Amina mama angu Mungu akupe maisha marefu Yenye Neema Na balaka tele kwenye hii dunia ili uweza kutuelimisha wanao tulio tawaliwa na dunia hii ilio jaa uovu
Nice message Jan, hakuna utofauti na mme anae fundisha mkeo kesho mkewe anapata kazi kisha kumuacha na kwenda zake kusaka wenye wanalinga kielimu na kiuwezo
This one deserves series, Fanyia muendelezo kama series, ili tuone Limbuko yanavyo mkuta baada ya kumkataa na kufukuza baba yake, iwe na part II ama hata part III. So proud of you Jennifer Mgendi
Tunasubiria sasa film ya hii wimbo, ila waigizagi tunaowaona humo kwenye wimbo, wasikosekane kwenye film yake.😍🥰💖💖 mzee Senga na bi Ester wanahitajika kwenye hii film.
You did it again Mom, katika waimbaji wakongwe wewe ni mmoja wapo Wa ambao hawajawahi kuyumba katika Imani na katika kuimba shikilia hapo hapo I am proud of you,
Daaah Mungu tunaomba tusiwe kama Limbuko mapenzi yako yatimizwe baba utakalolifanyike Yesu 🙌🏾😭🙏🏽
From Kenya am ohangla gospel rhumba ujumbe nzuri mum nipewe likes mukinifuata
Sawa Mungu akubariki
🇨🇩😭Wewe Aubadirike maman umevaa vizuri apana waimbaji wengine kama wakina roso muhado christine shushu wame vaa vimimi. MUNGU akubariki maman Jennifer .🇨🇩🇨🇩
Ameeen sana mpaka chozi limenitoka kwa upendo huuu wa yesu mpaka wazazi wangu
Katoka waimbaji wanao jiheshimu niwewe mama mungu azidi kulinda Imani yako
Amen asante sana
The best mum....God bless you abundantly ❤❤
Kazi zako ni baraka sana ubarikiwe sanasana na MUNGU Azidi kukupa mafunuo❤❤❤
Mama mzr sana Mungu akusaidie sana siku za maisha yako yote l 💕 you mom
Nashukuru asante sn
Ujumbe mzito mama🙌😭Mungu atusaidie
Napenda nyimbo zako na vyenye una act movie my God bless you
U have made it.. I really loved ua songs
Ubarikiwe dada❤❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Jennifer mgendi mtumishi wa Mungu nakupenda sana, ubarikiwe sana kwa huduma nzr , takupigia kesho.
Amina mama angu Mungu akupe maisha marefu Yenye Neema Na balaka tele kwenye hii dunia ili uweza kutuelimisha wanao tulio tawaliwa na dunia hii ilio jaa uovu
Nice song my mom keep it up 🇰🇪🇰🇪
Amen Amen ❤ hiyo ni kweli
Jamani,Mungu awaongoze watoto wetu.
Ubarikie mama🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Nice message Jan, hakuna utofauti na mme anae fundisha mkeo kesho mkewe anapata kazi kisha kumuacha na kwenda zake kusaka wenye wanalinga kielimu na kiuwezo
Sucesso na sua carreira profissional, e que Deus te Abençoe Irmã Amada continua sendo assim ❤❤❤
Yehovah na akubariki,Jennifer nyimbozako zinamafundisho, kwayeyote wenyikuwa na zamiri nzima yakutafakari maneno asante
Nimetoa machozi.Mungu okoa kizazi hiki.
🎉🎉🎉🎉🎉miak mngii kwako mom nakupendaa
Napokea upendo
Ubarikiwe ujumbe mzuri umetufundisha vizuri,
Nimelia sana asanteee mtumishi wa mungu Jenipher
Polee sana😊
Nakubali nyimbo nzuri sana❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Daah...huu wimbo unabariki, unafundisha, na una maonyo makubwa sn. Barikiwa sana Dada Jennifer ❤❤
Amen asante sana
Furaha yang jukumu lang ❤❤❤
Asante, wimbo wako umenitoa chozi
Ubarikiwe sana mate kwa ujumbe mzito kwa jamii. Hadi nimetoa chozi
Nakupenda Sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe sana dadaa
Ubarikiwe sana Kwa wimbo mzuri
Historia nzuri sana mutumishi wa mungu 🇨🇩♥️
Wimbo mzuri sana ubarkiwe sana
Asante sana
This one deserves series,
Fanyia muendelezo kama series, ili tuone Limbuko yanavyo mkuta baada ya kumkataa na kufukuza baba yake, iwe na part II ama hata part III.
