ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA SHEIKH KISHK KABLA YA RAIS MAGUFULI KUZIKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มี.ค. 2021

ความคิดเห็น • 880

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 3 ปีที่แล้ว +245

    Magufuli alikua anaufundisha umma wa waisilamu kuwa mungu wetu ni mmoja,, kama mnanielewa gonga like

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +14

      Sasa mbona wenu kazaa na kuzaliwa?

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว +2

      @@alhamdulillah5796 😂😂😂

    • @brightongetruda9370
      @brightongetruda9370 3 ปีที่แล้ว +9

      Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว +6

      Umma gn ulokuwa ukifundishwa na mtu aso kuwa muislam?? Sijawai sikia ata siku moja leo ndio nasikia kwako

    • @mgbilal9707
      @mgbilal9707 3 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 🤔🤣🤣

  • @hawaparis8899
    @hawaparis8899 3 ปีที่แล้ว +86

    MIMI NI MKRISTO KABISÀA ILA SHEHEE MUNGU AKUWEKEEE UNA MANENO YENYE FUNZO AMEEN

    • @hamisisha
      @hamisisha 3 ปีที่แล้ว +3

      AMIIN🙏🏽

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว +3

      Ndio kaongea ukwel nakasimamia palipo na haki tutamkumbk Sana Magufuri

    • @frolalupogompumbavuwewesiw179
      @frolalupogompumbavuwewesiw179 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakukubali cna she wewe mie Ni mkristo

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmmmh hizo coment , Hebu kwanza Tuangalie Undugu wetu sisi Sote tu ndugu wa jamaa moja Ambayo ndio TZ, hatuwezi kuliepuka Hilo na kumchukia ndugu yako , Hata kama Dini zetu ni tofauti, Lakini undugu upo pale pale, siwezi mbagua ndugu yangu au Wazazi wetu kwa kuwa wako tofauti mradi wote Wanamwamini Mungu alieziumba Mbingu na Nchi

    • @nimbonajamilla6102
      @nimbonajamilla6102 3 ปีที่แล้ว

      Anta namimi Mkristo namupendaga nasa Shehee kutoka Burundi

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 ปีที่แล้ว +5

    Mungu azidi kukubariki Sheik Umeshuhudia Vema Mwenye Masikio Asikie na Kujifunza🙏 RIP JPM🤲🙏🇹🇿

  • @allmotorbikesrepair6565
    @allmotorbikesrepair6565 3 ปีที่แล้ว +48

    Sheikh hongera sana kwa nasaha na hotuba nzuri zenye kujenga na kuimarisha taifa letu binafsi nimekuelewa Sana

  • @UwesuUwesumohammed-sm5lh
    @UwesuUwesumohammed-sm5lh ปีที่แล้ว

    Daah!huyu Mzee alikuwa mtu mmoja mwenye Imani like Islam mungu mlipe Kwa aliyoyafanya!!

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 ปีที่แล้ว +49

    Sasa nimekubali Tanzania hakuna udini na wewe shehe unaweza ukanishawishi niipende dini hii ya kiislam wewe ni mkweli magufuli alikuwa tunu yetu watanzania wote, naomba wanaoniunga mkono wa like tujuane wazalendo.

  • @elymollel
    @elymollel 3 ปีที่แล้ว +3

    Lingine kubwa aliongoza mchango kanisani wa kujenga msikiti chamwino dodoma.mimi ni Mkristo ila ninachoamini sisi sote ni ndugu dini ni daraja tu la kutufikisha tunapokwenda.
    Asante #Shekh kishki.

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 ปีที่แล้ว +72

    Mzee Magufuri kaumiza mioyo ya watu wengi wallah dahhhh😭😭😭

    • @mwannerajabu8688
      @mwannerajabu8688 3 ปีที่แล้ว +1

      Naa nakukubali tunazurula et 😊😊kwazahir nako sema. Niko mzito kutoa cement

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mwannerajabu8688 na kwel tunazurula mana mpk tunakaliliana 😄

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +2

      😭😭😭

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว

      @@kawtharsaleh9229 huku pia upo wngu n 🇪🇭🇪🇭❤❤ N Aysha mahariq 😋😋

  • @abdulhafidhuqassim2481
    @abdulhafidhuqassim2481 3 ปีที่แล้ว +38

    Shekh wangu kishki unanikosha sana Allah atukutanishe peponi, amiin

  • @user-ih8yq8dp4z
    @user-ih8yq8dp4z 3 ปีที่แล้ว +36

    Umeongea maneno muhimu sana shekhe wetu namuomba Allah awafanyie wepesi alhekma foundation kazi tunaiona namuomba awape Baraka Tele na pepo ya juu kabisa siku ya mwisho yaani tufe akiwa ameturidhia

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 ปีที่แล้ว +29

    Mashaallah, mwenyezi mungu akulinde sheikh wetu uzidi kutupa elimu.

