Joel asante kwa kutufundisha maisha yaani wewe kaka mungu peke yake aendelee kukutunza na kukubariki zaidi unafundisha vizuri sana nafatilia sana video zako.
Kaka Joel nimeyaona matunda kupitia ww una mchango mkubwa sana ktk mafanikio yng haswa 2021 -2022 alhamdulillah nimeongezwa mshahara pia Nina account bank nakushukuru pia namshukuru mungu 🙏💖💖💖
Binafsi nikushukuru sana Mimi ni dereva boda boda actually niseme natumia pesa ovyo sana nimejiwekea kiwango kidogo sana Cha shilingi ELFU kumi niweke Kila siku kwenye kazi yangu najiwekea Ndani kwangu ila haiputi siku Tano Nisha chukua so now umenipa njia nzuri na sahihi za kutunza pesa be blessed 🤌
Mungu akubariki Sana,am learning a lot from you,na niseme tu hivi Sasa Nina uwezo wa kujiwekea akiba na kufanya vitu vya maana kupitia wewe, seminar zako na kitabu Cha money formula vimeniboost Sana🙏🏼🙏🏼
Ahsanteee Broo nanauka kwa kutewa kwenye njia kuu juu ya nidhamu ya fedha.. njia zote ni nzuri na muhimu sana kuzitumia lakini mimi ningependa kuanza na njia ya kumshirikisha mtu nnae muheshimu na kuweka akiba,, naamini zitanisaidia kama ntazifuata kikamilifu.. **Ubarikiwe sana kwa masaada wako kwenye jamii**
Nashukur sana kaka Joel Mungu akubariki sanaaaa kwani nilikuwa sina utumiaji wa pesa vzr ilaa umenifungua sanaa akili yangu tangia nianze kufatiria ndundishi yako. Barikia sana 🙏🙏
Asante Joel kwa mafunzo yako. Katika kuweka akiba nashauri watu wa Mungu watumie Utt kama njia nyingine ya uwekeza jwa kuwa wanatoa gawio nzuri kwa mtindo wa compound interest ni nzuri sana .just try!
Thnx me naweza tumia hio njia ya 1 na ya 2 kupitia sacos na uptu asante sana mna biashara yngu ina mwaka sasa iko vle vle haikui na mashallah inatembea vzur tuh
Shukrani Mr Nanauka. Kupitia chaneli hii nimefanikiwa jinsi ya kuweka akiba. Cha kujiongezea nitafungua akaunti ya Benki ili nihame m pesa niweke akiba yangu Benki. Ubarikiwe sana.
Vijana wengi unatufundiaha maisha hakika ambayo hatojifunza na kuchukua hatua ni uzembe wake ila kaka inabadilisha maisha ya vijana wengi Mungu akubarik
Ahsante Sana kaka mm nilisikiliza hii na Leo NARUDIA tena nilicheza upatu na mwezi huu napokea milion 7 na Laki mbili nikianza mwez wa 12 mwaka 2022. Mpk Sasa ni miezi nane nashukuru Sana na pesa hiyo nakwenda kufungua biashara ya huduma za kifedha.
Asante kaka niko Kenya na nimekufatilia Kwa miezi mtatu na nashukru nimefanya Mambo ambayo nilikua siyawezi be blessed brother
Nashkuru mungu kwenye hizi njia zote nimepita and thank you 🙏
asante joel,ila mimi nitakuomba wewe unisimamie ,,,,najua una kazi nyingi sana still nitakuomba wewe kila mwezi unanifatilia
Binafsi napenda kukushukuru sana kupitia hili SoMo nmejifunza kitu katika maisha na nitaishi kwenye hii mikakati
Yan kaka Joel mungu akubaliki sana ❤🙏🙏🌎 uzidi kwenda viwango vya kimataifa 🌎🌎⛪️
Hakika
Hongera kaka tunajivunia kwa class zako
🙏🙏
Joel asante kwa kutufundisha maisha yaani wewe kaka mungu peke yake aendelee kukutunza na kukubariki zaidi unafundisha vizuri sana nafatilia sana video zako.
