BILA UOGA MFANYABIASHARA KARIAKO AMYOOSHEA KIDOLE MWIGULU, WEWE UNA Phd KABISA UNAONA NI SAWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 ปีที่แล้ว +2

    Kazi mzur kaka unasema ukweli

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa katema madini sana Asante

  • @kanukanute2722
    @kanukanute2722 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiii sana kiongozi

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna mtu aliyesoma wote maboya mwigulu nchemba hana hakili

  • @janemakundi5095
    @janemakundi5095 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi jirekebisheni huwezi kusimamia watu wasio kupenda, wala kukuheshimu,jiuzulu uachie watu wenye hofu za Mungu 😢😢😢

  • @yohanamasebo3478
    @yohanamasebo3478 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mfanya biashara

  • @Anastasios1819
    @Anastasios1819 ปีที่แล้ว +3

    Waziri mkuu unastahili kuwa Prez

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว +3

    Anaaibisha chuo na walimu waliompa hiyo PhD...shame shame na makamishna wenu...

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 ปีที่แล้ว +4

    Wewe Mwigulu iko siku utaondoka hapo na utakiona cha moto

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +5

    Mwigulu jitathimini kila Mtu anakutaja ww mwizi mkubwa Ww

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 ปีที่แล้ว +3

    Waziri mkuu na wakuu wenzako shughulikieni hayo

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu ni mzigo tosha aondoke...kabla hajaaribu nchi....hana lolote...

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mwigulu hamna kitu chochote hapa 😂😂

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 ปีที่แล้ว +3

    mwiguru ana PHD ya makaratasi sio ya kichwani mhuni2 sio umeona kaenda kanisani kutoa milion 25 ndio izo wanyonge wanazo kimbizwa kira siku

  • @isayamwaibese7568
    @isayamwaibese7568 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni zaidi ya wasomi wa TRA.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 ปีที่แล้ว +2

    Jamaaa umenenaaa jamaaa umetema Cheche unafaaa kua kiongozi wa nchii kama rais

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu na kikwete wako January makamba ndiyo tatizo kubwa ktk inchi hiii maana ni wezi wezi kuliko maelekezo na huyo bibi muna muendesha kama rimoti

    • @allymahiyo2464
      @allymahiyo2464 ปีที่แล้ว

      Acha loho mbaya mjinga wwe na chuki zako za kutaja taja watu majina ulitaka babako na na shangazi zako ndio wawe viongozi? Acha chuki kilaza wwe.

  • @allyhassan7169
    @allyhassan7169 ปีที่แล้ว +1

    Wanyee mafisadi hao

  • @ramadhanisalum7547
    @ramadhanisalum7547 ปีที่แล้ว +1

    Ao awasikii kitu ayo ulio yaongea yamepita kushotu tuu mnajisumbua

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni nguvu ya pesa. Wasio na pesa hata kulalamika hawawezi.

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu ajiudhulu elim yak niyakipumbav hamusaid mwananch ila kumwangamiza lais aliangalie hilo

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 ปีที่แล้ว +1

    Dah nchi ya mafisadi Sana hii

  • @hildamkongwa2156
    @hildamkongwa2156 ปีที่แล้ว +1

    Sis ndo wasomi kuliko wenye PhD wapo wapo tuu

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว +2

    Sisi wote tunanunua injini za magari uganda tunapita chini

  • @GeorgeMtei
    @GeorgeMtei ปีที่แล้ว +1

    Yani mwigulu yuko hapo

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mwigulu ivi mama amuoni

  • @veranlenard9184
    @veranlenard9184 ปีที่แล้ว +1

    Majaliwa alistahili kua raìs

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 ปีที่แล้ว

    Wananchi wana akili kuliko viongozi wanaowaongoza

  • @janemakundi5095
    @janemakundi5095 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @eliajuma1400
    @eliajuma1400 ปีที่แล้ว +1

    F9f

  • @isayamwaibese7568
    @isayamwaibese7568 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ni zaidi ya wasomi wa TRA.

  • @eliajuma1400
    @eliajuma1400 ปีที่แล้ว +1

    F9f