REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING (KIBIBI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Msanii wa Maigizo Getrude Mwita (Kibibi) akizungumza kwenye mkesha wa YOUTH OVER NIGHT ulioandaliwa na Kwaya ya Vijana KKKT Kijitonyama June 23, 2023

ความคิดเห็น • 212

  • @isakasyembe2956
    @isakasyembe2956 ปีที่แล้ว

    Ooooh!!! Hallelujah hallelujah, Mungu auzidishe utukufu wake kwako @Getrudamwita Hakika historia yako/ ushuhuda wako umenijenga Sana🙏 umenifanya niseme ''NINAWEZA KATIKA JINA LA YESU KRISTO''

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 ปีที่แล้ว +5

    Sasa nimeelewa kwanini aliposimama kwa muda walimlilia sana.......!! 🙌🙌🙌🙌

  • @fridahjohn1219
    @fridahjohn1219 ปีที่แล้ว +2

    Huwa nampenda sana Getrude ananibariki sanana nlimfuatilia historia yake huwa nasema mimi sijashindwa Mungu akutunze G

  • @alamukikoti8724
    @alamukikoti8724 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza sana Mchungaji Kimaro kwa kuhubiri injili inayobadilisha watu (Hii ni habari njema kwa watu wote ) unaibua na kufumbua macho ya watu wengi.

  • @DoriceShadrack
    @DoriceShadrack ปีที่แล้ว +2

    Mungu nimkubwa sana 😢🙏

  • @lisabeshy7894
    @lisabeshy7894 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia njia kibibi wewe nimuigizaji mzuri sana

  • @beautybenson2437
    @beautybenson2437 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Mchungaji Kimaro kwa kutufungua macho kwakweli nimejifunza kitu.

  • @OfficialPachelie
    @OfficialPachelie ปีที่แล้ว +5

    Ili story inanikumbusha mingi sana.eee Mungu tusaidiye

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo ปีที่แล้ว +42

    Ndoto yangu ni kuja kuwa na Christian movies ambazo zitatuinua kwa namna ya tofauti km zile za kina Kendrick Brothers

    • @shalomchaula4420
      @shalomchaula4420 ปีที่แล้ว +1

      Find me when you need a character to play different scene's

    • @julianaobed6104
      @julianaobed6104 ปีที่แล้ว +1

      Napenda sana ila pakuanzia sasa nilishapoeza tu pesa❤

    • @leahsamwel1931
      @leahsamwel1931 ปีที่แล้ว +2

      Do it aisee...we will support you even kwa maombi. I wish too❤

    • @markokulanga5503
      @markokulanga5503 ปีที่แล้ว +1

      Bwana akutengenezee hayo mazingira ufike huku

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว

      Kama.ile ya halelujah dah😊 ilinibadirisha mpaka leo ya kizungu wakatafsiri kwa kiswahili

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 ปีที่แล้ว +3

    Fight for your dreams until you achieve what you want.Never give up..Bravooo Kibibi

  • @joycemalima2790
    @joycemalima2790 ปีที่แล้ว

    Mungu amekuinua, na bado unampenda Mungu, utafika mbali

  • @roudanaSamweli
    @roudanaSamweli ปีที่แล้ว +3

    God is good 😢😢 one day

  • @AnnPamba-iw6jn
    @AnnPamba-iw6jn ปีที่แล้ว

    Ei monaweito umepitia mengi mungu akuzidishie

  • @paulinenicholaus4135
    @paulinenicholaus4135 ปีที่แล้ว +14

    You deserve the best kibibi, Miongini mwa waigizaji naowakubali sanaaaa🥰🥰 upo tofauti na vijana wengine, umemshika mungu na unamtukuza👏👏👏 nakuona kwenye viwango vya Hollywood na utafika Kwa jina la yesu🙏

  • @agnesskanuty1463
    @agnesskanuty1463 ปีที่แล้ว +17

    Utukufu kwa Mungu.kibibi amejieleza vizuri sana

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 ปีที่แล้ว

    Overwhelmed indeed

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 ปีที่แล้ว +8

    Nampenda Sana huyu mchungaji MUNGU azidi kukuinua past

  • @ZawadiKhatib-yr4ur
    @ZawadiKhatib-yr4ur ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana getruda hata mim ni muigizaji lakin mapambana dada angu

  • @naomipeter8093
    @naomipeter8093 ปีที่แล้ว +3

    Nimebarikiwa sana!kipindi ni kizuri!Hongera kibibib kwa ushindi japo kwenye huba unakaza😂😂Yesu akutunze!!

