ORODHA YA WAIMBAJI WALIO MEZWA NA KUZIM TAYALI EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @erickjuma2562
    @erickjuma2562 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ageukie adui wote wanao kuwinda mwanga wa Kristo Yesu uwaangazie kama vile uliangazia Paulo akielekea kuuwa, wapigwe na miale mikali wapoteze nia njia na macho yao yapifuswe hadi watafute msaada wako katikati Jina la Yesu Kristo mkombozi wawote wa mjao Mungu mtakatifu wa mbinguni 🙏🙏🙏

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kwa mapenzi yako Mungu naomba, uniondolee madhabahu ya giza yaliyopo ndani yangu na uniweke nuruni. Niepushe na marafiki wa gizani ili nipate walio wa nuru na nitembee katika mwanga wako.

  • @estherndunge3064
    @estherndunge3064 หลายเดือนก่อน

    Amina ,Mungu amekuinua kutabiria watu kuhusu ufalme wake kwani niwengi wamejivika ngozi ya kondoo kumbe Ndani ni umbwa mwitu Mungu funika mtumishi wako na Bawa zako , Hallelujah

  • @AthonySaimon
    @AthonySaimon 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tungepata akina pascal kama watano hv tz, haya manabii feki yangekoma😅😅😅

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hallelujah Hallelujah 👏 miili yetu ni hekalu la Mungu. Tuangalie sana tunachokila, kuvaa, kupenda n.k tuangalie sana ni jambo gani tunalojishirikisha nalo hili roho wa Mungu asisinyae ndani yetu. Ubarikiwe sana kwa kuubariki moyo wangu asubuhi ya leo.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 3 หลายเดือนก่อน +12

    Niko Kigoma, Hakika wewe ñi sauti ya mtu aliày3 Nyikani 😅😅😅😅😅😅mimi ni mkatoliki mkalsmatic uñgekuwa hapa kwetu Kigoma ñiñgejiuñga ktk Kàñisa lako, 💯

  • @MamaBambala
    @MamaBambala 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo sanamu wanazokuwekea hapo wakati unahubiri zisionyeshwe,Mungu amesemaUsijifanyie ,sanamu za kuchora,sanamu ya kuchonga nk,tusiziwekee matumaini,sasa hiyo misanamu niya nini mwanangu;Mifano haifai kabisa.Na ukikataa kuiweka utaona vishawishi vya kukukatalia maana Mungu hafananishwi na kitu chochote.Ubarikiwe.

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU Atusaidie sana

  • @QueenMwaweya
    @QueenMwaweya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sawa mtumishi wa MUNGU aliye hai songa mbele hubiri kweli usijali wengine watasema nini

  • @starlily07
    @starlily07 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hata Mimi nilikomenti siku nilipoona huyu goodluck gozbert alipoenda kwa huyu Nabii mchafu jodevi, nilikomenti nikasema (kwisha habari yako goodluck) yaani siku alipokubali kukanyaga ile madhabahu ya kishetani na kupokea ile gari ndo siku aliyopoteza huduma yake ya uimbaji. Na kweli tangu hapo huyu kijana hajawahi kusikika tena , maskini goodluck gozbert Mungu amuhurumie.

    • @jacklinedeus6068
      @jacklinedeus6068 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yani waimbaji wawe makini sana na madhabahu wanazokanyaga😢

    • @ahazichunya4265
      @ahazichunya4265 หลายเดือนก่อน

      ​@@jacklinedeus6068na nikweli simusikii hata mimi kabisa

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Fanya ambalo mungu ambalo mungu amekutuma ulifanye usimuogope mtu na yesu tumwabuduye Yu pamoja nawewe mtumishi ubarikiwe katika jina la yesu kristo Alie hai

  • @MichaelAksanti
    @MichaelAksanti หลายเดือนก่อน

    Amina Mtumishi wa Mungu

  • @zawadihassan4061
    @zawadihassan4061 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue sana mtumishi, ni kweli shetani a

  • @MikeWangu-r3c
    @MikeWangu-r3c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli kabisa ❤ Kwa mtumish wa Mungu

  • @LucyMmboga
    @LucyMmboga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed, the man of God

  • @EsterAnyelwisye
    @EsterAnyelwisye 3 หลายเดือนก่อน

    Amina amina . Mungu atusaidie kujua haya siai waimbaji

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa ubarikiwe mtumishi sana tena sana, na Mungu azidi kukutumia ili tupate kupona

  • @agnessnkugwe7939
    @agnessnkugwe7939 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana kaka.

