Jenga Tabia Ya Kujiamini - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 180

  • @severinebagenyi4745
    @severinebagenyi4745 2 ปีที่แล้ว +14

    Hakika umesema kweli, changamoto yetu watanzania ni kwamba ni wazuri kusikiliza na pengine kuelewa kile kilichosemwa, lakini kwenye vitendo ni changamoto.
    Hebu leo wote tulioangalia video hii tuamue kutenda japo hata Jambo dogo.

  • @firdausgreen1886
    @firdausgreen1886 2 ปีที่แล้ว +16

    Nilipochaguliwa kusoma chuo course ya Mass communication kaka yangu alisema hiyo course itanishinda maana ananijua ni mvivu, nikachekecha akili mwenyewe lakini nikasema nitaisoma kivyovyote, nilipoanza kuisoma malecture wangu wakasema nina sauti nzuri ya kutangaza, nikienda kufanya discussion na wanafunz wenzangu wananipa bravoo kwa point zangu

    • @barikiyesaya8582
      @barikiyesaya8582 2 ปีที่แล้ว +2

      Hiii imekaa vizur Sanaa

    • @theojoseph5705
      @theojoseph5705 ปีที่แล้ว +3

      Ongeraa

    • @michongomedia
      @michongomedia ปีที่แล้ว +1

      Mass communication mwaka wa kwanza hapa SAINT AGUSTINE UNIVERSITY SAUT NWANZA, na youtuber bado najaza ili kufikia kesho YANGU.... Nimepata kitu hapa💥💥💥🙏🙏🙏

    • @user-en6dk7et2x
      @user-en6dk7et2x 4 หลายเดือนก่อน

      Ongera sana

  • @MoredAmon
    @MoredAmon 5 หลายเดือนก่อน +2

    Your talented brother keep it

  • @africangirls482
    @africangirls482 2 ปีที่แล้ว +6

    Thanks mkuu najiamini kinoma noma kuna jamaa nlimuombaga anifundishe Forex akaniambia kuwa trader huwezi hujasoma achana na Forex but nliamini kwenye kitu changu am good Forex trader right now

  • @brightbright6535
    @brightbright6535 2 ปีที่แล้ว +8

    Allah is my success but you become the source of my success. Love you

  • @drkimwaga9583
    @drkimwaga9583 2 ปีที่แล้ว +8

    Ahsant sana leader nimejifunza vitu vingi sana kutoka katika soma hili "Changmoto ambayo inanikumba ni kufocus sana kuangalia watu wengine na kushidwa kupambania muono wangu but leo nimefika kazini kwangu na kusema wacha nijifunze ili nipate nguvu ya kufanya kazi nashukuru sana umenifunza kitu ambacho naamini kitaleta utofauti mkubwa sana mwishoni mwa mwaka wangu 2021" 🥰🏃🏾‍♀️💪🏽

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 ปีที่แล้ว +2

    MTU WA MUNGU Hakika Mungu amenipa zawadi ya kusikiliza mafundisho Haya yamejaa hekima kubwa Sana ya kufundisha Mungu akupe maisha marefu.

  • @AyubuMnemadau
    @AyubuMnemadau 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana bro nimepata amanita ya kuinuka tena natena

  • @wanumbilyakingu7786
    @wanumbilyakingu7786 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kila ninaposikiliza masomo yako napata kitu kipya ubarikiwe

  • @manjalentugwa409
    @manjalentugwa409 ปีที่แล้ว

    Kwako Sina neno kaka barikiwa sanaaa

  • @elimanmesodi6167
    @elimanmesodi6167 2 ปีที่แล้ว +1

    Joel nakufatilia sana,na binafisi sijawah kupokea maneno ya kukatishwa tamaa wala kutamin.

  • @agenssmsogoya9442
    @agenssmsogoya9442 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki hakika wewe Ni msaada mkubwa Sana kwangu

  • @theojoseph5705
    @theojoseph5705 ปีที่แล้ว

    Thanks acha ninyanyuke dada mungu akubariki naiman ntatimiza ndotozangu kama nlivyo itaji😄

  • @WapekeeMwashua-oo9fv
    @WapekeeMwashua-oo9fv ปีที่แล้ว

    Asante Kaka mungu akupe maalifazaidi nimekuelewa

  • @swalehmasharubu
    @swalehmasharubu ปีที่แล้ว

    Hatutaacha kujifunza kutoka kwako mpaka kesho ihukumu juhudi zetu Asante mwalimu

  • @AdelaKauki
    @AdelaKauki 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka Joel Nina tabia ya kujilinganisha na wengine na kuanzia Leo naacha Ee Mungu nisaidie.

