Nakupenda sana Dada yangu Bahati Bukuku, nyimbo zako zote ni nzuri, na una sauti nzuri Sana! Mungu akubariki sana! na akujalie maisha marefu yenye neema na baraka tele
How I wish this interview was subtitled in English. My heart yearns to know this Great Daughter of the ALMIGHTY. May GOD continue to enlarge your coasts beyond imaginable proportions in JESUS Mighty Name. Amen 🙏.
Mimi ni ni Lilian jebiwott from Eldoret Kenya nasikiliza wimbo zako sana hii Niko Saudi niobee mama najuwa baba nanny mwaitekeasante Kwa maombi zenu ndani ya Kristo.
Dada bahati nimejua juzi juzi tu kumbe mdogo wangu ata kama ni mwaka mmoja nampitia bado ni mdogo wangu, ila nampenda adi basi nyimbo zake karibu zote nimeziloard kwanza wimbo unao nibamba zaidi ni ule (lazima usamehe) wapili ni (Mungu hana mshauri), duuu hizi nyimbo mbili aseee😌😌😌😌
Kabisa yani nyimbo zake zinabariki mno mimi hizi interview narudia rudia maana nikiwa na mawazo tuu huaga nakuja kumsikiliza bahati bukuku moyo unarudi sawa
Haya maongezi ya Leo Kuna watu wenye ufahamu mdogo watasema Bahati Bukuku hayuko rohoni ila Mimi nimekuelewa Sana hasa hapo kwenye kulindana na kuteteana kwa wanandoa
Bahati ameeleza kabisa jinsi Lilian yuko. She's a special child. Nilianza kuangalia hiki kipindi hivi karibuni na nina penda ninacho kiona na kusikia. I love this special show with a passion. Mungu aendelee kukuongezea hekima dada Mwasha.
Watumishi niliowahi kuwasikia wakihojiwa na wakajibu kwa ufahamu na maarifa ya juu baadhi ni hawa - josephat gwajima ( ufufuo na uzima) - bahati bukuku - christopher mwakasege( huduma ya mana) - Dionis mtalemwa( ECG) - TD jakes
Nakupenda sana Dada yangu Bahati Bukuku, nyimbo zako zote ni nzuri, na una sauti nzuri Sana! Mungu akubariki sana! na akujalie maisha marefu yenye neema na baraka tele
can't get tired listening to this women of God, woow... More love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️
How I wish this interview was subtitled in English. My heart yearns to know this Great Daughter of the ALMIGHTY. May GOD continue to enlarge your coasts beyond imaginable proportions in JESUS Mighty Name. Amen 🙏.
Mafundisho haya ni 🔥🔥🔥
Nakupenda dada bahati kwa moyo wangu wote.
Sasa ninyi nyote mbona mnasauti nzur jmn nawapenda nyote 🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️
Mungu wangu nampenda saaana Bahati bukuku asante saaana Liliane Mwasha
Mafundisho mazuri mama Bahati may God bless you more and more kutoka Kenya
Nakupenda bahati ulinifanya nipende Mungu Kwa wimbo wa Estar.
Mungu akubariki sana dada bahati kwa mafundisho mazuri
Nakupenda sana dada bahati natamani siku moja nikushike hata mkono unanitia moyo sana
Love you Bahati bukuku from Nairobi Kenya
Hakika dada bahati umenena " urafiki una viwango" Exactly 👍✍🏿
Yani uko sawa
Nakupenda sana dadangu natamani unishike mkono nitoe nyimbo zangu
Amen 🙏 Neema ipo Asante Sanaa bahati bukuku
Dada mimi nakupenda bure vile ulivyo na kuombea maisha marefu 🙏🙏
Mimi ni ni Lilian jebiwott from Eldoret Kenya nasikiliza wimbo zako sana hii Niko Saudi niobee mama najuwa baba nanny mwaitekeasante Kwa maombi zenu ndani ya Kristo.
