Dr. Chris Mauki: Dalili 6 Kwamba Bado Anakupenda.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 222

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 3 ปีที่แล้ว +9

    Chris Mauki,, napata Madini Sana kutoka kwako,,ahsante sanaaa

  • @yuliahenry3383
    @yuliahenry3383 ปีที่แล้ว +1

    God bless you more. Tunajivunia hekima yako Dr Chris. Mungu anatukuzwa hakika maana tunapona

  • @saminiasani4221
    @saminiasani4221 ปีที่แล้ว +1

    Insh’Allah mwenyezi mungu atanisaidiya ndampata mwenye atanipenda milele

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu wangu hili somo ni zuri Sana lkn kuanzia no 1 - 6 sina hata moja aliyonayo huyu kiumbe wa mama Mkwe ndyo Kwanza ukiwa na furaha anatafita sababu akukere

  • @AsnathBlaxio-hs4nh
    @AsnathBlaxio-hs4nh ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa maneno mazur ya kutia moyo 🥰

  • @doreenmkella3583
    @doreenmkella3583 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Dr mwenyez Mungu akutunze Zaid 🙏

  • @NshomaIsmail
    @NshomaIsmail 10 หลายเดือนก่อน

    Mwepes sana kuomba msamaha. Sana. Wang nshukul kwahilo👏

  • @madlynerose6493
    @madlynerose6493 2 ปีที่แล้ว +4

    May God give me that person 😊🙏

  • @victoriamjuni664
    @victoriamjuni664 2 ปีที่แล้ว +1

    Asnt sana kwa somo,,, mm ndo mara yng y kwnz kkufatilia,, kuna mkka nampenda ila nashindwa kumwambia naomba nisaidie nifanyaje!!

  • @AlfredySelestin-qi7ji
    @AlfredySelestin-qi7ji 2 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunz meng san dokta asantee san ubarikiw

  • @عبدالعزيزعبداللهالفغم
    @عبدالعزيزعبداللهالفغم 3 ปีที่แล้ว +5

    Alhamndullillah lbda bado napendwa maaana izo dalili zote uazionesha kwanguh kwa uyo wangu fulani may God bless our relationship

    • @dannyabs8983
      @dannyabs8983 3 ปีที่แล้ว

      Kazi nxuri daktari

    • @wemajay1462
      @wemajay1462 3 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @ReyMageda-k4d
    @ReyMageda-k4d หลายเดือนก่อน

    Naomb Allah anijaalie mtuwa aina hii

  • @khadijaramadhan1796
    @khadijaramadhan1796 2 ปีที่แล้ว +1

    Aise Mungu akibarik kipawa hicho nabarikiwa sana nanihisi mabadiliko asante

  • @KigaluSawaka-lg4mt
    @KigaluSawaka-lg4mt ปีที่แล้ว

    hsante sana daaah mungu akubarik

  • @CizaFelicite-c3e
    @CizaFelicite-c3e ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushauri mzuri sana.

  • @sarahkidoti42
    @sarahkidoti42 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewaga sana Dr Chris🥰🥰

  • @cathyhans2689
    @cathyhans2689 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Dr chriss nimejifunza kitu may God bless you

    • @macrinycostantine5634
      @macrinycostantine5634 3 ปีที่แล้ว

      Mm hakna dalili hata moja kat ya hayo yote🤣🤣

    • @cathyhans2689
      @cathyhans2689 3 ปีที่แล้ว

      @@macrinycostantine5634 ukwel upo bhana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @sophiajackson5001
    @sophiajackson5001 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna hata moja Dr kwa kunisaidia maana nilikuwa najiuliza sana.... Mungu akubariki sana Kaka

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @sophiajackson5001
      @sophiajackson5001 3 ปีที่แล้ว

      @@ChrisMauki1 Ndiyo Dr nime subscribe

  • @mashahassan9945
    @mashahassan9945 ปีที่แล้ว

    Ahsnte sna kwasomo nzur

  • @WinifridaMwamakula
    @WinifridaMwamakula 4 หลายเดือนก่อน +1

    Docta ninachangamoto huwa sidumu kwenye mahusiano naomba nisaidie🙏🙏

  • @naomiwanyonyi9147
    @naomiwanyonyi9147 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks shida n Moja tu akienda club na friends anarudi saa saba Kwa nyumba but hizo vitu zingine ako sawa inaeza kuwa n nn

