ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MISTARI YA MWANA FA MBELE YA RAIS SAMIA, ATOA HOTUBA KONKI KAMA ANARAP ''MIMI SIKUWA NA UPANDE''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 มิ.ย. 2023
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 53

  • @alisalum6733
    @alisalum6733 ปีที่แล้ว +1

    Namuona Great Politician wa leo na Kesho. Mzee Uko Sawa. Ni wakati Sahihi kwako na kwa taifa hili. All the best bro @FA

  • @jackkimwely5275
    @jackkimwely5275 12 วันที่ผ่านมา

    Tunakupenda sana Mwana FA

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana mheshimiwaa Mwana FA kikubwa serikali iweke misingi imara kwenye michezo watu wanaitaji kuburudishwa Kwa vipaji halisi na hasa kuona wazawa ( watoto) wakipewa nafasi hizo na kupewa nafasi ya kutimiza ndoto zao lakini pia kuwa na maisha Bora ili na wao waweze kuweka nguvu katika vizazi vyao na jamii Kwa ujumla.,hongera pia mh rais mama Samia suluhu Hassan Kwa kunyanyua sekta ya michezo.

  • @RashidMuhunzi-pr5xj
    @RashidMuhunzi-pr5xj 23 วันที่ผ่านมา

    The hiphop legendarian

  • @mohamednyange5779
    @mohamednyange5779 ปีที่แล้ว +2

    Hotuba nzuri sana hotuba ya kisomi hongera sana MWANAFALSAFANI

  • @user-te8tf7cx3i
    @user-te8tf7cx3i ปีที่แล้ว

    Asante sn my brother uko vzr sn

  • @AbdallaHassan-zn4ku
    @AbdallaHassan-zn4ku ปีที่แล้ว

    Hongera Mh.Hamisi Mwijuma

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +5

    Mheshimiwa, hiyo ni hotuba sio mistari ya bongo Flava,,,,,,,

    • @gadyetheboss8738
      @gadyetheboss8738 ปีที่แล้ว

      Of course anahitaj kujirekebisha lugha za kiun sio maala pake umenena point sana

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@gadyetheboss8738 🤝🤝🤝🤝

  • @georgemlulu1553
    @georgemlulu1553 ปีที่แล้ว

    Big up mwana f.a

  • @nakali79
    @nakali79 ปีที่แล้ว +2

    Hizo ni kodi za watanzania sio pesa za Samia, wasifuni watanzania walipao kodi,

  • @ChristinaChembe
    @ChristinaChembe ปีที่แล้ว +1

    Young Afriacan hooray

  • @dicksonmagesa7602
    @dicksonmagesa7602 ปีที่แล้ว +3

    Uwe hivyo hivyo nakutabilia mbali Sana kijana

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 ปีที่แล้ว

    Sipati Picha kama Young Africans ingekuja na Kombe hili la CAF Confederation...Ingekuwabig celebration. Lakini well done for the effort to play in the final of CAF Confederation. SIMBA should wake up

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NicholusMkunya-kj6mh
    @NicholusMkunya-kj6mh ปีที่แล้ว

    Movie

  • @leonlennon
    @leonlennon ปีที่แล้ว

    Namkumbani sana mwana fa anajiamini san kiukweli

  • @qaccimside5707
    @qaccimside5707 ปีที่แล้ว

    The golden spear

  • @edmundsospeter5667
    @edmundsospeter5667 ปีที่แล้ว

    Asante 👍

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 ปีที่แล้ว

    Intakiwa atofautishe kati ya mistari na hutuba au risa mana anakimbiza paaa

  • @peterkissiry6432
    @peterkissiry6432 ปีที่แล้ว

    ndugu yangu uko poah sana kwa kusoma muutasali

  • @user-uu3xt6mu2q
    @user-uu3xt6mu2q ปีที่แล้ว

    Simba jedi mayans 😮 7:23 7:24 2024

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Simba hawajatajwa na walikuwepo🤣🤣

  • @franciskalinga6560
    @franciskalinga6560 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanao tukana wasani wenzio kama Mr pimbi mwijaku

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa ปีที่แล้ว +6

    Uyo dada anae zulula zulula humo sjui kama atakuja tena aitwe ikulu mana anahis Yuko kwenye kitchen pat

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 ปีที่แล้ว +2

    Faida yake nikwamba unaokoa muda km uitakiwa utume masaa 2 basi unatumia nusu saa tu 😂

  • @peterkissiry6432
    @peterkissiry6432 ปีที่แล้ว

    Dogo uko viema sana mmh

  • @hassanfigo6175
    @hassanfigo6175 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa anaishi maisha ya ndoto yake, kuna nyimbo aliimba na prof J kama sijakosea yaitwa Ni Jukumu Letu.

  • @hellonoloo3850
    @hellonoloo3850 ปีที่แล้ว

    Bongo safi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว

    Tumeona clip zako ukiwa na jike dume moja ukitukejeli baada ya kutolewa nenda huna mpango achana yanga tafuta ugali wako.

  • @victorzimba3316
    @victorzimba3316 ปีที่แล้ว

    Mama kumbe likuwa unasaidia yanga Mars mwamposa kumbe ulitaka tusahau haya acha tu iyo mama achatu

  • @abdillahabdillah7850
    @abdillahabdillah7850 ปีที่แล้ว +3

    Chezeeni kodi zetu tu

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 ปีที่แล้ว

      Kodi zenu! Acha donge, acha nyodo! Unalalamikia Kodi yako? Hivi unajua mabililioni mangapi ya fedha za kigeni Yanga imeingiza nchini kupitia mashindano haya? Waulize wenye taaluma ya uchumi!

    • @okorecharles3992
      @okorecharles3992 ปีที่แล้ว

      ​@@sylvestercameo6263 Ebu tuambie muhasibu wa taifa.😂😂😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      ​@@okorecharles3992 😂😂

    • @kidatokassim7616
      @kidatokassim7616 ปีที่แล้ว +1

      Kodi Yako shingapi nikurudishie mm bila serikali kuhusika😂

    • @abdillahabdillah7850
      @abdillahabdillah7850 ปีที่แล้ว

      @@kidatokassim7616 ungejirudishia yakwako kwanza kama we sio mwezi mchanga

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 ปีที่แล้ว

    Wewe dada siutulie

  • @philemon-mz2fv
    @philemon-mz2fv ปีที่แล้ว

    😂