Nashukuru nimebadisha mfumo wa maisha Hadi Kila mtu wanalalamika kwa kukufatilia Sana Kaka bando langu kwao limeenda kwa harali kwa kufatilia Sana big up Kaka mungu akuzidishia ulipo pungukiwa.
Nashukuru sana Joel maana unaonyesha mfano hata studio yako umeiboresha good mfano wa kwanza kuonyesha wewe kuwa mfano kabla ya kuwafundisha wengine umekuwa mfano bora
Thank you sir for your teaching. Nafikiri mimi nahitaji kuwalenga watu wengine ambao wanaweza kunipa support kubwa kuliko kawaida niliyoizoea kwa hiyo miaka nimefanya huduma ya uponyaji na ukombozi.
Mimi ni wanafunzi na namba mbili nitaanza kuifanyia kazi ili niongeze maarifa zaidi katika masomo yangu na nashukuru sana asa kitabu chako cha core genius kimenisadia sana
Asante sana Kaka. Je ninaweza kuongeza kipato kwa kuongeza biashara ndogo nyingine kwa muda wangu wa ziada??mfano Mimi ni msusi je muda ambao Sina wateja naweza kutengeneza kitu za ziada Kama braclet,au natakiwa kufanya nini???ili nijiongeze kipato Cha ziada??
Nashukuru nimebadisha mfumo wa maisha Hadi Kila mtu wanalalamika kwa kukufatilia Sana Kaka bando langu kwao limeenda kwa harali kwa kufatilia Sana big up Kaka mungu akuzidishia ulipo pungukiwa.
Ahsante kwa kuenedelea kufuatilia
@@joelnanauka ndugu naitaji kitabu
Walisema ukifuatilia mtu inakuwa raising kufia ndoto zako na mm kupitia vitabu vyako nitafanikiwa na kukusikiliza naitwa paulo kazuba duce
Asante kaka Joel hata siku moja sitaacha kukufuatilia, najifunza mengi sana kupitia wewe♥️
Nashukuru sana Joel maana unaonyesha mfano hata studio yako umeiboresha good mfano wa kwanza kuonyesha wewe kuwa mfano kabla ya kuwafundisha wengine umekuwa mfano bora
Ahsante sana kaka ....mafundisho yako yamenipa mabadiliko chanya katika mambo mengi
Ubarikiwe sana pastor wewe ni Mtu wa kipekee sanaa na Mungu aendelee kukubariki sanaa..
Asante kaka kwa maarifa adimu, Mungu aendelee kukutunza
Thank you sir for your teaching.
Nafikiri mimi nahitaji kuwalenga watu wengine ambao wanaweza kunipa support kubwa kuliko kawaida niliyoizoea kwa hiyo miaka nimefanya huduma ya uponyaji na ukombozi.
Mungu aku bariki sana
Asante sana kwakutufundisha elim hii mungu akupe zaid yahaya tunayojifunza kutoka kwako 👏👏👏
I knew you after listening banana fm I like wht do my brother keep it up
Ahsant mr joel mim nitaongeza muda wangu kazin.
Brother iyo shati uliyoivaa ni kali sana
Usema ukweli nanauka nakukubali jamaangu
Asante ujumbe mzur
Mwalimu bora kabisa.
Asante nimejifunza kutoa huduma kwa kipekee ili kuongeza kipato changu
Kweli kaka nakupa 100.
Kaka nataka tuongee nakuelewa sana
Mungu akubariki sana kaka
He teaches relevant and applicable materials
Hapo kwwnye unique skills najitahidi sana kujiimarisha nina imani sana siku moja uwezo wangu utanifikisha kule ninapopahitaji
Kaka mungu akubariki nimepata som lako nzuri asantee
Mimi nafikiria kutafuta watu watakao nilipa zaidi na kubadisha mazingira ambayo nafanyia kazi
Kaka Mungu akubarik san unatufungua wengi san usichoke kutupa elimu kaka
Kaka upo vizuri sana
Nataka kuwa producer wa mziki aina zote
Masomo yako ni mazuri na adimu sana.