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 3 ปีที่แล้ว +18

    ALLAHUMA AMEEN YARRAB..TAKKABAL DUA

  • @saraphinamtegwa9128
    @saraphinamtegwa9128 3 ปีที่แล้ว +7

    😭😭😭😭mola amlaze mahali pema peponi ameen🙏🙏🙏🙏

  • @charleskizo911
    @charleskizo911 ปีที่แล้ว

    Nimetokwa na chozi hakika kwa namna alivyomwelezea Magufuli. Ila siku zote muislam ni muislamu tu haachi asili yake ya kupenda wasio wa imani yake kwn kasisitiza kwa asiye muislamu kuna mipaka ya kimuombea dua limenifikirisha sana hili😭😭😭. Ila sijasikia Shehe akisisitiza mshikamano wa kitafa bila kubaguana kidini. Magufuli aliheshimu sana misingi ya dini Kiislamu na ndio maana hakuwahi kuvunja taratibu za kimsikiti ndani ya msikiti, Mungu amrehemu. Lengo la Magufuli kujenga misikiti na kuishi katika mioyo ya Waislamu ilihali ni Mkristo ni kutupa elimu kuwa Watanzania wote ni sawa, hatuna udini, hatuongozwi na udini. Mungu ibariki Tanzania, Mungu muongoze mama yetu Mh. Rais atuongoze vyema, Amen.

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว +13

    Kishki Jazakallahu khaira 🙏

  • @naslee1010
    @naslee1010 3 ปีที่แล้ว +6

    Shekhe#kishki muislam mwenzetu hawezi napia dini yetu inakataa kuongozwa na mwanamke unaona yanayo tokea leo nitabaki kumkumbuka bwana #magufuli mungu ailaze roho yake mahali pema insha allah 🙏😭

  • @amarislam1589
    @amarislam1589 3 ปีที่แล้ว +11

    mashalah maneno ya hekima sanaa.na hio dua iko sawa kabisa ALLAH ampe malipo yanayostahiki.shuran sheikh kishki

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 3 ปีที่แล้ว

      Ninayo jua kwamba asie muamini mtume mohamed NA asio muslaam kulipiwa huko katika dunia tu kwa mfano mungu anampa afya anampa mwili mzuri yaani raha ya dunia tu lakini amlipe kama walivyo muamini mohamed hapo lazima kuuliza wenye elimu ikiwa abu thalib baba yake mdogo wa mtume mohamed alimlea NA kumlinda NA kupenda sana ali ingia motoni abu thalib akiulizwa huyo mohamed ni nani anasema ni mtoto wangu mohamed alikua yatima amemlea amu yake

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 3 ปีที่แล้ว +8

    Ama kwa hakika, Shekh Kishki wewe ni mtu wa 'HAKI na KWELI, Katika mawaidha yako. MWENYEZIMUNGU akufanyie wepesi Ishallah 🙏

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 ปีที่แล้ว +18

    Yaarabby tupe mwisho mwemaa na sisi waja wako🇴🇲🇴🇲😭😭🤲

  • @michaelmsis3965
    @michaelmsis3965 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh, nakuombea kwa mungu,akuzidishie hekma, na tuombee taifa letu like na amani na ushirikiano, tusiishi kwa kubaguana, sisi sote ni ndugu, tusibaguane kutokana na dini zetu, AMANI itawale katika nafsi zetu AMINA.

