MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE , SEMINA YA VIJANA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • MAMBO 6 NYETI YANAYOWASUMBUA VIJANA

ความคิดเห็น • 165

  • @neemakimaro6871
    @neemakimaro6871 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa alivosema kuhusu kuoa kanisani kwako💔💔😅its not a law,,God bless you Sir.

  • @MagdalenaAyubu-ox5fz
    @MagdalenaAyubu-ox5fz ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu na mimi nijakie nipate Mume Mwaka huu usiishe ambaye anahofu ya Mungu eeeeer Mungu nisaidie🙏🙏

  • @vickyedo2127
    @vickyedo2127 3 ปีที่แล้ว +13

    Mungu anijalie mume mtiifu na mwenye hofu ya Mungu maana yeye ndio anichaguliae mtu sahihi kwng 🙏

  • @happynessmanson8609
    @happynessmanson8609 3 ปีที่แล้ว +17

    Eeh Mungu nijaalie ujana ulio mwema wenye furaha,amani,mahusiano yaliyotoka kwako,kibali,utii,usikivu na mafanikio.NAPOKEA KATIKA JINA LA YESU🙏

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

    • @murhulachristian9274
      @murhulachristian9274 ปีที่แล้ว

      nikweli mungu ni upendo

  • @jessymoyo4836
    @jessymoyo4836 3 ปีที่แล้ว +5

    1.Mwinjilisti ni kutafuta watu ili waokoke,
    2.mchungaji ni kuhakikisha kondoo /walio okoka wanakula,
    3.Nabii hajui kukaa na watu,anakaa na Mungu zaidi kuliko watu hana marafiki,

  • @jumaelizabeth5532
    @jumaelizabeth5532 4 ปีที่แล้ว +24

    Hello mchungaji, nimekua nikiyaskiza mauhubiri yako.n tangu nimekua nayafuatilia hakika nimenywa n kubarikiwa sana.mm n mkenya ila nipo uarabuni.nimekua nikiomba kupata ndoa ya haki mbele za mungu.nimepona magoti yalikua yananiuma kwa mda wa miaka 4 ,lakini ndani ya wiki moja nilishika magoti n ukaanza kuomba .hakika nimepokea uponyaji.asante na ubarikiwe mchunguji.naomba pia umwombee mamangu anaumwa sana n makoti hawezi ata kutembea hatua ndefu

    • @salomeenock9005
      @salomeenock9005 3 ปีที่แล้ว

      Helloe ndoa umepata.

    • @victoremanuel6956
      @victoremanuel6956 3 ปีที่แล้ว

      Ur numbers plz

    • @marianguli5529
      @marianguli5529 3 ปีที่แล้ว

      Baba nilimwomba Mungu anijibu ombi langu kupitia watumishi wa Mungu, Mungu amekutumia ww kujibu swali langu tena umejibu waziwazi Asante Mungu kupitia mtumishi wako

  • @simonmushi870
    @simonmushi870 2 ปีที่แล้ว +2

    Bwana yesu asifiwe mwalimu nafurahia sana kusikiliza mafundisho yako hakika nabarikiwa sana mungu akupe maisha marefu ili uendelee kuwakomboa vijana walio wengi maana katika ndoa nyingi ziko na mataizo mengi na kosa nikushindwa kuongea na mungu hapo awali barikiwa.

  • @furbenj7405
    @furbenj7405 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen my Father nashukuru sana kwa kupata mbinu hizi sitakosea tena nitazidi kumngoja Mungu anijibu nitachukua mambo yakuzingatia asante sana be blessing

  • @rayshaula1140
    @rayshaula1140 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen..
    Kwa Mungu hatukosi..kumbe tusifanye haraka.
    Nimepona kwa jina la yesu

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @lilianmkelewele7489
    @lilianmkelewele7489 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameni nabalikiwe na mafundisho yako pia naoma namim mungu anipe mme mwema kutoka kwake

  • @lisakessy1795
    @lisakessy1795 9 หลายเดือนก่อน +2

    Vijana tuschoke kuskilza na kusoma neno la Mungu...

  • @AlfaSanga
    @AlfaSanga 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki huduma ya Mana, tunabarikiwa sana na mafundisho ya mtumishi wa Mungu Christopher Mwakasege.

  • @Minister-Of-TheGospel
    @Minister-Of-TheGospel 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Bwana Yesu kwakunikutanisha na neno hili. Uzidi kumbariki na kumtia nguvu mtumishi wako Amina.

