PAUL CLEMENT ALIVYOKUTANA NA MKE WAKE/NILIKUWA NAKAA KWA KINA JOEL LWAGA/WALINISHUSHA MADHABAHUNI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Baada ya #PaulClement kuachia wimbo wake wa Mwema aliyomshirikisha Bella Kombo,kwa mara ya kwanza amefanya mahojiano maalum na Mfinanga kwenye kipindi chetu cha #TheSoundOfGospel akielezea jinsi alivyoupata wimbo huo baadae kufunguka kinagaubaga kuhusu milima na mabonde ya huduma yake,Hii ni moja ya interview chache sana ambazo Paul ameongea kwa uwazi kuhusu yeye,ebu cheki nae..
The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
Photography - SirMbezi
Editing - Sirmbezi,
Watching from Kenya and we love Paul Clement, his songs really ministers to me,God bless you Paul, I pray God for the revelation of writing songs,I just love the way you composes your songs
Mungu Awabariki Wazazi Wa Joel Lwaga
I admire Paul's humility and staying true to the calling much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🥀❤️
Napenda sana nyimbo za Paul clement especially wakati wa Mungu
Huu wimbo unanitia nguvu za kuendelea mbele hata ninapokuwa nimevunjika moyo, barikiwa zaid paul🙏
mwakanyamale respect sana kwako paul Mungu akuinue zaidi
This has inspired me so much God lifts a person from zero to hero so as you can testify what he did to you sasa hivi Paul ni mtu mwingine. Glory to God
Wow what a testimony Paul Clement...waaa Great Mungu akuzidishie neema.. 🙏 Your songs are such a blessing to me..Let your light continue shinning For God's Glory
.lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Big up sana kak Paul Clement, Sina maana ya kukushabikia kwa sura ya nje.... Hapana, Bali Nina maana ya kukushuru wew na MUNGU anayekutunza na kutuoabmaarifa ya kutuhudumia.
Very humble guy. May God favor him exceedingly and abundantly.
My favourite gospel artist
More grace bro,we love you from 🇰🇪🇰🇪
God bless you Paul Clement. You are a rich blessing to the body of Christ. Watching from Nairobi Kenya
Mungu akubariki una kitu cha tofauti Paul be blessed na your real servant of God
Watching from mombasa kenya,,,,,, mungu akuzidishie neema umekuwa wa baraka mno na uzidi kuwa wa baraka zaidi,,,, mungu aibariki familia ya joel
We love you Paul clement keep on delivering what God gave u❤️🙏
I love this guy...l thought he was a kenyan...God bless you paul. I would want to meet you in heaven someday
Kikubwa Nikua mwaminifu Kwa BWANA, GOD IS FAITHFUL looking forward to you bro
Daaaaaah mwamba Mungu akufikishe mbali.
Nimetiwa moyo sana
Ushuhuda unainua sana,mimi binafsi nimepata vitu vingi sana,safari ya imani nikumtazama Yesu
Very powerful! Interview ever! 🙌🙌🙌🙌🙂....Kaka Paul kanibariki Sanaa na Kaka mfinanga unamaswali fire Sanaa 🔥🔥🔥 Mr.sir-mbezi the quality z super gwud! 🙌🙌🙌🙌🔥🔥😊
Mtumishi wa Mungu Bwana Asifiwe sana naitwa Telesphory kitali pia napenda uimbaji katika interview yako nimejifunza mengi sana pili pia naomba uniinue pia na mmi katika uimbaji wangu wa nyimbo za injili ningependa unisaidie pia na mimi Amen sana naimani majibu mazuri
Story yako ni ya ku encourage @paulclement na nyimbo zako zina bless sana. God bless you for keeping on despite the changes. Endelea
Mungu anawatoa mbali watu wake Paul barikiwa sana
paulclement we love you so much, watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪
I love paul clement ....
Nimejifunza vingi na nimebarikiwa pia.
Mungu ambariki sana Paul Clement.
Amenifanyia amani is still a hit in Kenya,hadi leo napenda huo wimbo.
Kaka zuravo nampenda sana kwa huduma yake nzuri
Mungu akutie nguvu
Dah!unanijenga saana bro!Unanibariki!naona kuinuka sana!siku Moja!nitakuwa pale!kuna mahali napaona
Umetisha Sana brother
Vraiment courage homme de Dieu suis béni 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Be blessed bro poul. Najua ipo siku moja tu tutakutana
Kimetokea machoz mno Kuna wakat mgumu naupitia umefanya nipate nguvu ya kusonga mbele 😪🙏 MUNGU akubariki Sana Sana nyimbo zako zinafanyika Barak Sana kwangu🙏
AMINA.MUNGU AKUKUMBUKE NA WEWE NA UKUPE USHUHUDA UJE USHUHUDIE SIKU MOJA ILI UMTIE MTU MOYO
Mtangazaji nimempenda sana mungu akubariki sana
touchable story oooh my God...stay bless Paul
Hustle is really mazee.. minister 🔥
Amenifanya amani... wimbo pendwa wa mwanangu Jjj love yeye much
I good story ubarikiwe mno i m apostle Paul kalenga from lubumbashi drc
Endelea kunyenyekea kaka Paul, Bwana Atazidi kukuinua juu.
