Noma MAZITO yaibuka baada ya Mchungaji KIMARO Kusamehewa KKKT I Mchungaji HANANJA atema nyongo hatar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.พ. 2023
  • Noma MAZITO yaibuka baada ya Mchungaji KIMARO Kusamehewa KKKT I Mchungaji HANANJA atema nyongo hatar
    Mchungaji Mstaafu wa KKKT Richard Hananja ametoa kali nzito baada ya mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr. Eliona Kimaro kusamehewa.
    Mchungaji HANANJA amesema hayo wakati akizungumza na Gilly Bonny Tv nyumbani kwake Madale jijini Dar- es Salaam

ความคิดเห็น • 47

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว +4

    Askofu huyu mchngj ianaonyesha ana shiida dayosisi nae mwiteni ayatoe ya moyoni na nyie mumpatie ya mwilini na rohoni wote mtembee salama ktk Kristo

  • @IsraeiMwankwasya
    @IsraeiMwankwasya 3 หลายเดือนก่อน

    Endlea kuongea ukweli mchungaji watu wanafanya makanisa ni yakwako,Mungu akutetee

  • @isaackalenge8194
    @isaackalenge8194 ปีที่แล้ว +1

    ,Mch Mungu akubariki sana,Unahekima ya Hari ya juu,Kimara Alitukanisha ukristo,Nakuonyesha kwamba hata yeye ameshindwa kulea vijana wawe waminifu,

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo asiwaambie ukweli?
      Afunike uovu huo ili Tuendelee kuwa mijizi??

    • @jacksonmkuye7739
      @jacksonmkuye7739 ปีที่แล้ว

      Alitukanisha matusi gani
      Luka 16
      8 Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.
      Ayo ni maneno ya Yesu mwenyewe, je kwa maneno ayo Yesu alitukanisaha nn na maneno ya Kimaro yanatofautiana nini na hayo ya Yesu? Usiwe mlokole nyumbu

  • @yasintadavid1296
    @yasintadavid1296 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU akuweke mchungaji wetu hananjaa🙏

  • @johnmatata6246
    @johnmatata6246 ปีที่แล้ว

    Big Up

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana mzee wangu, hunaga baya

  • @esupatthomas5881
    @esupatthomas5881 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kimaro karudi kijitonyama

  • @annaowens8630
    @annaowens8630 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mchungaji Hananja , sisi tunachotaka ni Mchungaji wetu kurudi Kijitonyama.

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nakuelewa sana

  • @emmanuelmathiasmpesa9396
    @emmanuelmathiasmpesa9396 ปีที่แล้ว

    Hongera Mchungaji umenifurahisha uliposema mnamsamehe Kwa kosa lipi😁

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      Atakufurahisha sana na misamiati. Ila walichotumwa waambieni watu wangu watu ufalme wa

  • @isaackalenge8194
    @isaackalenge8194 ปีที่แล้ว

    Nao washauri wa Askofu hawakuona,Kwamba wanajenga waumini kuwa wanaharakati,,Huyo wa Kimara watashindwa kumhamisha,,Sasa wachungaji watajijengea Umarufu wao badala ya Yesu Kristo,

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 ปีที่แล้ว

      Mchungaji wa Kimara ni maarufu kuliko Kimaro lkn yuko makini na ana hekima sana siyo mtu kuropoka hovyo kwenye mitandao

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mchungaji kichwa chake kina memry ya 8 jb

    • @abelsonda4486
      @abelsonda4486 5 หลายเดือนก่อน

      Ni zaidi ya 32GB 😂😂😂

  • @siahfelix9410
    @siahfelix9410 ปีที่แล้ว

    Hahahaha,YESU angetoka mbinguni anakuja kuhubiri nakurudi asingesurubiwa

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว +2

    Kueni Sirius. Kwenye madhabahu. Sio kwachekesha watu. Mtajadaiwa damu yao
    Wachungaji wengi wako kikazi hawaongozwi na roho wa mungu. Ndio maana wanalinajisi kanisa ole wenu

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      Hakuna jambo lolote muwaropokaji sana hamuongozwi na roho
      .hajui ndio sababu mlopokaji hajijui. Mtaishia kulopoka na adhabu ya mungu inawangoja

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      Hata shehe angeongea msikitini kuwa wakristo ni bora kuliko nyinyi waislamu angekataliwa hapohapo na asingerudiswa

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ambao hamuongozwi na roho hebu jaribuni kuheshimu madhabahu .mnawakwaza wale waendao mbinguni.