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 ปีที่แล้ว

    Sheikh, umeongea Jambo jema sana kuwaunganisha Watanzania. Maneno yako yanatukumbusha jinsi Rais wetu Magufuli alivyojitoa kwetu bila ubaguzi wa dini. RIP JPM

  • @davidbakengwa3492
    @davidbakengwa3492 3 ปีที่แล้ว +15

    Allah mwenyezi mungu Mola mlezi wa viumbe vyote amjaliye mahala pema peponi magufuli rafikiangu

  • @mponelamathei7245
    @mponelamathei7245 3 ปีที่แล้ว +19

    Allah ampe qauli thabit baba huyu, JPM alikua mtu mwema sana alipenda din zote, na sasa katuachia mama nae muumin mwenzetu Tumuombee Allah ampe uwezo na ujasiri katika kulipeleka Taifa hili mbele🙏

    • @mwanzomwisho1217
      @mwanzomwisho1217 3 ปีที่แล้ว +1

      Kauli thabit ya nini na huyu JPM ni kafiri.

    • @zuenasadick9433
      @zuenasadick9433 ปีที่แล้ว

      @@mwanzomwisho1217 hzo shda zako Kwan kishiki anaemuombea haoni kua ni kafir??

    • @jacksonmponela7915
      @jacksonmponela7915 ปีที่แล้ว

      Muda utaongea juu ya mama

  • @niimasinan
    @niimasinan 3 ปีที่แล้ว +13

    Amen tunamuombeya inshallah Allah amuwezeche

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว +11

    Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah hayati mzee Magifuli kifo chake kime leta utata,wananchi mutakaa mutamkumbuka hata kwa kidogo alichokifanya muhimu ni upendo na amani utande,shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh barakallahu fik

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 ปีที่แล้ว +7

    Haki Mungu yuko pamoja nawe Mungu wetu ni mmoja ubarikiwe sana

  • @jonathanmwakabuku4714
    @jonathanmwakabuku4714 ปีที่แล้ว

    Shekh Kishk wewe ni noma akika ni mtu wa Mungu. Mimi ni mkristo lakini nakukubali sanaaa

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Shekhe kwa hekima zako

  • @rajabnzota9871
    @rajabnzota9871 3 ปีที่แล้ว +3

    Asaalam aleikum naomba niseme Sheikh kishk wewe uko vizuri mwenyezi mungu akufanyie wepesi

  • @user-xg3hz4ti5b
    @user-xg3hz4ti5b 10 หลายเดือนก่อน

    TAFADHARI NAKUOMBA KAICHUKUE FOFU YA URAISI,, inshaallah Allah akufanyie wepesi ilifanikishe,, tumerudi nyuma 😢😢😢😢 kimaendeleo,, kiimani, kimaendeleo,, kimafanikio na wizi umerudi,, ona wamachinga, ona wakulima, ona sisi tunaojiita wafanyakazi iwe binafsi au serikalini 😢😢😢😢😢,, HII KAULI YA
    tumerogwa nanani inaumiza sana,, sana kiukweli

  • @bugapeasant1827
    @bugapeasant1827 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarukiwe kwa mafundisho yako mazuri na yenye hekma,Mungu akuzidishie uzidi kua mwalim bora amina

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +58

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @salumumagono8095
    @salumumagono8095 3 ปีที่แล้ว +10

    A alaykum sheikh upon vizur Mashallah Allah akulipe

  • @FatmaFatma-dy8pv
    @FatmaFatma-dy8pv 3 ปีที่แล้ว +24

    Najikuta naumia moyo Sana kw haya maneno daaah Hata mm ilikuwa namuombea Allah ampe hidaya Magufuli kipindi Cha uhai wake matendo yake alikuwa anayafanya yalikuwa yanaumiza moyo wangu pale nikimfikiria kuwa Hana imani ya kweli daah alikuwa mtu wa ajabu Sana pia alikuwa kiongozi muadilifu sina la kusema ila Allah ndie anaejuwa zaidi yetu Allah amlaze panapomstahikia ila nikikumbuka nashindwa kuondowa maumivu ya moyo jinsi Shekhe ulivyomuelezea alivyokuwa Hana ubaguzi wa dini yetu na pia aliupa saport inaniuma Sana 💘😭 hatuwezi kumsahau

    • @emariusrush7704
      @emariusrush7704 3 ปีที่แล้ว +1

      Waislam sku hizi mnahukumu?? Dini yakweli anajua mwenyezi mungu pekee

    • @nasmamponde5737
      @nasmamponde5737 ปีที่แล้ว +1

      Huyu raisi wa sasa ni muislam ambae anaimani jee mbona hawakumbushi kumjuwa Mungu kama Magufuli

    • @AyshaHamza-yd7so
      @AyshaHamza-yd7so ปีที่แล้ว

      Vizuri ila hapo kwenye Imani ya kweli. Umeleta hadithi za halfu- olela. Imani yake ni ya wale waliopewa kitabu kabla ya Imani Yako na mmeambiwa muwafiate wawafundishe Sasa sijui ata kama Imani Yako unajijua vema?

