KARIAKOO, Jamaa amchana Waziri "alafu Mh MWIGULU wewe una PhD, unajua vitu vingine tuulizane"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 211

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 ปีที่แล้ว +63

    Yaani watu wa Dar mmefanya kazi ya wabunge..hongereni sana

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +39

    Safi Sana wafanyabiashata,huyo mwigulu ana phd ya ufisadi tu, Rip JPM

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 ปีที่แล้ว +16

    Ni aibu aibu aibu kuja kusemwa hadharani ..heads must roll!

  • @salomemalema7470
    @salomemalema7470 ปีที่แล้ว +4

    Respect kamamda Adam Zella wao wanafikili wamesomea wao tu biashara wamesahau kuwa wanaowaongoza nao niwasomi wazuri pengine kuliko wao

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 ปีที่แล้ว +9

    Yaaaani ndio maaana nasema mtaaani Kuna ma genius

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 ปีที่แล้ว +13

    Waziri wa fedha ni. Moja ya takataka za serikari hii😏

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 ปีที่แล้ว +13

    Wanaunafu wenzetu waliohamia Zambia na Malawi kutafuta riziki,mi walikuja kwenye kabanada kangu wakaniambia nilipiage kabango niliko andika jina langu shilingi 300,000 kwa mwaka,jamani hii Tz kweli wanaifaidi wachache,Mungu tutazame kwa jicho la kipekee

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 ปีที่แล้ว +16

    Hongela sana wafanyabiashala RIP magufuri

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io ปีที่แล้ว +1

    Tutamkumbuka Magufuli kwà hali hii kweli kiongozi bora sio chama ni mtu binafsi na kujali watu na kupenda taifa lako bila kujali tumbo

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 ปีที่แล้ว +6

    Qassim majaliwa ni kiongoz bora sana natamani siku moja aiongoze hii nchi

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว +17

    Kwa kero hizi hata mm nimesajili kampuni yangu hivi karibuni, kwa wizi huu naifunga kampuni Bora niuze maandazi kuliko kukutana na TRA.

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +2

      Kasome KITABU CHA kiyosaki ,ujue mbinu za KUWEKEZA bila kulipa Kodi best Huko kwenye kampuni umeenda kujinyonga mwenyewe

    • @tanzaniaally
      @tanzaniaally ปีที่แล้ว

      Hadi kwenye maandaz watakudai kodi

  • @fredrickmtei9764
    @fredrickmtei9764 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu ana PhD ya tozo tu🤣

    • @yohanasimoni
      @yohanasimoni 5 หลายเดือนก่อน

      Nikweli 😂😂😂😂

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว +1

    Majaliwa kiongozi bora sana apewe URAIS kiongozi sikiliza hoja Malalamiko ya wananchi kitu kizuri na kutatua

  • @alexpuwale9653
    @alexpuwale9653 ปีที่แล้ว +7

    Mama Samia aangalie Uwaziri wa Mwingulu,huyu jamaa hafai kuwa Waziri ndo maana Magufuli alimtoaga kuwa Waziri

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana!!!! Wamemwagika sana!!!

  • @upgo6112
    @upgo6112 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwigulu ...ni hamnazo ..ni bora wa darasa la saba....PhD ya wizi ndo aliyonayo

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว +4

    jamani wafanya biashara watanzania mkovizuri sn mungu awabariki maoni yenu ipate ufafanuzi

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo ปีที่แล้ว +7

    Nashukuru Mungu bado tuna watu timamu,lkn Kuna ,mwigulu,Simba Cha wene,na ........✍️🤔

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 ปีที่แล้ว +17

    Huyu jamaa ananondo sana,tatizo nchi yetu inaurasimu sana ndo maana tutaendelea kumkumbuka JPM tu kwa kweli

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 ปีที่แล้ว

    Barabbara kabisa babamdogo👍🤳

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 ปีที่แล้ว +7

    Ukenda kenya uganda burundi congo hakuna kukamatana sana police umalizane nae lkn hakuna duniani wasimamia kodi wakakabarabrani ni kuitukanisha serekali kwa maslahi ya matumbo ya tra

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli Mwigulu nchemba ni Tatizo kwa nchi hii.
    ww Ni mvuruga uchumi mkubwa, mnyonyaji uchumi wa wananchi, mbambikizia makodi na matozo kwa wananchi.
    mwenye kiburi na wivu kwa wafanyabiasha

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 ปีที่แล้ว +3

    Hata sisi mombasa tunalia ivoivo. Nairobi hakuna bandari lakni sisi wa mombasa tunategemea mali kutoka Nairobi.

