huduma ya kristo
huduma ya kristo
  • 686
  • 2 108 567

วีดีโอ

AGANO LA MAISHA(kuondoa hali ngumu ya maisha)
มุมมอง 237วันที่ผ่านมา
AGANO LA MAISHA(kuondoa hali ngumu ya maisha)
PHAMPHREY OLE POLE RUDI TANZANIA BWANA ANAKUITA..AJALI YA MAGARI YA MIZIGO YA VINYWAJI.
มุมมอง 6K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
PHAMPHREY OLE POLE RUDI TANZANIA BWANA ANAKUITA..AJALI YA MAGARI YA MIZIGO YA VINYWAJI.
AGANO LA SADAKA.
มุมมอง 24719 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AGANO LA SADAKA.
UJIO WA MANABII WA UONGO KUTOKA KOREA. LEONGO LAO SIO IMANI.
มุมมอง 1.9K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
UJIO WA MANABII WA UONGO KUTOKA KOREA. LEONGO LAO SIO IMANI.
MSAADA WA CHAKULA KWA WAHITAJI.ARUSHA MOSHONO.
มุมมอง 108วันที่ผ่านมา
MSAADA WA CHAKULA KWA WAHITAJI.ARUSHA MOSHONO.
UTAJUAJE UMEITWA NA BWANA.
มุมมอง 169วันที่ผ่านมา
UTAJUAJE UMEITWA NA BWANA.
UMUHIMU WA AGANO LA DAMU.
มุมมอง 156วันที่ผ่านมา
UMUHIMU WA AGANO LA DAMU.
UNABII WA KIFO CHA KIONGOZI WA KIDINI TANGA UMETIMIA
มุมมอง 2.4Kวันที่ผ่านมา
UNABII WA KIFO CHA KIONGOZI WA KIDINI TANGA UMETIMIA
KUNA MATUKIO SABA ATAKAYO YAFANYA LISU KUIANGUSHA CCM.MFALME ANASHAURIWA NA MANABII SIO WACHUNGAJI
มุมมอง 10Kวันที่ผ่านมา
KUNA MATUKIO SABA ATAKAYO YAFANYA LISU KUIANGUSHA CCM.MFALME ANASHAURIWA NA MANABII SIO WACHUNGAJI
ROHO YA MAUTI NA KIFO TAASISI YA URAISI ZANZIBAR.AJALI YA BOTI..SAFARI ZA DAR to ZANZIBAR
มุมมอง 3.9Kวันที่ผ่านมา
ROHO YA MAUTI NA KIFO TAASISI YA URAISI ZANZIBAR.AJALI YA BOTI..SAFARI ZA DAR to ZANZIBAR
GODLACK SIO WAKWANZA KUCHOMA HAZINA ZA MADHABAHU. HEKIMA YA KUTEMBEA NA MUNGU
มุมมอง 993วันที่ผ่านมา
GODLACK SIO WAKWANZA KUCHOMA HAZINA ZA MADHABAHU. HEKIMA YA KUTEMBEA NA MUNGU
UNABII WA ANGUKO LA MH.GEORDAVIE UMEANZA KUCHUKUA NJIA YAKE. ROHO YA UASI IMEINGIA
มุมมอง 3.8Kวันที่ผ่านมา
UNABII WA ANGUKO LA MH.GEORDAVIE UMEANZA KUCHUKUA NJIA YAKE. ROHO YA UASI IMEINGIA
UNABII WA ANGUKO LA.MBOWE UMETIMIA.
มุมมอง 7K14 วันที่ผ่านมา
UNABII WA ANGUKO LA.MBOWE UMETIMIA.
FUATISHA HAYA MAOMBI NA MUNGU WA MBINGUNI ATAKUSIKIA NA KUKUFUNGUA.
มุมมอง 33014 วันที่ผ่านมา
FUATISHA HAYA MAOMBI NA MUNGU WA MBINGUNI ATAKUSIKIA NA KUKUFUNGUA.
ANGUKO LA CCM LIMEANZQ KUCHUKUA NJIA YAKE. UNABII UMEANZA KUCHUKUA HATAMU