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 ปีที่แล้ว +9

    Glory to God🙏🙏 kibibi umenitoa machozi 😢😢 na pia Umenipa ujasili wa kupambana

  • @stellatwaah3242
    @stellatwaah3242 ปีที่แล้ว

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +4

    Kimaro tatizo unaongea sana, acha story iendelee kwanza

  • @rithaferdinand3738
    @rithaferdinand3738 ปีที่แล้ว +5

    Natamani cku moja nifike kwenye hili kanisa nimuone na huyo mchungaji live jamani

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 ปีที่แล้ว +2

    Very powerful testimony 🙏🇧🇭😭 , kweli kumtumaini MUNGU Kuna fahida🙏🙏🙏

  • @christianjr6140
    @christianjr6140 ปีที่แล้ว +25

    It's something good hongera sana kwa Dr. Kimaro , nilichogundua kwa kweli kuwahoji watu nayo ni karama kumhoji mtu na kuweka mtiririko mwanzo mwisho. I hope event ijayo mambo yatarekebishwa zaid

  • @erastomnyatu1427
    @erastomnyatu1427 ปีที่แล้ว +6

    Kibibi hongera sana una historia nzuri sana na ni ushuhuda mzuri sana kwetu sisi.

  • @neykidoti102
    @neykidoti102 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana Getrude Mwita a.k.a kibibi wa HUBA ubarikiwe na usimwache Mungu

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 ปีที่แล้ว +2

    hivi ungekuwa mwanasheria na ulivyo mkali hucheki wangekutambua pia tungekupeleka ukawe mwanasheria wa kusimamia vifungu vya sheria kuhusu haya maswala ya bandari yetu ya tanzania iliyosainiwa na wabunge feki wa tanzania bila kujua madhara yake ya baadae mkataba usiyo na kikomo bila kushirikisha wananchi wake

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 ปีที่แล้ว +10

    Dr Kimaro unatakiwa ufundishwe namna ya kuhoji watu especially Q & A unapoteza utamu wa Taarifa

  • @DEEP.WORSHIP
    @DEEP.WORSHIP ปีที่แล้ว +4

    Umetisha sana Mungu azidi kukubariki ...
    Shuhuda zinajenga na utukufu unarudi kwa Mungu

  • @theopistamwayeya1764
    @theopistamwayeya1764 ปีที่แล้ว +7

    Niko busy na biblia,hahaaaaa!safi.

  • @lizzywababr440
    @lizzywababr440 ปีที่แล้ว +2

    Woooow 👏👏👏Madam kibibi hongera sana for real ushuhuda wako umenijenga sana kumbe na mimi naweza 😂 Mungu akubariki sana

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli huyou dd anajua nampenda

  • @teacher_dory
    @teacher_dory ปีที่แล้ว +5

    Kupitia mahojiano haya nimejifunza kitu kikubwa Mungu akubariki Kibibi kwa kuishi ushuhuda wako🎉❤

  • @Exuperyjames7980
    @Exuperyjames7980 ปีที่แล้ว

    Ameen❤❤❤❤

  • @rosethomas1256
    @rosethomas1256 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kibibi I like your acting in the Huba mungu akubariki

  • @mariamariki7132
    @mariamariki7132 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kibibi kumbe huwa unacheka? Nakuogopaga ukimgombeza fabrizo

  • @apendayetweve8441
    @apendayetweve8441 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akitaka kukuinua akuna wakupinga mungu azidi kukuinua

  • @johnsakawa3393
    @johnsakawa3393 ปีที่แล้ว +4

    Kupitia hii interview hakika nimeongeza kitu katika maisha yangu

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana Mchungaji Kimaro lkn Kibibi nakupenda sana! ❤

  • @siansaw8572
    @siansaw8572 ปีที่แล้ว +1

    Nimehamasika sana na story yako hadi nimeshare na wananguna mume wangu be blessed na from today you have a new fan naanza kukufuatilia

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni mkuu kwa wamchao. Msiosmini miujiza njoeni muuone kibibi.