  • @winifridajohnlucas8947
    @winifridajohnlucas8947 2 ปีที่แล้ว

    Dr mauki me nakufatilia ila kitu n kwamba nimeachana nae lakini Bado nampendaa sana pia tokea niachanae nae narudi nyuma siwezi kuendelea

  • @estamathew5167
    @estamathew5167 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmh happy kwenye msamahaa,,, ni mtu mgum sana kuomba msamahaa,,, Mungu anisaidie

  • @adhmainasaidi-ms1fk
    @adhmainasaidi-ms1fk ปีที่แล้ว

    thank you so much

  • @fatumarashidi5182
    @fatumarashidi5182 ปีที่แล้ว +1

    Aaah kwel sipendwiii kabisa daaah mungu nisaidie 🙌😅

  • @MethodFelsian
    @MethodFelsian ปีที่แล้ว

    Hongera san kaka

  • @neemagervas7043
    @neemagervas7043 3 ปีที่แล้ว

    Asnte xana nimejifunza kitu.Mungu akubarik xan

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @stellahsabaya3257
    @stellahsabaya3257 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Dr Chris nimejifunza kitu ila nilikuwa nina swali

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @zaitunimrisho4307
    @zaitunimrisho4307 ปีที่แล้ว

    Daah Big up dk

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 ปีที่แล้ว +3

    May God bless you

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @jeromeshirima2053
    @jeromeshirima2053 3 ปีที่แล้ว +7

    Nashukuru kwa somo ila nimeshaachwa wala sipendwiii tenaaa

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @sky-wz5zi
      @sky-wz5zi ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀

    • @movinmoraa7655
      @movinmoraa7655 ปีที่แล้ว

      ​@@ChrisMauki1 thank you

    • @sheilaedgar8038
      @sheilaedgar8038 ปีที่แล้ว

      Njoo unipende mim basi

    • @LeylahCosta-wb5su
      @LeylahCosta-wb5su ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @RehemaKibaya-fu6wb
    @RehemaKibaya-fu6wb 10 หลายเดือนก่อน

    Thank u

  • @violetkarimi5288
    @violetkarimi5288 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks sana Dr

  • @scollalema4674
    @scollalema4674 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante Dr kwa kutufungua 🙏

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +2

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @salomemasue5506
    @salomemasue5506 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Dr.

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 ปีที่แล้ว

    🤗🤗🤗Anazo tano hapo ubarikiwe mtumishi

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @neematarimo5815
    @neematarimo5815 ปีที่แล้ว

    P
    Dokt mm mwanaume anapopata pesa tu anabadilika Sana anarudi saa nanee za usiku je uyu ni mwanaume mwenye futcha kweli nimesha mchoka kwa sasa

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 ปีที่แล้ว +3

    🙆🙆😪 anapatikana wapi huyo mtu jamanii...ilaa one day Yess 💪😄

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @officiallyduda862
      @officiallyduda862 2 ปีที่แล้ว

      Nipo hapa Beatrice mim

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani Dr.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @halimasuddy9294
    @halimasuddy9294 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @hildamalimba6942
    @hildamalimba6942 2 ปีที่แล้ว

    Jamani Vicky vingine sijui ila kwa mm nikikuchoka ukileta kesi nakuwa mpole naomba msamaha maana nakuwa naepuka kero. Ila nikiwa nakupenda weeh ntajielezea kuliko mahakamani

  • @mamaikra7660
    @mamaikra7660 3 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana Dkt kunakitu nmekijua hapo nataman siku nikuone unishahur ninachangamoto ya ndoa cna furaha kabisa na ndoa yangu

  • @AdmAbdul
    @AdmAbdul หลายเดือนก่อน

    Kuna bint I kabadilika Sana sio kama zamani

  • @catherinenasambu5366
    @catherinenasambu5366 3 ปีที่แล้ว

    Thxz dea for updates

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @najmahamiri6889
    @najmahamiri6889 2 ปีที่แล้ว

