MANARA ajibu KUHUSU rais KARIA "MIMI SIWEZI KUACHA MPIRA, MPIRA NI WANGU MIMI NTAMUACHIA NANI?"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2023
- MANARA AJIBU KUHUSU RAIS KARIA "MIMI SIWEZI KUACHA MPIRA, MPIRA NI WANGU MIMI NTAMUACHIA NANI?"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Tunakupenda wananchii na watu wa soka kwa wingi
😂😂😂😂😂nakukubali sanaaa haji❤
Huyu mwamba anaakili sana yaaani aiseeee
Kalia anawafanya watu watoto wadogo.
SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 mashabiki bora barani Africa 🇹🇿
KAZI YA MWANA F A IYO NDIO MWAKINYO AKO UHURU 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Una uhakika gani km Mpira ndio unakutaka, mbona hakuna kinachomiss? Au ulikuwa namba ngapi unacheza. Ali Kamwe, Ahmed Ally, Hashim Ibwe. wamefit km wasemaji na tunaenjoy ww chuki nyingi
Wewe ujui umuhimu wa haji
Hao wote uliowataja hapo hakuna anayemfikia haji
Mmmh sio kweli my brother why useme wewe ndo unakuitaji mpira kuliko wewe unavyouitaji mpira kwani wewe unacheza namba ngapi hacha hizo mambo za kujikweza bro
Msenge kaongea fact sn leo😂😂
Nakuchukia sana we Kuma ila Leo umeongea Point nyingi sana
Kaka Haji manara uko vizuri sana wambie hao viongozi wasojua wanacho kisema,wanajizongazonga ktk kauli zao
Huyu jamaa msahaulifu sana maana kauli zake kuhusu hili zipo nyingi tofaut tofaut
Kifupi Karia anachuki anaona TFF mali yake ila muda utaongea tu atakuwa nje ya mamlaka muda wake utaisha tu hakai milele pale
Karia hakusema kwamba yy kasema alisema alikuta rufaa yako na kasema ishughulikieni na ninyi watangazaji kumbukumbu hamnazo
Sana manara
Haji usitumie nguvu nyiiingi kujielezea kuhusu Karia tuliona Karia aliongea yauwongo mtupu tunafuatilia mipila miaka yote hatujaskia umefungiwa miaka7 alijitapa tu sikuile Karia
Yaaaaaaani amwachie Ahmed ally noooo😂😂😂
Kaka haji nimekuelewa sana kumbe ulikua huna Nia mbaya na kijana.ahsante kaka.sasa turudi kwa mwakinyo mwakinyo tulio wengi Tanzania tunakupenda.nikweli kabosa achana na midia.ishi na maneno yaji manala,❤😂
Kalia mjinga tu
Haji upo vizuri ktk michezo tatizo lako ni kujiamini kupitiliza hata kupita utaratibu kanuni na sheria hivyo ndiyo vinasababisha ufungiwe
Wewe siyo kweli kitu unachokipenda ukikikosa huwezi kuwa poa
Hili jamaa noma sana 😂😂😂😂
Hongera kaka😂😂😂😂haji
Manara mtoto wa kariakoo
Eti ,"mheshimiwa rais (lahisi")! Yaani tunapofikia kila mwenye dhamana fulani tunamuita "mheshimiwa" jamii itatengeneza maisha ya unyonge. Karia ni rais wa TFF, lakini uheshimiwa aaaah, kwa vipi? Hapo hapana!
Ezidi uyooo mbwaaa
Et mpira wangu 😂😂😂
Marijuana inasumbua mno.
Ukikosa kuchagua maneno ya kuxungunza utakuwa unapiga kelele tu. Ujuaji siku zote mwisho wake ni kuumbuka
Karia ajifunze kwa rais wa yanga yeye cheo chake anaona kawaida tu yeye karia badara ya kudiri na mpila anadiri na wasemaji!!karia bora hata mungu akuchukue utuachie tz yetu mpila utafika mbali
Kweli rudi tu kwenye mpira maana mpira ume ku' miss sn 😂😂😂😂 aisee wakuachee
bugati tunakumis sana kwenye football
Basi karia atuambie Hajii ilikuwaje kuwaje had akatukanwa
Nimependa haji alivyongelea mwakinyo huo ndiyo uwanamichezo
Rudini kweny speech ya karia
😂😂hapo sasa yeye ndo alisema kamati ya maadili ndo imemfungia sio yeye imekuaje kifungo chako alichodai ulifungwa miaka 7 amekufungulia yeye?vp kamati ilimpa luksa yakukufungulia?yaan muongoooo aliongea uongo adi anajistukia 😂😂😂😂
Yaan Hapo Badoo Mmmh.