มุมมอง 46K14 วันที่ผ่านมา
ANGUKO LA CCM LIMEANZQ KUCHUKUA NJIA YAKE. UNABII UMEANZA KUCHUKUA HATAMU
FUNGUO ŹA ULIMWENGU WA ROHO.
มุมมอง 28314 วันที่ผ่านมา
FUNGUO ŹA ULIMWENGU WA ROHO.
JINSI UNABII NA UTABIRI UNAVYOTIMIA
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
JINSI UNABII NA UTABIRI UNAVYOTIMIA
UNABII WA ANGUKO LA MH.MBOWE NA DAMU YA WAFUASI UMEANZA KUTIMIA.
มุมมอง 10K14 วันที่ผ่านมา
UNABII WA ANGUKO LA MH.MBOWE NA DAMU YA WAFUASI UMEANZA KUTIMIA.
UNABII NA UTABIRI ATAKAYEKUWA MWENYEKITI CHADEMA. UCHAGUZI UNAFANYIKA KILIMANJARO
มุมมอง 13K21 วันที่ผ่านมา
UNABII NA UTABIRI ATAKAYEKUWA MWENYEKITI CHADEMA. UCHAGUZI UNAFANYIKA KILIMANJARO
PENDEKEZO LA MAMA SAMIA ATAKAYE MRITHI KUWA RAISI.CHADEMA ITABAKI NA LISU NA HECHE.
มุมมอง 2.6K21 วันที่ผ่านมา
PENDEKEZO LA MAMA SAMIA ATAKAYE MRITHI KUWA RAISI.CHADEMA ITABAKI NA LISU NA HECHE.
UJIO WA TETEMEKO LA ARDHI TANZANIA: UNABII NA UTABIRI SEHEMU YA NNE(4)
มุมมอง 2.6K28 วันที่ผ่านมา
UJIO WA TETEMEKO LA ARDHI TANZANIA: UNABII NA UTABIRI SEHEMU YA NNE(4)
ROHO ZINAVYOSHUKA DUNIANI.
มุมมอง 21928 วันที่ผ่านมา
ROHO ZINAVYOSHUKA DUNIANI.
ANGUKO LA GEORDAVIE NA ROHO YA UASI KTK HUDUMA. NABII MALISA ANANG'ATA NA KUPULIZA UCHAGUZI 2025.
มุมมอง 8K28 วันที่ผ่านมา
ANGUKO LA GEORDAVIE NA ROHO YA UASI KTK HUDUMA. NABII MALISA ANANG'ATA NA KUPULIZA UCHAGUZI 2025.
UNABII WA LAANA TANROAD UMEANZA KUTIMIA. GAMBO NA MAKONDA
มุมมอง 2.7Kหลายเดือนก่อน
UNABII WA LAANA TANROAD UMEANZA KUTIMIA. GAMBO NA MAKONDA
UNABII NA UTABIRI.(2).MAZINGIRA YA UNABII KUTOKEA(unabii unakujaje)
มุมมอง 210หลายเดือนก่อน
UNABII NA UTABIRI.(2).MAZINGIRA YA UNABII KUTOKEA(unabii unakujaje)
UNABII NA UTABIRI WENYE BARAKA..3
มุมมอง 554หลายเดือนก่อน
UNABII NA UTABIRI WENYE BARAKA..3
UNABII NA UTABIRI WA MAISHA YAJAYO JINSI YA KUONA MAISHA YAJAYO..SEHEMU YA KWANZA..(1)
มุมมอง 844หลายเดือนก่อน
UNABII NA UTABIRI WA MAISHA YAJAYO JINSI YA KUONA MAISHA YAJAYO..SEHEMU YA KWANZA..(1)
MSAADA WA CHAKULA KWA MASIKINI WALIO WATAKATIFU.
มุมมอง 253หลายเดือนก่อน
MSAADA WA CHAKULA KWA MASIKINI WALIO WATAKATIFU.
WENYE NGUVU ZA MIUNGU NDIO WATAWALA. HAYA NI MAJIRA YA MIUNGU NA SIO AKILI
มุมมอง 2.5Kหลายเดือนก่อน
WENYE NGUVU ZA MIUNGU NDIO WATAWALA. HAYA NI MAJIRA YA MIUNGU NA SIO AKILI

