Ubarikiwee Mtumishi wa Mungu na Mungu azidi kukuinua siku hadi siku na na huduma yako isambae ulimwenguni kote na kila pembe ya dunia AMIN!! AMIN!! AMIN!!.
Kuhusu swala la ndoa, Inabidi tujue sisi tunaishi katika zama zipi, agano jipya kuanzia mark 10:6-12, Yesu kaongelea kuhusu ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tu na sio wake wengi, wakina Ibrahimu hawakaua na dhambi pia kua na wake wengi kwa sababu ya majira yao walio ishi kama inavyo sema matendo 17:30, kuna kusidi kubwa sana la Mungu katika ndoa ya mke mmoja na mume mmoja, ingia katika maombi Mungu atakuelekeza
Yesu alisemaje alipoulizwa kuhusu mke zaidi ya moja? Kwenye Mt 19:4-5 Yesu alisema Mungu alimuumba mtu mume na mke nao watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, MUNGU ANATAKA MUME AWE NA MKE MMOJA. Na Mt Paulo kwenye 1 Kor 7:2 amesema kila mtu awe na mke wake mwenyewe na kila mke awe na mume wake mwenyewe. Kwa hiyo, MUNGU ANATAKA MUME MMOJA KWA MKE MMOJA
Wewe huoni wanaume wameshushwa kutoka kuwa kichwa kwenda kuwa mikia badala yake unamuwaziIa rais. Mbona muda wake utaisha lakini wanaume watakuwepo tu.

Ila ukumbuke Kuna mwenzako alisema Ikulu itazingirwa na nyuki mwaka Fulani mpk Leo nyuki hawajaonekana. Nayesiku hizi simsikii tena
Yesu alisemaje alipoulizwa kuhusu mke zaidi ya moja? Kwenye Mt 19:4-5 Yesu alisema Mungu alimuumba mtu mume na mke nao watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, MUNGU ANATAKA MUME AWE NA MKE MMOJA. Na Mt Paulo kwenye 1 Kor 7:2 amesema kila mtu awe na mke wake mwenyewe na kila mke awe na mume wake mwenyewe. Kwa hiyo, MUNGU ANATAKA MUME MMOJA KWA MKE MMOJA
Watanganyika wanahitaji kutubu dhambi "Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu kwanza na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa"
Well said tobacco ndo kila kitu,tujikague tulimuudhi Mungu wapi, na Mungu atuachile na kuturehem
Acha kumtisha Rais tunajua mnamchukia hasa nyie wachaga hamtokuja shika nchi😂, hakuna nabii sikuhz acha kupanga watu uongo