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj ปีที่แล้ว +4

    Huyu kaka apewe yote❤❤❤❤

  • @africayetutv329
    @africayetutv329 ปีที่แล้ว +8

    HAPA ni dhahili kuwa sasa wananchi wameanza kuchoka kama wanaweza kuongea mbele ya kiongozi hivi bila kuogopa serikali ilitazame tunakoelekea ipo siku wananchi watawashikia mawe viongozi na inaosha wanahasira za muda na machungu mengi

    • @shaabanramadhan6770
      @shaabanramadhan6770 ปีที่แล้ว

      Kabisa boss hii ni ya yajayo yanafurahisha wa tz weshachoka sasa

  • @JAIROSMLIMILA-cl1wp
    @JAIROSMLIMILA-cl1wp ปีที่แล้ว +11

    Iyo wizara inatakiwa isafishwe na steel wire.

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli kabisa wafanya biashara wengi wa Kanda ya ziwa wanaagiza mizigi Uganda na Nairobi.

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU MUNGU MUNGU EE. Nakuomba Mh. Kasim Majaliwa awe Raisi wetu Tanzania 2025.

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 6 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kuwa waziri mkuu miaka 10 halafu uwe raisi kwa katiba hii

  • @evianjames88
    @evianjames88 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂hyu jamaa ajengewe sanamu aisee

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa nimemkubali anaongea point safi kabisa kutetea HAKI ni kazi jamani.

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +12

    yani kiongozi anae sikiliza watu wake ndiyo anae faa kuwa kiongozi yani waziri mkuu MUNGU akutunze kwakweli wewe ni baba yetu tuna kuamini una huruma na watu wahali ya chiini mtu akiwa sehemu nzuri hawezi kujua wengine wanapitia changamoto gani wa baba wanaonge mpaka wana tamani kulia kulingana na njinsi wanavyo tendewa 😢 inaa saama kama haja kukuta haya huwezi kuelewa ila ya kikukuta ndoutaelewa MUNGU awabaliki wafamya biashara mmetuwakilisha vyema tatizo watu hawa ridhiki na mishahara yao hata kidogo alicho nacho maskini na hicho pia wanataka wasimaizi mkojee? MUNGU ana waona na dhuruma zeenu

  • @soniaemmanuelmataro9414
    @soniaemmanuelmataro9414 ปีที่แล้ว +2

    Mmewachana vizuri sana,

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว +2

    Well presented

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 ปีที่แล้ว +1

    Mtakoma magufuli amesha fungua macho ya wanannchi

  • @user-zh8wg3lc4i
    @user-zh8wg3lc4i ปีที่แล้ว +3

    Lakini Tanzania kuna kudanganyana sana CCM bwana!! Tanzania kuna wafanyi biashara Wachina, Wahindi, na Waarabu mbona hatuwaoni kina Bakhresa, kina Mohamed Dewjina wale Waarabu wengine wako wapi? Wanapigwa mchanga wa Macho wanadanganywa tu masikini CCM.

  • @vyoxerhama2417
    @vyoxerhama2417 ปีที่แล้ว +11

    Unajua nchi hii wanazani wenye akili wapo bungeni, mahakamani na serekalini, siku hizi watu wanajua vitu vingi Sana, na kuwadanganya danganya km zaman haipo tena

  • @johnlihawa4145
    @johnlihawa4145 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba amerema points kinoma...afa anajua

  • @jumaally4263
    @jumaally4263 ปีที่แล้ว +2

    Kweli wafanybiashara Mmefanya kazi ya Wabunge kuliko wabunge wenyewe

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 ปีที่แล้ว +2

    Hafai kuwa waziri wa fedha Jamani amtoe

  • @hajiShabani-g6t
    @hajiShabani-g6t 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 daaaaah! Nouma sana

  • @NixonGerson
    @NixonGerson ปีที่แล้ว +2

    Mwigulu anahisi kuvaa skafu ya bendera ya nchi ni sifa kumbe ni ujinga huo .. tena kwa kabila lake sidhani ..kama hilo kabila lake linauwezo kufikiri na kubadilika.