❤❤❤Bahat unaimba dada❤❤wimbo wako. unapojaribiwa usitende dhambi❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow leta huyu mwanadada mara na mara tena. Mafunzo yake ni mazuri sana 😍🙏
Amen dada Bahati kwa mafundisho yako
Dada bahati nimejua juzi juzi tu kumbe mdogo wangu ata kama ni mwaka mmoja nampitia bado ni mdogo wangu, ila nampenda adi basi nyimbo zake karibu zote nimeziloard kwanza wimbo unao nibamba zaidi ni ule (lazima usamehe) wapili ni (Mungu hana mshauri), duuu hizi nyimbo mbili aseee😌😌😌😌
katika wanawake bahati nimwanamke bora❤❤❤
Asante sana watumishi was mungu maneno yenu inanigusa moyoni😭😭🇨🇩
Asante Dada bahati nimejifunza kitu hapo nashukuru sanaaa mungu akutunze🙏
Asante Sana watumishi wa Mungu, dada Bahati ubarikiwe, mtu anayekupenda atakulinda🤚
Mbarikiwe sana wapendwa nimefurahi hii hapa hela kaongeze libwata
Mm kama ndugu yangu hawongeyi na wew hata mm siwongeyi na wew kabisa 💯💯💯💯💯💯💯💯💯🤲🤝🙏
You are my favorite, my sister Bukuku you are always my mentor woman of God. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nabarikiwa sna&nyimbo za huyu dada Bahat Bukuku nikiwa&mawazo,uchungu majonz huwa napenda kuckiliza nyimbo zke
Kabisa yani nyimbo zake zinabariki mno mimi hizi interview narudia rudia maana nikiwa na mawazo tuu huaga nakuja kumsikiliza bahati bukuku moyo unarudi sawa
Mafundisho mazur saana dada yangu Nimekuelewa Ahsante Mungu akuzidishie
kiukweli mama Bahati nyimbo zako zinanifulahisha sana.sauti yako basi kila akusikilizae lazima aipend🙏🙏mungu azid kukubaliki sana.
Mungu akubariki sana dada bahati
Haya maongezi ya Leo Kuna watu wenye ufahamu mdogo watasema Bahati Bukuku hayuko rohoni ila Mimi nimekuelewa Sana hasa hapo kwenye kulindana na kuteteana kwa wanandoa
Na sauti ya dada bahati kama mshikaji fulani hivi
❤umenijenga mimi pia ni mtumishi wa mungu sipendwi na watu ni nini Huwa kinaendelea pale
Umeongea kweli da Bahati ,tatizo wanaume wengi hawana kauli
Limbwata.akaboresha....Gumzo tamu. Kweli lenye mafunzo.... Love you mtumish Bahati.. From Mombasa...Kenya
Napenda sana saut yko dada bahati haswa ule wimbo wa waraka wa amani♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
🥰🥰🥰 Da Lily tuletee Christina Shusho
Nakupenda Mama yangu bahati bukuku❤️❤️❤️ na nakupenda mama yangu Lilian.. Mungu wa mbinguni awatunze.🙏🙏🙏
amen
Huyu Dada kwani kila kitu a naongea kwa ndimi? Bahati is wise I love her
Cjawah kukuchoka bahati❤️❤️❤️mungu amekuwekea karama ya ajabu🥂
Ni kweli kabisa atakuwa kakuchoka.Nimependa
Bahati ameeleza kabisa jinsi Lilian yuko. She's a special child. Nilianza kuangalia hiki kipindi hivi karibuni na nina penda ninacho kiona na kusikia. I love this special show with a passion. Mungu aendelee kukuongezea hekima dada Mwasha.
Bahati bukuku my favorite 🇰🇪🇰🇪
Powerful wisdom
Nimeumizwa pia.. Nimepokea isee Nina stori kubwa juu ya maisha yngu
Nyimbo zako nisababu mimi kutafuta mungu hadi sasa.Barikiwa sana kutoka 254.
Amina wadada wamama wazur tunarabikiwa mno
Amen !! Watumishi wa Mungu!! Mnayonena ni kweli
Daaah dada unatuhamisha Lilian mwasha usiache hiki kipindi ni hot 🔥 aisee
Kweli bahati mume anaekupenda lazima akutetee
Much love for both of you..very mature women full of wisdom
Mungu hakika anao watu anaojivunia nanyi ni miongoni mwao
Nashukuru sana mafundisho mazuri nikiwa 🇰🇪
Mama bahati nashukuru kwa mafundisho mazuri....kutoka kenya
Dada bahati nakupenda sana
Congratulations ak umenipigisha hatua nyengine dada mungu akubariki ungekuwa wa maana sana
Nakupeda sana bi bahati Kwa mawaitha yako mema huwa yananijenga sana,,Kutoka Kenya
Nashukuru sana dadaangu mzuri nmejifunza kitu kutoka kwako
Nabarikiwa na mwandishi anapo nena kwa lunga!!!
