WACHEZAJI WA ZAMANI YANGA WALIVYOZUNGUMZA MBELE YA RAIS ENG. HERSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 3 หลายเดือนก่อน +16

    Hongera Rais wetu na viongozi wetu Mungu awabariki

  • @pungwem4306
    @pungwem4306 3 หลายเดือนก่อน +2

    Salamu kwa wana Yanga wote duniani kote. Nawasalimu kutoka Sweden hongera timu kubwa ❤❤❤❤🇨🇩⚘️⚘️⚘️💯

  • @AdrianMallya-l4h
    @AdrianMallya-l4h 3 หลายเดือนก่อน +14

    1. Willy Martin
    2. Willy Mtendamema
    3.Athuman Chama
    4. Steven Names
    5. Ken Mkapa
    6. Aly Mayayi
    7.Thomas Kipese

  • @AgostinoRaulent
    @AgostinoRaulent 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tukiendelea na mshikamano huu tutafika mbali katika mashindano ya kimataifa mungu atubariki Wana yanga wote

  • @RusanzuRubigo
    @RusanzuRubigo 3 หลายเดือนก่อน +7

    Dah,safi sn, hii miamba nisinge ifahamu na kuwaona kama siyo leo

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 หลายเดือนก่อน +7

    Namuona Mama Fatma Karume Kafurahi, Safi sana 🎉🎉🎉❤😂

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Babu na Baba zetu..
    DAIMA MBELE NYUMA MWIKO WANANCHI

  • @IsssaJafari
    @IsssaJafari 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nanipenda yanga sc daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiiiiiiii🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🔰🔰🔰

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 3 หลายเดือนก่อน +12

    Safi sana ila ningeomba sana tuendelee kuimarisha timu yetu isishuke katika viwango vya kimataifa.love u yanga.daima mbele nyuma kwetu mwiko.

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 3 หลายเดือนก่อน +5

    Amazing saana 💚💛💯💥🌟⭐💫

  • @VairletCharles
    @VairletCharles 3 หลายเดือนก่อน +1

    Attilio Kasuga.
    Nasema Bravo wananchi, sasa wameanza kusema.
    Sisi tutabaki kuwa sisi.
    AMEN!

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana kwa kubeba ubingwa Jamhuri ya TANZANIA.
    Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani nakuuliza hiki kinachofanyika tungeomba na kwa timu zingine Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani mke wangu jamani mpenzi wangu.

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 2 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele nyuma mwiko💛💚🖤💚💚💚🖤🖤💛💛💛

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 หลายเดือนก่อน +3

    Injinia waangalie hao wachezaji walioichezea yanga. Watakusaidia sana. It is very nice.

    • @hamiduomar1316
      @hamiduomar1316 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hii aidia ni mzr sn kuwakumbuka waasisi walioitumikia timu mpk walipostafuu ni heshima kubwa sn kwao na kujiona wanathamani kubwa ktk club

  • @LightnessCharlseKimaro
    @LightnessCharlseKimaro 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awalinde benchi lote la yanga kila mtu kwa sekta yake

  • @AdrianMallya-l4h
    @AdrianMallya-l4h 3 หลายเดือนก่อน +3

    Simuoni Willy Mtendamema. Najua yuko dar hapo

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee Yanga nimewakubaliii kuwaita Haw wachezaj wa Zaman Hongera saaaana

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU AWALINDE VIONGOZI WETU WA YANGA PAMOJA NA BENCH LA UFUNDI NA WACHEZAJI WETU WOTE,🙏🙏🙏🙏

  • @allysaidi-uy9rm
    @allysaidi-uy9rm 3 หลายเดือนก่อน +4

    Saf salvator edward

  • @MariaMsuku
    @MariaMsuku 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila ally

  • @AdrianMallya-l4h
    @AdrianMallya-l4h 3 หลายเดือนก่อน +2

    Anwari Awardhi. Nakukumbuka niko primary ulipiga kona mechi kama mbili hivi zinaenda nyavuni moja kwa moja