Mungu ni mwema kwa kweli...🇦🇬
Mungu akubariki sana nyimbo zako ni nzuri sana. Big up! God bless
Some one very humble asee daah
So amazing nimeguswa Na kiongozi wetu Paul
Yani Kuna maisha watu tunapitia ni zaidi ya wafungwa dah umetoka kwenye gereza kaka mwanafyale Mungu azidi kukuinua
My mentor Paul Clement 🔥🔥🔥🔥Neema ikutoshe bro
Nmebarikiwa sana na kipindi
MUNGU amekutoa mbali, maisha marefu MUNGU AKUPATIE brother 💪
Very inspiring brother 💪
Ushuhuda unafurahisha sometimes but yote ni kwa ajili ya kushuhudia ukuu wa Mungu
Pole mtumishi kwa hiyo sinario ya kushushwa madhabahuni, lkn si kila madhabahu inamuabudu MUNGU wa kweli so inawezekana kazi yako ilishusha moto pale ambao ulianza kuharibu kazi za watu, you never know, coz mimi nikisikiliza nyimbo zako nasikia uwepo wa MUNGU mno.
Barikiwa na uzidi kuongea mbele...I like the song...Mungu ni mwema...unapolia ni mwema,siku zote ni mwema
Nakupenda mtumishi naamn Mungu alokuvunsha ww atanivusha na mm n n mwimbaj mdogo.....
Atainyosha njia yako ni wimbo ambao huwa unaniinua sana be bressed brother
Aminaa kaka
Hongera kwa uvumilivu pamoja na Mungu
Thanks JESUS,I see my life
Hahaaaaah.!! Hyo nimekuelewa............ Kimufindi
Thanks so much brother
For sharing your life with us, thank you. More grace, man, more grace...
mr paul congratulations
Mungu ni mwaminifu sana
Paul is so funny,raha sana kumskiliza
nice
Mpo vizuri bethel radio
God is faithful you are going far
Adui alijitahidi kukupiga sana ila Mungu ni mwema
Paul najifunza sana kwenu umenyenyekea sana bro na Mungu atakubaliki sana alafu mwanza nilikuwepo bro kwa Zakayo nzogere pastor amebarikiwa yule Sana na na lile kanisa jingine mmmmh! kanisa Mungu awasaidie zaid hatuwahukumu lakin walikuumiza sana
Yote hua ni matayarisho ya ushuhuda ili MUNGU ajitwalieUTUKUFU
I like your song niwewe usiyeshindwa
Big up sana
Wow God is good! Thanks for sharing your story binafsi I learn something.
Mungu wangu daaah inauma
Nice work kakaa
Polee sanaaaa Kaka angu jmniiiiiiii Mungu mkuu mnoo Acha Mungu aitwe Mungu
Mungu akubariki paul
Paul nimekusikiliza kwa makini sana. Naomba namba yako pliz.
Sasa haya maisha ndo zamu yangu 🤔
Hawa watu wanajisikiaje kuona hii interview huku wakijua wao walikua ni miongoni mwa waliotaka kukushusha.
Kumbe kulia kwenye huduma ni kawaida Yesu nitaimba sasa nitaimba tena
Ni nzuri sana
🚶😍😍😍 duuuh kila mwanaume mwenye mafanikiyo kuna nyuma yupo mwanamke
Wazo jema
HAKIKA NAPATA KUBALIKI SANA KUPITIA HUDUMA YA POUL CLEMENT JAMANI@@@@@@@@@NABARIKIWA SANA
Paul ni baraka kwa Tanzania napenda kumsikiliza, ana historia nzuri sana japo inaumaa. Lakini ndio iliyomfanya afike hapo alipo.
,katyumii
Si Tanzania tuu ila Dunia nzima.Sisi uku Kenya tunapenda na pia tunabarikiwa na nyimbo zake
Ya nimebarikiwa mnoo na ushuhuda huu i can't how to explain it
That's my bro💥
Ongera
Kila unayemuona leo hajawa tu hvo kuna sehem katoka
Ooh I see me
Dah nimeguswa sana
Barikiwa
Siku zote. Mti wenyematunda ndio unaopigwa mawe
Katuni
Woooooow!!😍
❤🎉
Nimetiwa moyo kabisaaa
Mmmm pole sn P hakika lazma opposite kwenye moto ndio ungare, ujue kpind cha umenifanyia Aman nkua Nairobi, ni wimbo ulokua wapigwa kla sehem afu walkua wanajivunia sn wewe nlokua nae yaan my boss alkua anakupenda na kukusfia sn, ukwel tuljua sku ulfiwa na mdg wako kumbe n Mtz mwenzangu
Brow!
Mambo yalikuwa mengi kiukweli broo duh!
Hii story inatufundisha kutendea wema watu wenye uhitaji hivi wazazi wa joel wangemtendea mabaya sasa hivi wangeweza kumtazama usoni🙄
Mtaje tu, wachungaji wasio na maana hao..
Ata hapaswi kumlaumu ndio bibilia ikasema tuwapende adui zetu tena tuwakmbee mema wanaotuudhi.Hayo yte yalitendeka ili MUNGU ajitwalie utukufu
🤣🤣nimecheka hy nailoni🤣daah maisha ni safari ndefu hakika. Mungu hajawahi kumuacha mtu.
Msiwe mnaweka mlio wa mzuki ili pawe kimya
Kwaio inakukela niuelewa wako ila ujui nguvu ya mziki au wimbo ungejua kitu kinachooneza ujasir hapo
Dahhh 😂😂😅🤣😅🤣
Vile vyooo vyaaa hahaha
Anatengeneza ushuhuda wako,umshinde adui kwa ushuhuda wako