Amina Mungu atukuzwe mwalim Christopher Mwakasege na huduma yote ya mana ,nabarikiwa sana na mafundisho haya ,Mungu ananipeleka viwango vingine vya juu zaidi.
Asante Mungu Baba Mponyaji umetuma neno lako nipone Wewe ni Bwana, Roho Mponyaji.. Nimepona katika jina la Yesu Kristo Amina. Asante Yesu Kristo kunipenda kuniokoa na kuniopoa na kuniponya na kila taabu. Asante Mwalimu na timu yote ya MANA kazi yenu sio bure.. 1WAKORINTHO 15:57-58...
Asante Yesu kwa zawadi ya maisha ya walimu Mwakasege. Mungu azidi kumpaka mafuta kwa ajili ya kanisa lake. Tunakubariki Mungu.
UBARIKIWE SANA MTUMISHI ULIYEIMBA UWEPO WAKO BWANA UWE NAMI,GHAFLA NIKAJIKUTA NAILIA YAANI DAH
Amina Mungu atukuzwe mwalim Christopher Mwakasege na huduma yote ya mana ,nabarikiwa sana na mafundisho haya ,Mungu ananipeleka viwango vingine vya juu zaidi.
Asante Yesu kwa mtumishi wako na kwa neno la ufunuo.
Mungu akutunze mtumishi
Mungu turehemu tusaidie tusimame pamoja NA mifumo yako. Zaidi tuwezekuitambua sauti yako NA kuitiii. Pekee yetu hatuwezi tupe roho mtakatifu wako😢😢
Mungu endelea kulinda na kuitunza huduma hii ya mana na watumishi wake wote.
Asantee Bwana YESU kujidhirisha hekima yako kupitia mtumishi wako Mwlm.Mwakasege Amen sana
UMETUKUKA YESU.I PRAISE YOU MY LIVING JESUS.PONYA MBEYA YETU,USIACHE KUNIGUSA JEHOVA
2:31:30 2:31:30 2:31:30
Hii ibada ilinihusu mim katika jina la Yesu nimepokea uponyaji wa figo zangu ni nzima kuanzia sasa kwa jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu
Ninamtukuza mungu Kwa ajili ya huduma ya mana mungu awabariki sana
Wewe ni YESU uniponyaye🙏
Asante Mungu Baba Mponyaji umetuma neno lako nipone Wewe ni Bwana, Roho Mponyaji.. Nimepona katika jina la Yesu Kristo Amina. Asante Yesu Kristo kunipenda kuniokoa na kuniopoa na kuniponya na kila taabu. Asante Mwalimu na timu yote ya MANA kazi yenu sio bure.. 1WAKORINTHO 15:57-58...
Mungu tusaidie tuvushe tunapokwama
Mungu asante kwa upendo walisisk kwetu❤❤
asante Yesu kwa mtumishi wako nimebarikiwa
Mungu awabaliki watumishi
God connect with me here as I seek YOU in your Word!
Asante Yesu unayenipa majibu
Mungu akuongezee wingi wa siku amina
Amen Amen
Mbarikiwe
Amen mungu awachilie baraka kubwa
Amina amina nimekwelewa bwana amina
Mbarikiwe San hudma ya mana
Amina 🙏 MUNGu mwaminifu
Simba wa Yuda anaungurumaa 💪🏾
In Jesus name hallelujah glory to Jesus
Ameen
Amina
Ameeeeeeeniii
Msifu BWANA Wa Mabwana
Amen
🙏
😢😢😢😢😢
Asante Bwana Yesu kwa uponyaji kupitia mtumishi wako Amen
Aminaaaaaaaaaaa
Hii ibada ilinihusu mim katika jina la Yesu nimepokea uponyaji wa figo zangu ni nzima kuanzia sasa kwa jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu
Amen
Amen baba
Mungu awe pamj n ww mwalimu akuzidishie neema n Miaka mingi Kam ya mussa
Amen
Amen