NABII MKUU AMKARIBISHA MTUME MKUU DUNSTAN MABOYA WA CALVARY ASSEMBLIES OF GOD (C.A.G) - GeorDavie TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2022
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Nayapenda sana mafundisho ya mtume maboya....am from Kenya apostle we are missing you..
Mheshimiwa Nabi mkuu Mungu akulinde uishi miaka mingi Mungu amekuleta kwetu utusaidie kiroho na kiuchumi kuhusu kiuchumi Mimi Niko vibaya nadaiwa Kodi ya nyumba naomba unieezeshe kiuchumi ninunue shamba hata Hela kumi mheshimiwa nabii asante amina
MBARIKIWE SANA!
UMOJA KWA KANISA NDIYO TUNATAKA.SIYO KUTUPIANA MADOGO.
Muhimili kama muhimili wa Injili Tanzania!
Mungu anajivunia wewe sanaaaa Danstan Maboya.
,,Nakukubali sanaaaa!
Haleluya, tunahitaji watu majasiri kama hawa ili ufalme wa MUNGU uzidi kupanuka. Nimependa, sana sana sana!!
Askofu Maboya ni mtu wa maana sana katika mwili wa Kristo. Nimebarikiwa
This is the man who prophesied first my international flights
Much Respect to the Great Apostle of our times....kwa wasiojua Gurudoza Mwamposa amekulia kwa huyu mzee
amina ndugu watu hawajui kuwa huyu ndiye mzazi na mlezi wa Mwamposa
Mwamposa hajalelewa na huyo,amelelewa na Bishop Ryoba
Buldoza ni mtoto wa kiroho wa huyu mzee
@@joshuanzala3530 Riyba mwenyewe kwa kinywa chake nimemsikia akimwita maboya baba. Na mpaka anafariki alikuwa katibu wa Maboya.
Nnj
,
Amen.i was privileged to drive this man of God to Oakland California some years back and the trip was was very insightful. God bless you apostle maboya.
I just love this great man of God Apostle Maboya.
Awesome this amazing servant of God helping the weak.
Have really suffered.
Nabii nakuja kukombolewa
Great Maboya,,,,, greatful, awesome, wonderful, extraordinary, astonishing, marvelous, adventure......
Wow ni jambo la baraka sana katika kanisa tunapoona mtume mkuu na nabii mkuu wanakutana katika madhabahu moja.Hii inaua mgawanyiko katika kanisa na Kuleta umoja katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
Vizuri sana.Lakini naomba kuelewa kutoka ndani ya Biblia tofauti ya mtume mkuu na mtume mudogo,na nabii mkubwa na nabii mudogo.
Amen watenda kazi wa yesu mbarkiwe
Mtume maboy nikiboko nkupnd San sijui kibaha mwezi huu nn utasem na kusanyiko ubarikiwe bba na muda huu uko kusanyiko nahisi
Babangu nikumbuke nami niko kalemie DRC congo
Mafundisho mazuri... Ubarikiwe mno Apostle Maboya
Amaizing 🙏nimejifunza na nimecheka Sana, Asante Sana Apostle Maboya.
Great Men of God. May God bless you and your families
Oooo my can't get enough from you apostle maboya big up from kenya
You're always my favorite pastor God bless your life
This is breathtaking God bless you men of God.We don't have time to learn about freemason but only Jesus Christ
I honar you papaa
The sermon is good lakini your seculity behind the preacher haibatani na Bible
The security leaves me with many questions
Mungu anawatu wake someni hichi kipengere kwa waenda mbinguni watanielewa (2petro 2: 1,2,3,4,5,6.hiyo mistari yote imeba ujumbe wa marifa
Nimependa sana mafundisho yake mzee maboya vijana tufanye kazi Mungu anabariki neno lake😀😀😀
Amina Sana apostle Dunstan Maboya🙏🙏🙏🙏.
Huyu mtumishi Abalikiwe sanaa japo sikufamu ndo kwanza leo nimekusikia, Mungu akupe miaka zaidi, kunakitu umenifungua Asante sanaa.
Huyu ndiye mwamba wa injili Tanzania. Nimemfahamu 1991 akiwa moto sana kwenye injili.
