Singing and watching this song on this first of August 2024...The month of new beginnings..I will testify for I know He is making everything brand-new for me and my family...I will come to testify in Jesus name..somebody like my comment as you believe with me🙏
Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you so much. Wishing you health, luck and happiness, may God bless you every day of your life. 🎉 @@user-njambifelister
Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you so much. Wishing you health, luck and happiness, may God bless you every day of your life. 🎉 @@alicekatunge4459
AAWWW THIS SONG YAANI UNAweza ukajikuta UNAMFOKEA SHETANI KWA SABABU YA WEMA WA MUNGU AM BLESSED KWA KWELI 🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 sema nini au ngoja ntasema baadae😂😂😂😂😂😂😂
when someone rejects you in your life, you have to understand that often, God is creating space for an upgrade in your situation. And, rejection is a valuable tool if you allow it to reveal sometimes who is supposed to be in your life and who's not supposed to be in your life for the next season that you're in. Rejection can reveal.
wIMBO HUU NIUSIKILIZA KWA mUNGU kWANZA NI UPENDA SANA NA SASA NIMEUPATA KWA YUOTUBE NI WIMBO MZURI SAANA NA WAIMBAJI WAMEJIPANGA VIZURI SANA:mBARIKIWE SANA NAONA KILA MTU ANAUPENDA: sAFIKABISA WEWE NI MWEMA mUNGU bABA WEWE NI MWEMA:lETA NYIMBA ZINGINEZAIDI NZURI KAMA HUU WIMBO:
I believe the Lord is speaking comfort into disruptions, delays, and painful wait times. He wants you to know that He is with you-in fact, right now, you are in a Divine appointment! You may have experienced loss, but your God specializes in restoration. And He has a harvest for you. Someone Seeing This Right Now Who Is Grateful Say Thank You Jesus my prophetic dreams shall come to pass in Jesus name AMEN 🙏🕊️🔥
Hata sasa Bwana Yesu ni mwema siwezi kuhesabu mambo uliyonitendea tangu Kabla sijazaliwa ... mimba yangu ilipotungwa ulinichagua.... Ninaona wema wako Bwana. I appreciate wema wako baba❤️😍❤️
Kiukweli! kila mkono ulioshiriki kuifanya kazi hii; Mungu na akaonekane MWEMA nyakati zote kwenye maisha yenu. NIMEBARIKIWA MNOO. Nimesikiliza pia cover songs, zimefanya vizuri asee kiasi kwamba natamani kuwe na album ya wimbo huu pekee track kama 100. Itoshe kusema kuwa, "Mungu anahitaji watu watakaomsema vizuri/ watakaomuwasilisha vyema.
Just lost my mama Mdogo breast cancer ♋️🤦🏾♀️🤦🏾♀️🥺🥺🥺🥺 hata sasa ni mwema 😢😢😢😢😭😭🤭🤧 GOD gives and takes away glory be to GOD please remember my family in prayer every here 🙏🏾 mwema bwana YESU
Whoever knew Bella back from days of 'Bongo Star Search, would have never imagined her total life transformation that she is experiencing right now.... Indeed, anything is possible!
This is the song I will sing on my house opening and my daughter graduation and to my both girls first jobs wewe ni mwema kwangu utayatenda yote , umekua mwena na utazidi kua mwema 😢🙏🙏
Content within this song make me cry " Wema wako pia wakati hata wa machozi" Hata tukiwa kwenye mapambano kiasi gani JINA LAKO YESU litatajwa tuu tena kwa uzuri wala pasipo malalamiko
WEWE NI MWEMA SANA BABA...🙏🙏🙏🙏 Nimerudia Rudia Sana Huu Wimbo, Kila ukianza Roho Mtakatifu Ananimbia MUNGU ni Mwema Sana Kwako, Najikuta Machozi yanatoka....ASANTE YESU 🙌🙌🙌🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
From Liberia and I'm vibing with the song so much.. Thanks to my flat mate Winnie from Tanzania who has been playing this song every MORNING In our dorm 😭❤❤❤❤❤❤❤❤❤..... aiiiiiiiiiiiiii I love it so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I am just getting to know this song three years later, and my oh my, what a pleasure. I cant stop listening to it. It touches my soul in a special way and links my heart gratefulness to God my maker. His Goodness is always present and constant no matter what! Much Love!