  • @julianaobed6104
    @julianaobed6104 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kuigiza naaamini naweza ila pakianzia ndo mtihani niko mbeya kwa yeyote anayehitaji naweza igiza kama muhubiri au mchungaji ,mama . dada

  • @HalimaHalima-rw5os
    @HalimaHalima-rw5os ปีที่แล้ว +3

    Beautiful kibibi mashallah❤❤

  • @mwl.frankmadembo7472
    @mwl.frankmadembo7472 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kibibi. Kuna mengi nimejifunza kupitia ushuhuda huu

  • @beatricejackson3709
    @beatricejackson3709 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana kibibi Nakupenda mnoo we dada utunzwe na Bwana YESU🙏🙏🙏🙏

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 ปีที่แล้ว +1

    Hii kitu Dr. Kimaro, umefanya vizuri kuandaa jukwaa linalowahamasisha wengi kutoka nje ta Box. Ubarikiwe sana.

    • @MaryJohn-hh2ku
      @MaryJohn-hh2ku ปีที่แล้ว +1

      Mmmh ila.nafikiri Mchungaji angempa.nafasi.kwanza ya.kujieleza kuliko kumkatisha.katisha

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +3

    Maana halisi yaDream come true Glory to Jesus

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว +5

    Hivi wadau mnaelewa kilichomfikisha Eliona Kimaro hapa leo ni cha juzi sana na kilikuwa kigumu si kwake tu hadi kwetu wzee. Pamoja na kumhurumia nahisi hata wale mliokuwa mnamhurumia sasa mnajaribu kumuonea wivu afu jamaa hana hata ile chembe ya hofu tulokuwa nayo sisi ambao tulimhurumia. Huyu Kibibi historia yake haina tofauti kubwa na ya Mchungaji Eliona hapo.

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 ปีที่แล้ว

    Tusikate tamaa hatima yetu ipo kikubwa kupambania ndoto zetu

  • @lydiamwita7965
    @lydiamwita7965 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki Sana my sister

  • @lighnessmrisho1525
    @lighnessmrisho1525 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mchungaji ni zaidi ya mchungaji ana kitu kikubwa sana tumtumie

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 ปีที่แล้ว +1

    Indeed your testimony has made shade tears of joy. Stay blessed abundantly Kibibi🙏

  • @philipasanterabi
    @philipasanterabi ปีที่แล้ว +2

    Talanta ndio kipawa kikubwa sana kuliko hata hiyo elimu Mheshimiwa.

    • @luizabahati5198
      @luizabahati5198 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na ndoto ipambanie..katu usikate tamaa hata kama wakatisha tamaa watakupitia..never ever give up..Bravo Kibibi

  • @esthermwaivu888
    @esthermwaivu888 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa hii jitafute ujipate utafutwe

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +3

    Kibibi nimekupenda buuree

  • @SaFy-wh3gq
    @SaFy-wh3gq ปีที่แล้ว +5

    Aisee jamani mtangulize munga Mbele baadae fanya unachokipenda utafaniliwa

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 ปีที่แล้ว +4

    Kibibi uwa anajiheshim na hata mavazi yake yan nampenda sana

  • @GetrudLembo
    @GetrudLembo ปีที่แล้ว

    Kweli MUNGU hamtupi mja wake wewe kweli ni kioo Cha jamii historian yako inaumiza Sana lakini inatia faraja hongrra

  • @solangebagal149
    @solangebagal149 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yupo,ukiwa mwaminifu

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana Dada yangu kipenz Mungu Akulinde

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +15

    Maana halisi yaDream come true Glory to Jesus

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu ni Mkuu kupita fahamu zetu. Asante sana Baba Kimaro na Dada Getrude.

  • @SuzanaNkumba
    @SuzanaNkumba 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda kibibi

  • @upendokadikos5706
    @upendokadikos5706 ปีที่แล้ว +1

    SIJAPENDA MCHUNGAJI ANAINGILIA INGILIA SANA STORY

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 ปีที่แล้ว

    Nimepata Kitu

  • @grolykibona3828
    @grolykibona3828 ปีที่แล้ว +1

    Nizam ilimfanya msicha wa kazi za ndan akaolewa na msomi ni somo ambalo ulilifundisha kimalo mwana wa MUNGU

  • @qatarrarre30
    @qatarrarre30 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RobyGamba-p2x
    @RobyGamba-p2x 2 หลายเดือนก่อน

    Msanii kibibi mzuri

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 ปีที่แล้ว +3

    Yaani Huyo dada alikua chokoraa!!??

