Aina Tano (5) Za Hofu Unazotakiwa Kuzishinda - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 407

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 26 วันที่ผ่านมา +1

    Brother unanijenga sana kiimani nashukuru 🙏

  • @allynaitikasimbaushindidal1546
    @allynaitikasimbaushindidal1546 4 ปีที่แล้ว

    Daah Nakuelewa Sana Braza Umenifunza Kitu

  • @mericktamba7981
    @mericktamba7981 2 ปีที่แล้ว +1

    Niceeeeee...brzaaaaaa.....🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💫💫💫💫💫💥💥💥💥💯💯

  • @adow9musictz931
    @adow9musictz931 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Hapa Nimekuelewa sana

  • @rollahngimbwa6978
    @rollahngimbwa6978 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani Sasa mwalimu🙏🏽 hakik somo nimelielewa vzr. Balikiwa Sana🙏🏽

  • @adelinakibejile4696
    @adelinakibejile4696 2 ปีที่แล้ว

    Ur correct%big up br

  • @mariaurassa8081
    @mariaurassa8081 3 ปีที่แล้ว

    Hofu ya kukataliwa, ubarikiwe saana brother.

  • @issahamadi4734
    @issahamadi4734 4 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vingi bro. Sema Leo naanza upya .

  • @brunophilbert1034
    @brunophilbert1034 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka, sitaogopa kamwe kuanza upya. Merci beaucop.

  • @mremamchina544
    @mremamchina544 3 ปีที่แล้ว

    Nakubari

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 3 ปีที่แล้ว

    Nmeelewa. Sasa imebaki kufanyia kazi. Aksante

  • @sorophiasixbert6620
    @sorophiasixbert6620 5 ปีที่แล้ว

    Daah somo kmenigusa sanaa. Karbia hofu zote znanhusu.

  • @kulwasaguda5521
    @kulwasaguda5521 5 ปีที่แล้ว

    NYC broo

  • @WaltoMwinuka
    @WaltoMwinuka 7 หลายเดือนก่อน

    Ninamaneno mengi sana ya kusema,itoshe tu kusema ubarikiwe bro

  • @nassorsaidi1291
    @nassorsaidi1291 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana broo naelimika sasa

  • @merryjohn9520
    @merryjohn9520 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwaa 🙏

  • @mduduemmanuel4585
    @mduduemmanuel4585 3 ปีที่แล้ว

    Bro you're so bright

  • @stevenkamala8099
    @stevenkamala8099 3 ปีที่แล้ว +3

    Nashukulu xana mr.j umefumbua fumbo wangu

  • @keflentito8052
    @keflentito8052 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka Joel

  • @minanicharles3081
    @minanicharles3081 3 ปีที่แล้ว

    I like that

  • @MwaduduFatma
    @MwaduduFatma ปีที่แล้ว

    Thanks so much bro nmekupata loud and clear na ntalifanyia kazi manaake m n victim iz vitu

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana coach and 🙏🙏🙏

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Nakubareee kk

  • @lightnovel.06
    @lightnovel.06 4 ปีที่แล้ว

    Asante rafiki kila nikikusikiliza najiona mshindi na hatua zang naziona

  • @mwanaidisaidi9433
    @mwanaidisaidi9433 ปีที่แล้ว

    Huwa nakuckza sana Mungu akubariki kaka mm niko hofu so siri Dah

  • @feithchilala6374
    @feithchilala6374 5 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @issamohdfaki6465
    @issamohdfaki6465 4 ปีที่แล้ว

    Asante kaka tupe ujuzi zaid

  • @winniemassawe5372
    @winniemassawe5372 2 ปีที่แล้ว

    Asante San mwalimu kwa SoMo la hofu Mimi hofu zote ninazo naomba unisaidie niweze kujiamini na kuanza upya

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante docta nlikua nadhani nna stress tu kumbe nna na hofu pia

  • @vicentpeter9264
    @vicentpeter9264 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana unanifunza mengi kaka

  • @hadijaathumani6318
    @hadijaathumani6318 4 ปีที่แล้ว

    Mr nanauka Leo umesema na mimi fear to start ever again. Ndio tatizo langu

  • @hawamzee6649
    @hawamzee6649 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sanaa

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 4 ปีที่แล้ว

    Naomba na njia za kuondosha hofu docta joel

  • @thobiasemmanuel889
    @thobiasemmanuel889 ปีที่แล้ว

    Ningependa SoMo lako ,limenisaidia kuondokana na wasiwasi

  • @WaltoMwinuka
    @WaltoMwinuka 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @yugsondavid3519
    @yugsondavid3519 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana broo noel