  • @irenechakwela6942
    @irenechakwela6942 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze Kaka Natamani niwe mtu mkubwa siku moja umenijengea mambo mazur

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 2 ปีที่แล้ว +2

    Nashinda mechi zangu tu , maana nimefunguwa ukurasa mpya na vitendo zaidi, kufunga ukurasa wa zamani jambo ambaro ukichelewa unakwamishwa, katika safari ya mafanikio yako ahsante kwa Elimu hii Ubarikiwe sana @Joel nanauka umekuwa msaada mkubwa mno kwangu "WEWE ni MTEULE #You HERO# 🥋🥊👉🏆

  • @marymosesk9871
    @marymosesk9871 ปีที่แล้ว

    Kwakweli nashukuru sana nimejifunza kaka

  • @christopherlivamba9111
    @christopherlivamba9111 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Kiongozi
    Kiukwel KUTOKUFANYA na KUJILINGANISHA NA WENGINE,.
    ndio imekuwa chanzo cha kuvunja kujiamini kwangu

  • @geofreyjames5609
    @geofreyjames5609 2 ปีที่แล้ว

    Wewe unajua Sana

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani nimejifunza jambo muhimu sana

  • @williamkiyumbi2800
    @williamkiyumbi2800 2 ปีที่แล้ว

    You are the best person

  • @user-lv7lh2lv7m
    @user-lv7lh2lv7m ปีที่แล้ว

    Kuto kufanya, kujiringanisha na wengine

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 2 ปีที่แล้ว +2

    Very true...we delay too much to take actions, and some times we miss the opportunities completely

  • @frankmhoza2642
    @frankmhoza2642 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vitu kwako sasa nanitachukuwa hatuwa Asante nigefulai zaidi nikawa nawasiliana naww

  • @frankmwansele1013
    @frankmwansele1013 2 ปีที่แล้ว

    Nashukulu sana kwa mafundisho yako maana naona kabisa yakinitoa hatua moja kunipeleka nyingine mungu akubaliki

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 ปีที่แล้ว

    Joel Nanauka sante sn kwa kunitia moyo mpendwa ubarikiwe sn

  • @CreverMwakasege
    @CreverMwakasege 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kwelii mm natatizwa nakutofanya af kingnee ni kujilinganishaa na wengne

  • @cleopatraadolf6492
    @cleopatraadolf6492 ปีที่แล้ว

    Kweli suala la kujilinganisha na wengine limeniathili sana kaka

  • @shijakuligi2674
    @shijakuligi2674 ปีที่แล้ว

    Ahasante Sana kwa elim kwani ujumbe umefika kwa kila mwenye akili....

  • @rhoidatolya8446
    @rhoidatolya8446 2 ปีที่แล้ว +1

    Je naweza kupata vitabu vya kutimiza malengo

  • @fadhililusoko2233
    @fadhililusoko2233 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana joel

  • @lynusjacob6727
    @lynusjacob6727 ปีที่แล้ว

    Kutofanya,,kukabali kukaa kwenye maneno ya nyakt zilizopt nakataaa kuwa huko tena

  • @godwinmrema8239
    @godwinmrema8239 หลายเดือนก่อน

    Asante sana nachukua hatua .

  • @mwalimuphilemonmbemba1649
    @mwalimuphilemonmbemba1649 2 ปีที่แล้ว

    Somo lipo vizuri

  • @ibrahimyoungtz4722
    @ibrahimyoungtz4722 11 หลายเดือนก่อน

    Asantee sana brother Nanauka tokanianze kukufatilia nimeona mabadiliko 🙏 appreciate you 🙌

  • @user-eh2ch5xy4m
    @user-eh2ch5xy4m 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubalk

  • @wazirichiduo52
    @wazirichiduo52 2 ปีที่แล้ว +1

    Me nimekua nateseka Sana kuto kujiamini nawaza kufeli tu

  • @amanimakuri8149
    @amanimakuri8149 2 ปีที่แล้ว

    Shkrani kka yangu

  • @neemasamson7144
    @neemasamson7144 ปีที่แล้ว

    Hili somo limetia nguvu ki ukweli acha ninyanyuke sasa, Mungu akubariki kaka

  • @hawamwambapa848
    @hawamwambapa848 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka yani me cjiamini kabisa ata niki plani biashara mtu akiniambia cwez fanikiwa au wateja watatoka wapi nakata tamaa kabisa yani na anaacha hapo hapo, lakini kwa ili somo naanza kujiamini

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge ปีที่แล้ว

    Kaka Nanauka.nilimzoea Denis Mpagaze kumbe na wewe ni mwalimu mzuri sana ndio kwanza nimekujua leo na nimepitia mafundisho yako mengi kwenye video zako,Mungu akubariki sana.

