ni kama wangu surely umeongea kweli wanawake wengi wanapenda wanaume ambao wako proud na wake zao,ila hii inategemea na aina ya mwanamke

  • @shamilaismail4050
    @shamilaismail4050 3 ปีที่แล้ว +7

    Nice interview 👏🏾👏🏾👏🏾 Hongera sana husna.wewe ni jembe. Mzungu anasemaga “you can't beat a person who never gives up”

  • @shomyuledi9599
    @shomyuledi9599 3 ปีที่แล้ว +2

    dahuu nakukubalii sanaa upo real hana kuigizaa maishaa mungu akupe maisha marefu kwenye ndoto zako

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 3 ปีที่แล้ว +3

    Dahuu mashalwa M.mungu akuongoze kwa kila jambo nimekupenda bure mtu mwenye khofu ya M.mungu. M.mungu akupe umri swali wa kufanya mema.

  • @leilamuhaji7945
    @leilamuhaji7945 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah, MashaAllah ☺ nimeelimika na nimeburudika. Nakukubali dada Husna, dada Zama hongera kwa exclusive nzuri

  • @vedastinandamtahi5751
    @vedastinandamtahi5751 3 ปีที่แล้ว +2

    waooo, hongera ktk safari ya maisha mwiko kukata tamaa

  • @pendorose8056
    @pendorose8056 3 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana da huu na mpenzi sana wa leo tena,una sauti nzuri mnoo dada na kipindi chenu mnaelemisha sanaa jamii nawapenda

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 ปีที่แล้ว +7

    Jm watu wanatoka mbali. Very nice interview.Dahu Mashaalah.

  • @hamispazia8325
    @hamispazia8325 3 ปีที่แล้ว +2

    Akili nyingi sana Da'huu, yaani umakini kama wote, nimefiatilia hii interview mwanzo hadi mwisho kwakweli binafsi nimekuelewa sana. Mungu akuhifadhi akupe kila lililo jema.

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 3 ปีที่แล้ว +3

    GEA plz wow Nampenda sana huyu dada na GEA plz nataka kuwajua wote kwenye kipindi chao "LEO TENA" Ila sio mwijaku hao wengine NAOMBA ZAMA PLZ PLZ🎊🎊🎊🎊🙏 Asante ZAMA WANGU NIMEFURAHI KUMSIKIA HUSNA

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂Nimecheka eti ila sio mwijaku

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Mwijaku mh hapanaa, bora Mussa Hussen au wamweke MTU mwingine

  • @ashaasha6065
    @ashaasha6065 3 ปีที่แล้ว +5

    Daah nimecheka chozi limenitoka nimejifunza kitu kutoka kwako da huu mungu azid kukupa uwezo zaid inshaallah upo vizuri

    • @nasralema7400
      @nasralema7400 3 ปีที่แล้ว

      Yaani nlivyockia story yako, ndo nimezidi kukupenda da huu, nakupendaga sana.

  • @stewartjohn5338
    @stewartjohn5338 3 ปีที่แล้ว +2

    Nme enjoooooy sanaaa kuskiliza best interview cc @zamaradi @dahuuu

  • @callmesubra5472
    @callmesubra5472 3 ปีที่แล้ว +6

    Interviews zako da Zama zina vingi vya kujifunza, keep it up

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 3 ปีที่แล้ว +21

    Nimecheka sana.... ETI WATU WA ECONOMY NDO WANAOCHELEWESHA SAFARI 🤣🤣🤣🤣 tutafuteni pesa jamani

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 3 ปีที่แล้ว +14

    Daah kumbe mussa kaacha kazi jamani daah nimeingia simanzi 😢 naamini ipo siku atarudi tuu kama ilvyokua kwa Gardner na fetty

    • @saidiissa8729
      @saidiissa8729 3 ปีที่แล้ว

      Kuajiriwa hakulipi mkuu unaweza zeeka huna pesa so ngoja akatafute pesa

  • @abbierichard3847
    @abbierichard3847 3 ปีที่แล้ว +4

    Da Huu namkubali sana yupo smart kichwan

  • @husnahassan5984
    @husnahassan5984 3 ปีที่แล้ว

    Nimempenda sanaaaaaaaa Husna Abdul baada ya kusikiliza hii interview. So real and much enjoyed. Congratulations to both of you. Salute!!!!!