Karia acha kushughulikia mashabiki wa mpira deal na mpira simamia academy tupate wachezaji wa kitanzania punguza wachezaji wa kigeni ili tupate maendeleo na rank ya fifa ndio inaakisi mpira wa nchi husika na rank ya caf haiakisi mpira wa nchi husika
Huyu naye,hata simuelewi ki ukweli.
Siulisema unaacha mpira leo vip
Zeee uo.sijui toa wapi nguvu mamaee ww 😂😂😂😂
Haji jiandae kuwatangaza wachezaji bot.
Wanakuonea mafisadi
Uyu karia alimtafuta sana Ajii na Ajii akaingia 18 zake
Kanajikuta kamalaika hako😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Karia ananafasi ya kukutetea shida kujiona unajua siyo kweli
Yeeeeeees....Wakati fulani kulitokea utata kati ya Serikali ya Amerika(USA) na Italia,kulitokea ajali ya anga, Pilot wa Jet Fighter wa USA alisababisha ajali na kusababisha vifo.Baada ya mizozo ya muda mrefu... SERIKALI ya USA iliiomba radhi Serikali ya Italia..Na USA ilitamka kuwa kuzozana sana huenda kukazalisha hatari na hasara za binadamu wasio na hatia
Karia kasema Manara mpaka leo hajatimiza masharti,kwa hiyo subiri tu, tafuta kazi nyingine, uingie usanii au kupiga muziki.
Hilo nilisomali lakini mungu yupo haukua na kosa lolote shida ulivoondoka simba aliogopa vijembe vyoko na nihisi ungekuepo kwenye nafasi yako ungeua bila kukusudia lingekufa presha
😂😂😂Huo ni uongo bhana
Mbona silewi hawa tangulini na mpira mpaka juma mkundu naye anadisikasi mpira wewe haji manara kuma kibuyu hujuwi mpira
Hakuna MTU mshezi na mwongo kama yy wake zake tu Kila siku wanamshinda
Wewe kichaaa,kwani mpira unasema?
Haji zee la kufila mpaka mavi mamaeee
Huyu Babu anejiona kaka si atulie
Mara naaacha mpra Mara siachi mpra
Ukimsikiliza vzr uyu jamaa bila kuweka ushabiki wa usimba na uyanga utagundua Kuna siku atasema bila yy simba na yanga zisinge piga atua. Natujipe muda kidogo atakuja kusema bila yy yanga isingechukua ubingwa tuombeane uzima tu.
Madaraka Yana mwisho
haji tunakukubali sana tunakumis sana bugatti
Wewe Baki huko huko utopoloni
Kaka MWAKINYO, niwe mkweli nakupenda! Kaka ni kwamba MWAKINYO alikuwa na wakati mgumu sana kipindi kile cha kiatu, sasa inapotokea mtu kama ww mwenye USHAWISHI ktk society ukasema vile hakika anakuwa demoralized, plz if true ulizungumza vile ktk kuumia kupoteza pambano bac zungumzeni private! Ahsante.
😂😂 haji jeuri eti machi zetu za kimpataepatae nishazuiwa
Yana mwisho. Utakuwa HURU tu Bugaaa
Bugati wewe una kosa sawa karia yuko nachuki zake tu!