  • @khamisikindungakhamisi5774
    @khamisikindungakhamisi5774 ปีที่แล้ว +2

    aminn🤲🤲🤲🤲

  • @kittygirlarmy2651
    @kittygirlarmy2651 3 ปีที่แล้ว +6

    Amiin summa amiin ya Rabi subuhanallah subuhanallah subuhanallah subuhanallah Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar

  • @haikalali3095
    @haikalali3095 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh kishki kwa manenoz mazuri ,didi bin adam hatuja uwezo wa kumuhukuma bin adam mwenzetu bali Allah Ndie Mueza wa kila kitu ,haikua hayati mzee magufuli kuwa muislamu vitendo bake vimewashinda waisalamu wenyewe kiongozi mwema sifa zisizo na kifani mtetezi wa wanyonge hakubagua muislamu wala asiekua muislamu bali ni kiongozi ,baba wa taifa lote na akatuachia mama wa kiislamu nae ni mama wa taifa la tanzania na simama wa waislam peke yake in sha Allah namuombea rais mama samia Ampe nguvu hekima uongozi mwema Allah Ampe afya na furaha na familia yake na watanzania wote amiin

  • @najluq3366
    @najluq3366 3 ปีที่แล้ว +13

    Allahumma Aaamin Allah amlipe malipo yake stahiki na amtie nguvu mama yetu Samia aliongoze jahazi kwa uwezo wa Allah S.W Aaamin

  • @chrispinandrew5067
    @chrispinandrew5067 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana kiongozi Mungu akubariki

  • @user-xg3hz4ti5b
    @user-xg3hz4ti5b 10 หลายเดือนก่อน

    TAFADHARI NAKUOMBA KAICHUKUE FOMU YA URAISI,, inshaallah Allah akufanyie wepesi ilifanikishe,, tumerudi nyuma 😢😢😢😢 kimaendeleo,, kiimani, kimaendeleo,, kimafanikio na wizi umerudi,, ona wamachinga, ona wakulima, ona sisi tunaojiita wafanyakazi iwe binafsi au serikalini 😢😢😢😢😢,, HII KAULI YA
    tumerogwa nanani inaumiza 😮sana,, sana kiukweli

  • @tiopherysanga2934
    @tiopherysanga2934 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu apumnguzie adhab ya kaburi mimi ni mkristo ila nilipenda sana kujenga misikiti mingi kuliko makanisa asanteh nawe shekh

  • @aishatwizerimana2505
    @aishatwizerimana2505 3 ปีที่แล้ว +4

    Mash Allah shekh nundin

  • @mwanaidimwachitumbo9111
    @mwanaidimwachitumbo9111 3 ปีที่แล้ว +6

    Asalaam alaykum waarahmatullah wabarakaatuh, Alhamdhulilah wallah .. maashaallah tabarakallah Sheikh kishk Allah akupe uzima na afya na umri mrefu akupe subra na nguvu uweze kutupa mawaidha.. aamiin yarabby 🤲

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว +14

    🤲 Yaa Rabbal-aalamiin jaalia kheri na baraka tele ktk kipindihiki tunacho ongozwa na rais wetu Samia mjaalie atuongoze vizuri watu woote na umkinge na maadui wa nje na ndani ktk uongozi wake na umkinge na kila aina ya sharri ya ulicho kiumba kwa Rais wetu wa sasa na Mama yetu kipenzi Allahumma Aamiin 🙏

  • @florachogo243
    @florachogo243 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh unanikosha mawaidha yako ,msema ukweli mpenzi wa mungu, unasema ukweli hupindishi wa huogopi mtu uwe na afya njema ,kazi zako ziinuliwe

  • @mahmoudjaffar148
    @mahmoudjaffar148 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amrehemu Maghufuli, allahuma arhamhu .