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว +7

    Two black beauties

  • @mayahabib4160
    @mayahabib4160 3 ปีที่แล้ว

    The Best interview in zamaradi tv,inspiration na jaribu kustop lakini nashindwa ameniteka hisia

  • @nusuranusura4688
    @nusuranusura4688 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana huu, wewe ni shujaa, mchakarikaji usiyekata tamaa. Hayo ndio maisha bila.kukata tamaa

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 3 ปีที่แล้ว

    Such a sweet dad,
    Money is not everything but love is❤️❤️, BIG UP TO ALL SUPPORTING DADS.
    Husna Nimekupenda Bure, you are such a strong woman, umenifanya nikutazame kwa namna tofauti sana.

  • @rahmaawadh9411
    @rahmaawadh9411 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu kikubwa maishani kua binadamu hatakiwi kukata tamaa katika maisha ..Best interview ever Zama your the best!!!

  • @sophiakikula6043
    @sophiakikula6043 3 ปีที่แล้ว +7

    Majibu ya uongo yanaisha,,True

  • @phinaswai4718
    @phinaswai4718 3 ปีที่แล้ว +2

    Watangazi wanaojielewa Nawapenda sana 😍😍😍😍😍😍

  • @justasteven5434
    @justasteven5434 3 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana dahuu ana moyo watofauti sana ana ubaguzi namuelewa sana🙏

  • @nyangigenyabitwano1180
    @nyangigenyabitwano1180 3 ปีที่แล้ว

    Da huu umenipa moyo sana wa kutokukata tamaa, nitapambana hadi mwisho nitafanikiwa. Asante sana mmy nakupenda sana

  • @lulually7760
    @lulually7760 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooow,nice to see you da huu,,hyo sauti yako tu naioendaga nikiickiaa

  • @franksawala2259
    @franksawala2259 3 ปีที่แล้ว +2

    Anafanyaaa vizuur sanaaaa sanaaaa kwenye Media Husnaa Abdul

  • @talanta1
    @talanta1 3 ปีที่แล้ว

    Daaah it's real so inspiring.... Mbarikiwe

  • @ashurajuma9091
    @ashurajuma9091 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani kwanza hii sauti nikiisikia leo tena tu!nakua naamani then nakupenda sana dahuu

  • @ndelesoud3679
    @ndelesoud3679 3 ปีที่แล้ว +16

    Da zama tuletee mama dangote jamani mbona anavingi vyakumuoji

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣, ulivyo na hamu naye🤣🤣

  • @mamuurajab5521
    @mamuurajab5521 3 ปีที่แล้ว +6

    Best interview

  • @khalekichambo1131
    @khalekichambo1131 3 ปีที่แล้ว +3

    My kind of presenter, I love love the interview. You're inspiring to young people

  • @shakira1301
    @shakira1301 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hii interview sana nimejifunza vingitu kwa daahu

  • @shonashona9343
    @shonashona9343 3 ปีที่แล้ว

    Interview 🔥🔥 nakupenda da huu utangazaji wako ,sauti yako ipo on fire

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 3 ปีที่แล้ว

    Zamarad you are so brilliant lady ur interviews are amazing

  • @sarahmatowo3437
    @sarahmatowo3437 3 ปีที่แล้ว +1

    💕💕💕 Dahuu elewaa tuuu unapendwaa na Mimi

  • @lilliandavid3212
    @lilliandavid3212 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante dahuu hiyo safariii🙌🙌

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 3 ปีที่แล้ว

    Interview nzuri sana. Allah Akujalie Husna na kwenye kujihifadhi Allah Akujalie ujihifadhi. Na Zama pia.

  • @dijeryusuphu6271
    @dijeryusuphu6271 3 ปีที่แล้ว +5

    Good interview

  • @leylahjumbe3631
    @leylahjumbe3631 3 ปีที่แล้ว +22

    Umlete na Geah jmn hajawai fanyiwa interview

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +1

      Amewahiii kufanyiwa na SALAMA.

