REV. DR. ELIONA KIMARO: GOD WILL USE YOU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2023
- KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA JUMAPILI (KUSIFU NA KUABUDU) - 03/12/2023.
UJUMBE WA LEO: MUNGU ATAKUTUMIA (GOD WILL USE YOU).
Zekaria 9 : 9
9 Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwana-punda, mtoto wa punda.
Mhubiri : Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Amina Tangia pasaka nilianza kufuatilia mahubiri yako na yananibadilisha na kunitia moyo
❤Mchungaji mungu azidi kukupandisha nabarikiwa sana na mafunzo yako ni baraka kwetu❤
Wewe mtumishi mafunzo yako ni baraka sana kwa wanaokusikiliza hii ni mbegu ubarikiwe sana
Mungu akubariki sana mtumishi , Kwa somohili limenibariki sana
Nabarikiwa sana! Mungu akutunze mtumishi
Amen 🙏 🙏 🙏 barikiwa mtumishi wa mungu nabarikiwa sana tena sana
Amen amen amen nabarikiwa nikiwa saudi Arabia
Mungu nitumie
Amen Mungu akubariki saaana pastor nimekuelewa nitafanyika kuwa baraka
Mch Mungu aku bariki zaidi sana Volonte From DRC Beni
Amen
Ameeen🙏🏾
Asante sana sanaa
🙏🙏
Mch Kimaro, una akili sana na bila Shaka Mungu amekujaza. Nimekuelewa sana baba Mch. Hakika Kuna jambo kubwa mno unalitimiza. Neno ni gumu sana lkn unalirahisisha mpaka nmeelewa sana. Barikiwa sana.
Mungu ni2mie na me baba
Amen nkuskisa mchungaji
Amen. Ninatanua mipaka yangu
Nitumie Bwana
Baba umefanyika balaka kwangu toka nianze kukufutilia mungu akubariki mtumishi wa bwama
Nakuelewa mno be blessed
Amina
Amina
Mungu wetu tunaemuamini azidi kukuinua kwaajili ya utukufu wake
Be blessed father
Mungu akubariki sana
Amen Amen Amen
Naomben namba ya sadaka nataka kupanda Yerusslem
My Pastor Rev.DR.E.Kimaro, your message is real fact from our Heavenly God, be blessed!
Amen