Nakupenda sana baba yangu nakuamin mungu amekuamin lazima uaminiwe
Big Up Dr. Rev. Bishop Maboya Injili ya kweli hiyo Kweli tuache kuangalia mali na urithi wa Baba ambae ya alisoma darasa la Nane au la saba mtoto ukasomeshwa na Baba hadi Degree leo unakuja kuitolea Macho mali za mzee Urithi wa Baba yako ni wawajukuu
Napenda Sana mafundisho ya huyu baba jmn Ni mwalm mzuri sna na muhubr mzuri Bishop dastan maboya
Apostle Maboya Mungu akubariki sana nimekusikia na nmekuelewa Mungu nisaidie kuyatendea haya yote.
God bless you Man of God.
Apostle Maboya 😭😭 Mungu akusaidie, MSIFUNGIWE NIRA PAMOJA NAO WASIOAMINI, Dah unakanyaga madhabahu ya huyu jodevi ambae ni ajenti wa kuzimu!!!! ETI NABII MKUU 😳😳 YAANI BADALA YA KUHUBIRI MNASIFIANA TU KWENYE MADHABAHU😳😳😳 NA HILO NDIO LENGO LA HIYO MADHABAHU YA JODEVI. JOBHA TATA TUFWILE NNYAMBALA. UWIII
Uli jua aje? Tafadhali nielezee matukio?
Ongera sana baba yetu nabii mkuu
Na mtume mkuu kwa mafundisho mazuri
Powerful Generals, i got my word..
Wow be blessed men of God, am blessed
Kwa kweli roho mchafu anafanya kazi wazi katika makanisa ya manabii na mitume wa Karne mpya. Ibada ya kweli hakuna tena.
You're right otherwise ijili iliyo hubiriwa na watume wa kristo is not preached anymore. Ijili ya pesa na nyota ndio ina hubiriwa siku hizi. Only few are preaching the true gospel of Christ purposed to be preached.
MUNGU akupe maisha marefu,siku moja uje iringa mjini
Nabii Mkuu umekua na Ibada ambazo hakika zina bariki sana na ninajifunza jambo kuhusu wewe Baba umekuwa Mtu wa tofauti sana na hata unavyotumiwa na Mungu ni ajabu sana.
Natamani sana siku Moja niweze kufika hapo nikitoka huku Mbeya kwaajiri ya ibada Moja itakayogusa Maisha yangu.
Shikamoo nabii Mkuu.
Thanks 🙏🙏🙏👍👍👍
Nakupenda sana Maboya ...maana matirio ya neno la Mungu hayaishi
Nimefurahi sana nimecheka sana aposto ubarikiwe sana mpakwa mafuta wabwana
Nawapenda sana watumish mamba mmeipasua sasa tunapata maji ya uzima
Hii Roho niwachache wanayo ,,,,hongera Nabii mkuu Dr Geordavie kwa Kumkaribisha Mtume Maboya
I'm lucky to witness this great Men of God teaching in one tabernacle
Nikwell mtumishi
Mnanibariki sana kwa neno la leo, nawafata nikiwa Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
am loving profit G devi and am loving apostle dastan maboya this is bigger education mmmmmwaaaaa
Ni vizuri kusawaidia watu shida za kimwili na ya rohoni yafuate,amina
Good massage the man of God f,Apostle Maboya, be blessed and prosper 4
Nimeipenda saana hii, Haya ndiyo mafundisho tunatakiwa tuyapate sisi wakristo, maana sasa tumefika kwenye highest level of lazness
Kweli ise
Nampenda nabii mkuu huyu
0
@@jofreymligo457 😂😂❤wp 1:05
Amina Amina Amina utukufu hadi utukufu barikiwa sana baba
Amen amen mtumishi wa mungu sujui ni same nini nimefurahi sana sana naitaji nikoone sija wahi kuona mtu kama
Nimeupenda ujumbe umenijenga saana dady nipo Kenya mungu anifungulie njia Ili siku Moja ni fike kanisani kushuhudia maana na minii mungu ni mwema
Baba D Maboya please njoo American ,yani dah ! Ana hubiri hadi na sikia ni pae jamani 🔥 Nabii mkuu J May the living God be with you always,Roho wa Mungu mtakatifu awape mwisho mzuri 🙏🏾❣️
Ameeen
MUNGU haangalii umri, Kama hivyo yeremia asinge itwa
Powerful message
I love you my Dad,Dastan Maboya,it reminds me of the yr 1998 when we were at Mwembe chai Dar as we started Chuo Cha Manabii Church, currently at UFI. God bless you man of God, more grace and anointing upon you.