  • @olenjolai8095
    @olenjolai8095 4 ปีที่แล้ว +4

    2 Mambo ya nyakati 7:14...Mungu ahsante kwa Neema yako ya Maandalizi ya Kongamano la 12 la KITAIFA...Tutakuwa wote katika Maombi ya Taifa letu la Tanzania...Mungu akutane na sisi...Mungu aendelee kuwapa maisha marefu ya Kufanya Kusudi la Mungu, Mwalimu wangu Christopher& Diana Mwakasege

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @TulasupaSanga
    @TulasupaSanga 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu Mungu akubariki,, Mungu nakuomba haJa ya moyo wangu aminaa 🙏🏿

  • @felisternicholaus3281
    @felisternicholaus3281 ปีที่แล้ว

    AMEN. Nimejifunza jambo kubwa sana Asante Yesu kwa kumtumia mtumishi wako kwa mafundisho mazuri kama hata. Asante Yesu

  • @gideons5265
    @gideons5265 4 ปีที่แล้ว +12

    Masomo yako(hasa yale ya zamani) yamenikaa kichwani sana kiasi kwamba nikitaka kufundisha napata mtiririko wa kwako, imenisaidia sana katika utumishi. Ila sauti siwezi kuiga.. nikisikiliza somo lazime niweze kunyambua nipate vya kwangu..
    NAKUHESHIMU SANA

  • @khamishajji4230
    @khamishajji4230 3 ปีที่แล้ว +3

    Hutuba nzur sana nimeipenda ina mafundisho ya waziwazi kw dini zote ata wasio na dini ujumbe unawafikia..Hutuba ni mahubir mtanisameh nimetumia rugha ya upande wapili

  • @happykamera6001
    @happykamera6001 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu nijaalie mume wa kufanana na Mimi mwembamba mweusi tiiii mrefu .mapenzi yako yatimie

  • @jescakitinga4393
    @jescakitinga4393 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante baba kwa mafundisho mazuri MUNGU anisaidie

  • @gracetnnko3520
    @gracetnnko3520 3 ปีที่แล้ว +2

    We munqu nijalie kuishi ktk mapezi yako naomba unipe mme mwema ,mwalimu munqu akupe maisha marefu wewe na familia yako na ulinzi wa munqu uwe juu yenu

  • @nasrahamissi1228
    @nasrahamissi1228 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nijalie mume wa kufanana nami mrefu majiakunde mwenye mwili wastani

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @selemanjames8190
    @selemanjames8190 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mwl.kwa mafusho mazuri kweli Kuna mahalo umenifungua bwana akupe uishi siku nyingi dunian

  • @P.W.I.P.I_MINISTRIES
    @P.W.I.P.I_MINISTRIES 3 ปีที่แล้ว +6

    GOD BLESS YOU MAN OF GOD.
    AM BLESSED WITH YOUR TEACHINGS🙏.

  • @El9a
    @El9a 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa kusikia habari ya wito"
    Nimeelewa ndoto niliyoiota kuhusu Mwalimu Mwakasege
    Niliota kuna eneo ambalo maji yake yalikuwa machungu ila Mwalimu nilimuona akinywa maji masafi mfano wa maji ya kilimanjaro, yapatikanayo kwenye mti...
    Nikaelewa inamaanisha chanzo cha mafundisho yake ni sahihi kwa kila mwamini wa Kristo...
    Hivyo kila muamini asiwe msikiaji tu bali mtendaji wa Neno ambalo Roho Afundisha na kufunua kupitia watumishi wake...
    Atukuzwe Yesu Kristo... Amina.

  • @jofreyjohn6360
    @jofreyjohn6360 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba umenifungua Sana ufahamu wangu nmfurahia MUNGU kwa ajili yako

  • @eliyagodfrey5548
    @eliyagodfrey5548 4 ปีที่แล้ว +3

    it's a nice sermon stay blessed and may GOD BLESS U

  • @abusanga347
    @abusanga347 4 ปีที่แล้ว

    Asante mwalimu mungu akubaliki nakukuzidishia miaka na hekima na malifa

  • @jennifermasanja8306
    @jennifermasanja8306 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu apewe sifa naomba muendelezo wa hili neno jambo la nne .tano na sita nyeti

  • @zeldalyimo5713
    @zeldalyimo5713 4 ปีที่แล้ว +3

    Shalom nawaunganisha watoto wangu na madhabahu hii.

