Oeee oyaaaa waliotegea mtoto w boss km mm mko wapi jmn acheni moyo wa mtu upende pale unapopenda😢😢love from team strong team donta family 😮😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Wauuu SASA tunaeza pumua our bro Kelvin how KENYANS were waiting for these part 5, u really delay us bt nice now we have that heart of breathing. Keep it up our brothers and sisters , Kelvin and lovness get my greetings love u
Hongereni Sana kwakazi yenu nzuri ya pamoja. Mnazidi kutufunza mengi wanajamii wenzenu hatuna lakuwaambia ila zaidi tunawaombea Kwa mungu mzidi kuimarika siku Hadi siku. Pole Sana Mr. KEVIN kwamagum unayoyapitia ila mungu yupo atakuongoza upate kilicho Bora kwamoyo wako.
Daaahh jaman Love anatia huruma sana màana hakuna mwenye upendo nae zaidi ya kaka Kelvin na Candy lkn piah huyo mama Tina sijui ana mpango gani na hiyo familia ya Kelvin
Quand je regarde vos œuvres j'en suis absolument convaincu ;courage et bonne chance mes amours. Je suis à Bukavu-ville, en République démocratique du Congo.
JAMANI MAMA TINA ?? KWANI ANAMPANGO GANI HUYU MAMA??? 😢
Yani tina kwa ukali alionao hafai kua mke
anataka pesa
Kelvin kaz nzuri halafu hio nyimbo naeza ipata wapi plz
Wanampango wakuwafirisi mali zenu kua makini kelvin Tina si mwanamke sahihi kwako huyo ni mdangaji,,,
Anataka kukuangamiz ila mnachelewesh san Kelvin kaz nzur🎉
Kelvin usimwache love nakapenda sana pokea love km jina lako lilivyo ❤❤❤
Kazi nzuri kelvin ila mnachelewesha san muendelezo😌🌹🇧🇮🧚♂️
Oeee oyaaaa waliotegea mtoto w boss km mm mko wapi jmn acheni moyo wa mtu upende pale unapopenda😢😢love from team strong team donta family 😮😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Wauuu SASA tunaeza pumua our bro Kelvin how KENYANS were waiting for these part 5, u really delay us bt nice now we have that heart of breathing. Keep it up our brothers and sisters , Kelvin and lovness get my greetings love u
Sema loveness anajua mpaka anakela like za loveness ❤❤
Yeah loveness kiboko 🎉🎉🎉🎉
We acha mimi napenda love na kevi wanajua mpaka wanakera tena wakiwa kwnye mahusiano wanapendeza sana
❤
@@ShaymaaMlanzawe acha tu
8❤❤❤
Following from the United States of Kenya🤩🤩🤩🤩🤩, one of the best series in E. Africa
Usk tuko pamoja
anaependa kuomba like bila kuangalia kwanz tujuane apo
Ila lavenes na kelvin ndio wanapendezana kuwa pamoja na Tina hata hawaendani kabisa gonga like Kawa unawakubali🎉
Hata maman Tina Hana adabu hata kidogo
@@GraceVISAMAYANI-gj1xm Yani sijui anamipango ngani.ambayo hataki kuisema
Namm napenda kevln amuoe lovo
@@PitaCharles-o5o❤️
Nitafurah sana ikiwa Kelvin atamuoa love
Yeah
Yeah
sgesues@@NadiaMoraa-x5u
satyuzczysa
Uwiiii kwan huyu mam ane tin ana mipang gani?
