MCHUNGAJI HANANJA afichua mazuri na mabaya ya TB JOSHUA ,kama aliwabaka kwanini hakusema akiwa hai ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @protasraphael6961
    @protasraphael6961 6 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mchungaji anaongeaga vitu muhimu Sana hachoshi kumsikiliza

  • @felixmluge3211
    @felixmluge3211 6 หลายเดือนก่อน +4

    TB Joshua ajawai kuamini kwenye kuponya watu pasipo kuwafundisha..... ukifatilia vzr utapata ufahamu uwo.

  • @jacksonmwangi9491
    @jacksonmwangi9491 6 หลายเดือนก่อน

    The wisdom and sobriety in this man is on another level. Jesus loves you.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho ya kiislam haya masha'allah

  • @user-zt3ug9wv7f
    @user-zt3ug9wv7f 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji hua napenda sana kuskiza interviews zake yaani yuaongea points kbsaa, huwez bakwa mara tatu na unazaa tu

  • @peterblessing006
    @peterblessing006 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mara tatu nikubakwa kweli 😂😂😂😂

  • @jacksonmwangi9491
    @jacksonmwangi9491 6 หลายเดือนก่อน

    "soko lipo...ntatengeneza bidhaa.." 😂😂

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 6 หลายเดือนก่อน

      Hichi kizazi cha mahangaiko 🤣🤣tunapend short cut

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 6 หลายเดือนก่อน

    Eti DONA la UPAKO 😅😂😂 Dah .. kijiko buku10

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 6 หลายเดือนก่อน

      Kiwanda mdomo hakina tofauti na wauza upako. Utalijua hilo siku ukiwekwa huru kweli kweli na Yesu Kristo.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 หลายเดือนก่อน

    Mar Tatu ni kubakwa kweli hahaha tena anamfat mwenyew nyumbn kwake

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 6 หลายเดือนก่อน

    Mch. Hananja unayo Hekima na Ucheshi inayopelekea Nisichoke Kukusikiliza.

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu 6 หลายเดือนก่อน

    Hekima tupu!

  • @DavidBernard-uk7ss
    @DavidBernard-uk7ss 6 หลายเดือนก่อน

    Uwa napenda mchungaji wetu anavyo jilamba mdomo

    • @ismailally2549
      @ismailally2549 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahahahha wapuuzi bado mpo tu

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa Tb Joshua amefarik ndio wanaanz kumchafua wakt yupo hai mbona hawakusem

  • @wamisangi2801
    @wamisangi2801 6 หลายเดือนก่อน

    Farao wa Misri waganga/wachawi wake walifanya miujiza hadi leo wameandikwa wanaongelewa. Huyu na umri huu hajui kuwa uko uchawi na nguvu za giza za kushikia akili watu. Kabla ya kumlaume aliye rudia kubakwa ambaye anatoa ushuhuda baada ya kufunguliwa ajitafakari kwanza yeye ni wafungu lipi?
    Kesha kufa kweli lakini huduma inaendelea watu wanaendelea kwenda.
    Ujinga mtupu ni kuongea kila kitu bila hofu ya Mungu ili kiwanda chako cha mdomo wa kunena uongo na kweli kikusaidie mkono uende kinywani. Hunana tofauti na nabii wa uongo TB Joshua kuchanganya mema na maovu ili auze upako. Mlipokea Bure Toeni Bure.

    • @messoayubu347
      @messoayubu347 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sio bure una shida ya afya akili.

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 6 หลายเดือนก่อน

      @@messoayubu347
      Mdogo mdogo Tanzania bila manabii wa uongo inawezeka si kwa nguvu wala kwa uweza bali kwa Roho wa Bwana Mungu. Zekaria 4:1
      Wewe mwenye akili uende ukabatizwe ubatizo wa utupu SCOAN na wiseman Daniel maana mikoba ameridhishwa.

    • @davidmembedalamethepsalmis2885
      @davidmembedalamethepsalmis2885 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna muujiza WA kichawi unafanyika Kwa jina la YESU KRISTO

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 6 หลายเดือนก่อน

      @@davidmembedalamethepsalmis2885
      Manabii wa uongo watakuja kwa jina la Yesu kufanya nini na hilo jina la Yesu? Hilo nalo hujui?

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 6 หลายเดือนก่อน

      Wew unashida na utakuwa umetumwa na wale wachungaji makanjanja, umekuja kutuandikia essay hapa