Legendary Apostle Maboya🙌
Shikamoo nabii mkuu wa mungu mm naitwa vaileth natokea dar uliniponya kichwa siku moja ya maombi ubalikiwe na uzidi kuwabaliki wengine
Watumishi wa mungu hawahitaji walinzi.Hakuna nabii mkuu,Nabii Mkuu ni Yesu Kristo.Ninyi ni wachawi,na kuzimu inawangoja!
Maombi yangu kwa mungu akunzeer mtume maboya
Hayo Ni mafundisho ya ujasiriamali,au ?
Natamani sana namimi nifike kwenye madhabahu hii ya nabii mkuu
Haki unaongeaga ukweli mtupu babaa na katika uhalisia wa maisha tunayoishi👌👌hayo Mambo ya thank you aaaah nimecheka mpka nikajishangaa maan nimecheka kwa sauti na Niko peke yangu
Apriciated apostle Dastan Maboya & Nabii mkuu
Asante sana Apostle Maboya barikiwa 🙏
That's my dady ilove you,napenda sana mafundisho Yako barikiwa sana
Very fun and intelligent apostle Maboya
Hata mimi namkubali sana apostle Maboya... umebarikiwa nabii mkuu
ahahaaaaaaaa huwezi kumtuma tajiri lete maji, what a revelation, wazee ni wazee tu, Thank you Apostle
Powerfull
Thanks apostolic Maboya
Vyuma viwili vimekutana full maupako mnaweza mpaka mnaweza Tena💪💪👏👏👏
Very powerful,i love his messages.
Ameeen!
Perfect speech 👏👏👏👏
Nimebarikiwa sana aiseee Maboya full upako wa Neno Tunakupenda bute
Soyez bénies serviteur de Dieu danstan maboya l'homme selon la volonté de Dieu. L'homme expiré
Watching live from Arusha Tanzania
Amen mtumishi napokea upako nikiwa Oman
Hallelujah 😂😂❤❤❤🙏🙏🙏👍👍👍thank given i love my fathers ❤Nabii wangu number 1Dunuani an mbinguni ❤
Ahsante sana Mtume mafundisho ya hekima sana haya alafu kwa lugha nyepesi sana
True True True Apostle
The wisdom.....
Mtumishi wa mungu ubarkiwe nakukubari sana maboya
Powerful ❤❤❤❤ From Kenya
Amen ma baba zangu nawapenda bure
Amina Nimemuelewa Sana Mtume Maboya Na Kanifungua Ufahamu Kwa Kweli
Be blessed
Thank you
Ahsante Kwa injili hii nzuri
🔥🔥🔥🔥 hallelujah wote tulochelewa kuangalia tuseme amina
amina glory
Umeongea ukweli Sana Mtumishi WA MUNGU, Yesu Kristo ndiyo yote katika yote.Sifa zone na utukufu Ni Kwa MUNGU muumba WA Vitu Vyote,asiyeshiriki utukufu Na yoyote mbinguni wala Duniani.
Asante man of God
Mungu akubariki apostle
Sichoki kufatilia ibada zako Wakili wa ufalme wa Mungu NABII MKUU
I salute you man of God
This is deep 🔥🔥🔥
God bless you man of God Calvary master
Watoto wa thank you; Ayaa apostal maboya hongera kwa masage nzuri.
Ameni
point 🙌🙌🙌🙌
Uwiii Mungu akubariki sana
Maboya mungu akuinue kwa mafundisho mazuri
Nimekubali kabisa hili pia ni wazi kuwa Mungu anawekeza kwnye wazeee yes
Mungu apewe sifa na utukufu, ningefurahi kama ningekuwe hapo. Anoint iliopo hapo ni ya kuondoa Milima, Asante watumishi wa Mungu tunawapenda, na tunapenda kazi nzenu. Mungu awatunze
Good lesson apostle
Asante kwa neno zuri kutoka kwako baba yangu wa kiroho pia na mtumishi mtume mkuu
🔥
Namfurahiya BWANA
I respect Apostle Dunstan,has great testimonies...
Ubarikiwe baba!
Nashukuru Mungu sana
Very interesting topic