Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ค. 2021
  • Sio kazi yako kuwanyamazisha wale ambao wanakuwazia mabaya yupo Mungu atakae wanyamazisha we endelea kudumu katika maombi na kumngoja Bwana.
    Studio : Jawabu Studios
    Video Director : Hassan Mbangwa
    Management
    +255717003077
    Email;malkiarosemuhando@gmail.com
    #RoseMuhando#Wanyamazishe#NewVideo
  • เพลง

ความคิดเห็น • 12K

  • @PatrickKayokon
    @PatrickKayokon หลายเดือนก่อน +43

    kama umepitia mateso kama hizi na mungu amekupigania wake like hapa😭😭😭😭

  • @gracelyamuya6780
    @gracelyamuya6780 3 หลายเดือนก่อน +272

    Kama huu wimbo bado unakubariki na kuusikiliza hadi 2024 like hapa

  • @millicentchepngetich1915
    @millicentchepngetich1915 5 หลายเดือนก่อน +145

    Wanyamazishe adui zangu yesu...mwaka huu wa 2024...nifungulie milango.... Jesus my banner of victory ❤❤

  • @magdalinewakuthii569
    @magdalinewakuthii569 2 หลายเดือนก่อน +69

    Nipe likes za 2024 wanyamazishe maandui jeovah nawafunge midomo

  • @marcpoloofficial
    @marcpoloofficial 3 ปีที่แล้ว +436

    Naomba like 100 kwaajili ya mama...kawanyamazisha🇹🇿🇹🇿

    • @orukde5062
      @orukde5062 3 ปีที่แล้ว +4

      Watafunane wao kwa wao kabisaaaa

    • @maryemmanuel5735
      @maryemmanuel5735 3 ปีที่แล้ว +2

      th-cam.com/video/qxKpbQXcVDg/w-d-xo.html

    • @plainsarah8871
      @plainsarah8871 3 ปีที่แล้ว +1

      I cried watching this song, Almighty God bless you Abundantly 😭😭😭😭

    • @rehemasange7608
      @rehemasange7608 3 ปีที่แล้ว

      Aminaaa

    • @dianaaliaka3189
      @dianaaliaka3189 2 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 3 ปีที่แล้ว +208

    Jamani wapendwa tuipeleke trending hii nyimbo

  • @mariamsemwa7929
    @mariamsemwa7929 3 หลายเดือนก่อน +35

    Wanyamazishe aduwi zangu mwaka huu 2024 nifungulie milango YESU

  • @munyasiakithuka6938
    @munyasiakithuka6938 11 หลายเดือนก่อน +44

    Wale watakuwa 2090 wanipee like

  • @cutephilo3420
    @cutephilo3420 3 ปีที่แล้ว +132

    Wapi likes za Rose muhando 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @viocheptapkaa3249
    @viocheptapkaa3249 2 ปีที่แล้ว +3449

    Nipeeni likes from Kenya kama unapenda nyimbo za Rose Muhando ❤️❤️❤️❤️

  • @empresslisaquinn4657
    @empresslisaquinn4657 4 หลายเดือนก่อน +19

    Please I dedicate this to all the enemies who have been against my mom and my family 😢😢😢saint Michael I send u there

  • @user-oe3kf4vc8z
    @user-oe3kf4vc8z 4 หลายเดือนก่อน +20

    Dada rose mhando my mungu yupo nawewe nasisi pia yupo nawewe from Rwanda kigari tunawapata vizuri sana wewe nafamiria 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @norenemuoki2130
    @norenemuoki2130 3 ปีที่แล้ว +81

    Waachie mungu🙏wangapi wanaamini kuwa Mungu husimama upande wa rose jamani likes ziwakilishe🙏

    • @christyk304
      @christyk304 3 ปีที่แล้ว

      I really love this song.

