MCHUNGAJI HANANJA AMVUNJA MBAVU MUFTI | UKUMBI MZIMA KICHEKO, AZUNGUMZA KIARABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 337

  • @lawrenceoctavian2740
    @lawrenceoctavian2740 8 หลายเดือนก่อน +93

    Inapendeza mbele za wanadamu na mbele za Mungu ndugu wakikaa pamoja

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 7 หลายเดือนก่อน +34

    Tumefurahi Sana kumuona much. Wetu kujumuika na Ndugu zetu waislam! Tumefurahi Sana Sana Sana, hakika ametuwakilisha vyema. Tuishi Kwa Upendo, Mungu wetu sote!

  • @johaneskiiza150
    @johaneskiiza150 7 หลายเดือนก่อน +53

    Tanzania nakupenda sana nchi yangu tunahishi kwa kuheshimiana safi sana wazee wa BAKWATA

  • @NuruBeth-hu1ym
    @NuruBeth-hu1ym 3 หลายเดือนก่อน +11

    Napenda mafundisho ya pastor❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @egfridmkoba4767
    @egfridmkoba4767 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi Mungu aendelee kutuwekea mkono wake tuendelee kuishi kama ndugu wa baba na mama mmoja.

  • @lucaskashimwita6386
    @lucaskashimwita6386 7 หลายเดือนก่อน +26

    Kwa kweli Uislamu naupenda sana. Nilipofika Dar es Salaam niliishi na ndugu zetu wa waislam hakika nilipata ukalimu sana. Mungu ubariki uislam

    • @Chimamy5242
      @Chimamy5242 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @Kibasumba02
      @Kibasumba02 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂uslamu ni dini la kishetani

    • @idiidi-rq5gk
      @idiidi-rq5gk 6 หลายเดือนก่อน +1

      Shetan n we mwenyewe

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@idiidi-rq5gk mashetan yashaanza kuamka 😂😂

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 4 หลายเดือนก่อน

      Unasubili nini kajiunge na mashetani

  • @expert5898
    @expert5898 7 หลายเดือนก่อน +44

    Ufalme wa Mungu ukishuka watu wote wanakuwa wamoja maana Mungu wao ni mmoja.

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 8 หลายเดือนก่อน +17

    Nasoma comment za watu wenye kutafuta shari pasi na shari 😮

  • @user-fw4yr5bt8p
    @user-fw4yr5bt8p 7 หลายเดือนก่อน +28

    Hananja hana baya mzee wangu

  • @henritamshai4915
    @henritamshai4915 8 หลายเดือนก่อน +27

    Huwa nafikiria ni muislamu pongezi mseto huu wa mawaidha ya kidini.mungu atujalie heri duniani

  • @rweyemamurweyemamu680
    @rweyemamurweyemamu680 8 หลายเดือนก่อน +28

    Unakuta anayeongelea mambo ya udini ana machafu kibao na pengine ana demu mkristo😂😂😂 lkn sasa kujifanya anaijua dini,mbinguni unaenda weye na roho yako mpendwa utahesabiwa mema uloyafanya kwa wenzako,uwepo wako Dunian umetenda nini,watu wangapi umewasaidia waenende kwenye njia njema,ayo ndo mambo ya msingi,achaneni na udini

    • @hawanassoro4607
      @hawanassoro4607 7 หลายเดือนก่อน +2

      Sahihi kabisa udini hauna maana ss ni wanadamu tunayoelewana tukae pamoja tuyajenge mbora wetu anajua muumba wetu tu.

    • @hawanassoro4607
      @hawanassoro4607 7 หลายเดือนก่อน +2

      Sahihi kabisa udini hauna maana ss ni wanadamu tunayoelewana tukae pamoja tuyajenge mbora wetu anajua muumba wetu tu.