Nawaomba miwahi kuitoa iyo ya 6 mm mwenzenu jobless ko muda mwing nafatilia donta TV kuona muendelezo huu, piah Hongereni Kwa kazi nzúr jmn🥳🥳
Namba moja nimimi kutokea swideni tunao omba dada wakazi aholew na kelvin like apa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Sio aholewe sema aolewe 😂😂😂😂
kujibu comment za watu kuandika ya kwako aaaaa😂😂😂
Daaa nipen like 100 Kama unampenda Kelvin Mr plan
Kutokea Sweden ya wapi hiyo? 😅😅😅😅
😂😂😂😂😂@@spesiozabisansaba6424
Mama kelvin hanabusara sana hangekuwa mwingine hangemfukuza direct ❤❤❤ like kwe mam kelvin
Naomba likes za dada wa kazi from Kenya
🎉
Hongeren sana Kelvin na team nzima movies zenu siyo tu kufurahisha ila zina mafundisho mengi,be Blessed
The one who produced this story is very professional❤
Very correct
Co poa kelvin anajua san naomba like hapa jamn 😂😂
Donta tv munajua nawapenda wote❤❤❤
By CADODO🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Please Eva from Kenya naomba kelvin ahowe dada wa kazi ❤
Dr Kevin khan mimi kutoka kenya..hahaha hapo sawa umecheza kama wewe..06 tuna ingoja hongera..ep.
Dah, movie kali sana hii. Kelvin number 1 bongo movie ❤❤❤❤❤❤❤
Jamn like ya kelvin hat moja 2 maana nimewahi leo katika ukumbi 🎉😂😂😂😂😂🎉
😂❤ video
@@StellaKugomwa🌺🇹🇿🥀🌼🌾😍🇹🇿
@@SilvaMwamba-fw4rj eeeeh kaukumbi siunajua tena 2nawahi nafasi
@@SilvaMwamba-fw4rj vip uko pouw
😂❤❤
Yani kwa hii movie inanibamba Ile noma naipenda pongezi kwenu kelvin mungu awalinde MN xidi kusonga
Jamani 1 minutes ago kadhani wakwanza kumbe watu wanalala apa wakikesha apa congratulations 🎉 #Dontatv
Kazi safi Sanaa ❤❤,ama kwel nmejifunza kumbe waeza kuwa mrembo ila ucipendwe 😢noma Sanaa💔💔💔,somtym u4c moyo kupenda asie kupenda ehh moyo komaaa
Watu mnawahi walahi Aya Mimi wa 303 naomba basi like ata kumi
Jaman anaekubari kelvin amuowe loveness weken like hapa much love from Uganda ♥️♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Donta famili nawapenda sana kevin kazi nzuri sisi wafanyikazi wa dani tunayapindia sana❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴
❤
Hongereni Sana kwakazi yenu nzuri ya pamoja. Mnazidi kutufunza mengi wanajamii wenzenu hatuna lakuwaambia ila zaidi tunawaombea Kwa mungu mzidi kuimarika siku Hadi siku. Pole Sana Mr. KEVIN kwamagum unayoyapitia ila mungu yupo atakuongoza upate kilicho Bora kwamoyo wako.
Asante sana
@@Dontatv255 oky. Kazi njema kaka.