  • @mercynamusia622
    @mercynamusia622 3 ปีที่แล้ว +1001

    Who's watching from Kenya 🇰🇪 ❤️

  • @winfredmwende1548
    @winfredmwende1548 10 หลายเดือนก่อน +159

    kama huu wimbo bado kwako unakubless ,ngoga like ❤❤❤

  • @MwanaharusiJumanne
    @MwanaharusiJumanne หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweli Mimi huu wimbo unanibariki Sana. Mungu akubariki katika utume wako Dada Amina 🙏🙏🙏

  • @AISALONOST
    @AISALONOST 3 ปีที่แล้ว +58

    Kenyans tupo hapa gonga like

    • @raelmish5075
      @raelmish5075 3 ปีที่แล้ว +1

      Wacha mungu zidi kuitwa mungu

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 3 ปีที่แล้ว +207

    Nimeona coment nyingi mimi ni Muslim Christian mna umoja hongereni

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 3 ปีที่แล้ว +3

      Waislam ninoma Sana kwa umoja

    • @patricklembeli8523
      @patricklembeli8523 3 ปีที่แล้ว +4

      Mungu yu pamoja nas sote pamoja tofaut wa imani zetu barikiwa sana shehe

    • @habibatyntosso1436
      @habibatyntosso1436 3 ปีที่แล้ว +2

      @@lewismpangala927 asante

    • @peloofficial3005
      @peloofficial3005 3 ปีที่แล้ว +4

      @@habibatyntosso1436 sisi wote bado ni mtu moja utofauti ni Imani tofauti tu

    • @habibatyntosso1436
      @habibatyntosso1436 3 ปีที่แล้ว +2

      @@peloofficial3005 kwel kbs

  • @immaculatewavinya4344
    @immaculatewavinya4344 9 หลายเดือนก่อน +137

    I dedicate this song to my ex husband and his mistress. God will wipe my tears💔. Mungu atawanyamazisha both of you

    • @collinskiprotich7509
      @collinskiprotich7509 8 หลายเดือนก่อน +3

      God will be with you

    • @lewiswaocs
      @lewiswaocs 7 หลายเดือนก่อน +2

      God be with you in all your endeavours

    • @Itsmehellenokoth
      @Itsmehellenokoth 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hugs mummy it shall be well❤

    • @user-fn8gx7lu3p
      @user-fn8gx7lu3p 6 หลายเดือนก่อน +2

      How are you so far😢

    • @littleprince20
      @littleprince20 6 หลายเดือนก่อน +2

      You will be fine in Jesus' name! Wishing you peace, healing, and strength.

  • @EdnaTwara1
    @EdnaTwara1 หลายเดือนก่อน +8

    Hili ni ombi langu kutoka kitabu cha Zaburi 109. Ee Yesu Nipiganie.

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 3 ปีที่แล้ว +3013

    Nipee likes za mama rose muhando from Kenya ,😭😭😭😭

  • @hadassahthequeen989
    @hadassahthequeen989 3 ปีที่แล้ว +54

    Kama pia unasema wanyamazishwe like.. good message soo powerful

  • @IsayaMwaswale-iz3ed
    @IsayaMwaswale-iz3ed 8 หลายเดือนก่อน +21

    Ambao tunaendelea kuwatch hadi 2023 tugonge like

  • @EMMACULATEOPIYO
    @EMMACULATEOPIYO 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nipeeni likes from kenya ukipenda nyimbo za Ros muhando💖

  • @taitanicbway525
    @taitanicbway525 3 ปีที่แล้ว +75

    Woyoooooooooo 🔥🔥🔥🔥 Namtuma Gabriel malangoni qwahooo ,Wala wasiwe salama watoto waoooo, mad love ❤️❤️❤️❤️ mama 🌹 Rose,, ngonga like Kama umeifeel#TRM forever

  • @annacordune5933
    @annacordune5933 3 ปีที่แล้ว +86

    Nataka kujua Hawa wanaaombaga like wanapeleka wapi ebu nipeni like Leo nijue kazi yake

    • @lynelee5846
      @lynelee5846 3 ปีที่แล้ว +2

      Heri wewe umeuliza eb watuambie km wana wholesale ya likes 🙄

    • @estamathew5167
      @estamathew5167 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @edithlaizer1868
      @edithlaizer1868 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

  • @user-kk4ow7iz7n
    @user-kk4ow7iz7n 9 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu akubaliki mutumichi wamungu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @raymondmsigwa4821
      @raymondmsigwa4821 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tunawapenda Sana Burundi awabariki Sana karibuni Tanzania

