Namshukuru Mungu sana kwa ajili kukuumba na kuwepo duniani hakukosea. Majibu ya maswali yangu asb hii nimeyapata ktk somo hili japo nimebaki na maswali mengisana kuhusu nini kifanyike wapi nianzie ili kuepuka madhara zaidi. Yotevuloyqsema ni kweli yametokea yapo na yanaendelea. Mafundisho zaidi yanahitajika kunusuru familia na kuwaokoa watoto . Mungu azidi kukupa kibali elimu inahitajika zaidi kwa wanawake walio wengi zaidi 95% wanahitaji elimu hii
Nakushauli tafuta namna ya kumfikia Joel japo hata upate number yake ili umfuate japo in box lakini ukweli ukisubili akujibu hapa inaweza chukua muda au asikujibu kabisa Joel anawatu wengi wanaomtafuta Sasa ukisubili kujibiwa hapa unaweza poteza muda
Kaka Joel natamani hili Somo liendelee,hii Somo linatesa jamii na bado jamii haizinduki ,ndiyo maana baada ya kufiwa na waume zao wamama wengi waliokuwa waheshima wamekuwa wa hovyo sana hadi kuwa madanga bila kupenda Ila ukosefu wa kujua haya unayotujuza Leo imewapelekea kwenda makosa,wengine ndo wanalaumu wakiamini wanastahili kusaidiwa kila siku
Wanaume wengine ukiwaeleza hii ya mke nae mfunze afanye kitu cha kuingiza pesa wkt upo hai..lkn hawaelewi .. Utawasikia kwani unakosa nn Utasikia una niombea mm nitangulie kufa 😂 Kukosa uweredi
Kutokana na ratiba kuwa ngumu nitapokea like 👍🏿 za kaka @Joel
Brother Joel, una maarifa sana, Mungu anazidi kukuinuia kila iitwapo Leo...
Bro Joe hii inatulenga wote Mwanaume na mwanamke ni muhimu sana kuyajua haya mapema, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉pokea maua yako
Namshukuru Mungu sana kwa ajili kukuumba na kuwepo duniani hakukosea. Majibu ya maswali yangu asb hii nimeyapata ktk somo hili japo nimebaki na maswali mengisana kuhusu nini kifanyike wapi nianzie ili kuepuka madhara zaidi. Yotevuloyqsema ni kweli yametokea yapo na yanaendelea. Mafundisho zaidi yanahitajika kunusuru familia na kuwaokoa watoto . Mungu azidi kukupa kibali elimu inahitajika zaidi kwa wanawake walio wengi zaidi 95% wanahitaji elimu hii
Mm unanigusa kwenye hili somo la uchumi barikiwa
Barikiwa sawa simo nzuri
Mungu azidi kukutumia kuokoa familia nyingi zimepitia na zinapitia haya .
Leo nimefunguka akili sana Asante sana bro Mungu azidi kukujaza maarifa zaid
Asante Mungu kwa zawadi ya Wazazi wangu. 🙌🙌🙌 RIP hakika najivunia kuzaliwa na hawa Wazazi.🎉
Am a muslim manene yako yanamaana kubwa sana pokea maua yako na baraka kutoka kwa Mungu
Hakika Mungu nitie nguvu na unipe hekima nitambue mume wangu anavotengeneza fedha
asante baba kwa mafundisho mazuri sana,,,mungu aendelee kukulinda na sisi tunaendelea kukuombea uishi maisha marefu.
mafundisho mazuri sana,,ubarikiwe
Asantee Mentor Joel kwa maarifa mazuri unayotupatia
Nimejaribu kufosi lakini sijafanikiwa mungu aingilie kati
Amen...its true inafanyika after mwanaume kufa...mm nilisema kutegemea binadamu siezi heri nimtegee God the creater
Nakushukuru mnooo,naendelea kujifunza sana kupitia wewe,kiu yangu siku moja nikuone tu live nitafurahi sana
Asante kwa mafundisho mazuri yanayopanua uelewa wetu hasa Wanawake katika mambo ya kiuchumi. Mwenyezi MUNGU akubariki sana.
Barikiwa sana mtumishi kwa hekima uliyotoa kusaidia familia❤
Nashukuru kwa darasa huru limeniinua kiufahamu
Leo nimeongeza maarifa makubwa sana maishani mwangu, be blessed bro
Nimejifunza barikiwa Mtumishi
Asante kwa somo zuri
Very true ! Na ndio jamii tunayoishi! Asante kwa somo Big AMEN
Amen, hili somo limenigusa kwa maumivu makali sana daah! Asante sana Kaka J MWENYEZI MUNGU Akutunze sana. Nimefurahi nimepata kitu.
Asante sana
Nakushukuru Kwa maneno mazuri ila Kuna vitu umeniongezea.Ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana kaka Joel
Ubarikiwe sanaaa Mtumishi umenitia nguvu nazidi kupambania ndoto zangu
Asante kwa kunijenga🙏
Joel nachangamoto sana nahitaji kufufua kampuni yangu nifanyeje,ili filisika ikafa,ila bado Nina ndoto kubwa
Nakushauli tafuta namna ya kumfikia Joel japo hata upate number yake ili umfuate japo in box lakini ukweli ukisubili akujibu hapa inaweza chukua muda au asikujibu kabisa Joel anawatu wengi wanaomtafuta Sasa ukisubili kujibiwa hapa unaweza poteza muda
Mungu azidi kukubariki
Hakika Mr @Joel 😍
Very trueee👏👏👏. God bless you
Asante sana kaka 🙏✍️✍️
Barikiwa broo
🙏🙏 asante
Kaka Joel natamani hili Somo liendelee,hii Somo linatesa jamii na bado jamii haizinduki ,ndiyo maana baada ya kufiwa na waume zao wamama wengi waliokuwa waheshima wamekuwa wa hovyo sana hadi kuwa madanga bila kupenda Ila ukosefu wa kujua haya unayotujuza Leo imewapelekea kwenda makosa,wengine ndo wanalaumu wakiamini wanastahili kusaidiwa kila siku
Ameeennnnnn🙏
Yap facts
Asante
Amen
Nimejifunza kitu kikubwa sn
Ntafanyaje kujua au kutengeneza mifumo
👏👏👏👏
Shukrani kaka ❤❤
Tunakupata
Asante sana,lkn nataka kujua natumia mfumo gan kuhakikisha kipato Cha mwanaume kuendelea kuingia ndan y familia pale atakapokua hayupo?
Nimepata kitu
❤
Wanaume wengine ukiwaeleza hii ya mke nae mfunze afanye kitu cha kuingiza pesa wkt upo hai..lkn hawaelewi ..
Utawasikia kwani unakosa nn
Utasikia una niombea mm nitangulie kufa
😂
Kukosa uweredi
Kama bado unandoto nayo ipambanie tu yote yanawezekana
Kweli anafufua ndoto zetu tulizozisahahu
carefully noted you may God bless you . The lesson is interested
Ameeen it gone be
Nafosi vipi?
💃💃💃
Hii seminar inaitwaje?
See at the top
❤