Ahsante Mungu kwa upendo wako kwetu , hupendi tuangamie. Kila msimu mpya unamtumia mtoto wako kutupatia neno la wakati, Uwepo wako Mungu uwe nasi. Tuufatute Ufalme wa Mbinguni mengine tutazidishiwa. Hallelujah, Majira mapya, Divai mpya, viriba vipya na Mfumo mpya. Mungu akutunze Mwl. Mwakasege & Diana. Pamoja na Team nzima ya MANA. AMEN
Niliwahi kumwambia Mungu nikiwa mdogo nilimwambia Mungu nataka kufika alipo zaliwa Ibrahimu na kweli Mungu wetu anajibu leo hii nipo hapa alipo zaliwa Mungu amenijibu nahata malizangu nimezipata hapa IRAQ
Sante kwajili ya. Somohili sifa heshima NA utukufu twakurundishia ww. Asnte kwa pendo unaotupenda e bwana. ❤❤❤😂😂Unaotupenda sana mungu wetu. Turehemu kwakutokukujuwa ipasavyo.
Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege leo asubi nilikuwa naendeleza maombi ya toba kuanzia saa 2:usiku mpaka 4:00 asbui na kuanza kuabudu wimbo unao sema mvua ya baraka ishuke ktk Ulimwengu wa roho nikaona ng'ombe na kuku na watu wanakimbia na vitu vingi sana vinakimbi ovyo kama kuna vujo fulani imetokea sokoni na skoni kuna vitu vingi vya ajabu Mwalimu Mwakasege Mungu wangu akubariki sana
Uinuliwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwa wote aliowaridhia kwa neema yake itufundishayo. Mwl. Mwakasage and Mkurugenzi wa huduma ya mana mama yetu mpendwa Diana Mwakasege tunamuomba huyo MAULANA awatunze na kuwahifidhi salama awazungushie nyimbo za wokovu wake mkuu siku zote za maisha yenu kwa ajili utumishi wenu
Bwana Yesu asifiwe naomba kuuliza mimi nafanya biashara lakini mfumo wa biashara yangu sijui. Mwalimu anaposema usio.bee biashara tu ombea na mfumo nikashindwa kuelewa mifumo yangu ya biashara ni vipi?
Kwenye biashara nachojua mfumo Ni namna unavyoendesha biashara yako kuanzia mtaji,wafanyakaz,wateja wako na Sheria na taratibu ulizojiwekea au kuziweka ili kufanikisha biashara yako kwa kifupi naelewa Ivo🙏🏼 Mungu akufunulie zaidi
Mungu mkuu akutunze na akuzidishie katika nguvu zake na akupe maisha marefu mwalimu umetuzaa wengi katika ualimu.
Ahsante Mungu kwa upendo wako kwetu , hupendi tuangamie. Kila msimu mpya unamtumia mtoto wako kutupatia neno la wakati, Uwepo wako Mungu uwe nasi. Tuufatute Ufalme wa Mbinguni mengine tutazidishiwa. Hallelujah, Majira mapya, Divai mpya, viriba vipya na Mfumo mpya.
Mungu akutunze Mwl. Mwakasege & Diana. Pamoja na Team nzima ya MANA.
AMEN
Kweli
Niliwahi kumwambia Mungu nikiwa mdogo nilimwambia Mungu nataka kufika alipo zaliwa Ibrahimu na kweli Mungu wetu anajibu leo hii nipo hapa alipo zaliwa Mungu amenijibu nahata malizangu nimezipata hapa IRAQ
Mungu akupe winginwa siku Mwalimu na Mama na uzao wenu. Hakika tunakua kiroho na kubadilika
Mungu wa mbinguni na akupe nguvu ya kutumika hemani mwake milele
Namshukuru Mungu kwa matendo makuu maana ninaushuhuda Mungu ni mwema
Utukufu Kwa Bwana . Mungu akutunze zaidi mwalimu .