At this time of mourning our brother chira briañ in Kenya we really need God ...but when I personally listen to this song..I get energized and know that God is on our side and he has a reason for everything and everything happens with a purpose....so friends help me pray for our country Kenya 😢😢😢this yr we have experienced alot of tragic losses 😓💔💔
Wema wako, si kwa wakati wa furaha tu (Your Goodness, is not only present in times of joy) Wema wako, pia wakati hata wa majonzi (Your Goodness is also present in times of grief) Wema wako, haupimiki, kwa majira fulani tu (Your Goodness cannot be measured in time) Wema wako, ni kila wakati, na kila nyakati (Your Goodness is present at all times, in all seasons) Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema (Even now He is Good; when we sing He is Good) Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema (When we weep, he is Good; when we laugh, He is Good) Tunapopanda ni mwema, tunapovuna ni mwema (When we plant, He is Good; When we harvest, He is Good) Refrain: Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema (You are Good, You are Good, You are Good) Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema (Repeat) (You are Good, You are Good, You are Good) Unatupenda x2 Wewe ni mwema (Repeat) (You love us x2 You are Good) Wema wako, ni kama mchanga, siwezi kuhesabu (Your Goodness is like the soil; I cannot count it) Wema wako, ni kama maji, yanayomiminika bila kukoma, (Your Goodness is like the water; that flows without ceasing) Mtu akinge, ama asikinge, hayataacha kutoka (Should someone obstruct it or not, it will not cease) Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema (Even now, He is Good; When we sing He is Good) Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema (When we weep, He is Good; when we laugh, He is Good) (Refrain)
Haupo sahihi, Mungu amejisazia Watumishi wengii.. Usiseme sijaona kama wewe hapa Tanzania.. Ni vizuri ungempa Mungu utukufu kwa ajili ya kipawa na karama kubwa ndani ya brother Paul Clement.. Maana yote ni kwa ajili ya utukufu wake.. So utukufu anapewa Mungu sio mtu.. Soma ISAYA 42:8, na ISAYA 43:7... Mungu akubariki sana
I've never resonated with this song like I'm doing now 3 years later when I'm going through a hard time was questioning God untill I came across this song
God has told me to praise Him in this season of waiting because He has already done for me what I need ,I will come to praise Him also in the season He has promised🙏
Huu Wimbo una upako Wake Tofauti.... Ministering to me heavily 😭😭😭Anabaki kuwa Mwema kila Wakati....The Dual is Amazing....Baada ya Juu wimbo fanyeni nyimbo nyingine nyingi na Huyu Dada....Anasauti Tofauti...You guys are just Amazing🔥🔥🔥🔥Paul Clement you remain my Mentor...Neema ikutoshe
Natamani huu wimbo usikilizwe zaidi na watu wengi. Mungu wetu wa Mbinguni ni Mwema wakati wote hata nyakati za huzuni Yatupasa kumshukur na kuendelea. Kumngoja na sio kukata tamaa. Magumu yana sababu njema pia. Hongera kwa waimbaji, wimbo bora kwangu kwa muda wote
kama 2024 unatazama hii nyimbo kama mimi gonga like hapa👉
Who is here November 2024,kwa hakika wewe ni mwema🙏
Ni mwema ❤❤❤
Who is here 2024 wonderful song for sure n mwema kila wakati 🔥🔥🙏🙏
Singing and watching this song on this first of August 2024...The month of new beginnings..I will testify for I know He is making everything brand-new for me and my family...I will come to testify in Jesus name..somebody like my comment as you believe with me🙏
KAMA MUNGU NI MWEMA KWAKO GONGA LIKE HAPA KWA HERUFI KUBWA ZA KUMFOKEA shetani
Amina mungu Ni mwema kwangu shetani ameshindwa kwa jina la yesu..
Kweli ni mwema baba yet u ametulinda dhidi ya muovu shetani
Una ishi wapi?
hakika Mungu ni mwema sanaktk maisha yetu yatupasa kumshukuru
Shetani ushindwe Kwa jina la yesu
Mimi ni Muslim ila nikiskia hii nyimbo naliatu juu nikikumbuka penye mungu amenitoa nimbali😢😭😭😭😭😭😭😭asante mungu
Same. Alhamdulillah everyday
❤️❤️❤️
Such powerful words....ni mwema kila wakati
simple yet so deep and powerful Mercy
Amen I love your songs sister Mercy God bless you.