  • @suzansechonge8497
    @suzansechonge8497 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mkuu barikiwa

  • @joelmbiligwa1700
    @joelmbiligwa1700 2 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana broo, wewe ni moja ya watu wanaotaka nifikie mafanikio yangu balikiwa.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante brother

  • @rosewere1317
    @rosewere1317 2 ปีที่แล้ว +1

    Shida ambayo nko nayo kila nkitaka kufanya jambo fulani kunatokea shida hata sijui nfanye nini sasa.

    • @yusuphfutte6979
      @yusuphfutte6979 2 ปีที่แล้ว

      Mwone mtumishi wa karama ya kinabii au kutume au mwalimu

  • @shamilayassin8297
    @shamilayassin8297 2 ปีที่แล้ว

    Yaani hapo karibu yote ynanigusa barikiwa sana bro
    Kuanzia leo nipo tayari kuanza upya na kufuta yale yote ambayo yameua nishindwe kujiamini

  • @yussufrabba2282
    @yussufrabba2282 2 ปีที่แล้ว

    Asant joel nanauka

  • @Bakari-fp3zr
    @Bakari-fp3zr 9 หลายเดือนก่อน

    Kutokufanya broo

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 2 ปีที่แล้ว

    Shukurani sana

  • @assamwakasanga3570
    @assamwakasanga3570 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka ubarikiwe sana ... Unafanikiwa nasi tunafanikiwa kwa madini unayotupatia Kila wakati bila kuchoka

  • @brianamichale5528
    @brianamichale5528 ปีที่แล้ว

    Asante kaka yetu

  • @samohazakwani6899
    @samohazakwani6899 2 ปีที่แล้ว

    Salaam. Asante sana kwa somo zuri, baadhi ya walimu ni sababu kubwa ya kufeli kwa wanafunzi wanavunja moyo na kumfanya mwanafunzi afeli japo somo analipenda. Na baadhi yao ni sababu ya kupasi hata km mwanafunzi alikuwa haelewi akaweza kufanikiwa. Haya yametukuta.

  • @floraheaster413
    @floraheaster413 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana namafundisho yako mugu akubaliki

  • @mrjulius5840
    @mrjulius5840 2 ปีที่แล้ว

    Unatisha mzeee
    Unaendelea KUNIAMSHA USINGIZI

  • @piuspuka6760
    @piuspuka6760 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka umenifungua sana hasa hapo kwenye maneno yakukatisa tamaaaa

  • @jailinemsangi8753
    @jailinemsangi8753 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kinitia moyo

  • @emanuelmalau148
    @emanuelmalau148 2 ปีที่แล้ว

    Tatu na 4 inanihusu nitajirekebisaha Ili nifikie malengo na ndoti zangu Asante teacher

  • @amarislam1589
    @amarislam1589 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaa kwa somo zuri.kutatua kabisa hilo tatizo la kutojiamini pata kitabu cha jisni ya kuenga ujasiri na kujiamini.cha Joel author nanauka.thanks.

  • @mucsyynMustafa-wk5og
    @mucsyynMustafa-wk5og ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye maneno uyowahi kuambiwa bro umeyagusa nilioyapitia

  • @eastafricainfocornertv2521
    @eastafricainfocornertv2521 2 ปีที่แล้ว

    Nakushukulu sana Mr Joel nimenufaika sana namasomo yako

  • @eleneosindano5633
    @eleneosindano5633 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa kaka

  • @alexkifyula8931
    @alexkifyula8931 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Sana Mr Joel hii nimekuwa nikikufuatilia video zako na huu Ni mwaka wa pili, hii video Ni Kama unayajua fika kabisa Maisha yangu uko mlemle yaan, Asante sana

  • @babybhalo8723
    @babybhalo8723 2 ปีที่แล้ว

    Asante na Mungu akubariki....nitafika mbali Sana 🙏🙏🙏🙏

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 2 ปีที่แล้ว

    Asante nimejifunza.
    1.maneno ulioambiwa
    2.kufeli
    3.kuwa idle
    4.kujifaninisha na wengine. Hii ilinipa shida sana

  • @muhadhirunawema9952
    @muhadhirunawema9952 2 ปีที่แล้ว

    Kutokufanya. Hili limenigusa sana, kuanzia leo nafanya.

