Maisha yanahitaji sacrifice,na Mungu hawezi kukupa vitu vyote kwa wakati mmoja,kuna wakati unatakiwa uforegone baadhi ya vitu ili uweze kupata vitu vingine,so kwa wadada au wakaka wanaotafuta kwenda abroad mlifahamu hilo,kuna baadhi ya vitu vya bongo utavikosa ila pia kuna faida utazipata ukiwa abroad.Kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia kukutana na mazingira mapya.Kikubwa focus na malengo ya maisha yako..
Yaani Naky nakuelewa sana aisee Mimi nimefika hapa mwaka Jana ila swala la upweke ni balaa sana,ila kulingana na maisha ya bongo mtu akipata nafasi ya kuja aje tu swala la upweke ata adjust
Ugonjwa wa upweke ughaibuni ni jambo la kawaida meaka wa kwanza, helaheka za bongo zina utamu wake kibongobingo kazini ni utani utani vikao vya harusi kila wiki, sherehe za hapa na pale vurugu za ndugu na jamaa mradi maisha yanakwenda, ulaya ustaarabu mwingi kuko kimyaaa una pesa na majumba ya starehe kibao lakini vibe lake tofauti na bongo, unavyosema unabakia kusema nyumbani hawanipendi napiga simu hawapiokei kumbe uko kwenye kipindi cha ugonjwa wa upweke
Muhimu katika maisha kuchukua kinachokuhusu kisichokuhusu achana nacho watu mnahoji kuhusu mtu badala ya kufata kilichokuleta kwwnye hii channel ni kusikiliza content then mengine mwachie mtu binafsi,acheni udadavuaji mwingi
Wazungu ni watu wa kubalance muda wa kazi na wa familia. Kwa mfano Watoto lazima wa participate kwenye after school activities, wazazi kuwa available ni muhimu
Yes it's like me , I think the girl is SDA and it's like I have been knowing her , but alikuwa mdada mcheshi na mkimya pia mstaarabu , this is my memory na nikama alinitangulia kwa darasa shule , kama akili yangu inakumbuka vyema ,but nimefurahi dear shena na dadaake mgeni wetu WA Leo
Ni kweli hao mablack American wa US wanakasirika HARAKA , Wana akili za kujibagua ukisema tu kitu kwake ni DHAMBI , ni wavivu vivu flan wanalalamikaa ,nimependa Naki ulivyorahisissha mambo kwenye swala la ubaguzi we tafuta ela piga KAZI Mami life is easy everywhere ili mambo yawe rahisi
Mimi ninachowezakuwa omba watu wa nyumbani iiiii!mtu akinyenyua mguu kuja nje waacheni kabsaaa kama utaweza mpigie simu kumsikiliza tuu, huku kula kuvaa simu unaweza pewa ila maisha yenyewe sasa ni mtihani mkubwa watu wengine hawapendi kuongea sababu mtaogopa. Yaani salaam tu inatosha
Watu weusi hawana shida kuwa wesusi wana shida na ubaguzi wa rangi. Na ubaguzi upo, sasa huyu dada anataka kuditufautisha lakini ata baguliwa kama wengine tuu.
Marekani kama huna leseni ya gari hawakupi kazi, kuendesha gari kwa Marekani sio ufahari ni lazima, kuna maeneo mengi hakuna madaladala utaendaje kazini kama hauna usafiri

From Usa River to USA❤
Very nice interview.
Nimependa lafudhi yako ya arusha❤
Naomba kuuliza Nacky hizo nywele zako natural au umevaa wigi,nimezipenda umependeza sana❤
Ni natural...Asante mwaya
Kweli zimempendeza sana.
Wigi
Asante sana kwa elimu 🙏🏻🤝
I like this lady's mindset 😅..tokea nmekuja western countries huku, ninaishi na mindset kma yake towards skin colors..and life is good no stress!
realy waswahili cc tnapenda jokes,kazini just why wanatushangaaa tlivyo charming
Yaani Naky nakuelewa sana aisee Mimi nimefika hapa mwaka Jana ila swala la upweke ni balaa sana,ila kulingana na maisha ya bongo mtu akipata nafasi ya kuja aje tu swala la upweke ata adjust
Uko mda mfupi, lakini umeyasoma maisha ya huko na watu wao vizuri sana.