  • @AlphaMaope-cc3zq
    @AlphaMaope-cc3zq ปีที่แล้ว

    🤝🤝 namshukuru mungu kwa ajili yako baba GOD blexx u

  • @lightnesssawe4112
    @lightnesssawe4112 3 ปีที่แล้ว

    Amen...Glory to God....naomba mwendelezo wa somo hili

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nipe mme mweusi wa kufanana naye 😌

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @upendomshana5952
    @upendomshana5952 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amenitendea kwa kuwa huyu amenilisha chakula Cha uzima

  • @neymermponde7810
    @neymermponde7810 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba umeniponya moyo leo Ameen barikiwa

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen neno la wachungaji kawachagulia watumishi kuoa sehemu moja na siyo sehemu nyingine

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @lizzielizzie2585
    @lizzielizzie2585 4 ปีที่แล้ว +3

    Na ahimidiwe Mungu wako alikujaza roho Mtakatifuu na kukupa maarifa makubwaa yakimbingu namtaka Mungu wako huyu na mimi😢

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @frankjoseph732
    @frankjoseph732 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu akubariki Sana mtumish wake

  • @janethlusekelo8432
    @janethlusekelo8432 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani mafundisho mazuri Sana natamani ningepata muendelezo wa hii😮😢❤

  • @naomiobeld-hq1eu
    @naomiobeld-hq1eu ปีที่แล้ว

    Eee Mungu asantee Kwa mtumishii huyu ananiinua kiroho Kila nikisikiliza huduma ya neno lako.mwinue zaidii na mbarikii zaidii

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe mbingu mpakwa mafuta ya bwana

  • @yustinamakaranga7106
    @yustinamakaranga7106 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @winfriedmwinuka6169
    @winfriedmwinuka6169 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu akupe Maisha Marefu Mtumishi Wa Mungu

  • @estherfredrick1511
    @estherfredrick1511 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu utukuzwe milele.Amen

  • @nestamwandenga5120
    @nestamwandenga5120 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @BlannkaBlannkashayo-sj6xl
    @BlannkaBlannkashayo-sj6xl 7 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kitu kikubwa mno Asante yesu

  • @calistershayo4673
    @calistershayo4673 ปีที่แล้ว

    Mungu nijalie iman yako

  • @sistergine9234
    @sistergine9234 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe BABA yangu wa kiroho

  • @tunukiwamahenge1549
    @tunukiwamahenge1549 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mtumishi neno la wakati kwangu

  • @marytabu4904
    @marytabu4904 2 ปีที่แล้ว

    Amina Mungu akubariki mtumishi.

  • @johnsonmisheto9422
    @johnsonmisheto9422 2 ปีที่แล้ว

    amen you have blessed me so much,long live pastor

  • @jovinmutakumwa9611
    @jovinmutakumwa9611 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu mwema Maana Anajua kuniongoza kutuongoza sisi watoto wake 🙏🙏🙏

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @yustinamakaranga7106
    @yustinamakaranga7106 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa mungu

  • @SekinoLaizer-co5ep
    @SekinoLaizer-co5ep 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU.

  • @tarajangwema5657
    @tarajangwema5657 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik sanaaaa mwalimu

  • @anophrinedesdeus6139
    @anophrinedesdeus6139 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwaminifu, somo muhimu sana hili...

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

    • @anophrinedesdeus6139
      @anophrinedesdeus6139 3 ปีที่แล้ว +1

      @@siscatherineebenesar3467 acheni utapeli

  • @joycedamian819
    @joycedamian819 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah

  • @agnesnzali5724
    @agnesnzali5724 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu umeniponya

  • @samwelvianga1225
    @samwelvianga1225 3 ปีที่แล้ว +3

    Glory to Jesus Now and Forever Amen

  • @user-eo5lm2ii9j
    @user-eo5lm2ii9j 11 หลายเดือนก่อน

    Mung akubalik baba

  • @priscachengula8507
    @priscachengula8507 4 ปีที่แล้ว

    Somo zuri ,linagusa moyo.Ubarikiwe

  • @argentinasmatandola4571
    @argentinasmatandola4571 2 ปีที่แล้ว

    asante mwalimu wetu ubarikiwe

  • @consolatantani7884
    @consolatantani7884 4 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu anatufungua siku kwa siku barikiwa Sana mwalimu

  • @successplatformtv1823
    @successplatformtv1823 3 ปีที่แล้ว

    May almighty God bless you

  • @danielmunis7524
    @danielmunis7524 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu uishi milele nafsi nyingi zipone ubarikiwe Mtu wa Mungu

  • @MerryMarco
    @MerryMarco 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @elizabethtiffany2663
    @elizabethtiffany2663 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana

  • @lizzybeth6051
    @lizzybeth6051 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah 🙌🙏

  • @ezekielassey3133
    @ezekielassey3133 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa neno. Mungu azidi kukufunulia.

  • @zabihunamfinanga9968
    @zabihunamfinanga9968 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sanaa baba

  • @daphrozaasmwe7558
    @daphrozaasmwe7558 3 ปีที่แล้ว

    Ameeen nimepona kabsa

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @abelgideon1819
    @abelgideon1819 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimelipata la kwangu

  • @jacklineamandi34
    @jacklineamandi34 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe Sana

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @careenshine9483
    @careenshine9483 2 ปีที่แล้ว +1

    nataka namba za mwl au za huduma jmn

  • @josephsankilil1603
    @josephsankilil1603 3 ปีที่แล้ว

    nimebalikiwa na neno

  • @carolynelouis4867
    @carolynelouis4867 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 3 ปีที่แล้ว

    Hata mm napenda mwanaume anaevaa miwani,mrefu, mfupi hapana

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 👏✋

  • @RoseUrio-bl3dm
    @RoseUrio-bl3dm 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen ❤❤

  • @kwangupaul7855
    @kwangupaul7855 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii clip imeishia apa au inaendelea wapendwa?

