Nimerudi kusikiliza tena huu wimbo mwaka huu 2024 hakika unatia moyo sana kuendelea mbele na Bwana Yesu ni mwema sana katika mapito yote Tunayo pitia hapa duniani
Working here in saudi arabia as a domestic worker it's hasn't been easy vumilia moyo playing this song every morning it's make me feel relieve and strong hoping tommorow is going to be better..
I like this song. It was once one of my best songs while I was in primary school, now am almost finishing my varsity but it still blesses me. Mungu akubariki mama Jenifa. 🇰🇪
Nukuri Jennifer uwutomukunda kundirimbo ziwe ntamunezero yobayaravukanye,kutoka Burundi by shaduraka yaani kiukweli MDA mlefu nasikiliza nyimbo zako jenni, balaka zamungu ziwe kalibu n'a wewe
A song that addresses the mind not the brain.I feel blessed after passing through thick and thin as I strive to make both ends meet.From Bungoma county,Kenya.
Mungu azidi kukubaliki dada yangu, asante kwa nyimbo zako zinanitiya nguvu sana tena sana. Ombi langu ni kwamba uendelee kwenye uokovu na uendelee kuubili katika nyimbo zako
2024 tunaoskiliza tuko wap tujuane kwa like
Mombasa kenya🇰🇪2024
😊
Kinshasa, DRC
Très super
Who else is here in 2024?
I had to listen to this song ,,cry and least let go😢
You're strong,,this too shall pass
Tar 18-03-2024 listen
Here🙏
Here we go
Nimerudi kusikiliza tena huu wimbo mwaka huu 2024 hakika unatia moyo sana kuendelea mbele na Bwana Yesu ni mwema sana katika mapito yote Tunayo pitia hapa duniani
Still listening to Jennifer mgendi in 2023 such a blessing
I love the song
Mungu akikupa hekima anakupa na uvumilivu,upendo na busara pia.Libalikiwe neno lako dada Jenipher
Wangali na yi sikiliza 2021 mukowapi ?
Nipo apa
👍
Nipo hapa 🙏
nipo
Oct 2021
Much love my sister co when I listen this song I gain power
Wimbo huu ni mzur ninapousikiliza nafarijik san jmn💝💝💝💝💝
Hii wimbo nimefikiria roho yangu inapopigia haraka nikasema tulia moyo
One of my favorites. Sweet song👍👍
Asanteni kwa wimbo wako
Working here in saudi arabia as a domestic worker it's hasn't been easy vumilia moyo playing this song every morning it's make me feel relieve and strong hoping tommorow is going to be better..
Sure dear
May God protect you 🙏
Stay still God is just
@@francinahenry14 a
Wow powerful
Noel from Tanga ukipenda niite Sheshe sheshe hii nyimbo hadi mwisho wa ulimwengu haitaisha utamu Jennifer mgendi MUNGU akuinue mpendwa
J'aime cette chanson mon Dieu béni cette femme 🎉❤❤
Unaitizama hii nyimbo ukiwa wapi 2023 mimi nipo kahama shinyanga Tanzania 🇹🇿
This song never gets old...❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧎
Nakupenda sana dada kwa nyimbo zako
anyone listening to this song may God bless you
The song never gets old and my love for it is beyond comparison
Tulia moyo naupenda sanah
Nikupendae my Dada najua umeumia but safari bado inaendelea mungu akutunze pia akupe ujasiri pole dear
Love you my sis..
2024 July if still in love with this tumpeni like ❤❤❤ tukienjoy utamu wake na faraja ulio kwa huu wimbo🎉🎉
Wimbo nzuli sana❤
Naitwa boncoeur mwanza mupiga musique gospo in drc
🎉🎉a very wonderful and uplifting song God bless you
Tulia moyo,,, japo majaribu ni mengi ya kukuvunja
I like this song. It was once one of my best songs while I was in primary school, now am almost finishing my varsity but it still blesses me. Mungu akubariki mama Jenifa. 🇰🇪
Amen
Up up and
@@jonathanmasenene202 I can do to go u
@@jonathanmasenene202 I can do to go u
@@jonathanmasenene202 I can do to go upstairs u
Yaan. Huu wimbo. Naupenda kutoka kumoyo. Asant. Sana
Vumulia moyo,Kwa hali yoyote ile🙏🙏🙏, thanks am blessed with song Ni matter the situation of life 🙏🙏 team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nipo hapa 2024
Askanti kwa mwibu iyi, gloire à Dieu.
in my childhood this song ministered to me in difficult times...right now at 2022 all i can say is God bless you ma
Tulia moyo wangu..yesu yu nawe
Wimbo nzuri sana,
Ubarikiwe xana mama nimeitim kidato cha nne napenda xana nyimbo zako mwak huu coz zinanigusa mno
Nilikuahidi tuzo siku moja kukupatia ya heshima kabisa@Mgendi.Mungu akutunze
Nyimbo zako nazpenda kila kuitwapo Leo endelea kubalikiwa na kaz ys mungu
Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 2024
Mung akubarik mama nipo dar tuombeane jmn
Mama na sikiya furaha kwaku sikiya wibo uu Mungu akupe baraka.
moyo wang ukiwa mzito nipo hapa
Madam Jenifer your song is Soo blessing am still listening it in 2023,may you be blessed.