  • @habaccucisrael5328
    @habaccucisrael5328 ปีที่แล้ว

    👏🏽👏🏽👏🏽

  • @reymamy-rc7fx
    @reymamy-rc7fx ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ajengewe sanam

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms ปีที่แล้ว +3

    Mh kweli Watanzania tumechoshwa nidhamu ya woga imeisha

  • @SultanMuddathir
    @SultanMuddathir ปีที่แล้ว +2

    Jamani kiufupi Mwigulu hafai kuwepo wizara ya fedha.

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว

    Nchi ya Tanzania niya Ajabu mnyeramba kuwa waziri wa fedha haifai kabixa

  • @mohamediomari1614
    @mohamediomari1614 ปีที่แล้ว +2

    Walikuwa wakisema baba anatumia maguvu kukusanya kodi leo kjkowapiii

  • @edwinbayona7395
    @edwinbayona7395 ปีที่แล้ว +1

    Mabunge bungeni yapo yapo tu dadeq watu hapa wanaongea points za muhimu😢

  • @patrickrukuba3314
    @patrickrukuba3314 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa ndugu ni aibu tz

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +6

    Mnawachekea sana

  • @kutikavu-jk7ue
    @kutikavu-jk7ue ปีที่แล้ว +2

    Mwigulu hafai, si mtetezi wa wananchi, hiyowizara haiweziii

  • @SultanMuddathir
    @SultanMuddathir ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu hafai hata kuongoza kuku wa nyumbani kwake

  • @MeshackMadeha
    @MeshackMadeha 10 หลายเดือนก่อน

    Yan mwananch anae akil kuliko ata kamishna wa TRA na huyo anae semekana anae PHD kumbe hakun lolote

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 6 หลายเดือนก่อน

    Mzungumzaji moja mwenye ndevu kabla ya wafanyabiashara wa mikoani ameongea vizuri sana kama anafanya kazi TRA

  • @SamweliPhilipo-kd6ld
    @SamweliPhilipo-kd6ld ปีที่แล้ว

    Mwiguru pengo lake limeonekana mapema akiwa bado yupo hai

  • @annakassege7134
    @annakassege7134 ปีที่แล้ว +1

    Yu Majaliwa anapaswa kuwa rais

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania inabunge dhaifu.
    Bunge la kula mishahara.
    Wachumia tumbo, nchi hii ni ngumu.

  • @senixdanethox
    @senixdanethox ปีที่แล้ว +8

    Kila mtu anatafuta pesa vijana tra wanaajiriwa juzi leo wanamagari hizi ni rushwa

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 ปีที่แล้ว +1

    Waziri munglu hafai

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kodi ya kitenge Zambia milioni 30 Hadi 50 Tanzania milioni 300 just imagine

  • @Nedjadist
    @Nedjadist ปีที่แล้ว +6

    Huyu mama kumkumbatia Mwigulu, mtu ambaye hamudu kazi, kutammwangusha azame naye!

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz ปีที่แล้ว

    Tuna bandari haitusaidi waeleze wa TZ , Allah atusaidie,

  • @saidali3893
    @saidali3893 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwinguli mama apo pana usiri gani asiondolewe anapiga sana hapo yy na makamshina wa TRA WAZIR MKUU WW MSAIDIZI WA MAMA SAMIA MWINGULU HAFAI ANA KIBURI CHA FEDHA WANAZO ZICHOTA HAPO

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 ปีที่แล้ว +2

    Umoja ni nguvu 💪💪

  • @SalumBakar-ob7in
    @SalumBakar-ob7in ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli tunaomba mfutilie miradi yote mnayo peana kuna majungu sana hata hapa nilipo

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 ปีที่แล้ว +1

    Mizigo inaagizwa Nairobi na uganda

  • @amanntepa8178
    @amanntepa8178 ปีที่แล้ว +2

    Mungu fundi

  • @fridakagoma1715
    @fridakagoma1715 ปีที่แล้ว +1

    Wapeni makavu kweli mie nilikuwa sielewi kama mizigo inatoka Zambia siku hizi ndo inarudi tena Tanzania.
    Ndio maana Zambia imechangamka yaani na wanaijenga Kwa kasi
    Inaelekea kuwa kama Kariakoo.
    Sio mbaya lkn wawe makini Watanzani watakuumbia Nchi

