FULL: HANANJA ATEMA CHECHE KIMARO KUSIMAMISHWA,NJAA ZINAWASUMBUA WENGI, KUNA JIPU LITALIPUKA KANISAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 763

  • @radhiamalla9428
    @radhiamalla9428 ปีที่แล้ว +11

    Kama umesikiliza na ukamuelewa huyu Mzee na ukajikuta unacheka mpaka machozi ingawa si yakucheka, gonga like 😊😊😊😂😂🙌🙌

  • @jmvuna2792
    @jmvuna2792 ปีที่แล้ว +37

    Mzee wa oya oyaaaa! Yupo fire 🔥 kinoma. Huwezi kuchoka kumsikiliza!

  • @felistermtewele7322
    @felistermtewele7322 ปีที่แล้ว +82

    Kweli Mzee Hananja una siri sikuwahi kujua kama ulisimamishwa mwaka mzima Mungu akutunze

  • @Pihansmo
    @Pihansmo ปีที่แล้ว +29

    KAMA UNAMKUBAL HANANJA NA KIMARO GONGA LIKE👍

    • @janethtimoth6563
      @janethtimoth6563 ปีที่แล้ว

      Nokweli kabisa WATUMISHI wa Mungu mbadilike Mwenye kazi atawacharaza fimbo msione kanyamaza hamko salama atarejea punfe

    • @zabrongermanus-co1jj
      @zabrongermanus-co1jj 8 หลายเดือนก่อน

      Sema ukweli maana ukweli ndo unamuweka mtu huru

  • @jameskileo955
    @jameskileo955 ปีที่แล้ว +16

    Mch Hananja MUNGU akubariki sanaa ni kweli unayoongea na mtu mjinga hawezi kukuelewa Ubarikiwee Babaa

  • @reramimisanga462
    @reramimisanga462 ปีที่แล้ว +10

    Napenda Sana huyu Baba 😂😂 ishi miaka kama yote Mzee wangu walio kutesa ndio watakao tangulia Sio wewe in Jesus name 🙌

  • @annahangaya9862
    @annahangaya9862 ปีที่แล้ว +17

    Hongera mtumishi unasema ukweli Mungu akutunze tuonyane Kwa upole sisi wote ni baba mmoja kanisa ni la waumini ndio waliojenga kanisa ni vema wasikilizwe.

  • @tumainituma7691
    @tumainituma7691 ปีที่แล้ว +74

    Nampenda Sana huyu mzeee anaongea ukweli

  • @erickmakyara880
    @erickmakyara880 ปีที่แล้ว +54

    Natamani hii video kila mshirika wa KKKT aisikilize ili wajue wanayopitia wachungaji wetu hasa wale wenye maono makubwa. Asante sana Mchungaji Hananja kwa kutujuza

  • @verynicemasaka9222
    @verynicemasaka9222 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda Sana Mchungaji Ongea Ukweli Ili Uchukiwee
    Nyuki Hakumbatiwi

  • @janethsinzo
    @janethsinzo ปีที่แล้ว +19

    Huyu mzee yuko kama babq yangu. Haki ataishi maisha marefu sana tungekuwa na mioyo ya hivi tungeishi kwa rahq sanaaaa

    • @joeaub2185
      @joeaub2185 ปีที่แล้ว +1

      anamoyo mweupe sana ukisikia kuokoka ndio huku sio unajifanya mlokole hlf mnafki,roho mbaya na wivu...

    • @juliasmwambulukutu3461
      @juliasmwambulukutu3461 ปีที่แล้ว

      Hovyooo bangi tupu

    • @janethsinzo
      @janethsinzo ปีที่แล้ว

      @@joeaub2185 yuko huru na utumishi wake saana

  • @mujawabegayvonne9751
    @mujawabegayvonne9751 ปีที่แล้ว +7

    Dr Kimaro, we love you, we miss you. Together in our prayers.