    • @user-dq1lm2be2u
      @user-dq1lm2be2u 15 วันที่ผ่านมา

      Sana kasema kweli Mungu anaangalia matendo

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 7 หลายเดือนก่อน +12

    Allah bless and guide you mch Hananja... mtu wa ukweli... we love you

  • @danielsamuel1278
    @danielsamuel1278 22 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mzee nampenda sana sana sana mimi ni muislam ila huyu mzee nasoma mengi sana kwake na hii ndio Tanzania ninayo ipenda ❤❤❤❤

  • @MiwagoTz
    @MiwagoTz หลายเดือนก่อน +4

    Huwa namfuatilia sana maongezi yake huwa anachekesha huku akifikisha ujumbe,nikipenzi cha watu,Hongereni viongozi wa Dini kwa umoja wenu wa Dini zote kuwa kitu kimoja hapa Tanzania lazima hiwe na Amani kwani Amani inaanzia kwenye Upendo ndani ya Dini Zetu kupendana na hapa tunaona mchungaji amealikwa.Mungu ibariki Tanzania na watu wake aminaa.

  • @DeoMbilinyi
    @DeoMbilinyi หลายเดือนก่อน +2

    Na mimi nimependa kwa mwaliko huu Ameen

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 7 หลายเดือนก่อน +11

    Daah mungu atusaidie sana na viongozi wa dini zote msikubali kuwaingiza waumini wote kwenye njia mungu asiyoipenda

    • @user-dq1lm2be2u
      @user-dq1lm2be2u 15 วันที่ผ่านมา

      Hapo yale yasiyo jitambua ndiyo yanaleta chochezi

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 8 หลายเดือนก่อน +84

    Wanaomponda huyu Mchungaji hawajui hata kitu chochote kwenye Dini 😁

  • @engisack9610
    @engisack9610 7 หลายเดือนก่อน +10

    Tatizo la waisilamu wana udini mwingi sana na ubaguzi" wakati Mungu nimmoja

    • @alhajisingano6590
      @alhajisingano6590 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna ubaguzi sisi tupo kwenye nyie mpo kwenye Batil
      Mola tunayemuabudu nyinyi sio mnayemuabudu nyinyi wala hakuna umoja, zisikuchanganye hizo kanzu na vilemba hapo hao wote ni Mashekh wa Bidaa tu (wazushi)

    • @NuruSultani-ws1ny
      @NuruSultani-ws1ny 29 วันที่ผ่านมา +1

      Kma ubaguz upo hananja ni muislam au ondoa upuuz uliojazwa katika akili yako mwehu ww

  • @alexcostantine6732
    @alexcostantine6732 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu awabariki kwa umoja huo YESU anakuja jihusishe

  • @almasisadick9719
    @almasisadick9719 8 หลายเดือนก่อน +20

    Eee ALLAH wahifadh masheikh wetu wa kisalafi na uwaweke mbali na unafiq...... ✍️

  • @NYOKAONLINE7156
    @NYOKAONLINE7156 8 หลายเดือนก่อน +14

    Allah atupe mwisho mwema

  • @ZAMYLFILM
    @ZAMYLFILM 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana Hananj Allah akujaalie uwe muislam usife katika giza

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 7 หลายเดือนก่อน +13

    Siku ya kusimama hukumuni kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake! Kwa sasa kinachotakiwa ni kuishi kwa umoja na furaha bila kubaguan! Siku ukifa ndip utajua ulichochagua hapa duniani kama kilikuwa sahihi au la! Je ukifa utaenda wapi???

    • @danielmateso2522
      @danielmateso2522 13 วันที่ผ่านมา

      ukifa unayarudia mavumbi yaani unakuwa hutambui chochote the usubili ufufuo kama ulishika amri za mungu na imani ya yesu utafufuliwa ufuguo wa kwanza wa watakatifu na kama unapuuza amri za mungu bas utafufuliwa ufufuo wa pili wa waovu.