    Chris mauki mbn wangu anazo 2 tyu maan nimesha mkatia tamaaa

  • @UpendoMaduhu
    @UpendoMaduhu 4 หลายเดือนก่อน

    Mm lakwangu haliko romantik 😏😏😏

  • @kurthum4586
    @kurthum4586 2 ปีที่แล้ว

    Doctr ninampenzi wangu tumeachana ivi sasa nimiez mitatu imepita lakini bado nampenda .. naomba ushauri nifanyaje maana nampenda

  • @nicewatson6264
    @nicewatson6264 ปีที่แล้ว

    Asante sana docta Insh Allah nitampata tu nishaachwa tyr hhhh😅😅😅😅

  • @aaliyewajibu9954
    @aaliyewajibu9954 2 ปีที่แล้ว

    Dr.chris mauki mm naomba ushauri t nifanyeje maan nishajua kua mpenzi hanipendi tena licha ya kuwa hajanambia kwa mdomo

  • @bucumigloria-ex9jf
    @bucumigloria-ex9jf ปีที่แล้ว

    Mwazo alinambiya ukipatan namamayangu mzazi namitutaelewana nafamiliyayangu mkielewana nikafanye Kilabinu tukaelewana nafamiliyayake ila habadiliki kilanikimuuliza swala lakuhalali ao kufika kwetu anajibu nimpemdaa nashindwa kuelewa nifanye nini 😢

  • @kirigitidorothy7201
    @kirigitidorothy7201 ปีที่แล้ว +1

    Duuu Kama hamna hata moja hapa 😭😭😭

  • @faithandati3229
    @faithandati3229 3 ปีที่แล้ว +2

    Aki daktari mm wangu nilimwambia anionyeshe tu mapenzi kama awali akasema sahi tushakuwa watu wakubwa sisi sio watoto mtu Kama huyu nitamfanyia nn kweli....Niko mbali naitaji mapenzi but ananiambia hawezi nionyesha mapenzi ju ataumia alale na wanawake wengne na hataki nimejaribu kumbadilisha but imeshindikana kabisaa.yani hama ladha

  • @festokitory9890
    @festokitory9890 3 ปีที่แล้ว

    Asanteeeeee sana kwa mafunzo

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @janettejoel2364
    @janettejoel2364 2 ปีที่แล้ว

    Mmmhhh ana moja tu tukikwazana

  • @hashimsuleiman3016
    @hashimsuleiman3016 ปีที่แล้ว +1

    Apo kwangu hakuna ata moja

  • @dorothymangula7589
    @dorothymangula7589 3 ปีที่แล้ว +3

    Xwali hilo limenguxa moyo wangu ulikuwa na mpenzi wako alikuwa anapenda kukutetea kwa ndug zako lkn xahizi hafanyi hivyo

  • @officialtifa1359
    @officialtifa1359 3 ปีที่แล้ว +2

    habar dokta mm nina changamoto mpenz wang tuna kama mwez mmoja yan kwel aikosea anapamba msamaha haraka lakn ana proms fek sna anaweza akamwambia ntakuch af hafany ivo ukiulz mweoes kuomba msamaha je uyo mwanaume ananipend

  • @JanethOsward
    @JanethOsward ปีที่แล้ว

    Mimi mwanaume wangu anamakusudi ya kuniumiza kila kukicha akiona umezoea hili anataftakipya na tumeishi hivyo zaid ya miaka kumi na zaid kwa sasa nimechoka sana nifanyeje

  • @JescerProsper-hg1bf
    @JescerProsper-hg1bf ปีที่แล้ว

    😭😭 jaman mbona mm wangu mambo ayo hanayo kasoro ya kusafiri kwa sababu asafiri mara kwa mara lakin anazarau sana na nikiongeaga why ivi anaomba msamaha sana to

  • @vanitosha844
    @vanitosha844 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh mimi kwa kweli sina hata dalili moja hapo apa nimeachwa tu nikubali kuachika hhhhh