    • @lynelee5846
      @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว +1

      Nami nauliza pia

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว

    Somo limekuja kwa Wakati 🇰🇪🇧🇭🇰🇪

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @getrudajerome-eg9xo
    @getrudajerome-eg9xo ปีที่แล้ว

    Amen👍

  • @clinton3168
    @clinton3168 ปีที่แล้ว

    Mwendelezo wake uko wapi 🙄

  • @devothafrederick4352
    @devothafrederick4352 ปีที่แล้ว

    Sifa na utukufu Kwa Bwana Kwa ajili ya mtu huyu .Kuna jambo nimepata hapa

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 4 ปีที่แล้ว

    Mambo nyeetii na ni muhimu

  • @albertemmanuel5152
    @albertemmanuel5152 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @liliananold888
    @liliananold888 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @tusamoses3154
    @tusamoses3154 4 ปีที่แล้ว +2

    May God bless you.

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

    • @thomasmlawa7232
      @thomasmlawa7232 2 ปีที่แล้ว

      Ameniiiiiiii

  • @juliusjoseph7009
    @juliusjoseph7009 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @elisantemziray4560
    @elisantemziray4560 2 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @kelvinkathbert252
    @kelvinkathbert252 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @YasminYasmin-kj4ep
    @YasminYasmin-kj4ep 4 ปีที่แล้ว

    Ameen

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @guddy9047
    @guddy9047 3 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji full clip wapendwa

  • @boniphacemwalikiamos4516
    @boniphacemwalikiamos4516 4 ปีที่แล้ว

    Mwl. Naomba ujumbe huu Upate kibali mbele zako kuwa Uniombee ktk maeneo haya Mawili ( 1) Uniombee Nina karama ya UALIMU Nahtaji Ikue Kama Zaidi Ya Hii Yako.
    (2) Niombee pia Nistawi Nahitaji Kuoa Pia Japo Ninalo Chaguo tayari Na Nimekwisha Omba ili kupatana Naye Naskia Amani tu Je Hii Ni Sahihi Naamini Mungu Atakutumia katika Kunipa Jibu.
    Ubarikiwe.

    • @valencemlami9113
      @valencemlami9113 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina Mungu akupe maisha marefu mtumishi

    • @boniphacemwalikiamos4516
      @boniphacemwalikiamos4516 4 ปีที่แล้ว

      @@valencemlami9113 Amen Lkn Jibu Limekuwa Fupi Zaidi Ukilinganisha Na Swali Au Sijampata Mhusika Zaidi?

    • @mankamasawe1106
      @mankamasawe1106 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @yoramtango2470
      @yoramtango2470 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama moyo wako una amani Naye atakuwa NI chaguo la MUNGU kwako, na kwa upande wa huduma vuta Subira MUNGU atakukuza kwa Wakt wake. Amina

  • @samsonezekiel9232
    @samsonezekiel9232 4 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeniii

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you....

  • @nyanda427
    @nyanda427 4 ปีที่แล้ว

    Aimen

  • @samsonezekiel9232
    @samsonezekiel9232 4 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeen

    • @jeremiahwariaeli5656
      @jeremiahwariaeli5656 3 ปีที่แล้ว

      Ameeeeeerrrrrrnnnn

  • @priscardaniel2740
    @priscardaniel2740 3 ปีที่แล้ว

    nafunguka kuputia hili neno

  • @merickjk2331
    @merickjk2331 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mtu aliniuliz hivi yeye kila siku anaomb toba lkn anjikut kila siku anardia kosa lile lile la kuangalia pornograph xax afnyj ili aach n mungu amsamehe na si kwamba anapenda lakini kajikuta tu

    • @christinakannole9658
      @christinakannole9658 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwambie afunge angalau siku 14 akiomba anywe maji, herbal tea au juisi ya natural apple au cranberry bila kula chakula kwa siku zote hizo. Siku ya 15 ya kufungua anywe supu ya/na vegetables tu kwa siku 3 za mwanzo maana utumbo utakuwa umesinyaa. Kujinyenyekeza huku kunampa Mungu nafasi ya ku renew mindset na mwili pia. Amen

  • @mariahluhumbika682
    @mariahluhumbika682 3 ปีที่แล้ว

    Glory to God