Ee MUNGU wangu wa mbinguni sifa na heshima zikuludie wewe kwa kweli nimezaliwa upya na kubarikiwa kwa kupitia mchungaji mwalimu mutumishi wako mwl mwakasege 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
MUNGU sifaheshima tunakurudishia.maana unatupenda❤ utusamehe maana shetani ametuficha sana na kutundaganya.juu ya mapenzi yako kwetu.turehemu baba yetu.😭😭😭
Nampenda mtumishi wa Mungu Ev Mwakasege. Napenda jinsi unafanya mikutano baada ya mikutano kwa ajili ya Bwana. Kama tu jinsi hapa Kenya Mchungaji Archbishop Harrison Nganga anafanya mikutano baada ya mikutano. Natamani kuwa kama nyinyi na zaidi kuwa kama Kristo Yesu.
Ee MUNGU wangu wa mbinguni sifa na heshima zikuludie wewe kwa kweli nimezaliwa upya na kubarikiwa kwa kupitia mchungaji mwalimu mutumishi wako mwl mwakasege 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Safi sana Mungu awabariki sana kwa kazi njema mnayoifanya.
MUNGU sifaheshima tunakurudishia.maana unatupenda❤ utusamehe maana shetani ametuficha sana na kutundaganya.juu ya mapenzi yako kwetu.turehemu baba yetu.😭😭😭
Asante kwakutufunuria haya MUNGU tunakuomba uendere kumtumia mtumishi wako kwa kiwango Cha juu enderea kujizihirisha ndani yake🙏🙏
Nampenda mtumishi wa Mungu Ev Mwakasege. Napenda jinsi unafanya mikutano baada ya mikutano kwa ajili ya Bwana. Kama tu jinsi hapa Kenya Mchungaji Archbishop Harrison Nganga anafanya mikutano baada ya mikutano. Natamani kuwa kama nyinyi na zaidi kuwa kama Kristo Yesu.
Hiyo nyamanoro vijana NVC inaimba jamani sauti zimepangwa nimebarikiwa sana pia buzuruga ni kwaya za mastar wa yesu ote safi sale nzuri ✅✅💒
Duuh au nitoke tu uarabuni nirudi kuendelea na huduma 😢 from Kenya we celebrate the Lord in you baba 🌍🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
Barikiwa San waimbaji weye kipanji Cha music wayesu😊❤
Amen 🙌🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🎉🔥🔥
God bless you all, that drum boy wa Buzuruga Choir ni 🔥🔥….. Asante sana Baba, MWL Mwakasege .
Amen God bless all 🙏🏽🙏🏽🔥🔥
Amen, Yesu nisaidie nisimamie mapenzi yako kwenye biashara ya keki
Aksante baba,long life.mungu wako asifiwe
Utukufu kwa YESU MUNGU nirehemu kwa kufata mkumbo
Sitoki nabaki GGerari yangu
Barikiwa xana mtumishi wa mungu
MUNGU akutunze sanaaaaaaaaa mwalimu
Mungu tusaidie uchumi huu unatuliza sana
Namshukuru mwalimu ubarikiwe saaana
Amina sanaaaa🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwa bwana
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Nawapenda Sana buzuruga kwaya❤
Ni dhehebu gan hawa
@getrudafega9770
Ni huduma ya watu wote
Amina❤
Amen
Nikweli kweli kwenywe sifa mungu anaishi
Very Powerful Message
Hiyo choir iliyovaa sare ya orenge imenibaliki sana
Amen Amen Amen
Amina
Vijana msiharibu sifa mukiongoza
Ameeeeen
Ila mmetoa Download Jamaniii😭😭😭😭
Kwa mwendo huu shetani nawafuasi wake mtakubali😅
Mimi nahitaji hiyo kadi naombeni mnisaidie namna ya kuipata.
Amina
Amen