  • @HIDAYAFELIX
    @HIDAYAFELIX ปีที่แล้ว

    Hamna dalili hata moja😢

  • @nofesi
    @nofesi 16 วันที่ผ่านมา

    mimi nimeachana na mpnzi wangu lakini nahisi bado anataka turudiane lakini nikimtafuta harispond

  • @Aminamustafa-c2d
    @Aminamustafa-c2d หลายเดือนก่อน

    Asant

  • @ShuweikhaHafidh-lk1pt
    @ShuweikhaHafidh-lk1pt ปีที่แล้ว +1

    Docter nimeachanishwa na mtu nliempenda na wazaz wng na kuniforc kuolewa na mtu mwngn kwa sabab za kimaisha 😢na bado tunapendan nawezaj kurudian nae docter

    • @UpendoMaduhu
      @UpendoMaduhu 4 หลายเดือนก่อน

      ACHA umalaya

  • @gracemoses3062
    @gracemoses3062 3 ปีที่แล้ว +6

    Anakua tayari kuomba msamaha
    Anakufanyia surprise
    Anafanya vitu ambayo moyo wako unapenda
    Anajitahidi kua mwaminifu
    Yuko tayari kukulinda wakati wowote
    Hatokoodhi kwa maaksuudi

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @rispermuli3292
    @rispermuli3292 2 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @ibrahimmchaulo2716
    @ibrahimmchaulo2716 2 ปีที่แล้ว

    Yashanikuta hayo

  • @adventinamapera7109
    @adventinamapera7109 2 ปีที่แล้ว

    Mhmh kupata bahati ya hivi wengine duhh tupige magoti mble za bwana

  • @fatumashaibu388
    @fatumashaibu388 2 ปีที่แล้ว

    Asee najifunza mengi Sana

  • @ahmedsalum9647
    @ahmedsalum9647 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr Asante kwa kutuelimisha ila nege pendelea utuwekee namba zako za simu

  • @ShabaniKateva
    @ShabaniKateva ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @SabrinaRamadhan-s9u
    @SabrinaRamadhan-s9u 3 หลายเดือนก่อน

    Hi kaak mm mpenzi wangu ameniacha na ameoa nambaya zaidi niko nae karibu apa kaka

  • @aliciarugangira8605
    @aliciarugangira8605 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanapatikana wapi was hivyo kama😢

  • @piliramadhani1887
    @piliramadhani1887 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Mimi naumia sana kwenye ayo mausiano

  • @teostinapeter730
    @teostinapeter730 2 ปีที่แล้ว

    Hafanyi hayo yote....na kama ataomba msamaha labda awe amelazimishwa...sasa sijui mimi ndo mwenye tatizo au ni yeye....help me

  • @tabiamaheke
    @tabiamaheke ปีที่แล้ว

    Mm wang huwa hakosei,haombi msamaha na dall tu ya kuonyesha anaomba msamaha kwa vitendo mda huo hana ndo kwanza atafunga vioo hata wk2 hatuongei, hali na safari ataanzisha

  • @hshshsshjdjejjejejejej9823
    @hshshsshjdjejjejejejej9823 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mimi zot anaz

    • @KhadijaKiologweaa
      @KhadijaKiologweaa ปีที่แล้ว

      Atakuwa na matatizo uyo km zote anazo so mfupi kweli mana wanaume wafupi ving,ang,anizi😁😁😁😁

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 ปีที่แล้ว

      @@KhadijaKiologweaa 😆😆😆😆

    • @azizauheche5944
      @azizauheche5944 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@KhadijaKiologweaa😂😂😂😂😂 hyo mfupi

  • @hildathamid7741
    @hildathamid7741 ปีที่แล้ว

    Dr m nashkur nimejifunz meng ila niliye nay anazozote hiz dalili tatzo ni mim Sina hata moj nifanyeje

  • @SalhaKhalid-sg3zo
    @SalhaKhalid-sg3zo ปีที่แล้ว

    💕💕

  • @subiramdekwa5688
    @subiramdekwa5688 2 ปีที่แล้ว

    Dock naweza uliza swali unsaidie

  • @popo.khamis7416
    @popo.khamis7416 2 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @sizzerdesirvel6960
    @sizzerdesirvel6960 2 ปีที่แล้ว +1

    Iv je unawezaje kumbadilisha mtu kimahusiano

  • @Alice-zk3om
    @Alice-zk3om ปีที่แล้ว

    Duuuh vyote hana hata kimoja

  • @johndreezyrodgers9861
    @johndreezyrodgers9861 3 ปีที่แล้ว

    Kweliiii....