So proud of you Jennifer Mgendi
Sawa asante sana kwa ushauri
Wimbo mzur sana
Ubarikiwe sana mma yangu
nakpenda Sana unafananaga na shangazi wa uncle wangu
Tunasubiria sasa film ya hii wimbo, ila waigizagi tunaowaona humo kwenye wimbo, wasikosekane kwenye film yake.😍🥰💖💖 mzee Senga na bi Ester wanahitajika kwenye hii film.
Mom tunaomba movie ya huu wimbo jmn
Vizuri sana ❤
Tunaomba igizo ya wimbo huu mtumishi
❤❤❤❤ umeimba
Hahahahah😂😂😂😂 nmecheka jmn eti baby limbuuuu njooo njeee
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri
Asante mama furaha yangu jukumu langu
Mungu,akubariki dada
👏👏👏👏👏❤❤❤
Dada unaweza
Nyimbo msuri SANA naye nyemaana. MUngu akubari mama yangu
Much love❤❤❤
Nyimbo nzuri mamangu
Ubarikiwe sana
My dada❤❤❤
Dada uko vzr unajieshimu ssna wafundishe na hao wengine barikiwa mgendi
Mungu akubariki😊
Mungu akubariki sana
❤
MUNGU akubariki sanaaaaa mtumishi wa Mungu
Wew ni wakwa kweye gosipo
Tabia mbaya kumpa mzazi dharau hivi ata kama ni wa namna gani ni mzazi sikuzote
Nabalikiwa jaman
Ujumbe mzuri sanaa mama yangu
Ubarikiwe
Nyimbo nzuri.
Asante kwauujumbe
Amen 🙏 🙏 🙏 🎉🎉❤
🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Poleni wana wanaotenga wazazi wanaojitoa kwaajili ya watoto wao
Kabisa asante
You did it again Mom, katika waimbaji wakongwe wewe ni mmoja wapo Wa ambao hawajawahi kuyumba katika Imani na katika kuimba shikilia hapo hapo I am proud of you,
th-cam.com/video/odxhRXV1OkM/w-d-xo.htmlsi=U-FHccuZTQ_iqfTc
Thank you so much
Mama ubarikiwe wimbo mzuri
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ila hii remix ndo khali ❤❤❤❤love it
Amina
nyimbo dhuli sana
Wanadamu tuwe na moyo wakukumbuka mema na Mabaya ,Jinana yamemkuta amebaki na Alana ya baba yake.
Kiuiweli dada angu unajua kufikisha ujumb kwa binadamu
Tumpe na film dada
Sawa asante
Senga by Mugender mutupe igizo kufatana nahiyi nyimbo inafundisho kweli.
𝗔𝗺𝗲𝗻 𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶😢
😭😭😭
Mungu akubariki
Wimbo mzuri sana hakika Mungu ni mwema azidi kukupa maarifa uzidi kutuelimisha
Mungu abariki kazi ya mikono yako 🎉🎉🎉🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen assnte sana
😭😭😭😭😭😭😭😭
Ubarikiwe Mama ufike mbali nyimbo zako zinanibariki San tok nipo katik shule msingi mkp sa hv nimekuw na maisha yang Bado upo unaimba
Forever young, miaka na mikaka kasura kakibinti tu, ni nn siri jaman
😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Nakupenda sana mama Jenifer. Mimi ni director Innocent kutoka Congo 🇨🇩👉 naomba SUBSCIBE zenu dungu
Ubarikiwe sana
Hallelujah
Ubarikiwe Mtumishi
Asante kwa wimbo mzuri je igizoo lini litatoka
AMINA SANA MAMA 🎉🎉
Nyimbo tamu sana based on my true story
Upendo wa Mungu ni wa kweli
Touchable song 💪🏾🥰🥰🥰❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks
God bless you my sister ❤❤❤
Vizuri sana dada jenipher
Hongera sana dada
Barikiwa dada angu
UJUMBE MZURI SANA TUMEUPOKEYA KWA FURAA KUMBWA SANA UBARIKIWE 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kweli anaibaka vizuri . Naomba SUBSCIBE Yako dungu Mimi ni director Innocent
Ubarikiwe nimeupenda huu wimbo ni fundisho kubwa,ubarikiwe
Mama nakupenda umetulia sana kuweka wimbo Huu Mungu akutunze Sana Sana
Hahahaha eti bebi liimbuu