    • @raymondmsigwa4821
      @raymondmsigwa4821 2 หลายเดือนก่อน +1

      MUNGU awabariki Sana Burundi amani yenu idumu milele ameen love you Burundians

  • @ouliviahkemunto
    @ouliviahkemunto 3 หลายเดือนก่อน +18

    Nani mwingine anawatch huu Wimbo 2024/02/21

  • @Lampadoh
    @Lampadoh 3 ปีที่แล้ว +414

    Nimependa hii song, nani mwingine amependezwa a like hapa tukisonga

  • @pickfordjustin3432
    @pickfordjustin3432 3 ปีที่แล้ว +431

    Jamani eee mi mrundi ila kuwafuatilia wa bongo nikombele nipeni likes hata 10

    • @robertmnyanyika525
      @robertmnyanyika525 3 ปีที่แล้ว +8

      Sio tu likes tunakupa na mahali pa kusali karibu sana tz

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +3

      Like tu au na kiwanja karb dar es salam

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyezi Mungu tubariki watoto wa Tz

    • @elizabethndaona5766
      @elizabethndaona5766 3 ปีที่แล้ว +3

      Wanyamazishe Mungu Tena wakae kimya kabisa, wakuachiye wewe Mungu on

    • @mariamsamson8167
      @mariamsamson8167 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina nmeupenda Sana mwimbo mungu akulinde milel daima

  • @maureenadhiambo-ie6tw
    @maureenadhiambo-ie6tw 11 หลายเดือนก่อน +3

    From Kenya 🇰🇪

  • @JulianaCharlez-uq9xi
    @JulianaCharlez-uq9xi 10 หลายเดือนก่อน +25

    Kama bado hii nyimbo iko trendi nipe like tafadhari,, much love sister Rose

    • @ChloeKajsa
      @ChloeKajsa 9 หลายเดือนก่อน

      Pll
      Lkjkko

    • @ChloeKajsa
      @ChloeKajsa 9 หลายเดือนก่อน

      Llkjgvvgj

  • @debrahcheptoo8689
    @debrahcheptoo8689 3 ปีที่แล้ว +135

    My all time ringtone give me even 20 likes za huyu mama kawanyamazisha kwelikweli 😍😍

  • @Vince-kw9hu
    @Vince-kw9hu 3 ปีที่แล้ว +952

    Mwenye anatazama mara ya kwanza piga like tukisonga 💜💜💜

    • @irenemutheu634
      @irenemutheu634 3 ปีที่แล้ว

      Mimi hapa na tayari machozi yanaririka

    • @sarahpeter3592
      @sarahpeter3592 3 ปีที่แล้ว

      Mimi hapa jaman moyo una Siri kubwa Sana nimejikuta nalia na mengi🙏🙏

    • @JacintaMutethya
      @JacintaMutethya ปีที่แล้ว

      ​@@sarahpeter3592 pole Sana dada,

    • @JacintaMutethya
      @JacintaMutethya ปีที่แล้ว

      Ilove u so much, fumilia kwa mungu,❤🎉

    • @KyarisiimaJanepher
      @KyarisiimaJanepher ปีที่แล้ว

      jamaniiii

  • @MwenyeMaliJanvier
    @MwenyeMaliJanvier 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kama Mungu amenyamanzisha maadui wako ✔️🔙
    Me I'm in Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @ColetteColette-fx9hm
    @ColetteColette-fx9hm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanyamazishwe kabisa I am blessed with the song love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤

  • @hadijaabdul8765
    @hadijaabdul8765 3 ปีที่แล้ว +113

    Watafunane wao kwa wao weka like yako twende sawa

    • @orukde5062
      @orukde5062 3 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣eti watafunane?!!!!! NGAI
      enyewe wanyamanze kabisaaaa

    • @maryemmanuel5735
      @maryemmanuel5735 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/qxKpbQXcVDg/w-d-xo.html

    • @catherinemutisya6059
      @catherinemutisya6059 3 ปีที่แล้ว

      Na wafanye matanga maishani mwao. Hilo ndo ombi langu Mimi. Vile walikua wanataka kuniua. Wanyamazishwe forever