  • @carolynemtaita4716
    @carolynemtaita4716 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice interview kwakweli... 🔥🔥

  • @bihawabiwi9606
    @bihawabiwi9606 3 ปีที่แล้ว +1

    Amazing unajua kuelezea Da huu

  • @zuhuraissa2810
    @zuhuraissa2810 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali dahu

  • @maireshsaid1628
    @maireshsaid1628 3 ปีที่แล้ว +2

    Historia ya safari ya da huu nimeipenda sana

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimefarijika sana kusikia majibu kuhusu Musa Hussein.

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 ปีที่แล้ว +12

    Mmependeza sn zama na da huu yn mko na rangi nzr ambayo haitumii mkorogo hongeren sn

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 3 ปีที่แล้ว +1

    Best interview wallah💞💞🎉🎉💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @leilamuhaji7945
    @leilamuhaji7945 3 ปีที่แล้ว +1

    Da huu nimekuelewa sana hapo WALAA TAMSHI FIL ARDHI HAUNAA 😍

  • @hapyhongol8044
    @hapyhongol8044 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana dada husna jamani natamani ungekua dada kwangu unahelima Sana mungu akutunze kipenzi 🌹🌹❤️❤️

  • @zindunaabdallah9064
    @zindunaabdallah9064 3 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye ticket Mpaka machozi yamenitoka, this is so inspiring.

  • @semdoweallyamiri6758
    @semdoweallyamiri6758 3 ปีที่แล้ว

    Thanks dada zamaradi kwa kumleta dahuu

  • @jamilanasir6833
    @jamilanasir6833 3 ปีที่แล้ว +5

    Da huu kama mm yaani hakuna kitu kama kupikiwa yaani nikipikiwa naona kama hakijawiva mtt wangu lazima nimpeleke hadi shule roho yangu ndio Inakua na raha

  • @ramadhaanmathey5065
    @ramadhaanmathey5065 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaaah Dahuu yupo safi sana

  • @hasannymasanja8898
    @hasannymasanja8898 3 ปีที่แล้ว +6

    Nampenda huyu dada

  • @malikiapaul4016
    @malikiapaul4016 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunzaa sanaaa❤️❤️

  • @nadrasalim
    @nadrasalim 3 ปีที่แล้ว +8

    First exclusive interview ya zama, mtu hajalia😂. Da Huu u r great mama

    • @zuwenahamoud7792
      @zuwenahamoud7792 3 ปีที่แล้ว

      Uclinganishe malays nahuyo dada

    • @nadrasalim
      @nadrasalim 3 ปีที่แล้ว +2

      U took it negative cz kila anaelia it's not about umalaya, wapo wengi wamehojiwa na wanalia kwa vitu tofaut. It depends dada

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 3 ปีที่แล้ว

    Nice Interview... Umesahau kuzungumza Radio Uhuru na Vunja Ukimya..

  • @hamidukiteo587
    @hamidukiteo587 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana husna uko nabusara sana

  • @hawaabdallah3243
    @hawaabdallah3243 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Da huu😍😍

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 3 ปีที่แล้ว +2

    Genius 💡& incredible 👩 🙋💦😘

  • @agnessmuzungu5127
    @agnessmuzungu5127 3 ปีที่แล้ว +4

    Da zana intavew ya da huu ni bora na haichoshi mmependeza sana

  • @sabrinamustafa8554
    @sabrinamustafa8554 3 ปีที่แล้ว

    Love it

  • @aishachongowe2155
    @aishachongowe2155 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana da huu jmn Mungu akubariki

  • @nabukalombi6818
    @nabukalombi6818 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa malezi ya family

  • @najmaalabri8835
    @najmaalabri8835 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda zama sana

  • @joymumena2287
    @joymumena2287 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimempenda mahojiano yenu. Pia zama nafurahi sana unapomfanyia mtu entervew

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว +4

    napenda sauti yako daahuu

  • @johnngati6901
    @johnngati6901 ปีที่แล้ว

    JOHN Pasco happy birthday to me mwana familia wa clouds from.. kinondon mtaa changanyiken mbuyun

  • @rahmakassim1632
    @rahmakassim1632 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Husna Abdul sana

  • @samniza1763
    @samniza1763 3 ปีที่แล้ว

    Very true! hakuna cha kawaida.

