Bado naskiza wimbo huu nikikumbuka 2007 vile ndoa yangu ilivyo isha siku dhani ningekuepo dunia kuskiza hii wimbo manake sahizi nikiskiza hii wimbo machozi hayanitoki tena kweli nilimsahau huyo mwanaume🤗🤗🤗🤗
Ina nikumbuka enzi za utoto wangu Mama alikua ana leta cassette za Mama jenifa mgendi basi tunashindanishwa kuzicheZa leo zina nifariji Adi machozi zanitia moyo sana
Naupenda sana huu wimbo dada Jennifer Mgendi Mungu wa mbinguni azidi kukulinda dada na atulinde sote,nimeanza kusikiliza huu wimbo miaka mingi sana now niko mkubwa ila bado naupenda sana barikiwa dada
this song got so lost......donno how it just came back to my memory.....it has ministered to me before, and i know it will even in future.God always fights our wars for us when we put our trust in him.
Bado tupo 2024 gonga like
2024 mwezi Wa 3 naskiliza hii Nyimbo 😍
Niko hapa
mungu akubariki hoendelewa mbele
Mi mwezi wa 12 2024
Adelard
Ngoy adelard
Nani ako hapa 2024
It's 2023 and am still listening to this song I love it
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana
Wanaenda nyimbo za jenipher ngonga like hapaaaaa from TZ
Kila ninapo kuwa na huzuni nasikiliza huu wimbo
Huu Wimbo Uliutendea Haki Mungu Atubariki Sote Tunaousikiliza Huu Wimbo Ameeeen
dah! Dunian kuna nyimbo zuri sana huchoki kuzisikiliza moja wapo ni huu hapa ahsant sana sista jen mungu awe pamoja nawe
Best song
Bientôt 2024 on écoute toujours ❤
Voilà une très belle chanson
Asante sana Jeniffer Mgendi kwa wimbo huu! Unanibariki hapa Marekani 🇺🇸 leo Desemba 15 2020. Mola akutunze na familia na marafiki zako.🙏🏾🙏🏾
Nimetafuta wimbo huu....♥️♥️♥️♥️ thank you hope FM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My late brother loved this song he would listen to the song all night on replay ❤ I had to buy the CD too
Who's here in 2023? This song is still a blessing 🔥🔥🔥
Bado naskiza wimbo huu nikikumbuka 2007 vile ndoa yangu ilivyo isha siku dhani ningekuepo dunia kuskiza hii wimbo manake sahizi nikiskiza hii wimbo machozi hayanitoki tena kweli nilimsahau huyo mwanaume🤗🤗🤗🤗
amnah leilah pole mami
God is always there , to remind you he the only hope you got😢😢😢
Pole dadangu
Ma sœur crois seulement au Seigneur Éternel, Jésus-Christ de Nazareth, par la foi, Dieu le père va certainement restauré ton mariage
Nko apa
how many in 2024😢
U aren't alone
Huu wimbo unitia moyo sana
Wimbo mzuri sn
Ina nikumbuka enzi za utoto wangu Mama alikua ana leta cassette za Mama jenifa mgendi basi tunashindanishwa kuzicheZa leo zina nifariji Adi machozi zanitia moyo sana
Nabarikiwa sna na hii nyimbo mungu tukumbuke watumish wako
Wajina wangu Jennifer love you so much 2023
Who is still listening in 2020, i love this song.
Mr
2021
Wabaya Wangu wote mitego imewanasa wenyewe.amina Jenifer big up🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
2024 December together here ❤
Huu wimbo umenilea aki be blessed woman of God
This was me crying 13 years after they hurt, Mungu alinilinda na wakaingia kwa shimo wenyewe,God is not a respecter of Man
Mungu yu mwema 🙏🏾🙏🏾
@@maryzuwa mungu anatushindia na mabaya yote yanarudia maadui wenyewe
Waoo na barikiwa Sana ,neno la Mungu kwanjia ya uimbaji Wala halichoshi na ni jipya kila siku,Mungu akutunze uzidi kuenea ulimwengu mzima❤
Mungu akubariki mama.rdc 2023
2024 tujuane kwa like..love this song
Back then 2008🤓🤏🏾 when I was a kid
kiukweli mungu yu mwema❤❤❤❤
Kali na nusu msg nzuri sana, ubarikiwe mutumishi kazana usi kate tama. Pole Tena
2023...I love this song...
Asante sana Yesu uko mwema baba 🙏🙏God bless you my sister,this song brings to me much emotional wherever i listening to it 😭
I love that 🎵 song so much be bless ❤❤🎉🎉🎉🙌🥳
Mungu nibarik mwimbo unanifarij san
Swadakta 🤲🤲
Its 2019 bt am still on this song i blv its a blessing 😊😉
2021
Jaman Dada endelea kuimba
2021 here
Majimengi baba yanizama naomba unipe moyo wauvumirivu iri nishinde
Amen, wataingia iyo shimo wamenichimbia
Iam one of those who listened to it as it came out and now I still do. God bless you Jennifer mgendi. From the bottom of my heart
I remember dancing this song in church. 😢 Saa ingine yaani natamani kurudi niwe mdogo tena.