The song reminds me on my downfall at school,,it was my fourth year,,the song really encouraged me and strength too
Huu wimbo unatoa machozi 😭 hivyo tu,lakin ntajupata wapi dio uniongoze na mm
Kila cku huu wimbo nimpya kwangu
Mungu Akubariki sana hakika Nyimbo zako Zinanibariki kila iitwapo leo..
@Jennifermgendi naikubali sana hii nyimbo
The best of love naoenda sana hii nyimbo rafiki yangu jenifa nakupenda sana Mungu akubaliki
Nakupenda sana Mungu akubrk
Hii ngoma haukuiona kwa recommendations bana.. hii uliisearchi
Amen, tulia moyo "" mpenzi wko akuanglia ulivo umia, anashangaa ujamwitia""?... Duu😭😘.. MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU kwa wimbo mzur 🙏
Une belle chanson pour moi Que Dieu vous bénisse richement ma soeur
Pole sana Dada Jennifer, kwa kuondokewa na wapendwa wako wa karibu.MUNGU NI MWEMA KATIKA KILA JAMBO.
Nukuri Jennifer uwutomukunda kundirimbo ziwe ntamunezero yobayaravukanye,kutoka Burundi by shaduraka yaani kiukweli MDA mlefu nasikiliza nyimbo zako jenni, balaka zamungu ziwe kalibu n'a wewe
Blessed song I like that song hearing it from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Tulia moyoo🙏🙏🙏
A song that addresses the mind not the brain.I feel blessed after passing through thick and thin as I strive to make both ends meet.From Bungoma county,Kenya.
Tumsifu mungu kwa kua nmsidi
Tulia moyo feel blessed
Wimbo wa kitambo kile Ingawa bado mzuri mno. Barikiwa Sana.
2021 gonga like kama unavumilia
Miaka mingi sana,hii nyimbo huwa inanifariji sana,Jenifer Mgendi MUNGU azidi kukubariki,
Nakupenda bule jenifa mgend
I used to listen to your songs many years back sauti nyororo
This song still blesses me till date God bless you mama
even thought I can't understand their language but is nice music
Mungu akubaliki sana
2023 nabarikiwa sana
Ameeen! likes from me here on my office desk at Masinde Mulior University. Soothing my heart! Thank you!
Enjoy.. #ingo
Since 07 Hadi sasa nazeeka na Ngoma zako sounds like a new song day by day God bless
May God bless you mama🎉
Mungu azidi kukubaliki dada yangu, asante kwa nyimbo zako zinanitiya nguvu sana tena sana. Ombi langu ni kwamba uendelee kwenye uokovu na uendelee kuubili katika nyimbo zako
Nyimbo nzuri
Nabarikiwa kwlikwli
this son g is great to me it makes my heart to remember what l have gone through my life durin g my early age
Old is gold 🥇 😍, I love this message 💞🌟
In deed it is❤
Asante wimbo unafariji asante jenipha
My God bless you my sister i loved this song since am 10 years until now
I love love love this song, vumilia moyo, eeeesh if it please you mam Jenny I would love to redo this song in a cover🙏
Dada pole kwa yote. Mungu akusaidie mpnz
God bless you Mum 🎉❤
This song has been always my favorite esp when am down
Tulia moyo wangu 🙏
I salute you my role model
Safi
Hakika vumilia moyo wangu najua umelemewa Ila mung u asante Dada Jen
Back in 2004 when i was in class 4 or 3 bleesing
Asee imenikumbusha mbali sana
I am a Muslim but I only like to listen to things that stimulate the mind
Ni barakaaaa tuu....
Mungu akubariki sana Jennifer
When someone wrong me huwa naweka huu wimbo then moyo unatulia,thank you dada jennifer
Team mama Jenifer mupo ?
Tuliaa moyo wangu
A great song.
Wimbo wa kale ni tamu mpaka milele mama ubarikiwe sana
Enyewe Mama Songambele napenda nyimbo zako
A banger
still listening this 2024
Inapendeza
Moyo wangu umetulia baada ya kusikiliza wimbo huu🙏
Tunapitia magum moyoni mwetu Ila mungu mwema😭😭🙏🙏
Lucy Bandawe na msondo ngoma mambo hadharani
Tulia moyo wangu ❤😥🙏🙌😘
Tulia mo...yoo ,moyo wangu moyo wangu moyo wangu wee
nimebarikiwa kupitia wimbo huu leo kwa magum niliyo nayo
Barikiwa Dada.
Wimbo huu unanifariji kila uchao, endelea na moyo huohuo
Wimbo huu unanifariji kila uchao, endelea na moyo huohuo