Manara unaonekana unachuki binafsi na kalia sio bule ufanye makosa ya makusudi kupewa adhabu kosa nakuanza kumshambulia kalia nakuona kama anakuonea elewa hao unaojivunia nakukupa kibuli kwasababu wanamamlaka makubwa ktk nchi ipo siku watatoweka watakuja wengine ambao hawamjuwi yusufu nasimba na yanga itakua palepale
BUGHATI 😢😢😢😢
Mnaomsikiliza nanyinyi Ni mapimbi tu
Karia hafai kuwa Rais wa Tff sura yake inaonyesha ni mtu wa kisasi tu, Hovyo kabisa
Acha marnara we nani unajua wandishi wanakuvimbisha kichwa na kutaka kurudisha soka nyuma nani alikuwa kipendwa kama rais nyerere
Wewe si unakipaji cha kunyonya mzee Buggati 😅😅😅😅😅
Ujanja mwingi mbele giza
Ww mdau uliepiga kelele nae fala
Mpaka hapo huna kosa wewe haji mwenyeshida ni karia, kama vipi asepe
Ujuaji wako wewe bwege unajikuta mjuaji sana mtoto wa mjini Acha ujuaji Fala wewe kuwafanya wengne hawajielewi umeifanyia nini Tanzania katika mafanikio ya mpira Acha kujimwambafai
Ebugatiiiiiii
Muongo huyu tokea afungiwe mpira wa tanzania umepaa Sana kuanzia vilabu hadi timu za taifa
Inatakiwa ufungiwe maisha
Akifungiwa maisha wewe utapata nini? Utarithi mali zake?au roho mbaya na chuki binafsi?kama CV za uandishi wa habari peleka maombi akuajri kwenye media take achana na gubu
Haji ni tunu ya taifa kwenye masuala ya mpira. Amesababisha timu ya Taifa kufuatiliwa na watanzania wengi. Huwezi kumfungia mtu kupata maslahi yake ni sawa na kumwambia afe. Kama maraisi wa nchi wanatukanwa, iwe raisi wa TFF ambaye analipwa na kodi ya wananchi? Kwani TFF inazalisha nini? Je inaendeleza vipaji?
Embu tupe mfano wa Rais wa chsma cha mpira ambae alitukanwa na kiongozi wa timu flan bila kuchukuliwa hatua. Sheria za mpira zinatakiwa zifutwe na kila kiongozi haijalish una umaarufu kias gani bali ni Sheria inayomtafuna kiongozi yeyote yule atakaeenda kinyume.
Ingekuwa mimi ningekufungia maisha
Ungekuwa ww au sio
Wasenge pekee ndio wenye roho mbaya
@@AjiaMohamed-rt5pb NA SIO TU WASENGE HUYO JAMAA ATAKUWA ANATABIA ZA KIKE
Hapungukiwi na kitu hata afungiwe maisha,ana madili kibao hategemei usemaji wa timu.
Mimi Ningekuwa Daima.
Haji ni senge hafai kwenye mpira wa Tz rudi kwenu Burundi au karemi
kwenye asili yenu matako weye
Na ww rudi kwenu sudan kusini shoga mzoefu
sio hafai munamuogopa tu
Bugaaa
Tff siyo karia wewe unaendelea kufanya makosa sasa wanakuachaje
Karb san chuma
nenda ww
Acha uongo we jamaaa watu wamekuchoka
Hatujamchoka tunampenda hayo mambo ya mpira uhamasishaji hajafikiwa adhabu itaisha na viongozi wetu Yanga watampatia hukumu atumike
wewe ni mnafiki2 huna lolote, karia hajasema kama yeye ndo kakufungulia ila yeye alisema watu wanasema kwamba yeye ndo kakufungulia,
Shida poropaganda nyingi
Huyo karia mpumbavu sana simkubali ana jikuta yeye Mungu
Labda tu niseme waandishi pia mnacgangia mpira kuifnya kama taarabu
Bugatt
😂😂😂😂😂
Mimi SIMBA lakini uyu jamaa namkubali mnoo
Karia ni mtu wa chuki binafsi hizo na fatani mkubwa mbali ya muongo mkubwa huyo. Ni fatani mkubwa sana huyo
Wakati wako umepita wewe pimbi subiri utangaze magodoro ya G S M
Basi na tufanye kwamba ni kweli Haji manara kamtukana karia,je karia alimfanya nn haji manara hadi akamtukana????
Tuanzie hapo
@hassanmwakinyo
Mnafiki tuuu huyoo Kuna watu wanajua kulikon huyo fala tuu
Nimeona mkundu wa manara ni mwekundu sana
Sawa Sasa Tuambie Nawakwako Unarangi Gani.
@@nurdinmfamau3493acha matusi bwana
😂😂😂😂😂
Sasa wewe Simba inahusika vp huna lolote mpira haukutegemei wewe