❤❤❤ Bank ya NBC Malengo inasaidia sana utoi pesa mpaka miez 6 nimeijaribu maana M Pesa imenishinda natumia pesa nyng MB na kubeti😮
Hilo la mb na kubeti ni msiba kqetu
Kaka Joel nimeyaona matunda kupitia ww una mchango mkubwa sana ktk mafanikio yng haswa 2021 -2022 alhamdulillah nimeongezwa mshahara pia Nina account bank nakushukuru pia namshukuru mungu 🙏💖💖💖
Binafsi nikushukuru sana Mimi ni dereva boda boda actually niseme natumia pesa ovyo sana nimejiwekea kiwango kidogo sana Cha shilingi ELFU kumi niweke Kila siku kwenye kazi yangu najiwekea Ndani kwangu ila haiputi siku Tano Nisha chukua so now umenipa njia nzuri na sahihi za kutunza pesa be blessed 🤌
Pmk
Boss amekuona
Asante.. mimi nimetafua watu 10 kila trh30 kila mmoja anatoa laki moja
Na tena tumia fixed account
Nidhamu ya fedha ni jambo la msingi katika kufanikisha malengo maishani
Mungu akubariki Sana,am learning a lot from you,na niseme tu hivi Sasa Nina uwezo wa kujiwekea akiba na kufanya vitu vya maana kupitia wewe, seminar zako na kitabu Cha money formula vimeniboost Sana🙏🏼🙏🏼
Ahsanteee Broo nanauka kwa kutewa kwenye njia kuu juu ya nidhamu ya fedha.. njia zote ni nzuri na muhimu sana kuzitumia lakini mimi ningependa kuanza na njia ya kumshirikisha mtu nnae muheshimu na kuweka akiba,, naamini zitanisaidia kama ntazifuata kikamilifu..
**Ubarikiwe sana kwa masaada wako kwenye jamii**
Amina sana. Nimeipenda hii njia ya kuwa na account bila ATM CARD. ubarikiwe sana . Acc ya WADU POSTA.
Since i started following your classes, you have been such a big help kwenye maisha yangu hasa kifedha.Mungu akubariki
Ahxante sanaa Mr Joel nanauka, hakika umetupa somo bora sanaa MUNGU AKUBARIKI,WEWE NI MTU MHIMU SANAA KTK HII JAMII MUNGU AKUBARIK SANAA
😊😊
Nakukubali sana kaka Joel my Tz mentor I wish Nikuone one day 🙏❤️❤️
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,mimi napenda kutumia njia ya kikoba nilichopata hapo ninunue vitu vya jumla nimechoka na rejareja
Kaka Joel , Asante Sana kwa mafundisho yako,mm Nina akaunti ya akiba na vikoba.
Nakuelewa sana brother @Joel Nanauka. Binafsi umenitoa mbali sana kuhusiana na nidhamu ya kifedha. Naendelea kujifunza zaidi🙏🙏
Nimepata hamasa kubwa Kwa hili fundisho lako, Lazima niyafanyie kazi mwaka huu 2023
Be blessed brother umenipa funzo zurii
Njia ninayoona ni best kwangu ni kuweka ikiba kwa upatu na kufanya manunuzi ya ujumla... Ahsante sana kaka🙏🙏
Hongera bro kwa kazi nzuri unayofanya. Maana unatujenga kifikra,mitazamo ili tuache yasiyofaa tuimarishe Hali zetu.
Asante sana coach Joel
Asante sana Kwa elimu nzuri hakika... Mungu akubariki
Asante tuku pamoja na darasa lako❤
Shukran sana kiongozi kwa Elimu
Asante nimejufunza kwa mafundisho
Upo vizur sn umenijenga sn nanauka
Nashukur sana kaka Joel Mungu akubariki sanaaaa kwani nilikuwa sina utumiaji wa pesa vzr ilaa umenifungua sanaa akili yangu tangia nianze kufatiria ndundishi yako. Barikia sana 🙏🙏
Asante sana kaka leo nimekusikiliza na lipoti ijayo kwa neema ya Mungu itakuwa ni ushuhuda
Asante sana baba Joel nanauka
Asante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi japo nimechelewa
MUNGU akubariki Sana our mentor..
asante sana nashukuru
Hongera sana brother kwa somo zuri hata mimi vikoba vimenisaidia sana kwakweli 🙏🏼
U made me stronger about money bro
Shukran sana Brother Darasa limeeleweka vzur unastahili maua yako.
Be blessed nakukubali sana ndugu shukran
Nashukuru kaka njia nzuri zaidi ni hiyo ya benk kuzuia kutoa baada ya muda flan nimeipenda ntaifanyia kazi
Ubarikiwe Kaka!mafundisho yako mazuri sana
Ubarikiwe mno kaka Joel na Mungu aendelee kukutumia zaidi
##Nimekuelewa Sana broo...na nashukuru sana kwa SoMo maana kwangu mm hela napata Sana but matumizi makubwa...##
Asante sana brother nimejifunza mengi sana kwako toka nikufahamu
Nimekupenda bule
Shukrani kiongozi Nanauka tuko pamoj
Najivunia sana hii class I believe that one day yes
Mungu akuongezee kaka..nakukubali Nivilee hujuh 2..god be with you
Thanks my friend for your advice God bless you
Honger sana bro joel nanaukakwasaaa una video 669 zote hiz nimeziangalia na kuvifanyia vitendo asante sana
Asante Joel kwa mafunzo yako.