Ahsanteee
Muda wote nahamasika kukusikiliza kakangu..kuongeza idadi ya wateja kwenye huduma ninayoitoa.HIYO IMENIGUSA NITAIFANYIA KAZI
Be blessed My Brother Joel🙏
Shukran bro kwa maarifa
Kaka naomba nsaidie namba ako please
Thank you sir
You remind me to go extra mile on whatever I am doing so that nijiongezee thamani 😍
I love this
One day if God wish I will testify
Hiiiii video imenipekeka wapi.......
Mimi ni wanafunzi na namba mbili nitaanza kuifanyia kazi ili niongeze maarifa zaidi katika masomo yangu na nashukuru sana asa kitabu chako cha core genius kimenisadia sana
Very true👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Up vzr br...!
Nice teaching.Your smile is soo nice you just kill it all
Big up sana brother naendelea kupata meng toka kwako mngu azidi kukusaidia 🙏
Ahsante Sana kaka joel
I real appreciate your brother
Mimi naona hapo kwenye hii ya kwanza ni njia nzuli sana
Mimi natakakuongeza wateja
Vipi hali
Tupo pamoja balikiwa sana
Dah natamani hii video ningeiona miaka 3 au 5 iliyopita ina madini hadimu sana
Nice fact kaka God bless more brother Dodoma Tanzania
Asante sana my brother from another mother
Kuongeza ujuzi
Hongera sana brother. Nimeipenda somo lako ila nataka kununua vitu vyako nitapataje huku Arusha
Safi sana
Barikiwa bro!
Thanks brother joel
Asante kwa mashauri
Iko poa bro
attractive!!!!
big up bro
Wao
Asante sana kaka
Well noted sir
Nawezaje kukimiliki hiki kitabu audio play
Bro umensaidia sana sana mungu akubariki, Sasa najua natoka wapi naenda wapi kupitia vitabu vyako na video zako mfano kile kitabu Cha money formula 💯
Nimelipia kitabu lakin sijapata bado
Nice broo
💙❤️
Respect sir
Mtalam mambo vipi nahitaji taaluma vipi naweza kuongeza /idadi ya wateja wapya katka Company yangu
Niku ongeza wateja
Indispensability📌📌📌
Nahitaji kitabu napataje nipo Manzese dales salaam
BROTHER SIJAWAHI KUJUTA KUKUFAHAMU MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA APENDAVYO
Good video
🙏
You guy 🙏 you made my day 🙌 congrats 🖊️🖊️🖊️
Asante
Kaka naomba nisaidie kunisambazia kipaji changu ili niweze kupata watu wanaolipa zaidi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
5:43
💪💪
Nahitaji kitabu
Asante sana Kaka.
Je ninaweza kuongeza kipato kwa kuongeza biashara ndogo nyingine kwa muda wangu wa ziada??mfano Mimi ni msusi je muda ambao Sina wateja naweza kutengeneza kitu za ziada Kama braclet,au natakiwa kufanya nini???ili nijiongeze kipato Cha ziada??
Apo nimekupata
Mfumo gani biashara.... ambao unaweza kutufanya tutoke nje ya ofisi na kuwa uhuru kufanya popote...?
HunamsaidiJe kijana ambae ni mjasiLia Mali mdogo mwenye mtaji wa laki moja na ambae ni fundi wa kuchomelea vyuma ili aweze kukuaza mtaji wake?
Kitu kinachoninyima fulsa yakupat kipato zaidi , ,mabos nilionAo niwachache na watu walio nizunguka wananilipa kipato kidogo
💞💞💞💞💞💞
💛💛💛💛💛💛💛💛
💖💖💖💖💖💖💖
💗💗💗💗💗💗💗
Nashukuru kaka umenifungua hiyo point ya mwisho
Ahsante Sana Kaka Joel kwa somo zuri
Boma mkuu
Kaka nimelipa pesa lakini sijapata vitabu
See you at the top
Much respect 🙏
sante
Tunashukuru
Big up brother
Hello sir ....I need a coach and a mentor because am seeing my purpose is a speaker but I lack a mentor how can I go about it
Mwalimu mbona hutumi your m, pesa number
Indespensability
Thanks brother joel
Asante