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 ปีที่แล้ว +2

    When dream come true

  • @EDIMUNDMWOMBEKI
    @EDIMUNDMWOMBEKI ปีที่แล้ว +2

    Hongera kibibi

  • @angelynclarice1243
    @angelynclarice1243 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Kimario ubarikiwe sana hizi sessions zina mengi ya kujifunza. Hasa nyakati hizi kwenye changamoto za ajira vipaji vinahitaji kunolewa na kuheshimika sana. Asante kwa kutukumbusha hata elimu ikikwama kuna njia nyingine tuzijaribu

  • @neemashao5328
    @neemashao5328 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kibibi kwa kujipata:wow kumbe ni KKKT mwenzangu I love you so so much.

  • @fridakimwanya1158
    @fridakimwanya1158 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana uyu dada ana confident ❤

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 ปีที่แล้ว

    Nafurahi kuipata fulsa hii ya kupata namna ya kuingia ktk kilimo like masanja. Naomba Mungu aniwezeshe. Nilime Kwa utalamu

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 ปีที่แล้ว

    Watching fro. Nairobi,very nice platform
    She resembles and talk like Hamissa,Mungu awatunze❤

  • @neemashao5328
    @neemashao5328 ปีที่แล้ว

    Isaac Maro,Mungu akubariki doct Mungu akupe maisha marefu,umemuwezesha Kibibi kuwa katika utulivu mzur sana..

  • @BrysonFocas
    @BrysonFocas ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda kibibi🎉❤

  • @DoriceShadrack
    @DoriceShadrack ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimkubwa sana 😢🙏

  • @agriciusruchius3199
    @agriciusruchius3199 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nimependa.

  • @zainabuliza2664
    @zainabuliza2664 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana wewe dada niliwah kuona kipande tu cha tamthilia moja uliyocheza nilipenda sana lkn kwa sasa cjaona kazi yako nyingine mungu akubariki sana kipenz

    • @leahsamwel1931
      @leahsamwel1931 ปีที่แล้ว

      Yupo kwenye tamthilia kongwe tokea 2016 inaitwa HUBA inaonyeshwa DStv 160

    • @zainabuliza2664
      @zainabuliza2664 ปีที่แล้ว

      Ohoo

  • @mackmillan9040
    @mackmillan9040 ปีที่แล้ว

    Na mimi sitapitia majaribu niliyopitia tena kwa jina la yesu kristo

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada Kibibi Mungu ni mwema❤❤😂😂😂

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr ปีที่แล้ว +2

    KIBIBI maashallah

  • @ombeninassary2151
    @ombeninassary2151 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤

  • @magrethshuma
    @magrethshuma ปีที่แล้ว +3

    Pongezi Sana pastor Wangu

  • @getrudekijuu7956
    @getrudekijuu7956 ปีที่แล้ว

    Wajina big up sana, hayo majina yana baraka sana na yana ndoto,hongera sana Getrude Mwita

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaa!!
    chokoraa vs aliyesoma nani zaidi??

  • @jackswallo4318
    @jackswallo4318 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mchungaji Eliona Kimaro. Mungu akutunze.

  • @WitnesMumbulu
    @WitnesMumbulu ปีที่แล้ว

    Hallelujah nimepata nguvu Sasa nilikuwa nimechoka mpaka Ila kwa huu ushuhuda umenijenga

  • @gladnesskamana8706
    @gladnesskamana8706 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukuinua Mtumishi wa Mungu Dkt. Kimaro, hakika namuelewa sana Kibibi.

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kibibi.

  • @JanethMmasi
    @JanethMmasi ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu da kibibi, nimejifunza vi2 vingi kutoka kwako🙏🏻

  • @rodabeutychannel6626
    @rodabeutychannel6626 ปีที่แล้ว

    Nimependa Huyu mchungaji Mana wachungaji Wengi wanaona kama uihizaji ni uhuni

  • @farajazephania5933
    @farajazephania5933 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏

  • @enjoybenjamini4713
    @enjoybenjamini4713 ปีที่แล้ว +4

    Mtani wangu, napenda the way unaigiza. Unauvaa uhalisia mpaka basi. Keep up

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkuba kabisa ndani ya Yesu kuna kila kitu

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo ปีที่แล้ว

    Mchungaji kachachuka hadi anatia morali

  • @elizabeth8mgani341
    @elizabeth8mgani341 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @elenestinasambala9694
    @elenestinasambala9694 ปีที่แล้ว

    hongera sana kibibi una upiga mwing san