  • @shijalupondeja908
    @shijalupondeja908 2 ปีที่แล้ว

    Kuna mambo mengi sana nimejifunza kupitia kwako bro hongera sana

  • @kulwajumanne5282
    @kulwajumanne5282 2 ปีที่แล้ว

    Asantee sana mwalimu na roll moder wang. Vipindi vyako vimenijengaaa na kunibadilishaa sana sana nakukubariii sanaaa🙏🙏🙏😋

  • @johnfrances1677
    @johnfrances1677 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka Joel kiukweli umenigusa Sana katika kila somo unalotoa

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana,,, Confidence ndio nguzo kuu ,, najiamini sana

  • @abuubizo8584
    @abuubizo8584 2 ปีที่แล้ว

    Kujilinganish ila ssa nitasima alone

  • @barakamichael223
    @barakamichael223 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nina mambo mawili ninaypenda sana tena zaidi yasan ila aiwezekan kufanya kwawakat mmoja

  • @thehoodmedia5332
    @thehoodmedia5332 2 ปีที่แล้ว

    Kila ulichoandika bro umegusa mahali pakee. Hii nzito sana.

  • @paulfrenck7269
    @paulfrenck7269 2 ปีที่แล้ว

    Joel ahsante Sana niko pande za kigoma huku tunashida yavitabu
    Vyako Sasa turishakosa kwenye maduka yavitabu tutapataje hivyo vitabu Joel.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 ปีที่แล้ว

      Wakala wa Kigoma anaitwa Edna +255 768 336 498

  • @hildamasala3065
    @hildamasala3065 2 ปีที่แล้ว

    Asante Leo umenifunza kitu hiyo yakwanza ndoimeniafeti

  • @nassraomar144
    @nassraomar144 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana ,Maneno ya kukatishwa tamaa ndio huvunja confidance yng

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    Ume nigusa sana leo 😥mi kila kitu nilikuwa nambiwa uwezi 😢 now nime subutu!!! Najiamin sana😘

  • @siffahk4825
    @siffahk4825 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kuanzia Leo nimefunguwa ukurasa mpya wakujiamini baada yakuangalia video hii

  • @johnsonjames8950
    @johnsonjames8950 2 ปีที่แล้ว

    It's John from South Africa
    I always follow up this guy
    👌👌 Keep it up bruh

  • @turukimedia
    @turukimedia 2 ปีที่แล้ว

    Brother nakufatilia sana unanifanya niwe najijenga kila kukicha kwa kipaji nilichonacho 🙏🙏🙏

  • @denissinkonde3039
    @denissinkonde3039 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaaa

  • @mwajumahaji8283
    @mwajumahaji8283 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka naendelea kujifunza umenisaidia snaa mungu azidi kukubaliki

  • @justinebaada9079
    @justinebaada9079 2 ปีที่แล้ว

    Nimepata kitu muhimu sana hapa. Barikiwa sana

  • @Edger-fp4qc
    @Edger-fp4qc 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa kaka

  • @mercymunyazi6904
    @mercymunyazi6904 ปีที่แล้ว

    U are a blessing to me may God bless u

  • @blesskangs4553
    @blesskangs4553 2 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka umenitia moyo sana

  • @bernarderadi4410
    @bernarderadi4410 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana. Maneno yako yanatia sana moyo

  • @janethngao129
    @janethngao129 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi sana kwa kutazama video zako

  • @winfridangelangela7911
    @winfridangelangela7911 2 ปีที่แล้ว

    nimepta ujumbe nitabadilika kuanzia sekunde hii thanks

  • @sweetbertmligo9637
    @sweetbertmligo9637 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother Joel,Umenitoa shimoni👍👍

  • @maclaudmuhindi8624
    @maclaudmuhindi8624 2 ปีที่แล้ว

    m nashindwa kujiamjn

  • @lucyjuma8478
    @lucyjuma8478 2 ปีที่แล้ว

    Ahsanteeee Sana Kakaangu

  • @shabanirashid5550
    @shabanirashid5550 2 ปีที่แล้ว

    Thanks so much kwa somo zuri, kwa upande wangu ni kutotenda kwa wakati

  • @barakaboniphace4067
    @barakaboniphace4067 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks brother

  • @festofeisag392
    @festofeisag392 2 ปีที่แล้ว

    Hii video umeiandaa kwajiri yangu💪 hakika nontafanikiwa

  • @user-cg9ef3iw4j
    @user-cg9ef3iw4j หลายเดือนก่อน

    Thanks so much

  • @timaabdallah1770
    @timaabdallah1770 2 ปีที่แล้ว +1

    Thunk you for your advice

  • @lucaskituli1846
    @lucaskituli1846 2 ปีที่แล้ว

    Kaka yaan speech zako unajitahd sana kufanya research unagusa uhalisia wawatu tulivyo kbsa hongera sana

  • @khajirmussa
    @khajirmussa หลายเดือนก่อน

    Thanks kaka joel