napenda wote mnafanya vizuri ila mnatucheleweshea kutoa Season zinazofwata jamani mjitahid sana nawatakia kazi njema
Kevin n'a lovenness kama sio wapenzi inaweza niuma saaana kweli munapendezana saaaana wallah wooooow
Mimi wa99 naombeni like Bax jaman sjapenda kuchelewa
Wanaompenda lovennes kama mm tujuane kwa like
Kelvin film yako ni nzuri nayi penda lakini usimuache laveness
Malizia kwa kumwambia from Burundi 🎉🎉
Ila nikwl asimwache loveness paka amuoe
@@niyokwizerajiribrt7161I'm going
Kevin said to Tina beauty lies on the eyes of beholder. Hilarious. Kevin is handsome, smart and well behaved gentleman ❤❤❤❤❤❤❤
Kwakweli movie iko Vizuri big up kevin 🎉❤
Any Kenyan here 🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kazi mzuri Kelvin keep it up 🎉
Niko hapa ❤
@@WinnieSyombua-ka 🇨🇩🇺🇬🥀🇰🇪🧎🇹🇿🌻🥀🌹🌼🌾🌍😍🇿🇲
Npo 🇰🇪🇰🇪
Tupoo
❤❤❤ kilivi
Jamani nyie hii movie ni tamu ebu nipe na mimi like guys ni tamu mpaka bsi nyie 🎉🎉🎉
Congratulations 👏 kelvin umewahi nakukubali mara mia ❤kutoka🇰🇪
Wooooow couple ninao yipenda saaana Kevin n'a lovenness n'a maukweli apana ya film munapendezana kwa kweli
Daaahh jaman Love anatia huruma sana màana hakuna mwenye upendo nae zaidi ya kaka Kelvin na Candy lkn piah huyo mama Tina sijui ana mpango gani na hiyo familia ya Kelvin
Nina wivu na mapezi lakini haya ya tina yamezidi kama wewe n kama mm nipe like
🙌🙌🔥
🎉🎉🎉🎉
Mm napenda hivyo vimacho vilivyobebeshwa makope
C tapeli😂😂😂
Huyu sio wivu analia mission yake inabuma😅😅
Jaman jamaan loveness kweny hii series hatakiw kubadilishwaaa kabsaaa maana ndo kabeba series nzimaaa hiii Yuko Vzur maua yakee🎉🎉🎉
Yees naami namuunga mkono lav na braun❤🎉❤🎉%mwaaa tuwahishie series zifatazo
Mmmmhh sem kuwai nawapend wana donta na marafiki zangu mnipe like ata 5 km mwanipend pia marafiki🎉🎉❤
❤
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Vp
❤❤
Kelvin nakukubali sana kaka itengwe Mungu akupe more creativity na enjoy movies zako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nahisi uchungu nikiskia ety loveness hajui kuoga wee inaniuma kweli loveness ndo mwanamke mrembo na anaweza ana sifa zote za kua mwanamke wa kelvin❤
Amini
Wapi like za wakenya wow wapi like ya kevin kmpenda dada wakazi
Waoooo piga kelele kwa Riziki wa kwanza Kelvin nipe mauwa yangu❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kev na love si muoane tu jamaan mbona munaendana saan❤❤❤❤❤❤
Wallah nimeipenda sana hi movie Allah awaongoze kiukweli najifunza kitu hapa
❤❤
Jamani kazi zenu nzuri sana zin mafunzo mazuri kbx🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
Good job Mr Kelvin Khan may God bless you all🙏
Vipindi vyenyu ni vizuri sana. Ila siku hizi mnapereka series polepole sana. Kila siku nafungua TV sioni kitu cha kuona. Nilikua nawategemea.
2taongeza
Hivyo ndivyo mnaongeleanga mbekitatu kwani kukosa pesa kunamfanya mwanamke asiwe na dhamani??uwa sipendi dada wa nyumba akifanya kama tambara bovu😢😢
daaaah hii kazii ni kali sanaa kevi Mungu awape nguv zaidi sanaaaaa
Namuelewa sana kelvin na love ila Tina atasngukia tumboooooooooooooooooooooooo 😂😂
Wee Kelvin ushamueka kweny matatizo mwenzako n huo mkufu 😂😂😂😂
Kevin and lovenes nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mom yake Tina anamipango yakuiba family yake Kelvin anayeunga mkono like 10❤
Kevi umeongea point uyu kamwona uyo ni mbaya lakini huyo kamwona uyu ni mzuri ,vizuri xana kevi
Wana donta mnajitahidi kutu fundisha nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Napenda loveness akiyingiya kwenye mapezi na keV 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mh🎉
Donta jamani mnachelewa Sana ... naomba mjitahidi kuwahisha kidogo
Kelvin nakupa hongera sana pita na loveness mapezi sio pesa 🇰🇪 af utupe ep 7 hivi karibuni 🇰🇪🤙
Tina naye anaongeza sana watching from Kenya
Kazi ni nzurii saaanaaa lakin mnachelewesha kaz had inapungua utamu wake 😊😊
Jmn msicherewe bs mnanifanya nachungulie2 muda wote,😊😊😊😊
Good job brother, you are going far by the way. Otherwise salimia lovness sana
jamn mama Tina vp kwani hongereni nyote donta tv❤❤🎉😊
Quand je regarde vos œuvres j'en suis absolument convaincu ;courage et bonne chance mes amours. Je suis à Bukavu-ville, en République démocratique du Congo.