  • @azorfrey9664
    @azorfrey9664 3 ปีที่แล้ว +165

    Jamani mm nimrwanda namfwatilia sana huyu dada rose nimeipenda nipe like kidog

  • @risperdiana3097
    @risperdiana3097 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisaa this year Is mine 😢God you are doing it for me🎉

    • @DenGospels
      @DenGospels 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂
      Yeaaaa.God is able

  • @PachaPanga
    @PachaPanga 5 วันที่ผ่านมา +2

    Asante mungu kwa kila njia unayonivusha baba wewe unaweza

  • @miriamgichuhi1485
    @miriamgichuhi1485 3 ปีที่แล้ว +514

    Wakenya mpo??? Pita na like WATU wetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @jimmyngumbuke6981
      @jimmyngumbuke6981 3 ปีที่แล้ว +1

      Upo vizuri dadangu. Asante kwa ujumbe mzuri.

    • @abgaelasuma9916
      @abgaelasuma9916 3 ปีที่แล้ว

      A true gospel artist she has never changed

    • @raphaelkapanga656
      @raphaelkapanga656 3 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @rebeccahkathoka9966
      @rebeccahkathoka9966 3 ปีที่แล้ว

      This woman is truly a seed of God.
      Devil has really tried to put her down.
      But God is sitting on His throne of mercy. She is a blessing to this generation.

    • @ruthminayo8672
      @ruthminayo8672 3 ปีที่แล้ว

      Tuko

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 ปีที่แล้ว +104

    Nipeni like from Tanzania kama mnapenda nyimbo za Rose muhando💕💕💕

    • @thadeombani7869
      @thadeombani7869 ปีที่แล้ว +1

      Rose muhando anazihirisha ni jinsi gani Mungu ame mbariki kipaji cha kuimba Mungu simama na Rose mpaka mwisho wa safari yake yake ya ya mziki nasi watanzania wote tunasimama nae daima💔💔💔

  • @venanskapinga7908
    @venanskapinga7908 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli IPO vzr sana. natumain mungu yupo pamoja nam

  • @mercyprecious98
    @mercyprecious98 6 หลายเดือนก่อน +6

    My end year song....🎉🎉#Wanyamazishe Bwana.. Season of testimony ❤❤❤

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 ปีที่แล้ว +273

    Mimi ni mslim lkn nyimbo imeniliza kwakweli na wakristo mna umoja sana mubarikiwe sana kwa mshikamano wenu

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 ปีที่แล้ว +812

    Unaesoma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️ dada rose ubarikiwe milele🤝

  • @elisephafrancis687
    @elisephafrancis687 10 หลายเดือนก่อน +7

    My dedication to all that work hard to destroy relationship

  • @Rickyshanshec111
    @Rickyshanshec111 ปีที่แล้ว +52

    Tanzania never dissapoint in both gospel and bongo music❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @miriamwato2107
      @miriamwato2107 8 หลายเดือนก่อน

      Jssjsn❤ajnana

    • @miriamwato2107
      @miriamwato2107 8 หลายเดือนก่อน

      Dkkssksk❤❤❤nsnsnsnsnsnsnnsnsnsnnssnnsns

  • @jasmineedamu6089
    @jasmineedamu6089 3 ปีที่แล้ว +70

    Tulioguswa na huu wimbo like hapa✌️

    • @DenGospels
      @DenGospels 9 วันที่ผ่านมา

      Hahahaha❤❤❤❤❤❤

  • @chenzjully4698
    @chenzjully4698 3 ปีที่แล้ว +62

    Wow feeling so blessing ..wanyamashise Bwana kweli mama tunakupenda from 254 .Jameni.ziko wapi like za mama

  • @user-ik8qk6vu2p
    @user-ik8qk6vu2p 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen Ameen I receive this prayers ror whoever is dragging my progress slow and may God's will be done in my life 🎉❤

  • @SylviaOnanda-mg1cf
    @SylviaOnanda-mg1cf 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wanyamazishe adui zangu wote baba🙏

  • @kipkendasololo6232
    @kipkendasololo6232 3 ปีที่แล้ว +513

    Emotional song..based on true stories,mnipee ata likes mbili jameni

  • @pascaljrpresenter7234
    @pascaljrpresenter7234 3 ปีที่แล้ว +265

    Nataka nione likes Kaa Kama Umeguswa na wimbo was taifaaa💯💯💯♥️♥️♥️♥️🙌🙌🙌🙌🙌🙌 She's 🔥