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaah ktk sekta nmenyoosha mikono ni hii..MAPENZI shkamoo!!

  • @joshuaparmao4493
    @joshuaparmao4493 9 หลายเดือนก่อน

    Na je dem mwenye anakutumia namba y mwnaume anayemsumbua kumtongoza hiyo n ishara gani mwalimu?

  • @irenelango5558
    @irenelango5558 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ninampenz lakini kuna. Kipindi tulikosana akaniambia tuwe kaka na dada lakin kinacho nishangaza anakuwa na wivu kwangu ,na nisipo onesha kumjali anachukia ,lakini nikimwomba kitu chochote ananipa tena ananiambia ungenia mapema , je huyu mwanaume anamalengo gani na mimi

    • @hildathamid7741
      @hildathamid7741 ปีที่แล้ว

      Anakupenda huy ila Hana uhakika na hisia zake mpe muda t usimuache

  • @winnerhapila155
    @winnerhapila155 2 ปีที่แล้ว +1

    Plz mauki leta na ya wanaume tuliyo wakuta wako na watoto njee vp mawasiliano yao yanawakilisha vp kuwa hawako wote plz brother tunaumia

  • @hildathamid7741
    @hildathamid7741 11 หลายเดือนก่อน

    Apo kunitowa out hatk ata tutoke yy kila sku anatk tukutane kwake t

  • @evancebenson1554
    @evancebenson1554 3 ปีที่แล้ว

    nimefurahi

  • @aishamussa3245
    @aishamussa3245 3 ปีที่แล้ว

    Shukuran

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @betybryan4657
      @betybryan4657 2 ปีที่แล้ว

      Nimefurahi nimekosea nimeomba msamaha lakin haitaki kunisamehe ila ananijari ananihudumia na ananipigia cm hapo anadai tutabaki marafiki tu

  • @veroo869
    @veroo869 3 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna ata moja... Acha mungu anisaidie🤣🤣🤣🤣

  • @annaadonius7886
    @annaadonius7886 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba Yako pls

  • @happymakalukwa6314
    @happymakalukwa6314 ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍😍

  • @EdwardTolly-z1j
    @EdwardTolly-z1j 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako ya Simu Kaka

  • @tumainlizer3794
    @tumainlizer3794 2 ปีที่แล้ว

    But I'm single

  • @issaissaali2951
    @issaissaali2951 ปีที่แล้ว

    Mmi Wangu simwelwi

  • @UmmyUMMY-zf3og
    @UmmyUMMY-zf3og ปีที่แล้ว

    Dr. Me wangu kaniacha bado me nampenda sna na yye bdo ana view status zngu whatsapp nfanyje??

  • @halimathadey7240
    @halimathadey7240 2 ปีที่แล้ว

    Kula ninapo kusikiliza naongeza kitu kwenye akili yang

  • @bucumigloria-ex9jf
    @bucumigloria-ex9jf ปีที่แล้ว

    Doct miniko namwanaume tuliza otee minampenda na anaona ila yeye ananipuuziya sana hanipi muda hatamawasiliyano yetu yanasuwasana hakuna anachonisaidiya ila asamsaidiya mtoto tu naanampenda mwanae sana ila huwamimi ananitafuta kwakunambiya ameni miss tufanye mpenzi nahuwa anaongeleya kuus familiya yake sana nimekuwa vile ambavyo familiyayake ivyotaka ila mzazi mwenzangu haoneshi kubadili ao kunisapoti kwachochote ao kuonesha hayakuwa upandewangu naomba ushauri wako nachoka sana kiukwel 😥