Kusema kweli sijawahi kuona mwanamke mswahili mkweli na mwenye roho nyeupe kama huyu. Zamaradi ukisoma hii msg naomba connection naye. Harafu Zama shukrani sana kwa Interview safi unazosifanya. Uko juu sana dada yangu.
The most realistic women in TZ! Faiza I love you mama. Itawachukua mda mrefu sana tena sana baadhi ya waTanzania kukuelewa! Mimi niko na tabia kadha kama zako, watu wengi nyumbani they can't stand me because I'm lving my life.🤷♀️ Wananitaga mzungu sana😂😂
Faiza tumefanana vitu vingi sana 😘sema umenizidi hela tu ila kwa kuwa sikati tamaa naamini one day yes 🙏maneno ya mama yako alikua akiniambia mama yangu pia 😍
Wachache ndio hawatakuelewa lkn Mimi nakuelewa sana Mama Sasha! Umenifurahisha pale ulipojua maisha yanatakiwa yaendeleee . Mungu akubariki sana ww na familia yako.😘😘😘😘😘
Nimempenda Sana FAIZA Ally thru this emotional 'n' very riveting interview, now that things are starting falling into place I can grasp the fact that there was always a method at her madness. Mungu ambariki yeye na mwanae Sasha
Wachache sana wanaoweza kumuelewa faiza, binafsi nampenda sana, mazuri yake na lifestyle yake inanifunza mengi mno....! MAPUNGUFU yake Ni hali ya ki binadamu hakuna aliye MKAMILIFU
Woww ktk interview zote this one it was the best na mazunguzo yote kasema ukweli yani yanamsisimko , unatamani yasiishe haya ndio mambo sio unatuletea watu unaona kabisa wanatudanga yani hii nimesikiliza mpaka mwisho za wale wengine yani ukiianza hata hujamaliza in few seconds unabadili.jifunze hapa .well done Faiza .sikuingilii kazi yako but mda mwingine kuna watu u don't need kuwahoji .xxx ✌
Mapenzi yanauma sana jamani!faiza alimpenda sana sugu!na bado anampenda sema 2,amechoka kwakuwa tayari sugu kaoa!lakini still bado anampenda sana!na uwezi kumsahau mtu uliyempenda kutoka moyoni, pole sana faiza,
Nakupenda mno Faiza,ww ni wa kipekee Watz wengi Wana undani c wafungukaji hivyo ndio maana maisha yetu most of us ni mafupi kwaajili ya undani(unafiki)
Kuna mambo huwa faiza anayafanya huwa siyafurahi,lakini hayaniuhusu ndivyo alivyo na ni maisha yake,ila pia upande mwingine nampenda sana ni mtu ambaye ni mkweli na muwazi kwa lugha ya wenzetu she very open hongera kwa hilo,zamaradi nakupenda kipindi kizuri interview nzuri, hongera 🤝❤
Kids are Angel's sent , safi sana Sasha kwanza mama yako mzuri saaana hata huyo anayemlilia hawaendani naye..Faizza I'm sure you're husband is somewhere tena mzuri kuliko , atakupenda na kukuheshimu keep on praying God atakuonyesha mmeo. Love you . Wewe ni mzuri saaana huwa nashangaaa saaana kwa nini Joseph all the time
Faiza unanifuisha kupigwa ngumi au kofi wewe faiza nikija tutaknywa champeni wewe unafurahisha kweli sana sana una haja kwenda kwa mganga dua lako na mama yako linatosha mungu anasikiliza ubarikiwe sana lv sis be bless
Shukuru sana hapo Muumba anakuonea tu huruma! Yaani kifupi unalilia kwenda ku kufurishwa jamani!! Dada mzuri hivi inakuaje hujielewi unayumba namna hii !! Mwe!!