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUBARIKI PASTOR 🙏

  • @chonjoBoy-j2h
    @chonjoBoy-j2h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu..naomba utuweke wazi ipi siku sahihi ya kusali kati ya jumapili na jumamosi 🙏

    • @evbonifacemwakibango7419
      @evbonifacemwakibango7419 3 หลายเดือนก่อน +2

      Siku zote ni za Bwana, hili utaliacha kulifatilia ikiwa umeachana na UDINI

    • @samsonmwano9203
      @samsonmwano9203 3 หลายเดือนก่อน

      Umejibu vema mtumishi

    • @BenKabala
      @BenKabala 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani siku ya kusali ndio tiketi ya mbinguni? Mbona Mafarisayo najuhidi zao zote hawakufaulu kuhitimu kwa mujibu wa Yesu?

    • @btsanime6138
      @btsanime6138 3 หลายเดือนก่อน +2

      Siku ya kuomba Mungu ni siku yoyote kwa sababu Mungu hujibu maombi kwa siku yoyote hivyo sasa siku yoyote ni ya kuomba Mungu.

    • @chonjoBoy-j2h
      @chonjoBoy-j2h 3 หลายเดือนก่อน

      @@btsanime6138 hapana nilimaanisha siku ya Mungu Wapo wanaosema jumamosi wengine jumapili imekuwa gumzo kwelikwel

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni nani? Marafiki wanatambulisha wewe ni mtu wa aina gani? Ni vyema sana kama wewe ni mkristo shirikiana sana na wakristo wenzako.
    Kwa hakika watumishi wengi, waimbaji wengi wameiacha kweli ya Kristo, wameuza uaminifu wa Mungu hawapo nuruni tena washamezwa na giza kwa kupenda mali ya dunia hii. Tamaa imefanya wengi kuibiwa kwa kutoshukuru na kutotosheka na kile Mungu amewapa.
    Asante kwa Neno linalotufunza kukaa mbali na mambo ya dunia hii. Mtumishi Mungu akubariki sana na akutunze milele.

  • @katedkambi5741
    @katedkambi5741 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @loosyloosy3634
    @loosyloosy3634 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi hata nyimbo zao sizithamini tena, , , wacha wasikie ujumbe wageukie Mungu

  • @Kangukag3b
    @Kangukag3b 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 3 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani huwa unanibariki sana kwa kweli haiwezi kupita siku bila kuingia you tube nisikilize MUNGU amesema Nini kupitia wewe

  • @VeronikaMatheo
    @VeronikaMatheo 3 หลายเดือนก่อน

    mungu atsaidie Sana kaka mungu akubariki

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 3 หลายเดือนก่อน +1

    KweliGeodavie ni mtumishi wa shetani, Eti tusome biblia ipi!!!!!!!! Ee Mungu tusaidie, na washirika wake wanachekelea kama mazuri. Mungu tusamehe jamani.

  • @ChristianJoseph-o8r
    @ChristianJoseph-o8r 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni kusema maisha ya watumishi wa mungu sanasana waombeeni tuh nyakati hiz ni nyakati za uovu mnasema mambo ya watu wengine nanyi indeep mnamambo yenu yanawasumbua

    • @erickjuma2562
      @erickjuma2562 2 หลายเดือนก่อน

      OKOKA KWA JINA LA YESU KRISTO NDO NURU utakubàli injili hii ya ukamilivu

  • @MTEULEWAMUNGUTV
    @MTEULEWAMUNGUTV 3 หลายเดือนก่อน +1

    NI kweli kabisa,..mmoja wapo kwenye iyo picha nilifunuliwa kabisa juu yake,,,nilishangaa Sana,,,

  • @TheHitFinder
    @TheHitFinder 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor Ubiri Neno Wachana Na Maneno,,,No One Is Allowed To Judge,,,,Wachia Mungu Kazi Yake Mwenyewe Ataifanya Wewe Auna Uwezo Wowote,,, Kesho Aijulikani

    • @atienomaurrine4336
      @atienomaurrine4336 3 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa na usiano nzuri na Mungu uko na uwezo hata kuhukumu malaika

    • @Afolorunso
      @Afolorunso 3 หลายเดือนก่อน

      Rubbish

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atusaidiye nakutushind1niya,ila maisha inatupeleka pabaya unapo ona kwenye familia yako wewe ndiyo unategemewa napale unataka ufike ili usaidiye familia inashindikana lazma ukimpata mtu wakukusaidiya na pesa hata awe mtu waku Zim hapo hatutaona tena kwasababu kile nilisho tafuta nimekipata ila Mungu atupiganiye kwa sababu shetani ametuvaamiya kwa njiya zote ameleta watu na vitu vya kila aina tena vyakushangaza lakini unakutana wengine wanavichukuliya poa tu wakati sisi wengine vinatuchangaza

  • @DANIELMWAKABUTA
    @DANIELMWAKABUTA 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa mtumishi amepoteza mvuto wa kumtukuza Mungu

