Tamaa Mbele ni wimbo katika Album ya Nyuma ya Mlima ya Jennifer Mgendi. Follow me on; Facebook: / jennifermgendi2019 Instagram: / jennifermgendimwimbaji TikTok: / jennifermgendi
mama mungu akubariki sana kwakaziiyi kwasambabu nyimbo izi zinanifundisha nazinanijenga kiroho sana usiishiye apa tu baaliuendeleye asante kwanyimbo izi nazipenda sana
Ukweli da mgendi anajua sana nami naamini huo ni wito kutoka kwa mungu kuwafikishia sie wapungufu wa dunian dada mgendi mungu akubariki na akupe upeo wa zaid na zaid katika kufikisha na kuelimisha mambo yakimungu na ya kidunia, amin
Barikiwa dada Jennifer ki ukweli huwa nabarikiwa xana na nyimbo zako tangu enz za * ulinipa saut ili nikuimbiee* M.Mungu aendelee kukupigania ktk kumtumikia.
One of the best songs from sister Jennifer Mgendi. It is very educative and these are the things we've seen happening in our very eyes.May God bless our sister for her profound gifting. Amen!
Wow yani hapo uko sahihi dada mana tamaa sikuzote upeleka mtu pabaya Asante sana uzidi kuwahelimisha watu amboho wanapenda kua namahisha mazuri siku zote!😀
Napenda ule wimbo wako wa ndoa umetumika kwenye move yako ya mama mkwe nitaipataje hiyo album. Kifupi nyimbo zako zote ni nzuri na zinafundisha Mungu azidi kukubariki dada
hongera sana mtumishi nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu akujalie afya njema Kila iitwapo leo
Shukrani kwa Mungu kwa kukupa kipaji kya kutufariji katika Mapito ya maisha
Ninapenda nyimbo za jennifer Zina nifundisha na kunipa furaha,🍇🍓🍉
Wimbo mzulii sana hongera Mtumishii
Ubarikiwe mno mtumishi wa BWANA
Standard Swahili by Tanzanians! The World can learn standard Swahili from her songs. Bravo Tanzania!!!!!
Dada ubarikiwe na
Mungu akutie nguvu uendelee na kipaji chako nazipenda Sana nyimbo zako
Nyimbo nzuri sana. Ubarikiwe Dada
Mtumishi mungu akulinde unatoa ujumbe mzuri sana
Asante Jennifer, mama ubarikiwe sana mafunzo mazuri ajabu
Hongera sana sister in christ janeffer kweli kabisa tama mbaya napenda nyimbo zako
❤.mungu.akumbariki.sana
Napenda nyimbo sako sinanifundisha kurisika na ninacho pata 🙏🙏hata firamu zako ubarikiwe Jennifer amen 🙏
Mama ubarikiwe sana kwa ujumbe
Kweli kbsa tamaa mbaya asa ukiiweka mbele ujumbe bomba barikiwa mpk ushangae
Nikweri tamaa haifai
In America I jam to this. I don't even know this language you and Rose Muhando are my favorite. Thanks Jennifer!
Dada mungu akubariki unaiba muzuri sana
Asante kwa hiyo nyimbo nakupenda sana
asanteh Dada nabarikiwa sana na nyimbo zako
Mungu akubariki ,zidi kutubarki Amen
Wimbo mzuri umenibariki sana Mungu akubAriki mtumishi wake kwa mahubiri mazuri
Dada mungu Akubariki Sana tunabarikiwa Sana nahuduma yako
Very nice song. mafunzo tele God bless you JENNIFER MGENDI
Tamaa mbaya,barikiwa mama jen
Asante dada kwa nyimbo zako nzuri ubarikiwe
Daaaah huyu mama nampenda sana aiseee Mungu akubariki sana mama
Wow beautiful song huyu sheta mkubwa anatiza
Ngoma yaufundisho hiyo tamaa sio zuri asante daa jenfer
Mum never give up,continue serving God,but i request you one day visit kenya Redemed Gospel church Ruiru,we love u
Mungu azidi kukuinua Dada Jenifa
Mum Jennifer wimbo wako wa nalia huwa unanifunza ubarikiwe sana
tamaa mbele,mauti nyuma wimbo ya huzuni sana very nice keep it up mgendi.
asante.sana.ujumbe.mzr sana.dada. tamaa.mbele.
mautii.nyuma..kweli.kabisa
barikiwa mtumishi wa mungu ujumbe mzuri unafundisha sana nimepata DVD za nyimbo zako hii ya move bado sijapata ya baba jacke
Nyimbo nzr sana my wng nafarijika najifunza xn kupitia nyimbo zako.barikiwa xana❤🎉
Daaaaaah hii nyimbo imeniingia kweli kweli
👏👏👏👏 mngu awe nawe milele
Mungu akubariki sana dada nyimbo zako zinanitia nguvu sana mungu azidi kukubariki uzidi kuinuliwa kimziki Asante
Tamaa mbelee mauti nyuma , tulizike na tulivyonavyo mungu atulinde na tamaaa mbaya
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
mama mungu akubariki sana kwakaziiyi kwasambabu nyimbo izi zinanifundisha nazinanijenga kiroho sana usiishiye apa tu baaliuendeleye asante kwanyimbo izi nazipenda sana
KABIYA HERI UVIRA
Asante mungu we we unaweza nyimbo hii imenigusa abarikiwe jenif ili sisi tuwe watu was mungu
Ama dada mgengi unaimba hongera sana kwa kutuerimisha.!!!
Nyimbo ime ni jenga ubarikiwe na Mungu 🙏
Message kali kwa mwenye mwili . Akuna mwenye mwili ata furahishaka Mungu baba
Mafundisho tosha wimbo huu ni mzuri sana kama alivyo mwenye wimbo pia
I am blessing kwa kweli siku zote yatupasa turizike na kienye kidog kienye mungu amekubarikia
Ukweli da mgendi anajua sana nami naamini huo ni wito kutoka kwa mungu kuwafikishia sie wapungufu wa dunian dada mgendi mungu akubariki na akupe upeo wa zaid na zaid katika kufikisha na kuelimisha mambo yakimungu na ya kidunia, amin
Dada jeni hi story n ya kweli au kufikirika tu
Mungu akubaliki kwaujumbe huyo.Ninyimbo zako zote zinaujumbe kabixa.mubu akubaliki
Asante sana kwa ujumbe muzuri dada jenifer
Mungu akubariki sana
Kweli umenena
yn Dada ww mungu akubariki sana ahsante sana
Wow mama ubarikiwe
Wimbo mzuri sana jennifer.unafundisha sana.may God bless you mama..
Nikweli Jennifer hongera sana kwa wimbaji mzuri. nikweli tamaa mbele mauti nyuma barikiwa. please tiea movie ya baba Jackie kwenye youtube.
Beautiful song and good message to all, uko juu sana dada
God bless you dear
Najifunza sana kupitia nymbo zak dada Jennifer
Amina ubarikiwe na mungu Dada
Ubarikiwe sana Jenifer Mgendi kwa nyimbo ni Roho mtakatifu
Inafundisha maisha nikuogelea kuna mamba papa nanyangumi Yesu Tusaidie
Right on I like this song my dear Jennifer
Barikiwa dada Jennifer ki ukweli huwa nabarikiwa xana na nyimbo zako tangu enz za * ulinipa saut ili nikuimbiee* M.Mungu aendelee kukupigania ktk kumtumikia.
Dada yangu Nabarikiwa sana ba nyimbo zako
naomba nikushirikishe ktk nyimbo zangu
One of the best songs from sister Jennifer Mgendi. It is very educative and these are the things we've seen happening in our very eyes.May God bless our sister for her profound gifting. Amen!
Kabisa tamaa mbele mauti nyuma,ubalikiwe dada Jennifer❤💋
Nzuri sana Dada mungu akubariki kwenye kazi yako
Amina nyimbo zako nzuri sana dada barikiwa sana huduma wako na ukadumu milele na milele Amina
Ubarikiwe
Bwana wa uzima akubariki
Bwana akutende mema wewe pamoja na ushirika huu
roho mtakatifu azidi kukupa mafunuo zaidi kwa utukufu wake upo juu dada songa mbele YESU yupo nawe daima.
Maman mungu akubariki atubariki sisioute merci
sema unaweza Sana
barikiwa Dada Jenifer kwa ujumbe wako mzur Sana barikiwa tamaa. mbele umauti nyuma hakika niujumbe mzur Sana
Kweli dada nyimbo zako Zina ujumbe kweli mung akubariki Sana kwa yote
Aisee nmeipenda hii nyimbo inafundisha sana!! Hayo majumba yanapendeza mjini ni mazur kwa nje tu!! Ndan kuna mambo mazito
Amenii, mungu ni mwemaa sana ktk maisha ya wanadamu, alichokipanga mungu no body can change, satisfy with u'r life
Nimebarikiwa na nyimbo hiyi
Fundisho nzuri tamaa mbaya uleta mkasa
duuh hongera mtumishi Wa Bwana,wimbo unaujumbe mzuri,mwenye sikio amesikia.
Barikiwa Jane nyimbo zako zasisimua na mafunzo Mungu akuzidishie kipawa chako dada.
Naipenda saaaana ubarikiwe maman
Nyimbo zako huwa zinanibariki to sana ubarikiwe dada
Huu wimbo imenikumbusha mbali
Barikiwa sana dadangu mungu aendelee kukusimamia ktk kazi kuitangaza injili
Good blessed song, I'm new subscriber #philip mageto# ingia kwangu nipee mkono.
endelea kutubariki na KAZI zinazofariji MIOYO dada @Jennifer Mgendi MUNGU aibariki KAZI yako iwe BARAKA kwa wengine....
👍
Be blessed my sister nice song
Napenda nyimbo zako Dada jenipha
Wow yani hapo uko sahihi dada mana tamaa sikuzote upeleka mtu pabaya Asante sana uzidi kuwahelimisha watu amboho wanapenda kua namahisha mazuri siku zote!😀
Wengi tunapenda vitu vya haraka kuliko Mungu alivyotuandalia
jordan mweluka h
Kweli kabisa uko sahihi
Hongera dada Kwa ujumbe wako zul
Nimekukumbuka Léo rafikiangu,oooh Siku gani utakuja tena congo
Mafundisho mazuri kwa wimbo huuu. Ubarikiwe saaaana Mama...
Dada Jenifer naipenda sana huduma yako ya uimbaji ubarikiwe na MUNGU azidi kuiinua huduma yako
Yani Mimi huwa nakupenda sana Dada angu Barikiwa sana
Asante Dada Jenifer Mungu aibariki kazi yako
Nakupenda sana mama yangu nyimbo zako zote ni bora kwangu na zinanielimisha na kunitis nguvu sana hongera mama
Napenda ule wimbo wako wa ndoa umetumika kwenye move yako ya mama mkwe nitaipataje hiyo album. Kifupi nyimbo zako zote ni nzuri na zinafundisha Mungu azidi kukubariki dada
2:50 2:52
Nyimbo za jenny zina ni pendeza sana, Bwana akubariki
MAFUNZO TELE DADA JENNIE, BARIKIWA.
nyimb nzr❤
Waoooooh ubarikiwe nyimbo zako nzur Sana dada