  • @paulfrank8816
    @paulfrank8816 3 ปีที่แล้ว

    Joel nakuku Ali sana kaka

  • @RamadhanMtaki-sw1gx
    @RamadhanMtaki-sw1gx 9 หลายเดือนก่อน

    Bro kuhanzia Leo hii nitahanza kuzungatia na bahada ya miaka mitatu nitakuja kukuona Kwa macho na nitazidi kujifunza mungu hakupe umri mrefu uzidi kufungua vichwa VA watu nakukubali Sana bro

  • @mombasatv1994
    @mombasatv1994 4 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa elimu

  • @machanohaji9841
    @machanohaji9841 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akubariki kakaangu

  • @Tobejr
    @Tobejr 4 หลายเดือนก่อน

    Fear of rejection,,,

  • @eneashaidi5341
    @eneashaidi5341 4 ปีที่แล้ว

    Fear of change

  • @hemedisalimu6434
    @hemedisalimu6434 2 ปีที่แล้ว

    Broo nashukuru sana umeifungua akili yangu upe wa hofu nimejifunza Leo

  • @christinarafael3261
    @christinarafael3261 2 ปีที่แล้ว

    Nakuku barisana mkuu kupitia mafundisho yako naanza upya tena

  • @abudofaquefaque6665
    @abudofaquefaque6665 ปีที่แล้ว

    Asa te sana nilikuwa na ofu ya Kuanza upia!

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    🙏😘

  • @fadhillusoko4683
    @fadhillusoko4683 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana

  • @zawadimollel5273
    @zawadimollel5273 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo inanisumbua sana kias hata sijui jinsi ya kujitoa kwenye hofu kabisa

  • @dicklaurian355
    @dicklaurian355 5 ปีที่แล้ว

    king

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana alafu tunatatizo kubwa sana la negative mentality especially we tanzanian so kama kuna uwezekano tunaomba somo la how to change perception pls

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Ckos mah Sawa nashukuru nitashughulikia hili

    • @ckosmah21
      @ckosmah21 5 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka asante

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว

    Nina hofuu ya kukataliwaa nimekataa tamaa kabisa

  • @asumtamapunda
    @asumtamapunda 3 หลายเดือนก่อน

    Nashkuru sana unanipa nguvu sana ya kuendelea kupambn mungu akuweke

  • @joramuzacharia4641
    @joramuzacharia4641 4 ปีที่แล้ว

    Napenda kukataliwa Kwa kuwa napenda kuanza upya maana kuna fursa nyingi kuanza upya

  • @venajah3033
    @venajah3033 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka

  • @deussmile3620
    @deussmile3620 2 ปีที่แล้ว

    Daaah kweli

  • @auleambena3182
    @auleambena3182 ปีที่แล้ว

    Mm hofuyangu ni juu ya yajayo

  • @hassansaid6462
    @hassansaid6462 4 ปีที่แล้ว

    Ndaba nimeelewa

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 2 ปีที่แล้ว

    BarikiwA

  • @msengisimoni2087
    @msengisimoni2087 5 ปีที่แล้ว +1

    ahsante kwa kurudi,kinachotutesa wengi hofu mambo yajayo.Ukiona hatari mbele uko tayari kuacha tayari hofu imetawala

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Msengi Simoni nashukuru kwa kuendelea kufuatilia.Ishinde leo hiyo hofu

  • @eunace3019
    @eunace3019 2 ปีที่แล้ว

    Hofu ya kuanza upya hapooo daaaa

  • @giftibrahimuamulike5963
    @giftibrahimuamulike5963 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana hofu ya mabadiliko ni changamoto kwangu

  • @LimbuMabula1
    @LimbuMabula1 4 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa kaka Nanauka baut mm kinachonisumbua ni hofu ya kuanza upya vip nifanyaje!!!!!!

  • @YnnocentNikundana-cq7np
    @YnnocentNikundana-cq7np ปีที่แล้ว

    Ukweri mwarim

  • @KhadijaAndrew-zp1sn
    @KhadijaAndrew-zp1sn 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsante

  • @stephensanga8886
    @stephensanga8886 2 ปีที่แล้ว

    Mi hofu ya kutokueleweka inanisumbua saana kak yanguuu

  • @kimwanakitaka3607
    @kimwanakitaka3607 ปีที่แล้ว

    Hofu yakukataliwa imekuwa ikinitesa sana

  • @Ayman-ps3ho
    @Ayman-ps3ho 5 ปีที่แล้ว

    Kuanza upya broo

  • @glorykoka6437
    @glorykoka6437 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kaka ....sijui nilikua wapi jamani sijakufatilia mapema

  • @assumanimutabi8744
    @assumanimutabi8744 5 ปีที่แล้ว +2

    Fresh

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Assumani Mutabi 👍

  • @peninahjohn2990
    @peninahjohn2990 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na mafunzo yako somo la leo limenilenga hasa nashukuru nimejifunza kitu....ubarikiwe sana kaka