    • @rosembithe7665
      @rosembithe7665 3 ปีที่แล้ว

      Wow blessed song i lky it i remember what i was going through with my marriage walisema nitafukuzwa

    • @annkamau5365
      @annkamau5365 2 ปีที่แล้ว

      I like the song

  • @emilybii217
    @emilybii217 19 วันที่ผ่านมา +5

    Do we go as per the old tastement,Psalms 109 or the New tastement Mathew 5:44?
    I propose the new tastement.
    Wapi likes for those in agreement?

  • @user-qd2re3qb7m
    @user-qd2re3qb7m 5 หลายเดือนก่อน +4

    I'm currently passing through the same thing may God continue surprising my enemies in the name of Jesus Christ

  • @jacksonnnonjela348
    @jacksonnnonjela348 3 ปีที่แล้ว +122

    Amen washanyamazishwa wapi like za mama rose muhando!!!!!!!!

  • @nekesajuma5652
    @nekesajuma5652 ปีที่แล้ว +77

    Sisi wa Kenya tunapenda nyimbo za Rose muhando 🙏🙏

  • @philipjohn-ht5vm
    @philipjohn-ht5vm 3 หลายเดือนก่อน +4

    Rose Muhando upo juu. Waliosema watoto wako wakula jeuri Yao hawakujua ni wao na watoto wao wanakula jeuri Yao.

  • @joykokomusicjkmusic803
    @joykokomusicjkmusic803 4 หลายเดือนก่อน +2

    I always played rosemuhando's songs because her songs encouraging me and always making me strong no matter what the challenges I'm going through 😢😢😢😢

  • @thirstythurs7784
    @thirstythurs7784 3 ปีที่แล้ว +114

    Who else is waiting for Kenya Ulindwe official video? 😊

  • @slimmyalicia7633
    @slimmyalicia7633 3 ปีที่แล้ว +242

    Wenye Tunakata Vitunguu Comment hapa...😭😭😭,Wiping my Tears from Germany 🇩🇪..Rose is my Best Gospel Artist in East Africa

    • @loiserosgen8973
      @loiserosgen8973 3 ปีที่แล้ว +2

      Germany tuko

    • @fl0rencemutuku40
      @fl0rencemutuku40 3 ปีที่แล้ว +1

      Saudia nishamaliza tissue dear 😭😭😭😭😭😭but there is Living God

    • @wicky3749
      @wicky3749 2 ปีที่แล้ว

      She really is

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 2 ปีที่แล้ว

      💃💃💃💃

  • @timotheoshantiwa9526
    @timotheoshantiwa9526 29 วันที่ผ่านมา +1

    Wanyamazishe watesi wangu mwaka huu 2024 ukawe wa mafanikio kwangu kimwili na kiroho

  • @DorisNtinyari-zn9ke
    @DorisNtinyari-zn9ke 10 หลายเดือนก่อน +12

    My best gospel singer ever,, nakupenda sana rose

    • @smack80011
      @smack80011 3 หลายเดือนก่อน

      Napenda yeye sanaa

  • @mercychelangat3975
    @mercychelangat3975 3 ปีที่แล้ว +112

    Nani anasoma comments akienda

  • @josephinejacques4011
    @josephinejacques4011 3 ปีที่แล้ว +40

    Congo yetu haibakiyagi dhaaa gonga like kama umeisikiya🇨🇩 ubarikiwe sana sister Rosemwando mungu akusimamiye kwa kazi yako dada yangu.

  • @tabithamunyuini312
    @tabithamunyuini312 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanyamazishe milele Mungu, wanatuumiza Sana!

