YANGA IKULU: Hotuba kamili ya Rais wa Yanga, Hersi Said mbele ya Rais Samia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 มิ.ย. 2023
  • Miongoni mwa mambo aliyosema katika hotuba yake, Rais wa Yanga, Hersi Said amemshuku Rais Samia kwa kuwaunga mkono, ameahidi kuleta Tanzania kombe la Afrika, ameomba nyongeza ya ardhi ili kujenga uwanja mkubwa Jangwani.
    Ni katika hafla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwapongeza Yanga kwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho, Afrika.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 8

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 ปีที่แล้ว +4

    Eng Hers🙌👏🙌🙌

  • @sanityonline4512
    @sanityonline4512 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli huyu jamaa anajua kuongea na kupangilia hotuba ✔️ apa yanga raisi wamepata

    • @salimissa7211
      @salimissa7211 ปีที่แล้ว

      Nabi asiondoke tuta changa apare mshara wake

  • @JerinaNguto-vv1gt
    @JerinaNguto-vv1gt 11 หลายเดือนก่อน +1

    Said,wape,salam,watani,wetu,silimbi

  • @yusuphmhingile9481
    @yusuphmhingile9481 ปีที่แล้ว +3

    Morison😅😅😅

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 4 หลายเดือนก่อน

    Yuko vizuri anafaa.

  • @salimissa7211
    @salimissa7211 ปีที่แล้ว +1

    Nabi asiondoke jamani

  • @user-rg8rq8lr6v
    @user-rg8rq8lr6v หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