Sante kwajili ya. Somohili sifa heshima NA utukufu twakurundishia ww. Asnte kwa pendo unaotupenda e bwana. ❤❤❤😂😂Unaotupenda sana mungu wetu. Turehemu kwakutokukujuwa ipasavyo.
Ameeeen asanteee baba MUNGU akubarikiii sanaaaa 🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Bwana yesu asifiwe sana huu ni utukufu juu ya utukufu na utukufu huu ni mkubwa kuliko ule wa mwanzo ❤❤❤❤❤
Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege leo asubi nilikuwa naendeleza maombi ya toba kuanzia saa 2:usiku mpaka 4:00 asbui na kuanza kuabudu wimbo unao sema mvua ya baraka ishuke ktk Ulimwengu wa roho nikaona ng'ombe na kuku na watu wanakimbia na vitu vingi sana vinakimbi ovyo kama kuna vujo fulani imetokea sokoni na skoni kuna vitu vingi vya ajabu Mwalimu Mwakasege Mungu wangu akubariki sana
Wakati,Majira yte Mungu ni mwema ameamua kushuka ili kutusaidia tufanikiwe sifa na utukufu ni kwa Yesu 🙏🏾
Mungu akutunze
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya mtumishi huyu Mwakasege.
Uinuliwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwa wote aliowaridhia kwa neema yake itufundishayo. Mwl. Mwakasage and Mkurugenzi wa huduma ya mana mama yetu mpendwa Diana Mwakasege tunamuomba huyo MAULANA awatunze na kuwahifidhi salama awazungushie nyimbo za wokovu wake mkuu siku zote za maisha yenu kwa ajili utumishi wenu
Nakupenda sana mwalimu wetu wakiroho
Haleluyah Wokovu nyumbani MWETU ndugu kakandada watoto na Wajukuuuu mashemejinna MAWIFI na wanaume wote wa familia
Amina tunabarikiwa kupitia wewe
Najiunganisha na maombi ya Mtmshi Mwakasege
Tunamshukuru Mungu Kwa ajiri ya huduma yako umetuvusha wengi.
Mungu akutumze baba
❤
Tupate wapi mtu kama huyu ambaye Roho wa Mungu anakaa ndani yake
Amen Amen
You're blessed man of God 🙏🏼
Asante sana kwani nime Dhaka kitu kipia kwa kujenga uduma pia safari yangu ya mbingu
Amen
Baba mungu akubariki San akupe macho yakuona mbali zaidi
MUNGU akupiganie jeshi la yesu
Amina❤
nakati ya vile vizazi vilivyo toka misri wapo hapa IRAQ kudristani niliwaona vizazi vyawo wamewatenga kwenye kijiji chawo ukitaka unaenda kuwatembeleya
tunabarikiwe
Najiunganisha na Maombi
Ameen
Amena
Ame Sana ubalikiwe baba
Amen🙏🙏🙏🙏
nikweli kabisa mpaka mafuta wa bwana napo hapa iraq kudristan ndipo alipo zaliwa Ibarim hata wawo maboss zangu wamesema amezaliwa hapa kudristan
❤❤❤❤❤❤
Bwana Yesu asifiwe naomba kuuliza mimi nafanya biashara lakini mfumo wa biashara yangu sijui. Mwalimu anaposema usio.bee biashara tu ombea na mfumo nikashindwa kuelewa mifumo yangu ya biashara ni vipi?
Kwenye biashara nachojua mfumo Ni namna unavyoendesha biashara yako kuanzia mtaji,wafanyakaz,wateja wako na Sheria na taratibu ulizojiwekea au kuziweka ili kufanikisha biashara yako kwa kifupi naelewa Ivo🙏🏼 Mungu akufunulie zaidi
Naomba niongezee eneo pia linaweza kuwa mfumo wa ufanyaji biashara yako
Amen.
Tunareta BWANA sifa
Amen 🙏🙏🙏
Amen