FULL VIDEO: HOTUBA NZITO ya INJINIA HERSI MBELE ya RAIS SAMIA, AFICHUA WALICHOFANYIWA YANGA ALGERIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 มิ.ย. 2023
  • FULL VIDEO: HOTUBA NZITO ya INJINIA HERSI MBELE ya RAIS SAMIA, AFICHUA WALICHOFANYIWA YANGA ALGERIA
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Juni, 2023.
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 10

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 ปีที่แล้ว +2

    Daah ! Engineer Hersi unajua sana kuongea vizuri na Kwa mpangilio, inaonekana hata darasani ulikuwa kichwa sana, kwakweli unastahili kuwa Raisi - Big up president Hersi.

  • @JACOBREUBEN-lf8or
    @JACOBREUBEN-lf8or ปีที่แล้ว

    Asante sana Rais wetu Dr.Samia Suluhu Hassan Mungu akusaidie katika uongozi wako Mama yetu,,,

  • @michellesorin6849
    @michellesorin6849 ปีที่แล้ว

    Jameni medali haziozi kamwe.
    Naomba wachezaji ao viongozi hata wawili wa Simba19 93 watuonyeshe medaljzao🥇

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 ปีที่แล้ว

    Yaan morson ameona ujinga cyo wake afike ikulu asitambulishweeee weeeeee komaaaaa

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa Ni mwana siasa

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว

    Msomali niyupu hapo

  • @barakajames9541
    @barakajames9541 ปีที่แล้ว

    Ongereni.tim.yangu

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว

    Madunduka yamepooooaaaa kama uji wa mgonjwa.