    • @HenryCastuli-jz3cx
      @HenryCastuli-jz3cx 3 หลายเดือนก่อน

      Anwari Awarhdi faray kayto namba ya kened mkapa

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona sijamsikia sande manara😢😢😢😢

  • @abdalakombo1595
    @abdalakombo1595 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana Yanga lakini naomba muwakumbuke na wale wenzeti wagonjwa kama lila shomari

  • @AishaAisha-vf2ug
    @AishaAisha-vf2ug 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo lunyamila alikuwa anacheza mpira hatali tunaomba michezo iwe ya amani

  • @dennicekakazoba2437
    @dennicekakazoba2437 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amasha nakukubali nilibandika picha yako mlangoni kwa babu nikapigwa bakora.

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sander manara mbona hayupo

  • @MuniraMtoro
    @MuniraMtoro 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni nyie wote mpenda mamy samia rais wetu mzr canaa lakini mpenda aly kamwe

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 3 หลายเดือนก่อน

    Edibil Jonas lunyamila👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏💯🙏🙏🙏🙏

  • @josiahnaftaeli7862
    @josiahnaftaeli7862 3 หลายเดือนก่อน +3

    Edibil Jonas Lunyamila hii mashine mtu hatari sana

    • @idiidi-rq5gk
      @idiidi-rq5gk 3 หลายเดือนก่อน

      Iunyamila wakijjn kwetu mkabogo

  • @ezekielsaid9536
    @ezekielsaid9536 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga bingwa mpk mwisho utawala wa engineer

  • @MaikoHakimu
    @MaikoHakimu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwel siku zinaenda hawa watu walikua hatar sna

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 หลายเดือนก่อน +3

    lazima mtaizungumzia simba Tu

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wenzetu mandundu wanawaza kufukuza uongoz waoo ss tukikutana watajuta 😂😂😂😂

  • @SholaHawanga
    @SholaHawanga 3 หลายเดือนก่อน +1

    nimefurahishwa kumuona Anwar awadh

  • @CharelesBugulo
    @CharelesBugulo 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga haina mfano hapa tz

  • @josephmalangalila9744
    @josephmalangalila9744 3 หลายเดือนก่อน

    Kinye wapi

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤😮

  • @SiaRitiwi-x1w
    @SiaRitiwi-x1w 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyewe nilishawahi kuwafunga makolo

  • @edsonasifiwe2974
    @edsonasifiwe2974 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dah nilitaman kumuona ngasa na tegete eneo hili

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน

      Umesahau alichokisema ngasa baada ya kuacha kuichezea Yanga wewe.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hersi kumbe nae ni Mheshimiwa?

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 3 หลายเดือนก่อน

      Hata ww inategemea na ulpo.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio ni mheshimiwa, anaongiza zaidi ya watu milioni 20, we unafikiri mchezo!!

  • @benjakasiga5340
    @benjakasiga5340 3 หลายเดือนก่อน +3

    duuuuuu mandundu, manyau nyau

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 หลายเดือนก่อน +3

    ALI KAMWE ASAIVI UMEWIVA SAANA....

  • @yusuphkiponza4542
    @yusuphkiponza4542 3 หลายเดือนก่อน

    Safi🎉

  • @MilajiHaji-f8f
    @MilajiHaji-f8f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Et wasifie viongozi bas jmn heshimwq haiombwi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani Kenneth mkapa yuko wapi beki tatu wetu

  • @matronamushi7021
    @matronamushi7021 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mandundu fc

  • @RaphaelStembela
    @RaphaelStembela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba tutumie kauli ya yangaaaaa tuitikie mbele daima nyuma mwiko hii ya hoyee wengine. Hatuielewi maana inatumika kwenye sias za bongo

  • @JumaDea
    @JumaDea 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ally

  • @AdrianMallya-l4h
    @AdrianMallya-l4h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lunyamila 1993 uko n Kizota niliandika majina yenu kw nguo zangu