  • @davidbakengwa3492
    @davidbakengwa3492 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akujaliye Dada uiongoze pia tanzania vizuri

  • @devidsumaye5353
    @devidsumaye5353 3 ปีที่แล้ว +12

    Ndungu zangu waislamu acheni mambo kunzungumzia udini hamn vita mbaya Kam kudini mm ni mkirsto lakin ukweli niseme tu sijawahi mdharau mtu kwa imani yake ila nawachukia wakirsto ambao ni walokole màan wanadanganya Sana watu na HV vitabu vya dini viliandikwa na binadamu jamn tuwe wamoja tu mungu wetu ni mmoja kama sisi ni binadamu bas aliyetuumba ni mungu tu mamb uislamu ukisto tuayaache kwenye imani ya kila mtu hamn anayejua yupi yuko sahihi yupi hayuko sahihi hiz din sisi tumeletewa na waarabu na wanzungu ila mungu kweli siyo dini ni imani yako kujuwa hiki ni kibaya na hiki ni kizuri mungu awe nasi allah hamdulillah

  • @user-xg3hz4ti5b
    @user-xg3hz4ti5b 10 หลายเดือนก่อน

    TAFADHARI NAKUOMBA KAICHUKUE FOMU YA URAISI,, inshaallah Allah akufanyie wepesi ilifanikishe,, tumerudi nyuma 😢😢😢😢 kimaendeleo,, kiimani, kimaendeleo,, kimafanikio na wizi umerudi,, ona wamachinga, ona wakulima, ona sisi tunaojiita wafanyakazi iwe binafsi au serikalini 😢😢😢😢😢,, HII KAULI YA
    tumerogwa nanani inaumiza 😮sana,, sana kiukweli 13:02

  • @fowzosman3211
    @fowzosman3211 3 ปีที่แล้ว +3

    أللهم ءامين 🤲🤲🤲

  • @hakizimanajean7702
    @hakizimanajean7702 3 ปีที่แล้ว

    Hongera xna mtumishi wa Mungu Kishk. UKWELI UTASIMAMA DAIMA.

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 ปีที่แล้ว +1

    Hutba nzito imenitoa machozi Allah mrehemu shekh kishk warehem waislamu warehemu viongozi wetu warehemu Tanzania wote Amin Amin 🤲🤲😭😭😭

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/5UXoluZxSac/w-d-xo.html MUINGILIANO KATI YA UISLAMU NA UKATOLIKI

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว +118

    Ata mimi na muombea kwa allah ampe malipo yanayo stahiki da angekuwa muslimu na aliyo yafanya leo angekuwa mwenye fahari ila ndo hivo hakumuamini Allah na mtume muhamad ila Allah ndio anajuwa haswa inshallah Allah atupe mwisho mwema kafanya mazuri haswa kwa waislamu leo ndo usiku wa kwanza kaburini wallah allah karim hata ufanye mema kama jabali lakini kama hukumuamini Allah na mtume wake utakua huna kitu wallah maana allah hapendi kushirikishwa na kitu chochote na ukimshirikisha na kitu chochote basi utakuwa kwenye khasara duniani na akhera Allah atupe pepo waislamu wote inshallah atupe pepo ya firdaus inshallah Allah karim

    • @albertdoherty9394
      @albertdoherty9394 3 ปีที่แล้ว +3

      Allahumma Amiin

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 3 ปีที่แล้ว +10

      Nakonga asl mia kwa mia dada wangu kwa uslaam kama ulivosema mungu hapendi kumshiriki mungu atakusamehe kwa kila kitu ila alshirk NA mungu ni moja tu wala hana haja kusaidiwa

    • @khadeejaabdullah7083
      @khadeejaabdullah7083 3 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin

    • @abuubakarsoud4588
      @abuubakarsoud4588 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @dushmanabdul4929
      @dushmanabdul4929 3 ปีที่แล้ว +7

      Afwqn nikurekebishe kidogo, haifai kumwombea asiekua mwisilamu baada ya kifo yake, unaweza kumwombea hidaya kama Yuko hai kama alivyomwombea sheikh kishki, lakini Kwa hotuba yote hujasikia akimwombea baada ya kufa kwake