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 8 หลายเดือนก่อน +8

    Aliposema wake 1000 nikakumbuka Mazinge😊

  • @mainguali6046
    @mainguali6046 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu amjalie Pastor Hananja asilimu

  • @HousenAhmadi
    @HousenAhmadi หลายเดือนก่อน

    Sote ni ndugu , emwenyezi mungu udumishe udugu huu na utuepushe na shetani wabaya , inshallah 🙏

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 6 หลายเดือนก่อน +3

    hananja huna baya mungu akubar sana ❤

  • @enockdanstan1785
    @enockdanstan1785 8 หลายเดือนก่อน +9

    Waisilamu watu...wa Shari, comments zenu, sio za kujenga, haziendani kama watu wa Mungu

  • @MustafaHimid
    @MustafaHimid 8 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Hananja❤

  • @MubarakaNasibumwaluka-n9n
    @MubarakaNasibumwaluka-n9n 3 วันที่ผ่านมา

    Umetisha kaka

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 7 หลายเดือนก่อน +4

    Maasha Allah tabaaraka Allah, jamaa anakwepa munakasha, na anakwepa mpaka mahojiano na chombo cha habari, eti kwa sababu ni watu wa bidaa, wakati huo huo masalafi wanatumia youtube, facebook, twitter, instagram, vyote hivi ni vya makafiri, lakini hawaachi kuvitumia 😂

    • @EmmanuelMalando
      @EmmanuelMalando 25 วันที่ผ่านมา

      Acha ubaguzinallah apendi

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha ya huyu mchungaji na himani yake naipenda sana

  • @jamalsamma3457
    @jamalsamma3457 8 หลายเดือนก่อน +4

    Barakallahu fih

  • @kwadumikomaenterprises1131
    @kwadumikomaenterprises1131 3 หลายเดือนก่อน

    safi sana sina comment ni nasikia Raha tu kwenye nchi yangu kuona tupo pamoja Raha sana najivunia kuzaliwa Tanzania

  • @emanuelwilliam1607
    @emanuelwilliam1607 6 หลายเดือนก่อน +3

    Its beautiful TANZANIA LOVELY LOVELY SANA 💕

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 4 หลายเดือนก่อน

    Safii sana sote twaabudu Mungu mmoja!Tupendane!🙏

  • @user-cj4ol5dc2v
    @user-cj4ol5dc2v 8 หลายเดือนก่อน +7

    Inapendeza sana ndg kukaa pamoja kama hii❤❤❤

  • @JoshuaGodifreyJoshua
    @JoshuaGodifreyJoshua 29 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana Mungu ni mmoja sisi sote ni WA Moja

  • @gwakisasimon14
    @gwakisasimon14 7 หลายเดือนก่อน +3

    wewe unaye sema asilimu ili imanishe nini toa kitu cha kujenga sio kubomoa ndio maana watu wanasema shule muhimu usikimbie umande mzee yani kaa ukijuwa mungu apendezwi na dini zetu kwa sababu zina unafki kusengenyana mungu hayupo sehemu yenye dhambi kaa ukijua mungu anapenda jambo moja tu matendo mema kumuelekea yeye na kumwabudu kwa roho na kweli na kusimama kwenye wito uliopangiwa ukiwa mtu wa kulukaluka uwezi kumpata mungu sehemu yako itakuwa jehanamu tu nawapenda wote wanaomwabudu mwenyezi mungu maana neno lake halitaludi bure ila wale wanaoabudu mizimu masanamu tusiwachukie kama tuna upendo alioagiza mungu tunatakiwa kuwaombea mungu awashushie baraka zake na neema wamjue mungu wa kweli .waislamu na wakristo mungu awape maisha ya kumsifu na kumwabudu kwa roho na kweli sio unafki mtazameni mungu msitazame dini zenu ni nzuri kwa sababu sinamwabudu mwenyezi mungu kila mtu aeshimu hekalu la mwenzie mungu awabariki nyote amina

  • @nasramtuluma3949
    @nasramtuluma3949 5 วันที่ผ่านมา

    Hadi raha❤

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 8 หลายเดือนก่อน +10

    MI SIO MKRISTU ILA NAMPENDA SANA HUYO MCHUNGAJI,,NOMA SANA

    • @omarikhalifa9413
      @omarikhalifa9413 8 หลายเดือนก่อน

      Unampendaje kafiri?