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      Hatuhitaji misamiati madhabahuni. Please

    • @linametili3144
      @linametili3144 ปีที่แล้ว

      @@pungopungo411
      .

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 ปีที่แล้ว

    Unaongea utazani umemeza kanda.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

    Kulianza bakwata leo huku mjitafakari viongozi wa dini

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 ปีที่แล้ว

    Mmmhhm?

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Jifunzeni kwa kina Mwamposa haitanii madhabahu .anaongozwa na roho. Hao wachungaji wa leo ni kama nyumbu twende sote hawana nguvu za mungu

    • @JstvTanzania
      @JstvTanzania ปีที่แล้ว

      Mwaposa ndio nani mchawi huyo

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      @@JstvTanzania Mwamposa mchawi kakulogea nani.,?mdomo mali yako unaweza kusema lolote

  • @shaurikibwiru8588
    @shaurikibwiru8588 ปีที่แล้ว

    Uko Sawa hananja

    • @johnmatata6246
      @johnmatata6246 ปีที่แล้ว

      Yaan a very big Commentary.

    • @sammykateregga6238
      @sammykateregga6238 ปีที่แล้ว

      Wapendwa Shalom. Mimi baadacyavkusikiliza mbi la msamaha wa Mch Kimaro halafu nikaona maelezo ya watu pamoja na ya Mch Hansnja nikajiuliza, Mtu au Mtumishi kuomba msamaha Kuna kosa gani? Na ligi inayotengezwa hapo ni kwa manufaa ya Nani? Nadhani tufike wakati kupima na kuangalia ukristo wetu. Mch ni mmoja tu naye ni Bwana Yesu tusiwaondoe watu kwa Yesu tutalaumiwa. Muacheni Mch Kimaro yeye ndiye anayejua kwa nini ameomba msamaha. Hili ni lake kiroho na pia kiutumisha alikula kiapo na anehedimu utumishi wake. Mungu atupe hekima tuzidi kuwaombea watumishi wetu nasi tuwe washauri wazuri kwao.

  • @charlesaurelia8151
    @charlesaurelia8151 ปีที่แล้ว

    Kwan Yesu ni mzaramo???haaa haaa haa

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 ปีที่แล้ว

    ᴊᴜᴍʙᴀ ʙᴏᴠᴜ

  • @sharifaoctavian6478
    @sharifaoctavian6478 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Kila uongozi una mipaka na vigezo vyake ni lazima uviheshimu. Kulopoka madhabahuni labda ndio kosa

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 ปีที่แล้ว

      Kimaro alilewa na umaarufu Malalusa alikuwa sahihi

    • @jacksonmkuye7739
      @jacksonmkuye7739 ปีที่แล้ว

      Luka 16
      8 Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.
      Hayo ni maneno ya Yesu mwenyewe, sasa yanatofautiana nn na maneno y Kimaro, ni wapi Kimaro alikosea?? Acheni ulokole wa kinyumbu ndugu

    • @suzanmsuya3845
      @suzanmsuya3845 ปีที่แล้ว

      Sinema haieleweki😂😂😂

  • @joscochaula497
    @joscochaula497 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea mno

    • @saidomary3370
      @saidomary3370 ปีที่แล้ว

      ANAONGEA KWERY

    • @kaundajulieth1741
      @kaundajulieth1741 ปีที่แล้ว

      Yaani huyu naye anakera!wasanii wanaimba yatapita wewe unataka yaendelee vipi au huyo kimario anakuzibia riziki!??