Katika kuweka akiba nashauri watu wa Mungu watumie Utt kama njia nyingine ya uwekeza jwa kuwa wanatoa gawio nzuri kwa mtindo wa compound interest ni nzuri sana .just try!
Shukrani sana Kwa somo zuri!
Asante kiongozi kwa kifungua vichwa vya wengi
nimeipenda hiyo ya kuweka standing order be blessed brother
Yaan kuna kitu cha muhimu sana nmekipata hapa
Asante kwa ushauri mzuri
Thnx me naweza tumia hio njia ya 1 na ya 2 kupitia sacos na uptu asante sana mna biashara yngu ina mwaka sasa iko vle vle haikui na mashallah inatembea vzur tuh
Aksante sans bi.ejifunza mambo mengi kwako mungu akubarki
Asante kwa ushauri, naendelea kujifunza
Mbarikiwe mtumishi napenda mafundisho yako
Nakuomba Uwe mentor wangu, na unanifuatilia kila mwezi. Asante
Shukrani Mr Nanauka. Kupitia chaneli hii nimefanikiwa jinsi ya kuweka akiba. Cha kujiongezea nitafungua akaunti ya Benki ili nihame m pesa niweke akiba yangu Benki. Ubarikiwe sana.
Nice story champion mwamba wa mwambafix nimeufuatilia mpk mwisho
Nimekukubali sana kaka. Mungu akubaliki sana.
Rafiudine Assane Bartolomeu Toka Mozambique
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Asante sana kaka.
Vijana wengi unatufundiaha maisha hakika ambayo hatojifunza na kuchukua hatua ni uzembe wake ila kaka inabadilisha maisha ya vijana wengi Mungu akubarik
Asante Kaka ubarikiwe mambo mengi nshayajua sasa makosa ya matumizi ya pesa niko mayo Dana Sasa nshajua njia
Hongera sana brother kwa somo zuri Mungu akubariki pia tunasahidika sana
Ahsante sana kaka joel
Nashukuru sana mungu akubarik sana
Ubarikiwe san mtumishi wa daah.🤔
Asante kwa somo nimejifunza kitu
Asante sana kaka na Mimi ni mtumiaji mbaya sana wa pesa mpaka huwa najiombea Mungu aniongoze
Ahsante sana Kwa elimu Yako nimevutiwa sana na itakufatilia sana🙏🙏
Kwa kweli joeli me umenipa maarifa makubwa san mung. Akup maish marefu
Asante sana na ubatikewe🙏🏼
Asante kaka kwa somo hili mimi nipenda sana kutumia zaidi benki mala nyingi kwakuweka akiba
Asnt sana mwl kwa mafundisho yako hakika umenibadilishia sana maisha yangu.. mm natumia vikoba
Mungu akuweke maisha mengi kaka, tunataka kuonyesha matunda yako uliyo yapanda kwetu,
Ahsante Sana kaka mm nilisikiliza hii na Leo NARUDIA tena nilicheza upatu na mwezi huu napokea milion 7 na Laki mbili nikianza mwez wa 12 mwaka 2022. Mpk Sasa ni miezi nane nashukuru Sana na pesa hiyo nakwenda kufungua biashara ya huduma za kifedha.
Dah,bro nashukulu sana kwa ushauli wako.
Asante sana nimepata funzo
Tremondous amount of respect thank you Mr Nanauka .
Asante Bro kwa hii elimu
Kazi njema zote nzuri ubarikiwe
Brother ahsanteee sana kwa elimu Yako muhim ya maisha🙏🙏
Mungu Akubariki Sana
Asante sana kaka hakika unanipa hatua Kila Leo ndugu
Asante Sana Kaka najifuza kwako
ahsante sana mwalimu
Asante kaka elimu unayitoa inanisaidia
Asante sana bro .i have learned A lot 🙏🙏
Hsanteee sana kaka mimi ndo nataka kuanza biashara ndo maana natafuta ushauri mbalimbali kwa wataalam
Mungu akulinde uzidikutipatia somo maana daa nakuleewa sana
Ahsante sana kk Joel
Asante sanaa naamini malengu yakununua Gari yatatimiaa
Be blessed
Bank ni nzuri zaidi Kaka
Mungu akubariki sana
Asante mwalimu
Nashukuru umenifungua.