Dalili 4 Zinazoonyesha Unahitaji Kubadilisha Kazi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2020
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 64

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah hii mm kabisaaa,dalili zote ninazoo, najipanga niache hii kazi maana Duuhh kuna mda mwili, akili, nafsi vyote vinachoka ukianza kuamka tu kuelekea job

  • @inyasiinvestment18
    @inyasiinvestment18 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nilisha badilisha kazi na sasa ni dalali kweli nafurahia hii kazi mpyaa napata kipato kizuri nafanya kwa muda wangu kiukweli sina stress tena ,awali nilikuwa fundi tu wa simu nilikuwa nateseka san na madeni ,now im happy ubarikiwe sana joel

  • @josephboniface7506
    @josephboniface7506 3 ปีที่แล้ว +3

    Sina Dalili hata# moja kwa Sasa ila hiyo hali ilikuwa inanitokea kipindi nilichokuwa nafanyakazi Mwanzo#ya kuajiriwa but now nimejiajiri na Enjoy my Job# but all in all kaka Joel..Una Maono.Makubwa Sana.🙏

  • @castosanga7806
    @castosanga7806 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks brother I understand wht we say

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Bro Joel

  • @elidadaudngunagu7116
    @elidadaudngunagu7116 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu ninakufuatilia sana mafundisho yako kweli yamenijengea uweo fulani na nimegundua kuwa Mimi ninaweza kufaiti maisha kwa kujiamini

  • @tradewithtony
    @tradewithtony 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Joel hapo kwenye special skills umeongea inanihusu kabisa 🙂

  • @rafaelmwanyila6134
    @rafaelmwanyila6134 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana mwalimu,nilishawahi militia sababu ya kwanza na iliniumiza kwa mda mrefu sana.

  • @janenkhwazi2457
    @janenkhwazi2457 3 ปีที่แล้ว +1

    I quitted kazi in 2019 due to above the reasons you've mentioned..... God bless you...wish you happy new year .

  • @awamkhalid5571
    @awamkhalid5571 3 ปีที่แล้ว

    Saf sana bro joel maendeleo ya binadam hayawez kupatikan mpak afurahie anachokfanya

  • @swalhaomar162
    @swalhaomar162 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Bwana Joel kwa mafundisho

  • @sidemlulu3101
    @sidemlulu3101 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mtupu

  • @Winner_Maggie88
    @Winner_Maggie88 3 ปีที่แล้ว

    Aksante sana kwa somo zur yapo yalionigusa moja kwa moja

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru mungu hayo kwangu hayajatokea nipo effective

  • @diabyboy5162
    @diabyboy5162 5 หลายเดือนก่อน

    Dalili zote ulizotaja ndo nazopitia sasa😢😢😢😢😢😢

  • @edgardeus24
    @edgardeus24 3 ปีที่แล้ว +2

    Dalili zote zimenipata natayari nimesha acha

  • @daviikiperuskiperus2052
    @daviikiperuskiperus2052 ปีที่แล้ว

    Like your advice bro

  • @rafaelmwanyila6134
    @rafaelmwanyila6134 3 ปีที่แล้ว

    Mwalimu sababu ya nne imenibariki sana

  • @fasahaproductstv638
    @fasahaproductstv638 3 ปีที่แล้ว

    Kipimo unacho2shajihisha na kutufunza mungu pekee nd anae na ataekulipa hkun yyt atakulipa na kukutoshelez malpo yako

  • @plustzafromusic4908
    @plustzafromusic4908 3 ปีที่แล้ว +3

    Dalili zote hizo ninazo yani...tatzo hii bongo uache kazi kupata kazi ingine ni mtihani kwa kwel nafanya ili nipate pesa tuu lkn cna amani kabisa

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana my life coach be blessed 🙏

    • @thobiaskapinga1574
      @thobiaskapinga1574 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika dalili zote ninazo .mi muajiriwa wa benk nipo kama officer tu .ila nataman san kubadili kazi hii

  • @Philipoyassiry
    @Philipoyassiry 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaan kaka Joel hamna dalil nisioKuanayo. Ila sasa inapofikia hatua ya kubalisha kazi najikuta nashidwa kutoka nilipo.yaan Idea

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว +1

      Pole

    • @Philipoyassiry
      @Philipoyassiry 3 ปีที่แล้ว +2

      @@frankmtei3017 Yaan changamot bro

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว +3

      @@Philipoyassiry chukua hatua hakuna lisilowezekana, yote nanawezekana kwa imani

    • @Philipoyassiry
      @Philipoyassiry 3 ปีที่แล้ว +1

      @@frankmtei3017 🙏🙏

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว

      @@Philipoyassiry p1

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Sir

  • @gwasaonlinetv8763
    @gwasaonlinetv8763 3 ปีที่แล้ว

    Mimi passion yangu ni uandishi wa habari na utangazaji.... Ndo kinachoimba kila mara moyoni mwangu... Nifanyejeee kuishi ndoto yangu

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว

      Chukua hatua kuanza kufanya kile unachotakiwa kufanya ili uweze kuiishi ndoto yako