Fundisho nzuri kweli 🎉🎉🎉🎉maua yenu wana donta family 💝
Kabisa mama
Tina ama wifu kweli naomba kelvin amuoe Binti wa kazi kama mnaona Ii gonka like
Wa kwanza naomba likes zangu kumi tuu
Sawa 🙌🙌
😂😂😂Nimependa jibu la mama Tina ambavyo amemjibu mume wake(utaiweka wapi sura yako?........Nitakupa begi uiweke😂😂😂)
Jmni nampenda loveness n kelvin❤❤
Ata mimi nikinoma noma
Movie nzuri sana master ❤❤😂🎉😢😮😮😮🎉🎉🎉😮😅😅😅😊
Nimekua na hamu ya kuona hii part ili nijue kinacho endea,mola awabariki na umaarufu mnapo endelea na maigizo ,familia yote kwa jumla
Huy dad nimbay
Munch awapo ngungu muendeleze ivoivo nawapenda nyote
Wakwaza nipeni like zangu 🎉
🙌🙌
Jaman huu wimbo nimeupenda kaimba nan 🥰🙏@@Dontatv255
Yaan mimi kama loveness sicheleweshi mambo namkubali Kevin kiboss😂
Jaman Kelvin anamambo duuh😊
Kelvn muoe loveness basi kwanza mtoto mwenyewe mkali aisee❤
Huu mpango Gani🤔🤔🤔 tunao tamani kujua like jamani
Ata mimi natamani
Kelvin ni kijana mdogo sana Ila ana content kubwa kuzid umri wake , much respect kwa kazi nzuri
Wa kwanza kuview mouse kwa haraka tuburudike sojaomb like mie
Kwa kweli ningeomba isiwe Film tu bali muoe kabisa Love kelvi angekuwa kakaangu ningemshauri ashikilie hapohapo kwa loveness
Oya kazi nzuri like nyingi
Umeongeza follower mmoja leo ,,,kapenda sana filimu yenu
Tujifuz app
Like zangu ziko wapi jamani
Jamani Kelvin niconnect na Christian ili wewe kabaki na Lovenes 😊😅😅❤ 🇰🇪
Na huyu Tina si anapenda kusema uongo? Yaani anaamini mpaka aongeze uongo ndio aeleweke
Umeonaeee 🤔
😂😂 😅😅 lazima uongeze chumv kdg 😂
😂😂😂@@KemmyPrince-r4l
Loveness give Kevin a chance to love you the way you want love to be given to you😂😂❤😊
Nmewahi Leo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante
Mambo
Kelvin napenda sana movie zako ni nzuri sana. Pia niza utulivu tu sana
Enyewe Kelvin anampenda loveness wala si tina❤❤❤❤
Kwani hizo like huwa mnakula au hebu nipeni nionje na mm leo😂
😂😂😂
Sema Kelvin ni mzuri ❤
Kabitha anaendana na loveness
Of course
Ila kwel mtu kama haumpend ni bola tu ukamwambia ukwel kama alivyoambiwa tina napenda san kaka kwa ukwel wko 🙏
Kevni pambana na jik lako ilo usje kuliachia nidada w kaz ila wakaz kwel ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂
Jmn wakwanza leo 🎉🎉🎉🎉🎉nipewe mauwa yangu❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Kelvin nakuoendea bur kwamucezo wako na loveness allah awazidishie kabkisa😂🎉🎉
Number ONE from DRC 🇨🇩
Mwendelezo wake lini jaman make mambo yanazid kunoga ,bonge la movie