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 ปีที่แล้ว +34

    Ha ha ha dah mchungaji Hananja, Mungu akuweke, ur so genius🙏🙏

    • @hurumakimaro5762
      @hurumakimaro5762 ปีที่แล้ว

      Sasa ww ndg yangu mtu anaongea pumba unasema ni genius kkkt ni jamii kubwa sn si ya kuibeza hivyo hao waende tuu ss na kkkt yetu watuache sasa mtu km huyo ataweza kukushauri nini ktk swala la familia amkeni wakristo hao wamejulikana via kkkt leo hii wameanza BIASHARA BINAFSI HII NASEMA SI SAWA

    • @jeremiahakonaay1842
      @jeremiahakonaay1842 ปีที่แล้ว

      @@hurumakimaro5762 wangapi wako KKKT hawajulikani mpaka anastaafu kama KKKT inawafanya watumishi wajulikane si wote wangejulikana waliopo humu! Hiyo Mungu amemwinua mtumishi wake kupitia taasisi hiyo hata angekuwa kwingine angejulikana tu acheni kupuuza uwezo wa watu kutambua wito wao kwa kujinyenyekeza kwa Mungu mwenyewe. Mimi ni na wewe wote tuko KKKT mbona haijatufanya tujulikane???

  • @thagondale9041
    @thagondale9041 ปีที่แล้ว +21

    Pastor yuko vizuri sana ... Japo watu watasema skanka 😂😂😂 ila "nyuki hakumbatiwi"
    Asinitishe mtu... Sijanyonya kanisani.

    • @piusitarimo9676
      @piusitarimo9676 ปีที่แล้ว

      Sijanyonya kanisa nimecheka xanaa

    • @LENNY_LEE
      @LENNY_LEE ปีที่แล้ว

      Rev Hananja, 🤣🤣 Nimecheka Sana eti baba zenu wapigwe mabomu ya machozii mje muwachukueee 🤣🤣🤣. Ila amegusa penyewe hapo ndipo.

    • @ivethaireneus2333
      @ivethaireneus2333 ปีที่แล้ว

      Hahahahahha Wacha nicheke mieee Mzee ni hatari

    • @mkabesamaashao6805
      @mkabesamaashao6805 ปีที่แล้ว

      Kwani akisifu ni kosa hilo . Aje kanisa la kiroho Arush Kisongo

  • @josephinejoseph3128
    @josephinejoseph3128 ปีที่แล้ว +31

    Ila kwenye hii dunia ukiwa na maono inabid uwe shujaa kweli kweli.
    Much Hananja unaongea tunacheka ila unaongea mambo mazito sana.

    • @danielmwakalinga6049
      @danielmwakalinga6049 ปีที่แล้ว +2

      Umeonaaa anachekesha🤣🤣🤣

    • @stellapanduka9396
      @stellapanduka9396 ปีที่แล้ว

      Hananja unachosema ni kweli sio huko tu hakuna Hofu ya Mungu miaka hii Mungu atutunze

  • @lucymwakitalima8033
    @lucymwakitalima8033 ปีที่แล้ว +14

    Tunapenda mafundisho ya kubembelezwa pokea magari napokea kukemea dhambi unatengwa Mungu akutunze

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +13

    Ni kweli kabisa.mwanadamu siyo wa kumtegemea.unatakiwa kumtizama vizuri sana.

  • @Mapishinatibatv
    @Mapishinatibatv ปีที่แล้ว +17

    😂😂😂😂Nyuki hakumbatiwi mch ,Hananjaaaaa!!!

  • @marthabenson1112
    @marthabenson1112 ปีที่แล้ว +7

    Daah jaman kunawatu wamepewa Domo la kusema ukweli kama ndo hali halisi Kwa wachungaji ilivo mmh Mtegeen Mungu kumtegemea mwanadam ndo maana yambele hamyajui yakija mnapata mishtuko. Hongera hananja Kwa kujitafuta na kujipata

  • @schofieldodhiambo7957
    @schofieldodhiambo7957 ปีที่แล้ว +19

    Haya mambo ni mazito sana. Ni zaidi ya fikra zetu. God himself will sought them out.

  • @janethsinzo
    @janethsinzo ปีที่แล้ว +6

    Yani hananja uko wazi saaana babaangu. Mungu akupe maisha marefu saaaana.. wakusikilize basi ili waishi kwa furaha km wewe😀😀😀

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 ปีที่แล้ว +10

    Masikini kumbe Mch. Hananja alisimamishwa mwaka mzima!!!!! Ana hekima sana hakusema kabisa!!!!. Kumbe tatizo Mch. E. K katangaza! Angetumia jekima atoe sababu yoyote au angeondoka kimya kimya. Alitakiwa akae kimya.

    • @sarahitambu5586
      @sarahitambu5586 ปีที่แล้ว

      😭 Upo

    • @oscargmosha3108
      @oscargmosha3108 ปีที่แล้ว

      Wala hakukua na sababu ya kunyamaza ukionewa lazima upaze sauti uchungu utoke ndani

    • @irenegoodluck2274
      @irenegoodluck2274 ปีที่แล้ว +1

      Ametangaza kwasababu alikua kwenye semina sasa asingeaga semina ingeendeshwa nanani

    • @miriamalute1540
      @miriamalute1540 ปีที่แล้ว

      Sasa angenyamazaje na wakati alikua anafundisha semina
      Halafu sio mara ya kwanzaa

    • @barmwa
      @barmwa ปีที่แล้ว

      @@miriamalute1540 kuna wakati watu huwa hatupendi kuwaza. Mazingira hayafanani hivyo EK alikuwa sahihi kabisaaa

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 ปีที่แล้ว +34

    Daaaa nimekusikiliza sana mtu mwingine anaweza sema Kama comedy lakin kunahekima kubwa sana

    • @lupindangala4332
      @lupindangala4332 ปีที่แล้ว +1

      Yupo vizuri sana huyu baba Mungu amkumbuke katika kazi yake.

    • @henrymichael4566
      @henrymichael4566 ปีที่แล้ว +2

      Hatamimi sijapenda hata kidogo mbona kilasiku kkkt kunashida gani?

    • @quizyzonnique1872
      @quizyzonnique1872 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sanaa baba 🙌

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 ปีที่แล้ว +31

    Christianity is not just about Church affairs.
    It is about living the life of Christ everywhere!
    The Church is not necessarily where you go,
    It is who you are!
    The church is mobile, not static.
    Anywhere you go, the church goes.
    Manifest Jesus. Make Him known. That is Church!
    Love from Dad.

  • @salmoncelestine6840
    @salmoncelestine6840 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watumishi wanaonewa sana na wakubwa,,,,Mungu tu awatetee.

  • @dodoted5033
    @dodoted5033 ปีที่แล้ว +5

    I love you Hananja.
    God bless you❤💕😁

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 ปีที่แล้ว +22

    Hizi dini zetu ukizichunguza saaana kwa undani unaweza ukabaki mpagani tu bcz kama taasisi ambayo tungetegemea iwe mfano kwetu sisi waumini inafanya hayo sasa sisi twende wapi au sisi tunapopata migogoro yakifamili tunaweza kweli kwenda wakatuma ufumbuzi. Tungepata viongozi wa dini majasiri kama huyu mzee tungefika mbali sana hongeraa mze wetu hananja. Mm dhehebu lingine bt nakufwatilia sana mafundisho yako.

    • @michaellutonjagospelsinger6611
      @michaellutonjagospelsinger6611 ปีที่แล้ว

      Sasa kama mchungaji kaajitiwa tena kumbe wito wakiMungu Hana itakuwaje, bas nitakuwa nasali getoni

    • @seciliaeugen202
      @seciliaeugen202 ปีที่แล้ว

      Kabsaaaa yaaaaan daaaah

    • @janethsinzo
      @janethsinzo ปีที่แล้ว +1

      Kwenye haya maisha ndg yangu mim nilishajifunzq kumtafta Mungu tuuu mim na Mungu wangu wanadamu wako wameumbiwa kubadilika automatically. Tuutafte sana uso wa Mungu

    • @siakiwoli5140
      @siakiwoli5140 ปีที่แล้ว

      @@janethsinzo MCH HANANJA ULINDWE NA MUNGU WABAYA WASIKUONE TENA NAPENDA SANA UJASIRI WAKO BABA HAWAKUWEZI MAANA NENO LIMEKUJAA MOYONI

    • @afiamsangi3717
      @afiamsangi3717 ปีที่แล้ว

      mmmh

  • @jovinathobias7163
    @jovinathobias7163 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutunze daima Mchungaji Hananji, wewe ni mtu sahihi

    • @gabrielmichael3537
      @gabrielmichael3537 ปีที่แล้ว

      Mungu akutunze akupe miaka mingi zaidi.

    • @gabrielmichael3537
      @gabrielmichael3537 ปีที่แล้ว

      Duuu kumbe Kuna mengi ndani ya kanisaletu watu wanaonewa hivyo poleni Sana wachugaji.

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 ปีที่แล้ว

    Pastor nakupenda sana.nilikua bz lakn imebidi niache vyote nitie koment baba.safi sana ukwel mtupu na utuweke huru

  • @Your-highnessrichard6421
    @Your-highnessrichard6421 ปีที่แล้ว +10

    Tuogope watu walifunga makanisa miezi sita kwa ajili ya madaraka hapo kazi,Mchg Hananje sema baba

  • @kokudo8389
    @kokudo8389 ปีที่แล้ว +14

    Nimewafollow sababu ya huyu mzee hongereni kwa interview

    • @angelerick8668
      @angelerick8668 ปีที่แล้ว

      Nimebarikiwa saaaana na Maneno mazuri ya Mtumishi hananja nimejengwa pia da!! Mungu atusaidie

  • @zulfaomari2045
    @zulfaomari2045 ปีที่แล้ว +13

    Jamani nampenda huyu baba anaogea vizuri sana kwakweli

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 ปีที่แล้ว +21

    Mungu akubariki mzee hananja naona hekima na faraja duuu!!!!!!

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 ปีที่แล้ว +7

    Mimi ni muislamu, lakini huwa nakukubali sana mzee ,we mkweli sana

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 ปีที่แล้ว +8

    Kweli mtumishi, Sana ya ukombozi ni sasa. Watu hatutakii kusahihishwa, watu wanaumia Sana. Asante Mchungaji.

  • @evamhufu7698
    @evamhufu7698 ปีที่แล้ว +3

    Bora unajua hilo UNAFIKI MKUBWA KWA WAKRISTO. Asante

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +3

    Aisee Leo ndo nimejua kwann uliamua kustaafu!
    Aisee , Mungu hamtupi mja wake

  • @jeremiahluki7896
    @jeremiahluki7896 ปีที่แล้ว +3

    Ahaaaaa daaa Mchungaji mwenzangu umetishaa

  • @tabithajeremiah4589
    @tabithajeremiah4589 ปีที่แล้ว +5

    Kuna mambo huwa yanatokea wakati MUNGU anataka kukupeleka viwango vingine.Huyu mtumishi yuko na neema kubwa sana Mungu atajitwalia utukufu soon.

  • @mengibusiness9632
    @mengibusiness9632 ปีที่แล้ว +5

    Mzee mkweli Sana asie kwelewa wewe atakuwa na shida Mungu akubariki Sana Mungu akupe maisha marefu

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania ปีที่แล้ว +4

    Tatizo nikuto kuelewa kuwa uchungaji hausomewi darasani uchungaji niwito, nawengi walio somea uchungaji lazima walipwe ,wanaitwa wachungaji wa mshahara hata Yesu aliwaongelea hao,wito nakusomea ni viwili tofauti Sana Sana kuna haha watu wafundishwe wito na kusomea uchungaji waelewe vizuri

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂 umezaa nje Babuuuuu huyu Baba huwa ni zaidi ya Mchungaji kwangu pia amekuwa baraka kwangu toka 2008

    • @davidmbogela
      @davidmbogela ปีที่แล้ว +1

      Haaaaa haaaaa babu umezaaa nje nn ?😁😁😁😁 kweli walikufedhehesha

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka mpaka machoz dah Mungu akubariki

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 ปีที่แล้ว +12

    Eti bwana akae nanyi wakati huo mchungaji ana matesoo. Mungu wajua yotee 😂😂😂

  • @eliasakoti3413
    @eliasakoti3413 ปีที่แล้ว

    Dr hananja wapi kitabu Cha umri na tabia ,pongezi kwa kusimama na neno la mungu

  • @ashamdemeka
    @ashamdemeka ปีที่แล้ว +8

    Mfano sisi katoriki ni kimya kimya ata ukijua ni kwa Siri Sana . Kuweka hadharani unajenga picha mbaya kwa waamini unaweza leta mpasuko ndani ya kanisani

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo ปีที่แล้ว

      Bora wazi wazi hiyo kufichaficha ndio inaharibu kanisa,na kanisa halipo kwaajili ya kumpendeza mwanadamu Bali kumpendeza Bwana Yesu Boss wa kanisa.

    • @wilsonemanuel9915
      @wilsonemanuel9915 ปีที่แล้ว

      Mzee nimekukubali sana mungu yupo na wew

  • @testarguy8609
    @testarguy8609 ปีที่แล้ว +9

    Kuku wa kienyeji anajipambania mwenyewe 🤣🤣🤣🤣

  • @emanuelmsigwa1927
    @emanuelmsigwa1927 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa mchungaji Mungu msaidie Mch.Kimaro mtumishi wako amemtumia amekuja hadi kufundisha mikutano ya Karismatic Katholic tunampenda

    • @jacklineminja2022
      @jacklineminja2022 ปีที่แล้ว

      Mimi mkatoliki nampenda sana Dr Kimaro Yesu aonekane katika hili. Amen

  • @bropasco1127
    @bropasco1127 ปีที่แล้ว +6

    Hahaha huyu mchungaji maneno yake niyakuyashika sana siyo ya kuyaacha

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 ปีที่แล้ว +20

    Ha ha ha ha nimecheka sana.Eti baada ya week wanakuacha na Zengwe lako.

  • @frankmandanda3015
    @frankmandanda3015 ปีที่แล้ว +8

    Mch. Richard Hananja na Mch. Daniel Mgogo Big Up

  • @margarethmwaibasa3697
    @margarethmwaibasa3697 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri mtumishi wape habari zao ni kweli unaofiki upo sana mtumushi ukiwa muwazi unatupwa nje Kimaro angetetea uovu angeachwa.

  • @elidarweyemamu5144
    @elidarweyemamu5144 ปีที่แล้ว +18

    Msema ukweli ni mpenzi wa MUNGU,Baba ubarikiwe,mwanadamu unitishi.

    • @thadeusponera5720
      @thadeusponera5720 ปีที่แล้ว

      Nakipenda sana baba angu unaongeaga ukeeli

    • @rehemamusa6623
      @rehemamusa6623 ปีที่แล้ว

      Watafukuza na sauti ya Mungu maana Mungu anapitia madhabahu hizi hizi

    • @almarichard4941
      @almarichard4941 ปีที่แล้ว

      Ila Hananja jaman eti karibu kwa tuliotengwa

    • @irenemchaki1293
      @irenemchaki1293 ปีที่แล้ว

      Kweli baba mungu akubariki sana na ukweli

  • @dodoted5033
    @dodoted5033 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mambo ya siri Hananja,toboaa.
    Kimaro anaharibu kazi za giza na mafisi hawafurahii.
    Long live Kimaro!

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 ปีที่แล้ว +11

    Daaaah hiii inahitaji ujasiri kuiongelea hadharan

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 ปีที่แล้ว +13

    Duh Mungu sikiliza haya maombi ya watumishi wako🙏

    • @neemadiliwa7586
      @neemadiliwa7586 ปีที่แล้ว

      Well said

    • @heaven.love.foundation
      @heaven.love.foundation ปีที่แล้ว

      Ukijiingiza tu, we ndio dalali mwenyewe

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 ปีที่แล้ว

      Sisi waislamu twa fwata kitabu cha Mungu na sheria zake huongozi ni dhamana kila kitu kitapita Ila Mungu atabiki kuwa Mungu

  • @theopistaemanuel338
    @theopistaemanuel338 ปีที่แล้ว +5

    Nmeipenda interview

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe ปีที่แล้ว +12

    Praise the Lord

  • @cadiaonesmo9660
    @cadiaonesmo9660 ปีที่แล้ว +2

    Mungu sikia kilio cha Watumishi wako wanapitia Mambo magumu sana Mungu wasaidie

  • @Jesusisable-t7q
    @Jesusisable-t7q ปีที่แล้ว +10

    "Unahisi mvua inanyesha kumbe mate yangu"

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 ปีที่แล้ว +1

    Hili Ni fundisho kwa wachungaji kuwa upatapo mafanikio usijiinue kwa kuwa Yuko mwenye kustahili kuinuliwa ambaye Ni Mungu.

  • @boniphacemmassy4554
    @boniphacemmassy4554 ปีที่แล้ว +4

    HAKUNA DINI YENYE UNAFIKI DUNIANI KAMA UKRISTO....
    .
    SIJUI NIMEMSIKIA MIMI TUU...
    .
    Aliyemsikia kama mm weka Like hapa..!!

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 ปีที่แล้ว +1

    Daima ukiwa mkweli kwenye maovu unaonekana mbaya mifano ipo mingi tu.. kwenye familia,jamii,taasisi Na vitu vingine so kwa hili Mungu atafunua Kila kitu kilichojificha hakuna kuogopana Sasa ... Mungu peke yake ndio wa kumuogopa

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki baba umeongea ukweli

  • @ruthjames2735
    @ruthjames2735 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi ukwer ndo huo wape ukwer wao ukimy unatuua krohoo

  • @hollyanne3993
    @hollyanne3993 ปีที่แล้ว +4

    Mungu aingilie kati

  • @sarahitambu5586
    @sarahitambu5586 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂 Mch. Hananja' unasemaga uwazi na ukweli

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 ปีที่แล้ว

      huyu ni wa kanisa gani kwani

    • @sarahitambu5586
      @sarahitambu5586 ปีที่แล้ว

      @@elizabethmassi7327 Alikuwaga KKKT ila siku hizi anahubiri makanisa ya Assemblies na Pentecoste'

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 ปีที่แล้ว

      Sarah asante sana

  • @manjaugodwin7834
    @manjaugodwin7834 ปีที่แล้ว +5

    Tungempata Askofu kama huyu kıla mtu angeıpenda kz.Bıg up Hananja

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ndiye mchunguji pekee kkkt ambaye break zake zimefeli kama sio kung'olewa kbs huwa hapepesi macho anakuchana kama xio kutumbua live

    • @jamesswai1683
      @jamesswai1683 ปีที่แล้ว

      Alisimamishwa kipindi Cha kashfa ya malasusa..alimwambia akae pembeni achunguzwe...wakaamua kumsimamisha Ili kumlinda askofu..kaongea ukweli wachungaji hawana umoja na ni waoga

    • @agnessmalasusa3874
      @agnessmalasusa3874 ปีที่แล้ว +1

      mhhhhh

  • @Esthermushi5804
    @Esthermushi5804 ปีที่แล้ว +5

    Mimi naona wauminiwa kkkt tuamke na kuombea kanisa na kumleta Yesu mwenyewe ndio mwenye kanisa afanye kitu kipya kwa hili kanisa ...kuna mizoga mingi sana kkkt imefika mahala itolewe jii inaitwa strongholds na strongman anaendesha kanisa kama Lake its very sad wana kkkt tuamke sasa na maombi kipindi hiki amen 🙏

  • @monicamushi5935
    @monicamushi5935 ปีที่แล้ว +4

    Daaah hadi king'omela alisimamishwa kweli hii ni kampuni sio kanisa

  • @johnjackson4363
    @johnjackson4363 ปีที่แล้ว +22

    Best interview ever

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 ปีที่แล้ว +16

    Mchungaji wangu wa kigogo safi Sana..uneongea ukweli na sio kupamba

  • @victoriasanga4910
    @victoriasanga4910 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akusaidie Mchungaji kimaro, Na akupe ujasiri, ni wakati wa Mungu

    • @lovenessmasai2204
      @lovenessmasai2204 ปีที่แล้ว

      Boss hanuniwi eeeee
      NAKUPENDA Babu 🥰🥰🥰🥰

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana, Kkkt wanaharibu sana

    • @veronicamwenda7449
      @veronicamwenda7449 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣👊 Hananja weeee!! Eti kwani kanisa ataendanalo wapi Haina maana kung'ang'ania ndini kwani dini kitugani!!huo ni ubaguzi na udini tu. Asonge mbele Kimaro mwanaume anainamisha kichwa chini akiinuka amepata jibu.

  • @weraswai2830
    @weraswai2830 ปีที่แล้ว +25

    Much Hananja natamani siku Moja nikutane na wew, kanisa linahitaj majenius kama wewe

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      Si na yeye keshafukuzwa

    • @jumaharoun
      @jumaharoun ปีที่แล้ว +1

      Mm ni muislamu lakin alicho zungumza huyu mzeee kiukweli nimemwelewa sana

    • @beatricekatunzi903
      @beatricekatunzi903 ปีที่แล้ว

      Ana akili sana ni Genius hatariii

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha 😂😂😁😁 huyu mchungaji Jamani nimecheka kiukweli

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji Hananja,nakukubali sana

  • @selinatogolai3314
    @selinatogolai3314 ปีที่แล้ว +3

    Sawa sawa hananja safi sana

  • @officialnalapa1527
    @officialnalapa1527 ปีที่แล้ว +15

    Ila uyu mm nampenda anaongea ukwel sana aisee 😁😁

  • @remmysbrand
    @remmysbrand ปีที่แล้ว

    Mchungaji Hananja umewafunua wengi Sana! Ukweli ni kwamba Sasa hivi makanisa yamekuwa kama majukwaa ya siasa! Yani hakuna solidarity hakuna Faith,hakuna Love hakuna peace! Majungu kibao

  • @gindamaster1784
    @gindamaster1784 ปีที่แล้ว +6

    Nakuelewa sana Father well done

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 ปีที่แล้ว +5

    unaongea kweli mtumishi wa mungu Ameen

  • @allthings1302
    @allthings1302 ปีที่แล้ว +4

    Aisee kumbe kuna makubwa hivi?

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 4 หลายเดือนก่อน

    Mweee Mtumishi Ubarikiweee

  • @dorakiyao4509
    @dorakiyao4509 ปีที่แล้ว

    Amina baba,Susa kumzika marehemu unukiwe

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji wa taifa uko vzr Sana mtumishi

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 ปีที่แล้ว +2

    Namba moja on trending, ama kwel we mzee Hananja una madini ya kutosha ambayo mtu wa Dini yoyote hawez choka kukusikiliza

  • @Marsemo
    @Marsemo ปีที่แล้ว

    Kweli watumishi wanapitia mazito, mwenyezi Mungu awalinde na alinde roho zenu

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

    Ninavyoelewa mimi Dini ni mtu mwenyewe na Mungu sasa hii kuajiliwa inatokea wapi. Ni ajabu sana njooni kwenye Uislam Dini ya HAKI. Ukristo ni ulaji tu!

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 ปีที่แล้ว +37

    Kimaro fungua kanisa lako karama ya utumishi unayo baba ,Mchungaji hanacha anakwambia njoo huku

    • @jonasphilemon6956
      @jonasphilemon6956 ปีที่แล้ว +2

      Acheni kutumika nashetani

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +2

      @@jonasphilemon6956 Alie mtimua Kimaro ndie shetani mwenyewe

    • @janethmalaika5241
      @janethmalaika5241 ปีที่แล้ว

      Nani kamtimua wanadamu mungu atusaidie kwakweli kapewa siku 60 akirudi atapewa sehemu nyingine simple yaani inafika stage unamwita alie fukuza shetani God have mercy maandiko yanasema do not touch my anointed ones tusitafute laana za Mungu watu wanaangalia hili kimwili bali wangejua kiroho ni mda wa kuombea kanisa wakristo tuombeane jamani da

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 ปีที่แล้ว

      Hakuna mkubwa kuliko kanisa

    • @theafricaiknow6615
      @theafricaiknow6615 ปีที่แล้ว

      Waislam mnapenda kushabikia kisa mlisifiwa

  • @nellymapesa
    @nellymapesa ปีที่แล้ว +6

    Huyu Mzee watu wanamchukulia Poa ila anongea point sana 🙏🙏🙏 hananja

  • @fredichaki3497
    @fredichaki3497 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Mzee ni mkweli na muazi sana

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 ปีที่แล้ว +1

    Kila laheri Baba Hananj kwa ufafanuzi mzuri,napenda Sana ukweli wako,hapo nami pia nimepata somo

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +10

    Wivu wivu acheni wivu Yesu anarudi

  • @jantawakitaatv4534
    @jantawakitaatv4534 ปีที่แล้ว +16

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 movie ya kihindi mch hananja anavitu hadimu ,dah mzee huyu ndo mchungaji wa kweli anaongea ukweli sana na unaweza kuokoka mapema

  • @deosportswear4402
    @deosportswear4402 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli sikuona kosa la kimaro alisema ukweli ukweli unauma ila unatibu

    • @fadhilalottu1193
      @fadhilalottu1193 ปีที่แล้ว

      Mungu aendelee kukutunza Mchungaji Hananja , Mchg Kimaro nakukubali sana ubarikiwe Baba yangu kwa hudumu zako zenye kibali mbele za Mungu, MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPINGWA MAWE.

  • @princebon1841
    @princebon1841 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki msema kweli kuna wakati najiuliza hivi haya makanisa ni viongozi wake wanaongozwa na Mungu kweli?siku zimekwisha Yesu anakuja kuchukua kanisa acheni chuki

    • @Esthermushi5804
      @Esthermushi5804 ปีที่แล้ว

      Mie Nathan viongozi wengi wa kkkt hawapo kiroho kbs kbs na hapa hii ishu kuna kitu Mungu atafanya tu kwa hili kanisa sasahv

  • @janethjohnmrsjoseph2171
    @janethjohnmrsjoseph2171 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣baba Mungu akuweke tuzidi kufurahia uwepo wako

  • @upendo82
    @upendo82 ปีที่แล้ว +3

    Duuu! Barikiwa sana Mchungaji Hananja