  • @abdallahsalum9839
    @abdallahsalum9839 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie baraka na umri mrefu insha Allah mwenyez mungu akujalie baraka insha AllH

  • @saleemsaleems3407
    @saleemsaleems3407 3 ปีที่แล้ว +12

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiun
    In sha Allah Tanzania itaendelea vizuri
    Jazaakum Allah khairan

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว +7

    Mimi ningeomba pia kupitia dini zetu mbili yaani waislamu na wakristo mashehe,mapadre,na maaskofu tuombe kwa mwenyezi Mungu wale wanaomgeuka wote na wasiopenda aliyoyafanya awaangamize wote.

  • @sabrakhamis8070
    @sabrakhamis8070 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh Kishiq Allah akubareeq uendeleze kazi ya mitume.Ameen Yaraby

  • @bikomboali2845
    @bikomboali2845 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah shekh Allah azidi kukupa nguvu ili uzidi kusimama kwenye membar....kuelimisha watu maana kuna binadam wanajivisha sifa ya allah kuhukumu binadam wenzao......cha msingi tukae chini...tujitathimini na sisi tulio bakia tutaondoka ktk hali gani na sifa gani.....Allah amuoke kiongozi wetu ktk sehemu anayo stahiki...

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 3 ปีที่แล้ว

      Kwani coroan na sunnah zamutume habina maana ayo tamakufuli musiyajafili sana ata nyinyi hamujuwi anapokwenda ebu twambiye wamasukini wambinguni nikinanani ambao walikua funiani nimatajiri nyie hamujuwi nafsi zinakwenda wapi aca ivo sio muhukumu kwamaco yenu uyo amesoma chimi lazima atende wema anao uona nakutafuta vyeo vyamasauti

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 3 ปีที่แล้ว

      Kaforinikafiritu ivi kadema marangapi yesu nimokozi nani Mungu kitukitakao aneishwa kuesabika sio sala? Atakayesalisga watu peponi dio MUTUME ebu angaliyeni kitabo cenu nayanao wausu iyo nikutafautiyana waesilamu wazama izi nihatari ivi tanzania mpaka sasa kakuna walokosa mi makufuli nilimupendeya tu ile kupatiya hakiyao waisilamu yamusikiti vinginevyo niwajibu wa kiongozi mwema

  • @norbertlilungulu5018
    @norbertlilungulu5018 3 ปีที่แล้ว +11

    Shee kisiki unaongea vizuri sana Japo unataadhalisha wenzako kwakuwa ni wepes sana kuhukumu binadamu WENZAO na kuwachukia wakristo, sasa huo ndio Upendo ambao sis tumeambiwa na Kristo Yesu kuwapenda watu wote bila kubagua

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameen thuma Ameen
    Alhamdulillah

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว +10

    Allah amlaze pema Amin🤗🤗😭😭🇪🇭🇪🇭

  • @mumkmamymshindoh7939
    @mumkmamymshindoh7939 3 ปีที่แล้ว +6

    Allahumma Aameen

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amrehemu Raisi wetu

  • @habibamusa1520
    @habibamusa1520 3 ปีที่แล้ว +22

    Mashalla he was good person

  • @maryamalriyami5496
    @maryamalriyami5496 3 ปีที่แล้ว +9

    ماشاء الله كلامك منطقي ١٠٠ في ١٠٠ ونحن في السلطنة حزنا كثير عليه فعلا فعل احب شعبه أدى رسالته الله الله اختاره يغير تنزانيا الحمدالله احب شعبه

  • @user-np2cx8wx3q
    @user-np2cx8wx3q 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 🤲

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Mungu akubariki sana🙏

  • @nelsonstephanoluyombya
    @nelsonstephanoluyombya 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 ปีที่แล้ว +2

    Inalillah wainahililajiuna.mungu amtolehe azabu ya kabuli😭😭

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 ปีที่แล้ว

    Ameni ,Takbir ,mtumishi wa mungu kishiki,waliobaki ni mawakala wa shetani,, allah akupe maisha marefu Sana