Mashaallah mafundisho mazuri
Ndah nimebarikiwa Sana jaman
Ubarikiwe mtumushi wangu Mungu ulicho kisema ni kweli Adui warafiki yangu ni Adui yangu
Ameen imenijenga sana iyo ya hasira uwa Mungu anakutaka iache....na iyo ya aduhi ni mtu wako wa karibu kweli
Dada Lilian Mwasha kipekee nakukubali alafu nakupenda kitu kingine ngoja niache mda huu ntakufata dm
Daaaah Dada Bahati💞💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
i love this woman of God... much love from Kenya
Nashukuru sana kwa mafundisho muhimu na yakupendeza na karibuni sana Mombasa
Mungu tu akubariki dadayangu bahati bukuku nakupenda sana ila naamini tu sikumoja nitakuona ubarikiwe na Bwana.
Nampenda huyu mama bahati Bukuku
Barikiwa sana mamaangu nakupenda sana oh!🙏🙏🙏🇨🇩
Bahati Bukuku uko na very intelligent,
Higher IQ by GOD wisdom Mama BAHATI i love you so much, this is the best interview ever by advice and wisdom...
Tru
Tru
Powerful women of God🙏🙏
Mama angu bahati unaongea kininja saana 🤣🤣ila napenda
Ndivyo kaumbwa hahaha
Mafundisho nazuri dada zangu mungu awabariki🙏🏼
Sema kweli Dadaangu. Semaaaaa
Mubarikiwe sana watumishi wa mungu nimelewa sana mafudisho yenu
Much love from Mombasa Kenya ❤️ mamangu Bahati.. we love you very very much
Mama nyimbo zako zimenbariki ba kunifundisha mungu akueke mahali ulipojichagulia😭😩 kutoka kenya
Napenda sauti ya bahati 🤩🤩
sana saaanaaa!!!sauti yake ilinifanya awe muimbaji wa kwanza niliempenda sana.
@@nsengumuremyisylvester4950 umeona eeeh Yani dada sauti alibarikiwa na mungu aisee!!
Hongera dada Bukuku
Ndomana nakupenda unasema ukweli💕💕💕💕💕💕💕💕💕👏🏿👏🏿👏🏿👌🏿
Dada nampenda huyuuu jamanii nampenda sana anaongeaga vitu daaa
Watumishi niliowahi kuwasikia wakihojiwa na wakajibu kwa ufahamu na maarifa ya juu baadhi ni hawa
- josephat gwajima ( ufufuo na uzima)
- bahati bukuku
- christopher mwakasege( huduma ya mana)
- Dionis mtalemwa( ECG)
- TD jakes
kweli,kuna mwengine Josephat Mwingira wa Efatha nae kichwa.
Mtalemwa mmm
@@cmaxfrans4654 Josephat Mwigira kuna sehemu anatumia mabavu
Umemsahau na Rozi mhando.
Kweli
Lilian unaweka mihemuko sana,punguza kidogo
Barikiwa pastor Bahati Bukuku 🌹🌹
Naupenda sana ushauri wako dada bahati bukuku
Numeelewa Bahati😘ukiona mwanaume anatetea dada zake na kukunanga ujue amekuchoka
Hakika
Wow Nimependezwa nauzungumzaji wenu nikokenya ni Sharon
Nawapenda sana jamani Mwenyezi Mungu awatunze
Kweli kabisa mungu anachojari kikubwa kutushepe ili tumfanane nae. This is true
❤❤ powerful words ubarikiwe sana
Love u sister bahati,,,,,,ila mazagazaga ya yezebeli hayo yatakutupia jehanum ata kama umehudumia watu wengi
Unanitia guvu kwakwer bahati wangu napenda nyimbo zako
Napenda mafundisho yako yamenifurahisha Ubarikiwe mwanangu.
Nakupenda sana dada,umenijenga sana
Wau l love this your a woman of God
Maashallah asanteni sana kwa haya maongezi mungu awabariki kila lakheli yaarabi ameen 🙏🙏🙏
Mtymishi na mwana I nili wangu wangu ninaye mpenda😍
Mwasha sister, unatuwezea
Nimekuelewa da bahati sana kuna mahali nilipita kwajili ya rafikiangu kuwa na urafiki na adui wangu badaye rafiki naye akawa adui
Nyimbo zako n nzuri sana na mafunzo nkiongezea sauti tamu mungu akuzidishie
Yaani nime enjoy mnoo entervws imetulia mnoo
Natamani hii iwafikie wanaume wote na marafiki wote
Sijawai sikiliza hiki kipnd kwmda wote huu ndokwamz leo😍😍😍😍
Can't be tired of u guys.God bless you
Admired u all dearly sisters; najifunza vingi sana kwenu