Joel this is good brother nafikiri ukianza na meditation inakusaidia kujua unaendaje kwenye hizo njia 4 zingine mzizi wa tatizo ukiujua unaweza kubadili formation ukapata ushindi
Asante Sana kaka Joel kwakutufungua Akili kwamara nyingine tena lakini kaka Mimi Mawazo ambayo nilitamani kukushirikisha ili kupata ushauri zaidi lakini shida nikukosa mawasiliano yako sijuwi kama naweza kuipataje?
Njia gani sahihi ya kufanya meditation? Ikiwa tatizo lilianzia kutokana na fitna za watu kazini,baada ya kuingia kwenye migogoro ya marakwamara na Mwajiri wangu na kuamua kuacha kazi ili nijiajiri na baada ya kufungua biashara bado mambo yakawa magumu zaidi,je nifanye nini kujianasua?
Ahsante saaana kwa mafundisho yako mazuri. Ubarikiwe na Mungu brother J.
Nakuomba ufungue duka ravitabu tunavipenda kuvisoma Mimi Niko hapa wiraya ya mureba mkoa wa kagera Asante mwr wangu
Nakubarii brother Joel don't give up
Mungu Akupe Afya milele Joel,Nitakaa Chini nitafakali,
Asante Sana ndugu yangu
Joel Nanauka Mungu akubariki sana.
Napenda dans vidéo zako Bro
Ningependa nizifanyie kazi
Salama kaka iyo ya tatu kabisa imenigusa kabisa
Ubarikiwe sana mwalimu wangu mpendwa kwa masomo yako, nakupenda na naomba unipatie nafasi ya kuwa karibu yako ili niweze kufanya kazi na wewe
wow nimeelewa vizul
Day in day out still learning God bless you brother @kenya
Asante Sanaa,Mungu Akubariki
Mweshimiwa hv watoa ushaur wa kifeza wanapatikana wap
Mungu akutangulie zote Ni bora
Asante sana kaka elimu unayoitoa kwa jamii zetu na mungu akubariki sana
Mbinu zote zinanifaa kuzitumia wkt wa mkwamo wa maisha.
Kweli kaka umeamua kuturudisha darasan napenda sana masomo Yako
Ahsante Sana Joel Nanauka,,,pia nimevutiwa Sana na hiyo library ya vitabu,,,
Asante sana kaka mkubwa zote ni njia nzuri sana
Asanteee sanaaa kala Joel unatupaa motisha sanaaa
Ahsante
Kuanza upya Inawrzekana
Ahsante sana Joel, Nimekuwa nikikufuatilia kwa muda mrefu sasa. Mbinu zako ni useful, Mungu akubaliki sana.
Asante Sana sir Joel nanauka umekuwa mwanga kwangu u ubarikiwe Sana 🙏
Trend na Pattern ... Ushauri wa kitaalamu ... Kuongeza ujuzi ktk vitu ninavyofanya . Kujitafakali na kujitathmini. Asante sana Ubarikiwe sana.
Nice speeche
Asante Sana barikiwa sana haki
Unatisha sa elimu ni ushawi daaah shukran sana
Barikiwa sana
Tupo hapa tunasubiri madini
Asante kaka /J
Hapa kweny point ya 5 ,,,utatusaidia kutafakari njia za kutafakari,,,na kutafakari vitu sahihi,,,Asante mungu akulinde sanaaa,,
Wataalamu na wazoefu
In sha Allah Mungu akipenda ntaitumia hio ya kwanza kabisa mengine usichoke kutoa kwa kile mungu alokubariki mwalim
👏👏
Ubarikiwe kaka joel
My pastor
Nimekupata pia tunahitaji watu km ww maana kweli huwa tunayumba ila Kwa ushauri huu uliyotoa basi nimejua pa kuanzia
Zote ni njia nzuri kaka
U'r true inspirational bro!see you at the top
Asante
Thank you so much .Am sure you made it for me I will make sure that hii video inaninyanyua big time thank you
Tunaingojea hiyo
Shukraan kaka
Niulize pia bookshops yako iko mahala ipi kwa Dar
Ahsante sana Kaka hakika ninahaki ya kukuita mwalimu wangu mimi number 5 imenigusa zaidi naitwa ERADIUS OSCAR au FUNDI VIGAE TZ CHANNEL nipo mwanza
Najifunza sana kutoka kwako 👊
Asante sana
My role model 🙏
Thanks.
okok tuna subiri 🤗🤗
Joel this is good brother nafikiri ukianza na meditation inakusaidia kujua unaendaje kwenye hizo njia 4 zingine mzizi wa tatizo ukiujua unaweza kubadili formation ukapata ushindi
@@zephaniamgonella9591 ni kweli una comment na mimi ndo na maliza meditation uta fikiri ulikuwa una juwa👌🏾👌🏾
Mbinu mpya na muda wa kutafakari zaidi
Asantee
nitakupenda kamwe bro south Africa
Asante Sana kaka Joel kwakutufungua Akili kwamara nyingine tena lakini kaka Mimi Mawazo ambayo nilitamani kukushirikisha ili kupata ushauri zaidi lakini shida nikukosa mawasiliano yako sijuwi kama naweza kuipataje?
Nataka kujiunga na course Joel text hazijibiwi
Asante Sana mentor,naomba uzungumzie kuhusu faida ya semen retention na sex transmutation 🙏
Mmmmmmh nimtafute nan ataenisaidy uku Sjui km ntampt
Uwepo wenu washauli wakufunzi mitandao unaleta Radha ya kuitambua cm yangu kama darasa barikiwa sana
Kaz njema , kaka mm nataka vitabu vyako una uzaje?
True
Ok
How to meditate??
Naomba unisaidiee niogee na wewe Kaka nijuwe mbinu ulizo tumia kaka
Nikweri kwamaerezo yako nimazuri sisi wafanyabiashara tunakutana na changamoto hiyo sana ya bidhaa kukwama rakini Mimi nimekuerewa sana
🙏
Njia gani sahihi ya kufanya meditation? Ikiwa tatizo lilianzia kutokana na fitna za watu kazini,baada ya kuingia kwenye migogoro ya marakwamara na Mwajiri wangu na kuamua kuacha kazi ili nijiajiri na baada ya kufungua biashara bado mambo yakawa magumu zaidi,je nifanye nini kujianasua?
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
real
Kaka Joel ,mm ni mmoja wa wadau wako nilikua changamoto moja kuhusu afya ya akili,kwenye jambo la kulala sana naomba ushauri nifanye nn?
Bro unamadini Sana nilikua sipo vizuri kiakili, kifedha hata mapenzi ila nikikutizama unanipa madini mpk najiona mpy
Mkn
Kubadisha kitu ninacho kifanya
Sorry kidogo saivi kushauri hakusaidii kabisa saivi fundisha real things ili mtu afuate hizo vitu in practice na atoboe ,maneno matupu hayalambwi
Yesu anaokoa. th-cam.com/video/wr4NLOcRbSc/w-d-xo.html
Kutafakari kujua mzizi._5
Kaka umetoa maneno mazuri wafanya biashara wengi wanarudi nyuma kwakutouri wenzao
Kaka unafundisha vizurI