Iyi myimbo nayipenda sana
Who is still watching these favorite, love these lady plus her music bannage may the all might God bless u
2025 still listening 🎶 this song memorable to my life story🎉🎉🎉
Mungu azidi kukubariki dada
5/1/2024 we are here listening to the best gospel of all time
Over 10 years I am listening to this song , na nazidi kufarijiwa nayo.
Merci dada
Nabarikiwa sana
2022..and it still speaks to my life ..the message is still fresh as it was in 2009 ..
2023 here, this song still a testimony
Mungu nibariki pia Mbariki jennifer na uimbaji wakeee
This song sends me very far...keep Resting in Peace Dad and Mom
25 dec 2024 nausikiliza wimbo huu wa mafundisho ya ndoa na kumjua mungu
2023 ndo nasikiliza inanikumbusha kipindi nilipo kuwa mdogo naenda kuangalia senema dah mbali sana
The message is still legit till now 2022 and many comings years 🙏🙏 be blessed Jennifer
Huu Wimbo unanipa faraja sana
Asante kunipa moyo kwa nyimbo zako
Great song,I'm new subscriber #philip mageto# ingia kwangu nipee mkono
Bwana km ulimlinda dada Jennifer kwa mabaya yote yale naamin hata mimi utanilinda kwa mabaya yote haya.....jesus I trust you
Yoyoyoyo it's 2022 still this song touches souls of many people
Been looking for this song for close to 7 or 10 years,I don’t know, finally found it. Listening in from ATL
Mungu akubariki sana dada ktk kristo nyimbo ninzuri sana kwakweli kwahejili
Naamini sana wimbo huu.ubarikiwe Jenifer mgende
2024 shimo wamenichimbia eeh na watadubukia mwenyewe huko 🙏
Hakika Baba tupiganie bila wewe hatuwezi Mungu
2021 gud song who iz watching ths song till now
Naupenda sana huu wimbo dada Jennifer Mgendi Mungu wa mbinguni azidi kukulinda dada na atulinde sote,nimeanza kusikiliza huu wimbo miaka mingi sana now niko mkubwa ila bado naupenda sana barikiwa dada
Nakupenda jenipher we ni mzur
shimo wamenichimbia watatumbukia wenyewe ..Amen barikiwa sana dada Jennifer Mgendi
Que Dieu Bénisse la Sœur Jennifer
Nasikiriziya hap niwa 11 kuerekey wa 12 nikiitafuta 2024 zipi zitatufariji kwet
12.08.2023 nasikiliza nyimbo yangu pedwa❤
Good job your songs is good ❤
Am here bro ❤❤❤❤❤❤
Wow! Kumbe video ndo tam kiasi hiki daaah, Asante mtumishi wa Mungu ubalikiwe🙏🙏 nikiwa pande za Dar es Salaam 2022 December
Waliyo ji inuwa kwaku piga nyota yangu niko na Mungu ata nilinda siku
Zote aksante sana jenifer mgendi Mungu akupe baraka.
This song goes deep
My late mum used to love this song sana 😭
Askanti ma sœur pour cette belle chanson depuis Kinshasa.
This song really touches, it uplifts my spiritual feeling.
this song got so lost......donno how it just came back to my memory.....it has ministered to me before, and i know it will even in future.God always fights our wars for us when we put our trust in him.
Who is there September 2020..GLORY TO GOD.
2021 I still remember this song. Jennifer Mgendi this is my favorite song
belle chanson,ça me rappel bcp des choses dans ma vie.
i love the song so much. i first got to know it in mombasa in 2010. i then decided to follow it up and here am listening.....God bless her so much
elisha ogembo Nice song
Mm mnnonge naamin utanilinda baba
It's 2021 and this song still reminds me that God always protects His own from all harm🙏
Amen
its true shimo hilo hilo ni lao siyo langu kwa sababu mungu yuko nami ananilienda
Stela Aza
Amen
nice song mm napenda xn wimbo waku mtumishi ubalikiwe na Mungu kwa uimbaji wako
Kweli akuna kama mungu akubariki jeni
2021 am still hapa Mungu nipiganie na afya yangu naamini kupitia ww nitapona🙏
Wewe bonny mwaitege mbona umeuweka wimbo wa Jennifer mgendi kwenye Akaunt yako Unamuibia Nakusema
Bravo Tanzania with your good Swahili! Standard Swahili!!
Love this song very much as it depicts the true picture of the human nature... kulipwa mabaya japo ulifanya mema
love thé you
WOw this song it's vivid to me
Such an inspiring song I pray to God day to day to keep u
Unishindie eeeeh baba🙏🙏🙏
Very nice bado inadumu 👍
i love the saong jennifer your the best women in east AFRICA BE BLESSED I LOVE YOU MORE
Love this song very much as it depicts the true picture of the human nature...
Mama nakupenda sana kwanyimbo ulizoimba zinadufulahisha ha nche Burundi na maneno ukio imba Mungu akubaliki sana dada.
Napenda hii nyimbo inanifanya nilie kila nisikilizapo