Brother MUNGU akubariki sana pia akuzidishie maarifa zaidi kwan wew umenifanya nipige hatua kubwa sana, na sio mimi tu na wengine wengi ambao wanakufuatilia. Thanks very much Br joel nanauka GOD bless you.
Kwakweri uyu buro joel anasitail mauwa yake kila mtu anae mfatilia na ataamuwa kumsikiliza na kuyafanyika kazi hamika ana % 💯 za kufanikiwa one love bur ❤❤❤❤❤
Kaka kweli tangu nimeanza kusikiliza ushauri na masomo yako nimebarikiwa Sana kwenye mipango yangu Mungu akubariki Sana
Mungu aendelee kukupa hekima na maarifa ili tuzidi kunyonya maarifa kwako.
Hakika wewe Joel unafaa sana katika kurithisha maarifa ya uchumi.
Brother Joel asante kwa hekima hizi Mbingu zinene mema kwa ajiri yako
Noma San uko vzr
Brother MUNGU akubariki sana pia akuzidishie maarifa zaidi kwan wew umenifanya nipige hatua kubwa sana, na sio mimi tu na wengine wengi ambao wanakufuatilia.
Thanks very much Br joel nanauka GOD bless you.
Ahsante kaka joel
Uko vizuri kaka 9:58
Uoga hapo unakuwa una mambo mazuri ila unawaza hivi hapa nitaonekanaje Mungu tusaidie
Well Adjustable & Well done
Asante prof.joel nanauka nakufatilia nikiwa Jiji kuu la Nairobi
Upo vzr kaka hakika najifunza mambo mengi na mazuri, hongera na mungu akubariki
My bro joel I am shining these days because of you
Nataka vitabu vyako
Kwakweri uyu buro joel anasitail mauwa yake kila mtu anae mfatilia na ataamuwa kumsikiliza na kuyafanyika kazi hamika ana % 💯 za kufanikiwa one love bur ❤❤❤❤❤
Nice sana broo we ni kisima cha maarifa
🎉🎉🎉 ukweli ni kwamba Mungu alikupa maArifAA ++@ ya kutoshaaa sanAa mkuu++@❤❤
Kaka, I love you so much!
Asante kaka❤❤❤❤
Mungu Akubariki ndugu Wang Joel Nanauka Umekuwa mzaada kwangu Kuna Siku Nitakupa Ushuhuda
Asante sana twamafunzo mazuli nakuta zama kutoka Nederland
Asante Joel nimejifunza.....nahivyo..vitabu viwili...ndo..nitanza..navyo..... acha niendelee ..ku..share...na..ndugu...na... marafiki 🙏🙏🙏🙏
Kaka mimi nasumbuliwa napr
Mungu akuzidishie kaka
Dah nimekubali sana kaka mungu akubariki na akupe maisha malefu
ASANTE SANA KAKA KWA HEKIMA ZAKO
Barikiwa sana bro Joel@Nanauka
Wanadamu hawahawa!?, tumaini lwa wanadamu lilishaondoka kitambo, Mungu pekee anajua hatma na mwisho wangu, hiyo inatosha
Fantastic nimejifunza
Asant kwa elimu soon ntaksapot sana kununua vitabu .
❤
Nikweli kabisa Mr. Nanauka
Nipo aruxha nakptaje kitabu
Asante sana, ubarikiwe sana
Ubarikiwe kaka
Asante. Nimejifunza.
Nimekupata uncle joel
Tuendelee kujifunza
Asant nimejifunza kitu
Kaka nataka kununua vitabu vyako niweze kuvisoma kupata nondo hizi.
📌📌📌
Kaka mimi nasumbuliwa na presjha ya kupanda
Okay but not easy alafu watu skuizi hawaaminki mara atakuita chawa wake wakati wew ndoulie mvusha kwahatua moja mbaka nyengine 😢
Kitabu nakipataje nipo Zanzibar mkuuu
0762 31 21 71
Nahitaji kitabu nipo Dar
Kitabu kinapatikana je kwa mtu ambaye anaishi nje na tanzania??
Icho kitabu naeza kukisoma kupitia simu? Coz niko gulf na nna mda mzuri wakusoma but sijui nikitafuta vp na wapi msahada plz
Good morning top team?
Goodmorning
Kitabu kinapatikana wapi npo dar es saalam
Ubarikiwe kaka
❤