  • @IssaygeradGerad
    @IssaygeradGerad 3 หลายเดือนก่อน

    AMINA ubarikiwe sana

  • @stellatemu2458
    @stellatemu2458 หลายเดือนก่อน

    Kwel hyu GeoDavie n pepo

  • @ChristianJoseph-o8r
    @ChristianJoseph-o8r 3 หลายเดือนก่อน

    Wafanya biashara❤

  • @lilyg2134
    @lilyg2134 3 หลายเดือนก่อน +2

    KWANZA KUNA MMOJA HAPO HAJAWAHI KUMTAJA YESU KATIKA NYIMBO ZAKE....KILA SIKU MUNGU MUNGU, HATA SHETANI NAE NI MUNGU KWA WENGINE....UKIMTYAJA YESU TAYARI UMEJITENGANISHA NA MATAIFA!

  • @ChristianJoseph-o8r
    @ChristianJoseph-o8r 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mungu kuchambha dhambi za watu yesu mwenyewe alikuja kwa ajili ya wenye dhambi wewe fimbo za mungu zitakuja kugusa maisha yako unakata kwa upanga watu wa mungu na bwana hakukutuma kufanya hivyo unafanya kwa ufahamu wako ayubu 22:21😅😅😅😅

  • @SylvesterJoseph-cl6oe
    @SylvesterJoseph-cl6oe 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kila ukisemacho Pascal

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akutunze mtumishi

  • @lazarodoma6666
    @lazarodoma6666 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢very powerfully msg

  • @AnaniaMtumishi
    @AnaniaMtumishi 3 หลายเดือนก่อน

    JAMBO MUHIMU.. NI KUOMBA MWISHO MWEMA SANA

  • @prophetessmarylight434
    @prophetessmarylight434 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gozbert siku hiyo halipotezwa

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 3 หลายเดือนก่อน +2

    ELIMU YA KUZIMU INAHITAJIKA SAAANA LUKA 16 INATUELEZ vizuri saba

  • @ChristianJoseph-o8r
    @ChristianJoseph-o8r 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mungu kuchambha dhambi za watu yesu mwenyewe alikuja kwa ajili ya wenye dhambi wewe fimbo za mungu zitakuja kugusa maisha yako unakata kwa upanga watu wa mungu na bwana hakukutuma kufanya hivyo unafanya kwa ufahamu wako ayubu 22:21😅😅😅

    • @erickjuma2562
      @erickjuma2562 2 หลายเดือนก่อน

      Yesu Kristo mkombozi wawote wa mjao Mungu mtakatifu wa mbinguni atakujia waliopokea injili hii ya ukamilivu

    • @erickjuma2562
      @erickjuma2562 2 หลายเดือนก่อน

      Unaongea kama uko na shida za kibinafsi na huyu pastor msema kweli ya Yesu Kristo kwani hujui hiyo hiyo bilia ikisema usihukumu pia inasema hukumu kwa haki juu hiyo haki nakipimo unachotumia kupimia kuhukumu ndo itatumika kukuhukumu TU🙏🙏

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna mtu mmoja hapo umemsahau, umemsahau Paschal Cassian

  • @cleartzboy
    @cleartzboy 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye namba ya sadaka usahau mtumish

  • @starlily07
    @starlily07 3 หลายเดือนก่อน +3

    Christina shusho mwenyewe anapotea sasahivi, sio yule wa zamani

    • @pauldaniel6227
      @pauldaniel6227 3 หลายเดือนก่อน

      Yea kila alieenda kule ndo bx ten

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atusaidie

  • @ChristianJoseph-o8r
    @ChristianJoseph-o8r 3 หลายเดือนก่อน

    Wafanya biashara

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa Davi unamaanisha bibilia sio kweli ya kweli niipi? Kwa njia nyingine bibilia tulionayo sio kweli wewe unatumiwa na shetani kweli SI useme waziwazi wewe ni wakuzimu

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 3 หลายเดือนก่อน

    Mmm

  • @PonsSalimu
    @PonsSalimu 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

    • @DismasMhule
      @DismasMhule 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubalik mtumishi

  • @ChristianJoseph-o8r
    @ChristianJoseph-o8r 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mungu kuchambha dhambi za watu yesu mwenyewe alikuja kwa ajili ya wenye dhambi wewe fimbo za mungu zitakuja kugusa maisha yako unakata kwa upanga watu wa mungu na bwana hakukutuma kufanya hivyo unafanya kwa ufahamu wako ayubu 22:21😅😅😅😅

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AlvinKidava
    @AlvinKidava 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @esnathshop7780
    @esnathshop7780 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @stellatemu2458
    @stellatemu2458 หลายเดือนก่อน

    Amen