HANANJA Amchana ZUMARIDI "Anamatatizo ya AKILI/MUNGU gani KAMUONA?"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2023
- Mchungaji HANANJA amefunguka baada ya Mchungaji ZUMARIDI kusema kuwa alienda Mbinguni na amekutana na MUNGU.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Hananja #Zumaridi - บันเทิง
huuu baba mchungaji na mkubali yuko vizuri japo niko upande wa pili
Kila muda narudia nacheka mzee Genius sana ubarikiwe Rev. Hananja
Mungu akubariki baba chungaji
This Pastor is Genius 🔥. Ahsante kwa Somo zuri
Ubarikiwe sana baba mungu akujalie afya njema
Hananja huwa nakuelewa sana. Maana huwa unaongea facts kabisa
Jamani nani mwingine nimpitie tuhamie kwenye kanisa la mchungaji Habanja😂
Mimi hapaaa
😀😀
Mimi apa
hana kanisa alistafu
Mimi nipitie
Mchungaji mie nafurahia sana mafundisho yako. nakuobea sana mungu akujalie maisha marefu na akulinde akupe afia njema...
Hananja nimekukubali mzee.
Genius Hananja 🙌🏾🙌🏾
Kwel Hananja yuko vizuri. very bright
Asante sn mzee baba
Wafunguwe
Ubarikiwe wewe unatoxha kuwanyooxha wanabii wauongo mungu akuongoze
Sahihi
🙌🙌🙌🙌🙏
Baba ubarikiwe sana kwa utambuzi na ufafanuzi mzuri wenye hekima
Amen 🙏
Amen
Injili itahubiriwa hata kwa fitina duh Leo umesema ukweli kua maneno yameandikwa na binadamu manane ya kweli ya mungu hayawezi kuhubiriwa kwa fitina mwenye akili timamu aliepewa na mungu atajua ukweli
Good
Genius 🔥
Nampenda San uyu baba
Hawa ndio wachungaji ubarikiwe.
Yaani Mungu ana watu wake huyu Baba namkubali sana
Kweli huyo mama anapepo
Na aya zingine uziseme mzee wangu.
Ahaaaaaa nipeni jina langu staki kufa Kama kuku na jina moja 🤣🤣🤣 nakupendaa pastor
❤
🥰🥰😍
Kweli kila kitu kinapimwa na neno
Nimependa hii interview
Mtangazaj salimia heshima yako ndyo nn, eboo
😁😁jina moja kama kuku
Wape.ukweli.hao.wengi.hajatambu.
Huyu mzee anasoma agano la kale hataki mambo ya kubadilishiwa vitu🤣🤣🤣
Mungu anaongea kisukuma,
Nakubaliana nawe kabisa
Nimecheka Kwa saut namkubar sana huyu baba
Eti juwa lilikuwa sio kali mchungaji anajibu nani alilipoza yani kwakweli nimecheka
Kweli raisi wa bajaji🔥
Wapenda ukweli Sehemu yetu ndio hii,
Kabsa
Hehehh eet kiyoyozi na prado sio nabii 😀😀
Mi namkubali mchungaji
zumaridi alisahau kuzima taa .. akahisi ni jua 😂 ...
Kweli Baba Hananja
Unaongea ukweli
Kuku
🤣🤣 huyu mzee yuko vizuli akujibu kwabibilia
Tuko life
😂😂😂😂
Baba hananjaa
Huna uchungaji wowote moshi tu wa bangi umekurevya
Duh unachana ukweli 2 mzee
Aisee naomba kujua kanisa lako baba mchungaji😂 J2 nije
Amestaafu alikuwa Lutheran kkkt
Mzee namkubql sana huyu🤣🤣🤣
Hekima nyingi
Mzeee hahahaha mbavu cna
Uyu mchungaji nahamia kanisa lake
Unipituwe ndugu yangu
@@nsabimanaflorida ..hamna shaka ATAKUPITUWA...🤣🤣🤣
@@ismailmasoud6001 😂😂😂
Kkkt😂😜
Uyu namuelewa 😀😂
Safi saanaaa, amejib vema saana Kwa mujibu WA Maandiko Matakatifu
We mzee unajua sana kuongea sijui ulikuwaga wap Kiukweli nakuelewa sana Mch...Hananja endelea kutupa Ukwl
huyu baba ni namkubali sana maisha marefu kwako
Huyu Mzee Amekosa kitu kimoja tu kuwa muislam
stop talking nonsense
Usitetee dini
@ said Mzee hujielewi
Umejibu vizuri sana mchungaji hananja
Bora amekosa kuwepo kwenye fungu la waliopotea
huyu hana shida
Mjomba uko pouwa
Gari bovu hahahahaha
Lakini Muhammad pia alisema alienda mbinguni kwa kupanda mnyama akaonana na Mungu na manabii wa kale, tumempata mwingine sasa, Zumaridi. Naye kaenda mbinguni kaonana na Mungu, kaonana na Petro na Ibrahim, yeye kaenda mbali zaidi anasema Petro akataka kumuoa 😀😀😀😀.
Jamani😂😂😂??AA,niacheni mimi
🤣🤣
Kwa hyo yeye na Muhammad wako daraja Moja hahaha aache bangi
Kwani yesu sas yuko wap
He Petro katana kumuoa kasema kweli!?