@Amina Said hiyo tissue kaja nayo aliishika na simu yake hapo pembeni ndio maana anayo mwanzo hadi mwisho..kungekuwa na tissue hapo asingetumia hiyohiyo kufuta kamasi na machozi..
nzuri iadia namim nilikuwa nawazaga ivoivo,,,nikushauli tu apo msingi mkubwa ni uaminifu,,,safi kwakuingia front unajifunza ving sanaa,,mtembea bule si mkaa bule
Tatzo watanzania tuache kukariri Maisha kuwa mke wa ndoa anatakiwa kuvaa nguo ndefu sjui vp Yani huyu bint anampenda Sana sugu uwiii jmn angepata nafas Ange enjoy Sana nakupenda Sana faiza wangu
Fai Fai Fai nakuelewa, na asiekulewa so binadamu. Ni kweli Sugu ameoa lakini Mungu wangu uliyesema watu waoane nisamee tu jamani japo Fai unasema humtaki tena lakini mimi natamani siku moja sjui itoke nini jamani niskie mmerudiana. Mungu naomba upokee dua yangu.
Kama kuna interview umefanya ya ukweli ukweli.... Huyu Dada ni fireee.... Faiza ni muazi but ile interview ya muna love hapana kwa kweli inabidi uifute... Muna kaongea uongo sana.
Unampenda faiza cz yeye ni muwazi ila mbona ww ni public figure na ukiulizwa yako unajibu no comment! Unapendaa kuuliza ya watu ila mambo yako huyaeki wazi! Ujue una mafans na wanahitaji kukujua hizo no comment zako zinaboa!
Kabisa huyu dada Ana ego sana yaani in short ni selfish anapenda kujua ya watu lkn yake hataki yajulikane hata hao wanaokubali kufanya nae interview hawajielewi
Wakati naanza kumfolow hakika sikumuelewa nikaona birthday yk kavaa Pampers Mara akapost chupi iliyotoboka kiukweli alinivuruga ila nilivyojua ni mwanamke wa aina gani namfatilia nampenda sana ongera sana faiza uwe na afya njema
i luv you faiza na zama Allah awajalie kila kheir nawapenda zaidi ya sana.ila zama one day nawewe tafuta mtu akuhoji au iwe kama Q/A ruhusu watu waulize maswali afu ujibu
I feel you sis,we ni mwanamke wa shoka,nimetoa machozi ulipotoa machozi,nakupenda tuu Walah,una point kinoma yaan,keep what you have and GOD will rice you more than that much love

Tunaomuelewa faiza tunainjoy, kweli tumeumbwa tofuti hatuwezi kua sawa, na hii ndo linakamilisha neno ubinadamu...tuchukuliane tulvyo, love you faiza
Who else cried like me when faiza was giving Baba Sasha a direct message of forgiveness. This woman is so real just like me, I just love her.
Aliegunduwa kuwa faiza siku hizi amekuwrembo kama zari like hapa twende sawa
Mkwel san
Zari haingii hapo kaka
Faiza is a true meaning of beautiful habebwi na filter pesa wala make up. She is sooo real
Mbona sasa katuvalia uchi anakushusha heshima yako zama kwani uko vizuri sana katika entv zako so sio poa hayo mavavi
@@nestageorge8990 Mavazi siyo tabia unajuwa faiza ni mhangaikaji sana na jinsi watu mnavyo mchukulia sivyo alivyo kabisa
faiza ni natural beauty, zari ni fake beauty yaani bleaching skin na more surgery
Jinsi walivokua wanamsema huyu Dada na alivo kumbe tofauti
Ni muelewa sana,mstaarabu sana ,nimempenda sana
Kwa haraka haraka huezi muelewa Faiza ila she is a very good person!
Good for sex may be
Kweli na ni mama bora pia
eileen gift talk nice english she's a good woman not a person go back to school shaizen
Kabisa
Nitakutafuta faiza
Kama unampenda Faiza like apa tujuane
Nampenda sana
Me pia
Vaeni nguo
Zamaradi tuleteye wema naye
Jamani mimi naitaji no yake maana nataka tufanye nae kazi
Faiza uko smart sana, uko real nakupend ww dada kweli maisha aya usitegemee watu ukijikubali ww inatosha.