    • @idrisalimapema2539
      @idrisalimapema2539 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@omarikhalifa9413hahahha

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 8 หลายเดือนก่อน +2

      SIPENDI UDINI WAKE,,NAPENDA AKILI YAKE.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@omarikhalifa9413Kafili mama yako

    • @user-wi1cn2pc4p
      @user-wi1cn2pc4p 8 หลายเดือนก่อน

      Ukiona unampenda mtu anayechukiwa na Allah ktk kufru yake nasi na wewe unachukiwa na Allah!!!

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 8 หลายเดือนก่อน +16

    Silimu basi mchungaji walwahi umependeza Sana kuwa shene

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein 21 วันที่ผ่านมา

    Mashallah inapendeza sanaaa

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 8 หลายเดือนก่อน +10

    Yaan waislam mnachuki, mwngne hta msikitini haendi ila roho mbya

    • @alhajisingano6590
      @alhajisingano6590 7 หลายเดือนก่อน

      Na tunawachukia hasaa sio siri bal kuwachukia nyie kwetu n ibada

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mbingu hapo

    • @WinnieJvic
      @WinnieJvic 21 วันที่ผ่านมา

      @@alhajisingano6590 😂😂😂😂😂 eti ibada

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 15 วันที่ผ่านมา

    Wasiojitambua ndio wanataka kuharibu Tanzania yetu ya amani haina ubaguzi safi san🎉

  • @thomaswilbert6431
    @thomaswilbert6431 8 หลายเดือนก่อน +18

    😅😂hamjawahi kuwa furaha ya kweli kama waliopata leo mashehe wenu kwa mchungaji mcheshi duniani

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu wetu anataka Upendo Na Aman

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 หลายเดือนก่อน

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @danielsamuel1278
      @danielsamuel1278 22 วันที่ผ่านมา

      Sisi hatutaki kuokoka ,tulikuokoka tumboni .yesu ni mtume wetu kama watume wengine .

  • @patricksebastian3593
    @patricksebastian3593 หลายเดือนก่อน

    Mungu Ibariki Tanzania, tuanaishi pamoja bila kujali dini zetu

  • @Mtemi-s2k
    @Mtemi-s2k 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukwer mungu ibariki tanzaniy nawatu wake🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nestarnestar4520
    @nestarnestar4520 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi maisha yangu siwez kuja kua muislamu, ndugu zangu natamani mngekua mnajua kama navojua mm khx huu uislaum, kwanza kabla hajawaza kua waislam muwe mnajaribu kuwauliza waislam viongozi kwann wanatumia kiarabu aslimia nyingi kuliko Kiswahili, kwasabb Weng hawajui kiarabu, Kwenye uislaum kunashida nyingi hata maiti bado anashida nyingi anavotobolewa na ndo maana anazikwa haraka haraka

    • @hamidayusuph4608
      @hamidayusuph4608 8 หลายเดือนก่อน

      Anatobolewa tena!
      Hamna kitu kama hicho ndugu.

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 หลายเดือนก่อน

      @@hamidayusuph4608 Nyie mait mnamuandaa VP kama hamtoboi? We unaekataa utakua hujui ukitaka kujua nachokisena kasome vitabu nyenu vinavoongea marehe na na jinx ya kumuandaa kwenda kumsitiri

    • @Evance15
      @Evance15 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@nestarnestar4520hujui chochote kuhusu uislamu kaa kimya sawa usiongelee vazi usilolivaa kwamaana hulijui hata kidogo🙏🙏🙏

    • @alhajisingano6590
      @alhajisingano6590 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujitambui

    • @sharomdguda
      @sharomdguda 7 หลายเดือนก่อน

      Dunia hii omba tu mungu lkn bado haujafika mwisho unaweza kujikuta siku Moja wewe unakuwa muislam . Husijiapize 2

  • @mirajiyombe1601
    @mirajiyombe1601 7 หลายเดือนก่อน +4

    Allah atuongoze

  • @benjaminngatunga3931
    @benjaminngatunga3931 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awalinde viongoz wote wa dini

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hekima nyingi Huyu🤣🤣

  • @ZAMYLFILM
    @ZAMYLFILM 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inshaallah Allah akujaalie uwe muislam pastor

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 8 หลายเดือนก่อน +20

    😂😂😂😂😂Ila waslmu 😂😂😂😂😂😂😂wana nipaga raha mimi siyo kwa comment hizo 😂😂😂alf wenyew wakrsto hata awana mda na sisis😂😂😂ila sisi uwiiiiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂nachek kama mazuri vile kumbe 😢😢

  • @user-fg2he3dc8s
    @user-fg2he3dc8s 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kuna watu awapendi khali kama hii😢😢 viongozi kucheka pamoja japo ata mara Moja kwa mwaka 😂😂😂

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kapendesa alivyovaa kufia hananja...😂😂😂

  • @abdallahmwanga5792
    @abdallahmwanga5792 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mtu makini sana aisee....😂😂😂😂

  • @halson827
    @halson827 29 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia ilitakiwa iwe hivi....!

  • @manasendubula-zn8fl
    @manasendubula-zn8fl 3 หลายเดือนก่อน

    Mtabaki mnaumana meno waumini lakini watumishi wa dini zote wakikutana ni AMANI tuu. 🤝🤝

  • @user-tb3hi9he5f
    @user-tb3hi9he5f 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ni muislamu lakini napenda huu mchungaji Kwa manenyo ya hekima

  • @doricekisaaka1699
    @doricekisaaka1699 6 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂Hana njaa mbavu zangu

  • @RamadhanMnindo
    @RamadhanMnindo 11 วันที่ผ่านมา

    Mzee hananja namuelewa sana, Kuna point flani hua nazchukua sana

  • @ibrahimmalabeja3692
    @ibrahimmalabeja3692 14 วันที่ผ่านมา

    Mi mwenyewe nimecheka😂

  • @musasabihi7451
    @musasabihi7451 4 หลายเดือนก่อน

    Hii mzuri sana hii nimeipenda

  • @HassanMakonda
    @HassanMakonda 12 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲 hakuna kama 🇹🇿

  • @nolascomugalula6098
    @nolascomugalula6098 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika waislamu wana upendo sana

  • @kuruthumuhussein8527
    @kuruthumuhussein8527 29 วันที่ผ่านมา

    m namkubali San ananji

  • @ThobiasLeonard-r9z
    @ThobiasLeonard-r9z วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-yr5wj5bz4w
    @user-yr5wj5bz4w 7 หลายเดือนก่อน +3

    Waislamu wabinafs sana 🙌🙌🙌

    • @mirajiyombe1601
      @mirajiyombe1601 7 หลายเดือนก่อน +1

      Uislam pekee ndo wenye mfumo mzima wa maisha ya mwanadam ..ubinafsi haupo ila ktk Islam Kila kitu ni ibada naibada hiyo iwe imeamrishwa na mungu nasi binadam kwahiyo ukiona waislam jambo hawalitaki Hilo SI ibada nahakuliamrisha mungu

  • @ShabaniKibwana-z7d
    @ShabaniKibwana-z7d 13 วันที่ผ่านมา

    Mashalllah

  • @ModestSichone-el2du
    @ModestSichone-el2du 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza anakili kwanini asifrai kwakua viongozi wadini zote wamekutana wanachanganua mema na mabaya Sasa unasikia oooo waisilamu wenzangu muwe makini Sasa umakini Gani pumbavu wewe muchamungu sio dini mwemba

  • @rajabodhuman1300
    @rajabodhuman1300 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu hawi muislamu kwa kupendezwa mavazi au muonekano wakiislama au kuongeya kiarabu bali nikwaku ukubali uislamu kwa moyo na kwa matendo yote aliyo amrisha Allah na mitumewe

    • @maulidipazi6770
      @maulidipazi6770 8 หลายเดือนก่อน

      Namavazi pia .ukiambiwa vaa vazi la kiislam utavaa nini

    • @back2homemusic844
      @back2homemusic844 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna vazi la kiislamu...
      Kuna mavazi ya kiarabu, kwahiyo uisilamu ni uarabu?
      Kwamba hakuna waarabu wakristo?
      ​@@maulidipazi6770

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amefurahisha watu sana lkn pia ujumbe wake mnono sana tuuchukueni jamni

  • @user-sm1hz1jx7l
    @user-sm1hz1jx7l 14 วันที่ผ่านมา

    mchungaji Yuko Sawa

  • @MyName-wd8cp
    @MyName-wd8cp 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bakwata sio dini ni taasisi, so msiwalaumu. Uislamu hauna taasisi.

  • @mailacamillius
    @mailacamillius 8 หลายเดือนก่อน +4

    😂Hekima

  • @AbdallahDullah-gx2jo
    @AbdallahDullah-gx2jo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu wa mana kbc uyuu😅😅

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 16 วันที่ผ่านมา

    Hiki kitu alijijengea sana JPM pia,huyu mama snakibomoa

  • @Jamesdgt
    @Jamesdgt 6 วันที่ผ่านมา

    Tatizo anachekesha sana

  • @MichaelPascal-v7b
    @MichaelPascal-v7b หลายเดือนก่อน

    Up sahihi

  • @ShabaniKakongo-gy4eb
    @ShabaniKakongo-gy4eb 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongoze

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Mungu Tu

  • @andrew29468
    @andrew29468 12 วันที่ผ่านมา

    TANZANIA NI MOJA NASI NI WAMOJA,TUSITENGANE

  • @wizzyboengamba749
    @wizzyboengamba749 21 วันที่ผ่านมา

    Love hananja

  • @gervaslusinde1329
    @gervaslusinde1329 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza sana kukaa na kukutana pamoja kwenye jumuia kama hii.

  • @pharmtech_1
    @pharmtech_1 วันที่ผ่านมา

    Naelimisha Nashauri Natibu na kufwatilia maendeleo ya afya yako
    KARIBU TUJIFUNZE WOTE

  • @clustermqsir9840
    @clustermqsir9840 หลายเดือนก่อน

    Njoo kwa sisi wa huku chini kutwa kubaguana

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amependeza

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kwnn usiwe muislam mchungaj mbna unapendeza

    • @jeapaultchikuru7726
      @jeapaultchikuru7726 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa sbb sio Haki yenu ni Haki ya wakristo kaja hapo sikwamapenzi yake kafwata mkwanja

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 หลายเดือนก่อน

      We awe na majini mchungaji wetu

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aamiyn

  • @user-gf3oe3rz6c
    @user-gf3oe3rz6c 4 หลายเดือนก่อน

    Nampenda Sana uyu mchungaji hua anaongea ukweli

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 5 หลายเดือนก่อน

    Mie hii sijaelewa😢😢😢

  • @Harunery
    @Harunery 8 วันที่ผ่านมา

    dini mseto masufi mjiandae kwa ALLAH

  • @mrhandsome1666
    @mrhandsome1666 12 วันที่ผ่านมา

    Fact

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 4 หลายเดือนก่อน

    Diamond kwenda kwenye Tamasha la waikristo ni gumzo ila huyu kuja huku swaafiii hawalalami

  • @KassimJabu
    @KassimJabu หลายเดือนก่อน

    Mzee wa vichekesho

  • @MarthaJohn-jb1nr
    @MarthaJohn-jb1nr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wasilamu kama wasilamu sasa na comments zao 😂😂😂😂

  • @EfraimLoibanguti
    @EfraimLoibanguti หลายเดือนก่อน

    Kupenda ndio Kila kitu Hawa wengine hawajui maana ya upendo..udini ni adui wa haki