ความคิดเห็น

  • @ramadhaniathumani1025
    @ramadhaniathumani1025 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aiseh hii ni mpya kabisa! conservatives watapinga kabisa!

  • @ZenaShabani-b7b
    @ZenaShabani-b7b วันที่ผ่านมา

    Mungu yupo atakusimsmia mama Samia Watanzania tizameni Kongo hatujazoea vita tafadhalini

  • @rennylameck8628
    @rennylameck8628 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Sana umenawa

  • @PeterPhilimoni
    @PeterPhilimoni วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe sana mtumishi

  • @IbrahimHasan-xn2lw
    @IbrahimHasan-xn2lw วันที่ผ่านมา

    Hayo ni maneno ya kukupa mshahra maisha yaende mbele

  • @IbrahimHasan-xn2lw
    @IbrahimHasan-xn2lw วันที่ผ่านมา

    Na cache uongo

  • @IbrahimHasan-xn2lw
    @IbrahimHasan-xn2lw วันที่ผ่านมา

    Kwa yeye siyo mwanadamu

  • @IbrahimHasan-xn2lw
    @IbrahimHasan-xn2lw วันที่ผ่านมา

    Na akishinda mama uchaguzi mtafanya nini

  • @gracemtonga3263
    @gracemtonga3263 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona kikwete ameshampitisha Samia? Itakuwaje hapo Kwa gwajima?

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 2 วันที่ผ่านมา

    Unabii wa gwajima inakuwaje? Au umefutika?

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 2 วันที่ผ่านมา

    Ccm anagombea Samia,,,Je chedema atagombea nani uraisi.. na unabii wa gwajima uko wapi?..

  • @dioclesrweramila7926
    @dioclesrweramila7926 2 วันที่ผ่านมา

    Unabii wa mambo ya siasa sio kusudi la Mungu . 2 Petro 1:20 [20]Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. 2 Petro 2:1-3 [1]Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. [2]Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa. [3]Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii.

  • @bernardmkuffya5171
    @bernardmkuffya5171 3 วันที่ผ่านมา

    Amin

  • @HAAM670
    @HAAM670 3 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli Nabii BG MALISA alichafua hali ya hewa, sijawahi kuwa na mashaka naye. Lakini baada ya kauli yake ile nikaanza kupata mashaka.Sijui alipatwa na shida gani? Kwamba watu wa Mungu hawatakiwi kugombea nafasi za Uongozi!?

  • @FatumaOmary-lm8py
    @FatumaOmary-lm8py 3 วันที่ผ่านมา

    Kwelii kabisa

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 3 วันที่ผ่านมา

    Daaah 😅😂😅 Mtumishi Mimi nauliza UTAWALA WA MUNGU UKO WAPI,?? JE, UFALME WA MUNGU BADO HAUJAJA,??

  • @GraceMedardKahiga
    @GraceMedardKahiga 4 วันที่ผ่านมา

    Mwana wa MFALME ni mfalme,JAsus la Mbinguni

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 4 วันที่ผ่านมา

    CCM INATAKIWA IKUFE KABISAA

  • @AndrewMteena
    @AndrewMteena 4 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @samuelkuhoga2336
    @samuelkuhoga2336 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu aendelee kuwezesha na kufunulia mambo mengi kuhusu nchi yetu Tanzania hasa katika kipindi hiki na kuelekea uchaguzi mkuu !

  • @annakwaso6263
    @annakwaso6263 4 วันที่ผ่านมา

    Arudije sinimteule wa Rais au hakiuke mamlaka

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl 4 วันที่ผ่านมา

    Ndiyo hiyo ni moja ila ina tafsili tatu ubarikiwe mtumishi

  • @ElijiEmili
    @ElijiEmili 4 วันที่ผ่านมา

    Pamoja naw twaweza

  • @HappyJohn-h8q
    @HappyJohn-h8q 4 วันที่ผ่านมา

    ENDELEA USINYAMAZE KUNA ROHO ZA WATU WANAPONA WANAPOKUSIKILIZA. ROHO MTAKATIFU AKUTUMIE ZAIDI

  • @eliezersifuel3304
    @eliezersifuel3304 4 วันที่ผ่านมา

    MUNGU MWENYEZI alitende jambo hili kwa Taifa lake kwakuwa hata sisi watu wake tumechoshwa na utawala unaoonea watu namna hii. BWANA MUNGU awapige upofu hawa watawala ili wasizingatie unabii huu halafu waanguke pamoja na chama chao.

  • @HappinessChanyika
    @HappinessChanyika 4 วันที่ผ่านมา

    Roho mtakatifu kupitia unabii huu ,Mungu ndugu zetu waliokwenda huko kwa kutotokujua ukweli Mungu wa Mbinguni ,Roho mtakatifu uwaambie ukweli uliojificha ili watoke hukooooo

  • @HappinessChanyika
    @HappinessChanyika 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi naomba uzidi kuuombea hili liwe wazima zaidi maana ni kweli wapo ndugu zetu wamesema wapo kanisa la wakorea Lina itwa sayuni na wanasema wao Wana fundisha neno mitandaonii

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 4 วันที่ผ่านมา

    Wapo tayari hapa Dodoma,Wanafundisha mpaka mtandaoni.

  • @neliusgosbertbaguma8693
    @neliusgosbertbaguma8693 4 วันที่ผ่านมา

    WAMESHAFIKA HAWA WAKOREA, WAMEFIKA WANAJENGEA WATU MAKANISA KWA SASA

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 5 วันที่ผ่านมา

    Ok,nakubali kile unachotufundisha, Mungu akubariki sana

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 5 วันที่ผ่านมา

    Aminaaa mtumishi wa Mungu, tufundishe ili tubadilike, nakubali mafundisho ambayo Mungu anayokupa, Mungu akubariki sana

  • @luciadominik1626
    @luciadominik1626 5 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wapo tayari wengine Wana chuo Cha bible sitokitaja jina ila hata Mimi walinifuata wanafundisha Hadi online wanakupa na bando kama huna ety wanasema Kuna Lile andiko linasema tangu enzi za yohana mbatizaji hata Sasa ufalme wa MUNGU unatekwa na wenye nguvu wenyewe wanasema ukuteka unakuwa mhasi ety Roho Mtakatifu ni mtu vitu kibao vya uongo

    • @neemamarko176
      @neemamarko176 4 วันที่ผ่านมา

      Wanasema mtumishi wa kweli ni mmoja tu duniani sijui ni nani huyo..na wakikufundisha Elimu yao utakaa uenda kanisa lolote na wao kanisa hawana...ila watakujengea msingi wao ambao msingi wa Mungu unaondelewa kwako...Mungu aturehemu na atufunulie zaidi.

  • @user-xk3xg8yr7c
    @user-xk3xg8yr7c 5 วันที่ผ่านมา

    Video yako ya GWAJIMA Chama chochote kitakachomkataa kitapata TABU imefika mpaka JAMII FORUM JUKWAA LA SIASA

  • @WhidBakhs
    @WhidBakhs 5 วันที่ผ่านมา

    Ikimpendeza mungu tunaimani nae atatupa rais mpya mungu kwetu nimwaminifu

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 5 วันที่ผ่านมา

    we nani??????????achana na kutuletea historia .....tunasali na kumwombea ...nani alikupa unabii we vaa trucksuit.....achana na ccm yetu

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 5 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi naomba namba yako kuna kitu nahitaji unisaidie

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 5 วันที่ผ่านมา

    usitupangie.....tayari tunaenda na Samia, Nchimbi na Mwinyi....stop non-sense...

  • @GraceMedardKahiga
    @GraceMedardKahiga 5 วันที่ผ่านมา

    Nilona hivyo GWAJIMA

  • @iambeat2430
    @iambeat2430 5 วันที่ผ่านมา

    HATA KAMA SAMIA HAJAPEWA KUENDELEA..SIO KUMPIGIA DEBE HUYO GWAJI BOY..YAANI TUWE NA RAISI AMBAE ANA VIDEO YA NGONO MTANDAONI..UNABII WA KULIPWA HUU MUMPROMOTE GWAJI BOY..YAANI UNGEONGEA BILA. KUMTAJA GWAJIMA NINGEKUUNGA MKONO..BORA HATA UNGEMTAJA JANUARY

  • @SalutaryGeorge
    @SalutaryGeorge 6 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri ya mikono yenu Mungu apate kuwainua kwa kiwango cha juu zaidi

    • @hudumayakristo
      @hudumayakristo 6 วันที่ผ่านมา

      @@SalutaryGeorge Amina ...amina

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 6 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa baba

  • @celecridamatilya7625
    @celecridamatilya7625 6 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina

  • @consolatamairi3862
    @consolatamairi3862 6 วันที่ผ่านมา

    Amina mama

  • @consolatamairi3862
    @consolatamairi3862 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki watumishi wa Mungu kwa kazi njema

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba unipe macho

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 6 วันที่ผ่านมา

    Amina baba naomba uniombee

  • @GlobalRevivalTv
    @GlobalRevivalTv 6 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli usemacho kuhusu Gwajima

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 7 วันที่ผ่านมา

    Tumwombe MUNGU sana atulinde.Atuepushe na majanga.kutii ni bora.

  • @Nono-Ksr
    @Nono-Ksr 7 วันที่ผ่านมา

    Let your will be done let your kingdom come in Jesus Name 🙏🏾

  • @consolatamairi3862
    @consolatamairi3862 7 วันที่ผ่านมา

    Bwana akupe mafunuo zaidi