The most realistic women in TZ! Faiza I love you mama. Itawachukua mda mrefu sana tena sana baadhi ya waTanzania kukuelewa! Mimi niko na tabia kadha kama zako, watu wengi nyumbani they can't stand me because I'm lving my life.🤷♀️ Wananitaga mzungu sana😂😂
Yani mm kabsa
Wachana nao come here dear ahahha
Tuko wengi my dear same as me. I dont give a f.ck maana wa TZ huwawezi.
@@nmosha90 mbona Tena
Watu hawaelewi tu mtu akiwa real
Moja ya interview kubwa early 2020!Good job Zama
Faiza tumefanana vitu vingi sana 😘sema umenizidi hela tu ila kwa kuwa sikati tamaa naamini one day yes 🙏maneno ya mama yako alikua akiniambia mama yangu pia 😍
Wachache ndio hawatakuelewa lkn Mimi nakuelewa sana Mama Sasha! Umenifurahisha pale ulipojua maisha yanatakiwa yaendeleee . Mungu akubariki sana ww na familia yako.😘😘😘😘😘
Nimempenda Sana FAIZA Ally thru this emotional 'n' very riveting interview, now that things are starting falling into place I can grasp the fact that there was always a method at her madness. Mungu ambariki yeye na mwanae Sasha
Kutokana na hii interview nimeweza kumjua Faiza kuwa mwanamke mwenye maadili mazuri sana,ela kwenye mavazi tuu ndoo sijapenda.
I love faiza.... The way she explain herself.... Yan yupo really.... I love everything about her
Minah Samiry yuko really ❌=yuko real
Wachache sana wanaoweza kumuelewa faiza, binafsi nampenda sana, mazuri yake na lifestyle yake inanifunza mengi mno....! MAPUNGUFU yake Ni hali ya ki binadamu hakuna aliye MKAMILIFU
Kwel
Mwanamke akipenda ujue kapenda KWERIIIIIIIIIIIIIIII
super women
Kwel kabisa
Kweli kabisa yani
Sikuwahi kujua kua Faiza uko smart kiasi hicho, nimekupenda ghafla aiseee. Hongera sana Zama hii ni bonge moja la interview!
Kiukwel nikiri nimejifunza kitu kupitia maisha yako umenipa ujasiri na nguvu ya kuendelea 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Woww ktk interview zote this one it was the best na mazunguzo yote kasema ukweli yani yanamsisimko , unatamani yasiishe haya ndio mambo sio unatuletea watu unaona kabisa wanatudanga yani hii nimesikiliza mpaka mwisho za wale wengine yani ukiianza hata hujamaliza in few seconds unabadili.jifunze hapa .well done Faiza .sikuingilii kazi yako but mda mwingine kuna watu u don't need kuwahoji .xxx ✌
Hahahahahaha wale wa nocomment amasiwez kuongelea
Jamaniii faiza anaongea point sana,Mimi nimemuelewa sana,na nimejifunza sana kupitia hii interview yake,halafu nampenda yuko really sana,
Such an intelligent woman!! ❤❤❤
Nampenda sana Faiza ni mkweli ni muwazi hajui kuficha hisia zake!!! Vichwa viwili vimekutana Leo💕💕
Mapenzi yanauma sana jamani!faiza alimpenda sana sugu!na bado anampenda sema 2,amechoka kwakuwa tayari sugu kaoa!lakini still bado anampenda sana!na uwezi kumsahau mtu uliyempenda kutoka moyoni, pole sana faiza,
Yupo kam mm jaman masikini
Kabisa mwanamke akipenda anapenda kweli ila kwa maisha ya bongo tunalazimika kuish maisha ya kuigiza
Real clean heart nikija kuona nakupenda bure nikija nitamletea mtoto zawadi anapenda nini be bless
Yaan leo ndo nimemjua vizur Faiza she a good woman..ila mamawakwe loooh! 🙌🙌Mjuage pia mwari wako ni mwanao pia kufanya ivo utaona na mazuri yao pia
Da faizza nimekupenda buree umeongea vizuri sana Mungu akufanyie wepesi zaidi kwenye biashara yako
Nakupenda mno Faiza,ww ni wa kipekee Watz wengi Wana undani c wafungukaji hivyo ndio maana maisha yetu most of us ni mafupi kwaajili ya undani(unafiki)
Huyu Dada ni mkweli sanaa
Mungu ndo maana anambariki
Wabongo ni ngumu kumuelewa ila she is very correct
Samirah Abdallah fact
Kabisa
Wangap wamelud hapa baada ya wawil hawa kutokuongea 🤣🤣🤣🤣like zetu hapa
Daah nyie mapenzi yanauma😢....nampenda sana huyu dada vile alivyomkweli😘😘
This woman is so real, she is an open book.