  • @lovekapinga6072
    @lovekapinga6072 ปีที่แล้ว

    Iliyo changamoto kwangu Sana ni hofu ya kukataliwa kaka

  • @hamisilaini9688
    @hamisilaini9688 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Joel Nannauka kwa masomo mazuri shida yangu ni kupata vitabu vyako mbalimbali niko mtwara.kuhusu somo lako hoph ya kufanya maamuzi ya kubadilika na kuishi kwa mazoeamazoea

  • @merinaalphonce4039
    @merinaalphonce4039 4 ปีที่แล้ว

    Asante kuwa Mwalm wangu, ila mm Nina off kubwa mpaka naisi kukata tamaa

  • @victoriastephano4075
    @victoriastephano4075 4 ปีที่แล้ว

    Ahsate unafudish vizur sana

  • @singosingojr6210
    @singosingojr6210 5 ปีที่แล้ว

    Ninahofu ya kuanza upya

  • @cresensiandimbo4195
    @cresensiandimbo4195 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana somo la leo,na umenizindua sana nashukuru nitajitaidi kukabiliana na hizo hofu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Cresensia Ndimbo Karibu sana naamini utashinda

  • @abasiamili4504
    @abasiamili4504 3 ปีที่แล้ว

    Ninahofu ya kukataliwa

  • @joramuzacharia4641
    @joramuzacharia4641 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kubadilisha mahusiano nianze upya

  • @zainabomar5512
    @zainabomar5512 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana mm pia hof inaniagusha mambo meng sana

  • @godwinmondpltnmrweyemamu560
    @godwinmondpltnmrweyemamu560 5 ปีที่แล้ว

    hofu ya biasha

  • @VeronikaSangawe
    @VeronikaSangawe หลายเดือนก่อน

    Naomba namba kaka

  • @fatmamwiru7574
    @fatmamwiru7574 3 ปีที่แล้ว

    Hofu yakuanza upya inanisumbua sanaa 😪😪😪😪

  • @NeemaMaliatabu
    @NeemaMaliatabu ปีที่แล้ว

    Hofu ya kuanza upya

  • @tinafrenk5540
    @tinafrenk5540 5 ปีที่แล้ว +64

    Kama unanuelewa huyu bro Kama mm gonga like apa twend sambamba

  • @JosphatiJoseph
    @JosphatiJoseph 11 หลายเดือนก่อน

    Hofu ya kuanza ninacho waza kuanza

  • @florajonas4159
    @florajonas4159 4 ปีที่แล้ว

    Ishi miaka mingi kaka

  • @projestusbenezeth2347
    @projestusbenezeth2347 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli nimekuelewa sana, Asante sana, ubarikiwe sana!

  • @denisstarimo3616
    @denisstarimo3616 4 ปีที่แล้ว

    Hofu yangu me nikuanzisha mahusiano mapy

  • @memastitus3063
    @memastitus3063 4 ปีที่แล้ว

    Ya kuanza upya

  • @mwanaidabdu6839
    @mwanaidabdu6839 4 ปีที่แล้ว

    Mimi kaka Joeli uwa nahofu ya kukataliwa

  • @mosessarafina5759
    @mosessarafina5759 4 ปีที่แล้ว

    Hofu ya kukataliwa ndo ilikuwa inanisumbiwa lakini nimefurahi sana kwasomo zuri limenijenga

  • @ambrosemwarabu348
    @ambrosemwarabu348 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo yaani wewe ni zaidi ya maisha nilikuwa na hofu ya kuanza upya sasa umenipa mwongozo Asante sana nakukubali naomba nikupe jina uitwe MWONGOZO MKUU WA MAISHA

  • @buruhanimtonya1621
    @buruhanimtonya1621 4 ปีที่แล้ว

    Naanza na kuanza upya

  • @zahorokasentisenti2575
    @zahorokasentisenti2575 5 ปีที่แล้ว

    Kuanza upya

  • @kelvinlwiva5380
    @kelvinlwiva5380 4 ปีที่แล้ว

    Pendo huitupa nje hofu, Asante kaka Joel!

  • @lucymbonde440
    @lucymbonde440 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana. Maana ni lazima tuanze upya

  • @bboymonxter1105
    @bboymonxter1105 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARIKI UINGIAPO NA UTOKAPO

  • @silokadomole9413
    @silokadomole9413 4 ปีที่แล้ว

    Kaka upo visit Sana nimekulewa kwamafundisho yako.🤔

  • @faridakawese9960
    @faridakawese9960 3 ปีที่แล้ว

    Mara nyingi kuna watanionaje, watanifikiriaje, wataniamini kweli? Wanaiona thamani yangu?

  • @ismailbaclana1757
    @ismailbaclana1757 5 ปีที่แล้ว

    kuanza upya joeli