  • @SamweliPhilipo-kd6ld
    @SamweliPhilipo-kd6ld ปีที่แล้ว +1

    Mwiguru Nchemba

  • @Fabian-yr3ep
    @Fabian-yr3ep ปีที่แล้ว +1

    Dah dah

  • @yassersalleh8409
    @yassersalleh8409 ปีที่แล้ว +1

    Banda 😂

  • @maulidiforty5493
    @maulidiforty5493 ปีที่แล้ว +1

    Uzur wa JPM angetoaa hapo hapo mamuzi

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 ปีที่แล้ว +1

    Mikazotu

  • @abdulyhumudi
    @abdulyhumudi ปีที่แล้ว

    KOSA LIMETOKEA PALE MWIZI ALIPOKABIDHIWA FUNGUO ZA BENK ILIHALI WANAJUA ANA TUHUMA ZA WIZI HALAFU UNAMLAUMU MWIZI KUIBA BENK???

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 ปีที่แล้ว +2

    Mkutano wa wafanyabiashara wamefanya kazi ya bunge kabisaa maana wabunge ndio walewale hawana uchungu

  • @KijaElikana-vk4xp
    @KijaElikana-vk4xp ปีที่แล้ว +1

    Uzinduzi ikulu

  • @MrishoMzelela-xb9bb
    @MrishoMzelela-xb9bb ปีที่แล้ว +1

    Bila wabunge wa upinzani bunge ni uozo tu

  • @samuelnjuguna6688
    @samuelnjuguna6688 ปีที่แล้ว

    Kenya tuko more 🔥

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 6 หลายเดือนก่อน

    Asantee

  • @mathiaspeter397
    @mathiaspeter397 ปีที่แล้ว +2

    Mwigulu AJIUZULU UWAZIRI NI MWIZI

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 ปีที่แล้ว +3

    Ajiuzulu tu uyoo mwiguluu

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu chembe kama nimuzalendo ni Bora ajiuzuli kama anaipenda Tza asisubili wat wamechoka

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz ปีที่แล้ว +1

    Jamn Kuna watu tunaishi nao lkn wanavitu vikubwa xna cheo kumbe Ni bahati tu ukipata nafax usiichez wapo watanzania weng hawajapat nafx ila wanauwez kuliko ww mwigulu mh nipeni maua yangu

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyie mmesoma sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂makavu lev

  • @muktarmashukura950
    @muktarmashukura950 ปีที่แล้ว +8

    Muheshimiwa Majaliwa, ni mvumilivu sana

    • @vyoxerhama2417
      @vyoxerhama2417 ปีที่แล้ว

      Ulitaka asiwe mvumilivu? Kiongoz sahihi Ni Yule anaeruhusu watoe keep zao hata km anaguswa yeye mwenyewe ajue mapungufu yake

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 6 หลายเดือนก่อน

    Uongozi mbaya haustahili kuendelea kuwepo

  • @VictaDaudi
    @VictaDaudi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tra tumechoka sasa

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 ปีที่แล้ว +1

    Ety ajiuzuru....😂😂

  • @mohamediomari1614
    @mohamediomari1614 ปีที่แล้ว

    Watu wamechoka😂😂😂

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 6 หลายเดือนก่อน

    😢wapeeee!!!

  • @mrpullover3991
    @mrpullover3991 ปีที่แล้ว +1

    Jengo Kama jengo

  • @lovenessferdinand3664
    @lovenessferdinand3664 ปีที่แล้ว +2

    Haki hiki nikichambo Cha mwaka 😅woi

  • @jumannewamburaa4145
    @jumannewamburaa4145 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo mwigulu tu apo

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 6 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu na hafai kuwa waziri kabisa mama huna mtu hapo mpka vita itatokea UK I'm leaving huyu mnyeramba

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 6 หลายเดือนก่อน

    PM ni jabali hata Magu alimkubali akamteua

  • @EnockAdam-h1l
    @EnockAdam-h1l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi huyu raisi si amtumbue

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj ปีที่แล้ว +4

    Mnawaonea TRA hao wanasiasa ndio wenye kuleta balaa

  • @calistusmahombo-ty8ni
    @calistusmahombo-ty8ni ปีที่แล้ว +1

    Maofisa wa TRA wote wasimamishwe na wakubwa wao wote na Mali zao zichunguzwe wafilisiwe,kinyume Cha hapo ni kupakana mafuta Kwa mgongo wa chupa.