  • @MitchellLucas-jv1or
    @MitchellLucas-jv1or หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo huu wanikumbusha mambo mingi in this life

  • @naysahope5399
    @naysahope5399 3 ปีที่แล้ว +58

    Wooooooi! MUMMY thanks for allowing God to use u Mightily. You're my favourite n my pleasure ever. Wakenya wenzangu nipe likes zangu hata kama nimechelewa kindly

  • @miriamchege9243
    @miriamchege9243 ปีที่แล้ว +18

    Wapi likes za Rose... KutoKa kenya

  • @EstheryAtieno-sw8sc
    @EstheryAtieno-sw8sc 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo huu n mm niliimbiwa nikiwa hosy everything that happened ziko hapa thank God aliwanyamazisha

  • @user-cn2el2ce6d
    @user-cn2el2ce6d 5 หลายเดือนก่อน +2

    I'm being attacked by my enemies in all I do
    God keep me strong so as my daughter enjoys life in future

  • @STARBOSSEMMAN
    @STARBOSSEMMAN 3 ปีที่แล้ว +1025

    The only gospel artist I know is true and real
    Likes za wakenya oyeee☺️🇰🇪🇰🇪

  • @olive7193
    @olive7193 3 ปีที่แล้ว +20

    Ameeeeen!!!!! 🙏🙏🙏🙏🙏Wafunge midomo yesu be blessed rose muhando wapy like za wanagulf

  • @linahwekesa8354
    @linahwekesa8354 5 หลายเดือนก่อน +4

    I usually dedicate these song to my ex husband and huters,, such strong message that I never get tired of listening it🙌🙌🙌

  • @emmadelchelagat5084
    @emmadelchelagat5084 8 หลายเดือนก่อน +2

    Those who are on silent battles to my family..muangaikee!!Wanyamazishe Bwana,wafunge mdomoo Yesu

  • @mambokeshomqweli9427
    @mambokeshomqweli9427 3 ปีที่แล้ว +71

    Wanyamazishe bwana waliotangulia kutangaza kifo changu kabla sijafa😢🙏

    • @victoriamalogo4587
      @victoriamalogo4587 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakupenda da rose Mungu akutunze kazi ya Bwana isonge mbele

  • @lynnkim5760
    @lynnkim5760 3 ปีที่แล้ว +406

    This makes me cry 😭
    Congrats auntie Rose u have always been my favorite since i was a young girl ,can we get 4 likes for her
    Thanks for the likes be blessed everyone 😊❤️

  • @tivergori001
    @tivergori001 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I like this woman saying "na mwaka huu aponi"

  • @fatimasalasse2213
    @fatimasalasse2213 7 หลายเดือนก่อน +14

    Sou grande muçulmana mais não me canso escutar música de Rose Muhando

  • @princesssophieamanioficial6908
    @princesssophieamanioficial6908 3 ปีที่แล้ว +46

    Mungu akubariki mama
    Tunakupenda hapa Mozambique 😭😭😭

    • @marymuchina1481
      @marymuchina1481 3 ปีที่แล้ว +1

      God bless you and your family 💗

  • @anaksa4412
    @anaksa4412 3 ปีที่แล้ว +25

    Team free WiFi mko wapi 😋
    Mungu awanyamazishe maadui hadi tumalize safari💪💪💪🙏🙏🙏God above all

  • @gladnesssidiu4922
    @gladnesssidiu4922 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu wanyamazishe adui zangu wote wafarakane wao kwa wao
    Watafutane wao kwa wao
    Wagombane wao kwa wao
    Amen

  • @agnestunga2695
    @agnestunga2695 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wanyazishe bwana wanao nidhania mabaya 🙏🙏🙏

  • @gaboy7111
    @gaboy7111 3 ปีที่แล้ว +55

    Naipenda hii nyimbo sana.one love 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥(long awaited)I had been listening audio...likes za wakenya wenzangu hapa kwa wingi..

    • @lazarusnyabayoobadiah4360
      @lazarusnyabayoobadiah4360 3 ปีที่แล้ว +2

      Kazi zuri rose long waiting finally u made it, congratulations keep it up na mungu atakuongoxa .

