UNABII UNAZIDI KUTIMIA. VIFO VINAZIDI KUONGEZEKA. MSIPOTIBU NA KUACHA HIZI DAMU ZINAKWENDA KUWARUDIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n หลายเดือนก่อน +6

    Nikweli damu yenye haki humulilia mungu na mungu hujibu

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 หลายเดือนก่อน

    Ulisema akilazimidha kugombea atakufa
    Hiyo ndio tunaisubiri 😅😂😊

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa mashetani wa kijani ccm na awamu yao ya dhuluma wamekataliwa na Mungu!
    Hivyo wapo kulazimisha mambo yaende kwa kutumia nguvu ya dola!
    Mungu awalaani ninyi watawala viongozi waovu na vizazi vyenu! Ameni.

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati หลายเดือนก่อน

      Kama yanga

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 หลายเดือนก่อน

      Wanaiba kura kila uchaguzi ailimradi waendelee kuwa madarakani. Wanalinda chama chao kwa damu za waliowauwa.

  • @consolatamairi3862
    @consolatamairi3862 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa ni roho za wivu, Mungu atusaidie

  • @Editha_12
    @Editha_12 26 วันที่ผ่านมา

    Fanya kitu kwa wanaotekwa , wachiwe

  • @japhetlukumay2778
    @japhetlukumay2778 หลายเดือนก่อน

    Mungu aliyemkuu aturehemu

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 หลายเดือนก่อน +1

    Komboa kwanza nchi yako Mtumishi

  • @AlbertKilinga
    @AlbertKilinga หลายเดือนก่อน +1

    Umechanganya mambo Kuoa na kuacha. ushauri wako mbovu na wa kishetani mwisho wake jehanamu.

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg หลายเดือนก่อน

    Leave alone JPM.

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akikupa ufunuo unatakiwa uombe ili mabaya yasitokee ss nyie wenyewe mkifunuliwa hamuombi mnasubiri yatokee ili muonekane nyie watumishi wa Mungu

    • @blessingcharles-lc1rr
      @blessingcharles-lc1rr หลายเดือนก่อน

      Yaan hata mim ndio kinachonishangaza ajabu sana

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 หลายเดือนก่อน +3

    Acha kupingana na watumishi wa Mungu Kuna mengine wanapewa ili wayasema ili watu wajirekebishe Kuna mengine wanapewa ya Siri. Suruhisho ni kurekebisha sio kukosoa watumishi.

  • @japhetlukumay2778
    @japhetlukumay2778 หลายเดือนก่อน

    Ibilisi yuko kazini mnoooo

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo unayushauri tusimchague siyo

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 หลายเดือนก่อน +1

    Mume mmoja Mke mmoja hadi kifo,hakuna divorce kwenye Kweli.

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 หลายเดือนก่อน +1

    Sema tutaona maana hata wewe utakuwemo katika utawala wake, kama ni kuomba na wewe pia omba!! toa suluhisho wote tufanye nini?

  • @elizabethbrown6748
    @elizabethbrown6748 หลายเดือนก่อน

    Mimi naamini kama umepewa unabii na Mungu unatakiwa uombe wewe haswa. Wengi yakishstokea mabaya ndio wanaanza kusema tuliona. Kwa nini usiiombee nchi wewe mwenye huo ufunuo??

    • @durangobasics6195
      @durangobasics6195 หลายเดือนก่อน

      Tupe maandiko ya kusupport hivyo unavyoona. Au unaamini kivipi?

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿😪

  • @BenjaminSaimon-l2d
    @BenjaminSaimon-l2d หลายเดือนก่อน

    Mmh

  • @RAMADHANIMTEMI
    @RAMADHANIMTEMI หลายเดือนก่อน

    Kila mmoja hawa watu ni matapeli kila alijisikia kusema lazima ameoteshwa na Mungu hapana hao ni mashahidi wa shetani

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uwongo wewe usitafute umaarufu tutabilie mambo ya Gaza na Israel wewe mbona hujazuia watu kutenda dhambi kanisani kwako acheni ushabiki mkisikia mitandaoni mnashika mic mnatabili chukua kadi ya chadema uingie kwenye siasa

  • @ObeidChamila
    @ObeidChamila หลายเดือนก่อน

    Vifo vimeanza Leo ww?? Una lako jambo liseme tu na onyesha rangi zako

  • @jonathankayigili8490
    @jonathankayigili8490 หลายเดือนก่อน

    Jambazi wewe achana na magufuli paka shume wewe