Ugonjwa wa upweke ughaibuni ni jambo la kawaida meaka wa kwanza, helaheka za bongo zina utamu wake kibongobingo kazini ni utani utani vikao vya harusi kila wiki, sherehe za hapa na pale vurugu za ndugu na jamaa mradi maisha yanakwenda, ulaya ustaarabu mwingi kuko kimyaaa una pesa na majumba ya starehe kibao lakini vibe lake tofauti na bongo, unavyosema unabakia kusema nyumbani hawanipendi napiga simu hawapiokei kumbe uko kwenye kipindi cha ugonjwa wa upweke
Hongera zako
Muhimu katika maisha kuchukua kinachokuhusu kisichokuhusu achana nacho watu mnahoji kuhusu mtu badala ya kufata kilichokuleta kwwnye hii channel ni kusikiliza content then mengine mwachie mtu binafsi,acheni udadavuaji mwingi
Nimekupenda unaongea maneno ya uhalisia .
Wazungu ni watu wa kubalance muda wa kazi na wa familia. Kwa mfano Watoto lazima wa participate kwenye after school activities, wazazi kuwa available ni muhimu
Yan uyu msichana ni mimi kabisaaa friendship relationship ndo vitu vyangu mapenz kwangu inatake time kumuamini mwanaume
I think I know the girl ,😂😂😂😂 great madame all the best ,
Nacky chikiraaaaaaa
Jamani Phina,hujambo!?
bongo rahaa uwe na pesa pesa huna kazi huna aaah pagumuu😅😅😅😅😅😅
Nakijwa? Tena Chikira? 2021 lafudhi ishakuwa khuuuuu
😂
Dada uyu uzungu mwingi sana anachanganya maomgezi sana duuuh
Mbona kama unangea kama mange kimambi😂😂😂😂😂😂
Ascent ndio imekuja haraka haikukawia mda 😊.
Yes it's like me , I think the girl is SDA and it's like I have been knowing her , but alikuwa mdada mcheshi na mkimya pia mstaarabu , this is my memory na nikama alinitangulia kwa darasa shule , kama akili yangu inakumbuka vyema ,but nimefurahi dear shena na dadaake mgeni wetu WA Leo
Huyu sister Nacky Nathan Chikira , atakuwa mpare
Yes na ana roho nzuri sana. Very friendly and charming
Unaongea short short Sana..
Watu tupo exited hapa..
😂😂😂 kuna vitu anajaribu kuficha, wajua si vizuri kujiachiiiia kila kitu chako in public hujui mbaya wako
Ana mapoz huyu dada
😂😂😂😂😂😂
Hiyo miwani jameni 🤗🤭
Darasa halijakufaa ?
Dada naomba uwe unawahoji na wanaume wanaooa wazungu
Ni kweli hao mablack American wa US wanakasirika HARAKA , Wana akili za kujibagua ukisema tu kitu kwake ni DHAMBI , ni wavivu vivu flan wanalalamikaa ,nimependa Naki ulivyorahisissha mambo kwenye swala la ubaguzi we tafuta ela piga KAZI Mami life is easy everywhere ili mambo yawe rahisi
Mimi sioni tabu kukaa peke yangu. Ndiyo napenda kweli
Mimi ninachowezakuwa omba watu wa nyumbani iiiii!mtu akinyenyua mguu kuja nje waacheni kabsaaa kama utaweza mpigie simu kumsikiliza tuu, huku kula kuvaa simu unaweza pewa ila maisha yenyewe sasa ni mtihani mkubwa watu wengine hawapendi kuongea sababu mtaogopa. Yaani salaam tu inatosha
Umesema kweli kabisa, shida ya wabongo wakiona simu ya Ulaya wanawaza kuomba pesa au simu hawawazi kumsikiliza Ndugu yao mahangaiko yao
Watu weusi hawana shida kuwa wesusi wana shida na ubaguzi wa rangi. Na ubaguzi upo, sasa huyu dada anataka kuditufautisha lakini ata baguliwa kama wengine tuu.
Marekani kama huna leseni ya gari hawakupi kazi, kuendesha gari kwa Marekani sio ufahari ni lazima, kuna maeneo mengi hakuna madaladala utaendaje kazini kama hauna usafiri
Tualikie Anna Nafula
You know 😂😂
Sauti akuna
So so sooo soo😅
😂 kwanza hawatak kuitwa wa Africa wanataka kuitwa.blackamerica
😂😂😂😂
Wamevurugwa na utumwa ata kuitwa black hawataki hawana urafiki na sisi Ndugu zao
Siku s nying nakuja USA so nitakuwa nakuja kupga story na ww