    • @saidkugwile4691
      @saidkugwile4691 3 ปีที่แล้ว +1

      Hatari nanusuuii

  • @zackwanjohi652
    @zackwanjohi652 3 ปีที่แล้ว +271

    Nairobi Kenya, Mom Rose never disappoint.... Likes za Mama zikam

    • @raphaelkapanga656
      @raphaelkapanga656 3 ปีที่แล้ว +1

      Locked Nairobi Kenya. Mama atambe

    • @maggievlogskenya3109
      @maggievlogskenya3109 3 ปีที่แล้ว

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦

    • @jamilahtoloi9284
      @jamilahtoloi9284 3 ปีที่แล้ว

      That's so touching

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 11 หลายเดือนก่อน +1

    Eastern Africa's gospel hitmaker

  • @beatricekatite9862
    @beatricekatite9862 9 หลายเดือนก่อน +3

    Our God is a living God. He prepares a table before your enemies. I am a living testimony. Wanyamazishe kabisaa , na uwafunge midomo Yao. Wasipate hata kuona. Praise be to God. Amen. Much love from Kenya. Kenya loves you sister Rose. 🌹

  • @oscarmsobi3770
    @oscarmsobi3770 3 ปีที่แล้ว +27

    Gonga like kwa Bi mkubwa rose mhando twende sawa

  • @purityanyera443
    @purityanyera443 3 ปีที่แล้ว +55

    Wale tuko uku🇰🇪🇰🇪🇰🇪..gonga like tukisonga

  • @joycekihoro672
    @joycekihoro672 11 หลายเดือนก่อน +2

    I listen to this song every now and then ,it
    reminds me when I was in ICU many killed me , but Mungu aliwanyamzisha. Hakuka Mungu aliwapovusha wakaibika hadi waleo. God thank you.I truely LOVE my GOD.

  • @KITEPOULTRY2023
    @KITEPOULTRY2023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wamazishwe wao-nifikisheni 200team Rose 🌹

  • @tabithamuthoni2816
    @tabithamuthoni2816 3 ปีที่แล้ว +93

    Soo touching 😭😭,,never mess with a prayer warrior...ukimwona mtu kwenye shida usimcheke,,mbali mwombee.... you are a blessing woman of God..

    • @lilianligeyoh1112
      @lilianligeyoh1112 2 ปีที่แล้ว +2

      @tabitha when I first heard this song I thought I was the composer 'this is my story 'wanyamazishe na wakae kimya kabisa .What my kids went through especially my gal 'wanyamazishe kabisa

    • @trishpinchez8530
      @trishpinchez8530 2 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo nme experience bt God only knows

    • @cristinageje8801
      @cristinageje8801 2 ปีที่แล้ว

      Nakupenda Sana rose mungu akutie nguvu kwenye huduma yako ya uimbaji

  • @Vince-kw9hu
    @Vince-kw9hu 3 ปีที่แล้ว +187

    Who has realized that Rose muhando has added some weight
    Now she’s stress free❤️indeed pesa magari sio kila kitu

    • @joycekyalo3781
      @joycekyalo3781 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏🙏

    • @elizabethmwalo8424
      @elizabethmwalo8424 3 ปีที่แล้ว

      Amen, and let her not sees singing to her God, since that is the secret to success and life in the world. She has indeed added weight.

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 3 ปีที่แล้ว

      Walimnyang'anya nakapata mara 10

    • @stellanyagoe2073
      @stellanyagoe2073 3 ปีที่แล้ว +3

      Piece of mind is an important thing in human life .

  • @user-zn2cb2zj6y
    @user-zn2cb2zj6y 6 หลายเดือนก่อน +1

    I dedicate this for those who said tutakuonea.God is not sleeping.vitu huchejanga..

  • @user-jx8tz4yk4c
    @user-jx8tz4yk4c 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki rose muhando kwa uimbaji wake nyimbo zake zinanifariji sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @annastaciahmuchina218
    @annastaciahmuchina218 3 ปีที่แล้ว +217

    Guys lets brake the record hii song ipate 1m views within a week

  • @simaloimelita2256
    @simaloimelita2256 3 ปีที่แล้ว +76

    Dada wa nguvu Rose Muhando' wanyamazishe kabisa' wapi likes ya Rosy!

  • @user-ew2vv8yb1b
    @user-ew2vv8yb1b 5 หลายเดือนก่อน +17

    Wanyamazishe bwana . Huu wimbo wa rose Muhando umeniguza sana mpaka umeniponya roho yangu

    • @DenGospels
      @DenGospels 9 วันที่ผ่านมา

      Mimi nilijifunza jambo

  • @user-ej6hq8jo8b
    @user-ej6hq8jo8b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Like mwaaa nzur Sana mungu akusaidiesana❤❤