  • @advocatekarama4917
    @advocatekarama4917 3 ปีที่แล้ว +3

    42:28 ❤️

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 3 ปีที่แล้ว +3

    zama leta waki na rayvanny waki na mbosso waki na worper waki shishi tujue mengi dada plz

  • @amazing_grace5392
    @amazing_grace5392 3 ปีที่แล้ว +1

    Interview 🔥🔥👏ila studio inaelekea ina joto

  • @arafajohn9052
    @arafajohn9052 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupendaga da uuuu

  • @kefyrineabubakali1530
    @kefyrineabubakali1530 3 ปีที่แล้ว

    Up vizuri

  • @ukhtyjabutv6368
    @ukhtyjabutv6368 3 ปีที่แล้ว

    Napenda kuwa kama wewe zama 😍😍

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 ปีที่แล้ว +6

    HUSNA UMENICHEKESHA KILA UKIRUDI ANAKUONESHA RAMANI YA ULAYA! INGAWA HAJASAFIRI😂😂😂😂😂😂😂

  • @chitec4394
    @chitec4394 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️

  • @aishadole4151
    @aishadole4151 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana huyu tena sana da huuu na da geah

  • @tunudachitalks6575
    @tunudachitalks6575 3 ปีที่แล้ว +2

    Ma shaa Allah da Huu hopefully you will embrace Hijjaab...you are young and fresh till today was perceiving you so differently. Much love to you and your family
    Thanks Zamaradi.
    This was fabulous ❤❤❤

  • @frankurassa9854
    @frankurassa9854 3 ปีที่แล้ว

    Nice interview

  • @upendorabison5258
    @upendorabison5258 2 ปีที่แล้ว

    Very strong woman
    Yaan nmekupenda bure da huu

  • @thesimzfamily7961
    @thesimzfamily7961 3 ปีที่แล้ว +3

    Da huu hiki kipengele ulichomuongelea mwijaku msikipitishe kwenye zilizokiki maana ulivyompamba mwijaku mtamsumbua josee Mara 😂😂😂

  • @shawnmichael6999
    @shawnmichael6999 3 ปีที่แล้ว +3

    Da Huu nimekuelewa vyema, nimejifunza, nimefurahi na zaidi nimejifunza

    • @ndunihasani3232
      @ndunihasani3232 3 ปีที่แล้ว

      Nimefurahia kipundi mmekuta mulizwaji na mulizaji na nimejifunza mengi nimewapenda

  • @juliethdionise6448
    @juliethdionise6448 3 ปีที่แล้ว

    Dahuuu arudi tena jamanii,akuelezea ilikuaje akaajiliwa clouds leo tena??!nimempenda bureee😍😍

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 ปีที่แล้ว

    Da huu mm nakupenda sana ALLAH akuzidishie

    • @christinajackson6014
      @christinajackson6014 3 ปีที่แล้ว

      Baada ya Mussa Hussein kuondoka sijisikii kusikiliza leo tena sijui kama nitazoea natamani kumusikia popote

  • @niceralugakingira153
    @niceralugakingira153 2 ปีที่แล้ว

    Wanakubar sana dada zang mung awabark

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 ปีที่แล้ว +1

    Dahuu 😍😍

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 ปีที่แล้ว

    Asante Zamaradi,asante sana,bonge la interview.Asante Husna.Nawapenda sana!Mbarikiwe!

  • @ashleyabdallah5365
    @ashleyabdallah5365 3 ปีที่แล้ว +6

    Muomben mussa arud plz mm ata kusikiliza sikuiz siyo San imeniuma San

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 ปีที่แล้ว

      Kweli dear Mussa yupo vzrii sana na yupo na utani katika kuuluza swali lakini ndio swali na yupo straight, ila mwijaku mh hapana yule sidhani kama kasomea kuhusu utangazaji,

    • @julietjulius1999
      @julietjulius1999 3 ปีที่แล้ว

      Ata mm nampenda sana musa Hussein

  • @rahmayusuph4490
    @rahmayusuph4490 3 ปีที่แล้ว

    Nawapenda Sana

  • @tmasingida2392
    @tmasingida2392 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Da Huu..!

  • @sophiakasim5153
    @sophiakasim5153 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah the story is very interesting and soooo touching da Huu ww kweli ni mpambanaji Allah akufungulie zaidi