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว +12

    😭😭😭😭😭😭kwakweli magufuli hasahauliki maishani umeona mungu tupe subra

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว +1

    Allah atakulipa shekhe kishik

  • @emmanuelshausi3393
    @emmanuelshausi3393 3 ปีที่แล้ว +2

    Mi napenda watu wanaosema ukweli, kuna watu wanajua dini hii inaleta faraja sana katika nchi yetu, mi nakupenda Shekhe umeonyesha uisilamu aisee

  • @paulinajuvence-rn7rz
    @paulinajuvence-rn7rz ปีที่แล้ว

    Daah hotuba nzuri sana Amina shekh

  • @salmamkeyenge2322
    @salmamkeyenge2322 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakha Llah sheikh Kishk

  • @HassanShehiza-li9dm
    @HassanShehiza-li9dm ปีที่แล้ว

    Shee upo vzr Sana sio mnafiki mungu Akusimamie kweli wewe kiongozi wa dini

  • @RashidiMubiri
    @RashidiMubiri 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah❤❤❤

  • @sabrnaomy2336
    @sabrnaomy2336 3 ปีที่แล้ว +2

    Amiin yaarablalamna

  • @rukyiakimolo-le2tx
    @rukyiakimolo-le2tx 10 หลายเดือนก่อน

    In a Lil LA h wainnalillah rajighunn

  • @surayaali2470
    @surayaali2470 3 ปีที่แล้ว +6

    Allahuma amiiin

  • @hafsaramadaan9966
    @hafsaramadaan9966 3 ปีที่แล้ว +4

    Shekhe Allah akuzidishie iMani

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 ปีที่แล้ว

    Mama Samia ni mwerevu sana anajua kina nani wanamuombea dua ya kweli na kina nani wanataka kujipendekeza kwake maana hajawa kiongozi leo hata alipokua makamu wa raisi alikua ni kiongozi na alikua na majukumu mengi sana yakufanya ila hatujapatapo kusikia hao masheikh wakimuombea leo kawa rahisi utaona masheikh watakavyojitokeza kumuombea kwa kujipendekeza
    Ya Rabbi tujaalie ni wenye kujipendekeza kwako tu ameen

  • @zulbbylukina5833
    @zulbbylukina5833 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah ampe kauli dhabit Allahuma Amiin Amiin Amiin🙏🙏🙏

  • @bmpondamussa3624
    @bmpondamussa3624 3 ปีที่แล้ว +8

    😭Subhana llah Allah atujalie mwisho mwema

  • @yusufumahendeka2456
    @yusufumahendeka2456 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen asante kwa kusema wema wake na ukweli tutaendelea kuusema wema wake sana

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa-Allah maneno yenye mazingatio sheikh kishki

  • @t.jsaidia2047
    @t.jsaidia2047 3 ปีที่แล้ว +2

    Shehe Tunakupenda sana.. Nakufuatilia sana... Shukrani kwa mawadha

  • @shanishosho911
    @shanishosho911 3 ปีที่แล้ว +3

    Aamiin

  • @wardasuleimani3621
    @wardasuleimani3621 3 ปีที่แล้ว +4

    Amiin

  • @ismailidi882
    @ismailidi882 3 ปีที่แล้ว +5

    Asslaam aleikum Shukran Allah akujaze kher

  • @hawaheri5833
    @hawaheri5833 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina innshaal alla na we alla akulipe

  • @salimaslalaamalekumwardah1318
    @salimaslalaamalekumwardah1318 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahuma Ameen yarabi alalamen

  • @hawaheri5833
    @hawaheri5833 3 ปีที่แล้ว +4

    Wallahi nimelia Sana'a daha dh alla amlipe

  • @fatmajuma7216
    @fatmajuma7216 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupendaje wwe shekhe kishki mungu akujalie jannatul iwe makaz yako

  • @user-wl3cw2xo7j
    @user-wl3cw2xo7j 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah

  • @mams1892
    @mams1892 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallahu khairan

  • @user-gh2rm3uy5p
    @user-gh2rm3uy5p 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana shekh

  • @shocknumbe5602
    @shocknumbe5602 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mcongo nakupongeaza sana tofauti na waziri mnafiki alionsaliti Ayati Rais Magufuli bungeni bila Ahibu yoyote nilazima alaaniwe

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali shekhe Kishk unaijua dini,na msawazisho wa mshusiano baina ya kaum na kaum za makundi ya binadamu

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 ปีที่แล้ว

    SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR