UTACHEKA UZIMIE! MCHUNGAJI HANANJA ASIMULIA ALIVYOTOLEWA MENO AKIWA ULINGONI/NILIPIGWA NDOIGE/NAJUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @hamisimhenwa7082
    @hamisimhenwa7082 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea vizuri kabisa Mchungaji Hananja. Elimisha tuelimike. Ukombozi wa fikra kwanza

  • @DavidMwakasala-ub9zb
    @DavidMwakasala-ub9zb 2 หลายเดือนก่อน

    Mch upo vizuri ktk neno na kweli.nabarikiwa sana.Mungu akukumbuke.

  • @lengaimollel9750
    @lengaimollel9750 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa sawa Pastor

  • @Alphonce-z3c
    @Alphonce-z3c 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ubarikiwe mtumishi

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Mungu akubariki sana uko sahihi❤

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mchungaji umeongea kweli wanapenda kuingia majengo mazur lakini wanajaji sadaka makanisa yanajengwa na nini sementi tofali madawati mazur

    • @lukabekatundu8136
      @lukabekatundu8136 3 หลายเดือนก่อน

      😢😅🎉😅😢😢😅😮😅😅😅🎉😢

  • @yohanasosimbwilo2039
    @yohanasosimbwilo2039 3 หลายเดือนก่อน

    Akina doctor kisenge😂😂😂

  • @NDUHIRUWILSON
    @NDUHIRUWILSON 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba watanzania wote tujishugulishe tuache gutazama Fulani alipateje maisha.

  • @NDUHIRUWILSON
    @NDUHIRUWILSON 7 หลายเดือนก่อน

    The Nduhirofarm company LTD kalibuni sana.

  • @Methodkihanga
    @Methodkihanga 2 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @gladnessmarond8390
    @gladnessmarond8390 11 วันที่ผ่านมา

    😲😲😲??

  • @henritamshai4915
    @henritamshai4915 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia yote isikie hii wamekuwa wafanyi biashara

  • @MATESO-sk7hu
    @MATESO-sk7hu 4 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe m2mishi

  • @tomtz1
    @tomtz1 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Unazaliwa popote..

  • @NDUHIRUWILSON
    @NDUHIRUWILSON 7 หลายเดือนก่อน

    Tunapatikana Mwanza ,Kagera.

  • @SamsonAntony-r1i
    @SamsonAntony-r1i หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @kabialomsn
    @kabialomsn 4 หลายเดือนก่อน

    Umenena vyema mtumishi

  • @jescalaurence4483
    @jescalaurence4483 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenye macho na asikie

  • @NDUHIRUWILSON
    @NDUHIRUWILSON 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hata ukianzisha ufugaji wakuku unatoka kimaisha

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaa ❤❤❤

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nisaidie maono ya suleiman mungu alimpa kabla ya sadaka au baada ya sadaka?

  • @bonifacepetrokadawi4556
    @bonifacepetrokadawi4556 8 หลายเดือนก่อน +1

    nikwe unaonge ukweli

  • @andrecarlos1024
    @andrecarlos1024 3 หลายเดือนก่อน

    👏🏼👏🏼🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏👏

  • @NDUHIRUWILSON
    @NDUHIRUWILSON 7 หลายเดือนก่อน

    Kazizagufanya ninyingi zagufanya ugapata maisha.pasipo kuajiliwa .ukitaka ajila kumpuni ninyingi zagutowa ajila.

    • @svt3
      @svt3 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka lugha gani hii umetuandikia?

  • @JumaHussein-n1u
    @JumaHussein-n1u หลายเดือนก่อน

    😂

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 3 หลายเดือนก่อน

    Assalaam aleykum maanayake ni AMANI IWE KWAKO haya ni maamkizi ambayo lengo lake ni kutakiana AMANI sio chuki wala lengo la kubatizana

    • @bellasi349
      @bellasi349 3 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu we umejuaje n'a iyo ni kiarabu shenzi kabisa

  • @DeoBundala-ip6ei
    @DeoBundala-ip6ei 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna unachokijua

  • @swarehekhalim6423
    @swarehekhalim6423 3 หลายเดือนก่อน

    Sadaka ni hazina yako mbinguni unajenga nyumba yako mbinguni sadaka inaksmilisha ibada

  • @NDUHIRUWILSON
    @NDUHIRUWILSON 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ukilima kitakamu unatokamwo kimaisha kunafanizingine silaxzima uajiliwe.