  • @christinamushi2273
    @christinamushi2273 3 ปีที่แล้ว

    Kwakuendelea kukusikilizaaa Mimi ni bilionea ajayeeee najivunia kwa kukusikilizaaa

  • @davierobert5563
    @davierobert5563 3 ปีที่แล้ว

    Umenifumbua macho sana sasa kama sina mtaji namie nimeajikiwa ila sipend kabisa ajira yangu nifanyeje nahitaji saana biashara

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 3 ปีที่แล้ว

    Fact Bro.Nanauka

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @EmmanuelCharles-mn8yv
    @EmmanuelCharles-mn8yv ปีที่แล้ว

    Somo limenigusa san kaka dalili zote Niko nazo changamoto kubwa ni vitisho kutoka kwa boss

  • @yustaackson6087
    @yustaackson6087 3 ปีที่แล้ว +1

    Namba 2 kwangu ndy changamot kubwa yaan nachoka kupita maelezo, najikuta nipo kazin lkn yaan akili haisomi, kiufupi nimeichoka hii kazi nahitaj kuajili mwenyewe.

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว

      Chukua hatua inawezekana

  • @tarsisiamwalongo6819
    @tarsisiamwalongo6819 9 หลายเดือนก่อน

    Uliyosema nikweli kabisa kaka angu. Sasa mimi huwa nawaza nikiacha kazi nitaishije ,maana hiyo ndio inayonifanya niishi.
    Japo inanikosea amani mda wote nahofu nayo

  • @idrisasalumu2262
    @idrisasalumu2262 3 ปีที่แล้ว

    Thnkx broo

  • @mosalum3657
    @mosalum3657 3 ปีที่แล้ว

    thank bro

  • @annahaule7428
    @annahaule7428 3 ปีที่แล้ว

    Aisee yan km ulikaa na mim tukaongea vile,mada hii imenigusa kabsaa kwa 100%

  • @gwasaonlinetv8763
    @gwasaonlinetv8763 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndo maana sina mood kabisa na kazi niliyonayo maana nowdaysss nadoji sana kazini, nikiamuka nawaza sana kweli.... Nimezielewa dalili mweee kumbe kwa dalili hizi natakiwa kuuiacha hii kazi nifanyeje mwl joel

  • @khamismachemba4020
    @khamismachemba4020 2 ปีที่แล้ว

    Nimetafuta Ili SoMo na dalili zote ninazo...

  • @inothyloserian4912
    @inothyloserian4912 3 ปีที่แล้ว

    hiyo ya kwanza n mm kabisa
    tatizo kweny kubadilisha ss

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว

      Inawezekana kubadilisha, chukua hatua

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @omanmaliyooman5678
    @omanmaliyooman5678 3 ปีที่แล้ว

    🤲

  • @alexdamian7996
    @alexdamian7996 3 ปีที่แล้ว

    E book zako ulizotoa punguzo wakat wa sikukuu zmekuwa na changamoto ya kupewa mrejesho baada ya malipo kukamilika

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 3 ปีที่แล้ว

    DUH! Dalili zoote nne (4) zimethibiti kwangu.

  • @godsontemba4835
    @godsontemba4835 3 ปีที่แล้ว

    Dalili zot hizo ninazo ila tatizo linakuja pal unapoacha kaz ni ngum sana kupat kazi

  • @hamisilaini9688
    @hamisilaini9688 3 ปีที่แล้ว

    Dalili na 1 na4 hizo ndo sana kwenye kichwa changu.unanishauri vipi?

  • @muckymvungi4466
    @muckymvungi4466 2 ปีที่แล้ว

    Vip kuhusu kulalamikiwa na wazazi na familia kwa ujumla juu ya hiyo kazi, je inaweza ikawa ni miongoni mwa sababu au inafanana na sababu ya kwanza katika sababu ulizozitaja?

  • @bushirikwizombe653
    @bushirikwizombe653 3 ปีที่แล้ว +1

    Zote ziko

  • @godwinmkoma7329
    @godwinmkoma7329 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka mi hizo dalili zote ninazo zote yani

  • @onesmosanga8408
    @onesmosanga8408 3 ปีที่แล้ว

    SEE YOU AT THE TOP

  • @edwardsilayo
    @edwardsilayo 3 ปีที่แล้ว

    See me at the top.

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 3 ปีที่แล้ว

    Kitu mkataba Jàmàñ ila hivi vitu vyote cuz ukisema unaambiwa rudisha gharamah zote ukiangaliq hzo gharamah ñ mtaj wa mààñà cjui visa passport gharama za hospital unaona bas tuu Ngoja nimalzie mkataba hÀťà ķàmà umebakia mwez unaona ni miaka 10000000000000000000000000000000000 juzi nimetoka kutundikiwa drips na çjùì naumwa ññ kumbe yote ñapitia haya YÀARB

  • @Sammhela
    @Sammhela 3 ปีที่แล้ว

    Kazi njema br
    Mambo
    ma3 yanayoendesha maisha ya mtu.
    👇🏿👇🏿gusa link👇🏿👇🏿
    th-cam.com/video/5eCOUmJp9rY/w-d-xo.html
    Natamani sana utumie dakika mbili uangalie hii video fupi.
    Naamini hutojutia