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 3 หลายเดือนก่อน

    kumbe wajina ABDALLAH SELEMANI yupo hahahhaa nimefurah sana 😅😅😅😅😅

  • @AishaAisha-vf2ug
    @AishaAisha-vf2ug 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mchanaji nyavu hapo hayupo

  • @allysaidi-uy9rm
    @allysaidi-uy9rm 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha nimecheka kwa nguli wasoka shabani katwila kuwaita jiuzuli fc manyau nyau fc

  • @JacksonPeter-m3u
    @JacksonPeter-m3u 3 หลายเดือนก่อน

    Event ni yenu ila midomoni mwenu kilichowajaa ni Simba.

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน

    Mafanikio gani wakati taarifa ya fedha inaonesha tumepata hasara zaidi ya Bilioni. Watu wanajineemesha uwanja hakuna miaka zaidi ya 80. Kuwa mabingwa Tanzania sio issu kikubwa ni uwekezaji mpya.

  • @nuruelmada2877
    @nuruelmada2877 3 หลายเดือนก่อน

    Ila Ali kamwe eti Kama alishawahi kuifunga simba😅😅😊

  • @mosesmkoma6882
    @mosesmkoma6882 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kajina kapya kazuri (mandundu)

  • @Ba63828
    @Ba63828 3 หลายเดือนก่อน

    Alikua na maana gani Ali Kamwe alipodai kuwa anafikiria jina la uwanja utakaojengwa jangwani? Je ina maama jina la kihistoria la Kaunda litabadilishwa? This is absurd and egregious.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน

    Hata min ziro angekuwepo ni yanga dam jamani

  • @ReachOut3004
    @ReachOut3004 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wanaitwa Mandundwa sasa hivi na hata hamsemi

  • @moseskamgwawa223
    @moseskamgwawa223 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yu wapi SUNDAY Manara ????#@??

    • @MrishoChoggy
      @MrishoChoggy 3 หลายเดือนก่อน

      Mgonjwa

    • @moseskamgwawa223
      @moseskamgwawa223 3 หลายเดือนก่อน

      Daaaah pole zangu nyingi, ikikumbushwa match ya nyamagana bila kumtaja SUNDAY tunakua hatujatenda haki

  • @AlfredEvarist
    @AlfredEvarist 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa wazee hata wakicheza Leo na Simba ha2fungwi

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx 3 หลายเดือนก่อน

    Edibil jonas lunyamila alikuwaga mwaba huyo na muhame husen chinga

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 3 หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi Sunday Manara na Kitwana Manara

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅mandundu oyeee

  • @JoeSalumu
    @JoeSalumu 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni hatari

  • @shabanseleman3257
    @shabanseleman3257 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani lazima kusifia viongozi

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 3 หลายเดือนก่อน +1

    Manara msaliti alifukuzwa

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 หลายเดือนก่อน +3

    sawa Muko kilele cha Mafanikio kilichobakia ni kushuka Tuu

    • @AtuAtu-v9f
      @AtuAtu-v9f 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama mlivyo shuka nyie

  • @josephmalangalila9744
    @josephmalangalila9744 3 หลายเดือนก่อน

    Ngassa!

  • @JeyderNgendanyi
    @JeyderNgendanyi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza ukadhani ni kikao cha ccm

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ulikuwa hujui, Yanga ina ukaribu mkubwa na CCM, Kwa taarifa yako miaka Ile ya 1980s, ushangiliaji wa Yanga walipokuwa wakifunga goli walikuwa wakiimba CCM, CCM, CCM,,,,, kwahiyo redioni tulikuwa tukisikia kelele za CCM, CCM, CCM,,,tunajua tayari Yanga ishaua mtu,,,,,, kwahiyo usishangae kaka!

  • @MuniraMtoro
    @MuniraMtoro 3 หลายเดือนก่อน

    Ally kamwe

  • @christianchamba7252
    @christianchamba7252 3 หลายเดือนก่อน

    Pp