My Allah protect you ss faiza Ally,,,,,wakati wa mungu ndio wakati sahihi🥀🥀
This two women's is my roll model nawapenda Sana jmn dada zangu😘😘😘
These 2 women are my roll models
Faiza kwangu ni kioo,,,najitazama
Ester Promy roll❌. Role✅
Me2
@@esterpromy3183 role not "roll"
Hii interview katika interview zako zote Zama nimeielewa sana,, Faiza anajieleza vzr sana hata upande wa biashara zake zinaeleweka ❤❤
Pole yaliyokukuta da faiza ila pia Hongera sana kuwa mwanamke anayesimama imara
Du!salute kwako Faiza .....unazidi kuwa mzuri ....nakupenda
Kama uma umeielewa ii sound track ya uzuni iliyotumika apa nipeni like zangu
Faiza nakupenda sana, kwanza ni mkweli Na hata akiwa Na furaha unaonyesha cyo kukasirika to , Love you so much my dear 😘
Yaani Faiza namwelewa saanaa, yuko vizuri anaishi maishaa yake kama yalivyoo.
So smart,,, I like you Faiza for sure...uko poa sana
Kuna mambo huwa faiza anayafanya huwa siyafurahi,lakini hayaniuhusu ndivyo alivyo na ni maisha yake,ila pia upande mwingine nampenda sana ni mtu ambaye ni mkweli na muwazi kwa lugha ya wenzetu she very open hongera kwa hilo,zamaradi nakupenda kipindi kizuri interview nzuri, hongera 🤝❤
Shukran sana zamaradi na faiza nimejifunza mengi kupitia hii interview
Dah!
Its amaizing interview
I love her coz she live her real life wherever she go.....
Faiza nakupa big up. Mungu aendelee kukupigania dada. Hongera sana piga kazi.
Kumbe ulikuwa mwanamke Bora kwa baba Sasha ila wanaume ndo hawaeleweki na kuaminika
####
Faiza Ali
####
Giggi money
Nawapenda Sana hawana kinyongo n watu wakuongea ukweli mtupu
Aisee Hongera sana Faiza,namie nimejifunza vitu vingi kutokana na hii interviuw👏👏👏👏❤❤❤
Kids are Angel's sent , safi sana Sasha kwanza mama yako mzuri saaana hata huyo anayemlilia hawaendani naye..Faizza I'm sure you're husband is somewhere tena mzuri kuliko , atakupenda na kukuheshimu keep on praying God atakuonyesha mmeo. Love you . Wewe ni mzuri saaana huwa nashangaaa saaana kwa nini Joseph all the time
Sijawah ku comment ila Faiza nakupenda uko really sanaa
Ni kweli kabisa MTU ambae ushampenda toka moyoni hata iweje huwezi kumchukia.. Imenikuta story kama ya faiza kwenye maisha yangu
Jata mimi, yaani
Nikweli my
Aswaaaa 💯
Best Interview ever, Faiza umenifunza God bless you
Go faiza umenenepa, umependeza kila la kheri kwenye biashara yako
Faiza nakupenda sana we mwanamke mpambanaji sana keep it up mamyy
Faiza uko real sanaa....nimekupenda sanaaa
I love u dada faiza soo much kupitia hii interview nimejifunza vingi❤❤❤
Faiza unanifuisha kupigwa ngumi au kofi wewe faiza nikija tutaknywa champeni wewe unafurahisha kweli sana sana una haja kwenda kwa mganga dua lako na mama yako linatosha mungu anasikiliza ubarikiwe sana lv sis be bless
Shukuru sana hapo Muumba anakuonea tu huruma! Yaani kifupi unalilia kwenda ku kufurishwa jamani!! Dada mzuri hivi inakuaje hujielewi unayumba namna hii !! Mwe!!
Zamaaaaa PLEASEEE weka kimeza with tissues n water!!unao wa interview wote wanaliaa mbona huwafikirii!!
@Amina Said hiyo tissue kaja nayo aliishika na simu yake hapo pembeni ndio maana anayo mwanzo hadi mwisho..kungekuwa na tissue hapo asingetumia hiyohiyo kufuta kamasi na machozi..
neema berny hili suala analipuuza sana cjui kwanin
@@veronicalufingo3513 yani nashangaa..
Interview nyingi za bongo hawaweki tissue ma maji they dont learn😏😏😏
😄😄😄😄🙏
fawize naputwenda sna ilevo
Yani we dada faiza nakupenda unajibu maswali vizur hadi raha na kwa uwazi😘😘
nakuelewa sana kuhusu kumpENda Mtu,,u just like me umeadapt tabia za watu weupe,,pole my dear,,love u more
Another bosslady ishallah
Hongera sana Faiza Kwa mawaidha yako, usemacho ni kweli kuhusu kujiuza heri uajiriwe na Hela ya Hali kuliko Hela ya haramu.ubaguzi wa Rangi no ukweli
Faiza huge heart
Hongera faiza..hongera zama..interview had unaagwa....bado tu unakomaa kuangalia
Majibu yanaendana na maswali vizuri sana nakupenda faiza big up daa zama😚😙😙
nzuri iadia namim nilikuwa nawazaga ivoivo,,,nikushauli tu apo msingi mkubwa ni uaminifu,,,safi kwakuingia front unajifunza ving sanaa,,mtembea bule si mkaa bule
Ipo siku faiza utarudiana na baba Sasha ndo kinachoonekana hii comment itakuwa kumbukumbu kwako
Begukule Mosobe ,hata mm naona hivohivo,time will tell.
Yaani huyu Mungu hutenda maajabu kwa wakati wake
Wewe unaweza kurudiana na mtu ambaye tayar kazaa na mtu mwingine?
Tatzo watanzania tuache kukariri Maisha kuwa mke wa ndoa anatakiwa kuvaa nguo ndefu sjui vp Yani huyu bint anampenda Sana sugu uwiii jmn angepata nafas Ange enjoy Sana nakupenda Sana faiza wangu
Nitafurahi sana
How can you let a woman love you like this..comeon SUGU😜😜😜uzuri upo rangi ya chungwa mashallah
Maendeleo ya nchi yanaletwa na wananchi wenyewe good faiza..faiza unaakili sana
Fai Fai Fai nakuelewa, na asiekulewa so binadamu. Ni kweli Sugu ameoa lakini Mungu wangu uliyesema watu waoane nisamee tu jamani japo Fai unasema humtaki tena lakini mimi natamani siku moja sjui itoke nini jamani niskie mmerudiana. Mungu naomba upokee dua yangu.
Aisee Zama this is the best interview.
Dada Faidha pambana na maisha yako.Mambo Happy muachie Happy
Kama kuna interview umefanya ya ukweli ukweli.... Huyu Dada ni fireee.... Faiza ni muazi but ile interview ya muna love hapana kwa kweli inabidi uifute... Muna kaongea uongo sana.
Kumbe na ww uliona hilo
Hahahaha kweliii
Alkua haelewek ajifanya mlokole🤣🤣🤣
😅😅😅Kwel me hata sikuimaliza
Muna kila kitu anajifanya et namuachia Mungu anaulizwa uhusiano wake na Joel anafikiriiiia alafu anakataaa muongo sanaa ukimuangalia usoni tu unajua
FAIZA ALLY💖💖...Hujui kufake, ndo mana NAKUPENDA NA NAKUELEWA SANA..Hauishi kwa ajili ya kufurahisha watu..JUST YOU & U'R OWN WORLD✔✔✔
daah Faidha yani we ni fire..true love never die!
Merenciana Richard
Nampenda sana faiza yupo real sana interview i nzuri sana hongera mama juhjuh
Faiza I think u've not healed ,bt trust me one day you will be ok just keep yourself busy
Da Zama umenimaliza eti Sugu amekupa nini Faiza daah!?
Nawapenda sana Da ZAMA & FAIZA ❤😘
Nakuelewa sana Faiza ww ni mpambanaji 😍😍
Duuhhh huyu mother mungu atadili nae huko alipo why akikufanyia hivi 🤔 🤔 🤔#acha maisha yaendelee 🕺🕺 🕺
Mashallah, ntakutafuta mpenzi unifundishe kufanya Biashara, mtaji ninao ndugu yangu.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Njo nkufundshe😀😀😂😂😂
Dah faiza unaupendo wa agape... Nakuelewa sanaaa
Daah faiza nimekuskiliza kwa umakini nimekuhurumia ila tu ukweli huwa unaish naamin kuna sku mungu atakufanyieni miujize
Nakupenda faiza.you are so transparency 💋
I like the interview
Unampenda faiza cz yeye ni muwazi ila mbona ww ni public figure na ukiulizwa yako unajibu no comment! Unapendaa kuuliza ya watu ila mambo yako huyaeki wazi! Ujue una mafans na wanahitaji kukujua hizo no comment zako zinaboa!
Mno
Haswaa
Kabisaa bora millad ayo
Daaaa faiza Leo nimegundua wewe ni binge LA mwanamke am proud of you cz nimekupenda sana
Kabisa huyu dada Ana ego sana yaani in short ni selfish anapenda kujua ya watu lkn yake hataki yajulikane hata hao wanaokubali kufanya nae interview hawajielewi
It's so sad bt kikubwa...mjenge urafiki tu kwaajili ya Mtoto
Wakati naanza kumfolow hakika sikumuelewa nikaona birthday yk kavaa Pampers Mara akapost chupi iliyotoboka kiukweli alinivuruga ila nilivyojua ni mwanamke wa aina gani namfatilia nampenda sana ongera sana faiza uwe na afya njema
Hawa ndiyo watu wa kuwafanyia interview siyo wale wenzangu na mie hawara wa majizo ..... siwezi kuliongelea"":good faiza
I love them 🔥🔥🔥 am inspired kwakweli
i luv you faiza na zama Allah awajalie kila kheir nawapenda zaidi ya sana.ila zama one day nawewe tafuta mtu akuhoji au iwe kama Q/A ruhusu watu waulize maswali afu ujibu
Hahahahahaha
Mmmh Zama huwa hapendi kujibu maswali
Faiza huwa nakupenda sana unavopambana Mungu akubariki sana natamani kuwa ww na ntakuwa.nakupenda
Ooooh umeniliza faiza😭😭wewe ni kweli na muwazi mno yatapita,mtoto atakuwa .
Ze best Interview Ever Zama#Faiza nakupenda mnooo....nimeEnjoy Interview 😘
Thats a real soul❤️
Nakupenda Sana faiza kwa sababu unajiamin na hauteteleki love you so much ❤️❤️
Yes yule ni mbunge nilazima atake mambo yawe sawa na pia anataka heshima....Amani iwe nanyi na baba mtoto wako🙏🏾
Jamani zama wewe Huwa unajiboreshaje dada una watoto watatu but u look so amazing nipeni Siri na Mm jamani
I feel you sis,we ni mwanamke wa shoka,nimetoa machozi ulipotoa machozi,nakupenda tuu Walah,una point kinoma yaan,keep what you have and GOD will rice you more than that much love
Hii interview Ni nzuri.....imenifanya kua stronger than before💪💪