👌
Amen
Amen
Tuanapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema 🙏🏽
Everyone listening to this worship song will make it in life in Jesus Might Name. Good morning 🌄 Have a nice day
Amen and Amen. Thank you...
You will make it too dear
Amen Amen❤
Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you so much. Wishing you health, luck and happiness, may God bless you every day of your life. 🎉
@@user-njambifelister
Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you so much. Wishing you health, luck and happiness, may God bless you every day of your life. 🎉
@@alicekatunge4459
Amen
AAWWW THIS SONG YAANI UNAweza ukajikuta UNAMFOKEA SHETANI KWA SABABU YA WEMA WA MUNGU AM BLESSED KWA KWELI 🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 sema nini au ngoja ntasema baadae😂😂😂😂😂😂😂
USIMFOKEE @DERICK MARTON
U killed it 🙌🙌
Gud song
Wow wow soo soo powerful. Am forever your fun n this generation needs to hear this kind of stuff.
🤣🤣🤣🤣 tunamfokea shetani piga keleleeee
Mungu wa baraka....wewe ni mwema
Kama unaamini Mungu wetu ni mwema katika kila nyakati za maisha yetu dondosha like yako plz..
Ndinu Wabwino , mumatikonda ! ❤️🇲🇼🥺
What an AMAZING song!!!
Hata sasa ni mwema
I know right ✅️
I love the song
Kama unasikiza au kuimba haka kawimbo katamu na kuhisi shetani anakimbia ukiwa unaimba au kusikiliza gonga like nyingii hapa
nautabiria huu wimbo kufikia 1M views and above🔥🔥
Amen!
Ilitimika🔥💯✅🙏👊🏾
Umerfikisha 1M
Amina🙏...naimepitiliza💃
Glory to God its 2 m❤❤❤
when someone rejects you in your life, you have to understand that often, God is creating space for an upgrade in your situation. And, rejection is a valuable tool if you allow it to reveal sometimes who is supposed to be in your life and who's not supposed to be in your life for the next season that you're in. Rejection can reveal.
Jaman nipende kulike comment zote kwa kusema YESU KRISTO ASIFIWEE
Amen Atukuzwe milele na milele
Wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu wema wako ni kama maji yanayo miminika bila kukoma ,mtu akinge Wala asikinge hayataacha kutoka❤❤❤
Wema wako ni Kama mchanga, siwezi kuhesabu😭😭😭
Wema wako ni kama maji yanayomiminika bila kukoma😭😭😭
MTU akinge ama asikinge hayataacha kutoka😭😭
My favourite part ❤❤
ata sasa ni mwema..wooow
wIMBO HUU NIUSIKILIZA KWA mUNGU kWANZA NI UPENDA SANA NA SASA NIMEUPATA KWA YUOTUBE NI WIMBO MZURI SAANA NA WAIMBAJI WAMEJIPANGA VIZURI SANA:mBARIKIWE SANA NAONA KILA MTU ANAUPENDA: sAFIKABISA WEWE NI MWEMA mUNGU bABA WEWE NI MWEMA:lETA NYIMBA ZINGINEZAIDI NZURI KAMA HUU WIMBO:
Kama unamaliza 2020 na huu mwimbo tukisema yeye ni Mwema, tujuane kwa like.
Sitojali ninayopitia kwa sasa. Wewe ni Mwema Baba
3 years later❤❤❤ were ni mwema Mungu wangu
Hakika.mung u ni mwema wakat wote
I believe the Lord is speaking comfort into disruptions, delays, and painful wait times. He wants you to know that He is with you-in fact, right now, you are in a Divine appointment! You may have experienced loss, but your God specializes in restoration. And He has a harvest for you.
Someone Seeing This Right Now Who Is Grateful Say Thank You Jesus my prophetic dreams shall come to pass in Jesus name AMEN 🙏🕊️🔥
Amen my prophetic dreams are coming to pass
Amen
Hata sasa ni mwema🙏🙏🙏🙏🙏❤️
Huu wimbo kila nikiusikia lazima nilie ,Mungu ni mwema sana sana ,Paul Tanzania tumebarikiwa waimbaji Yesu awafunike kwa utukufu wake.June 2022
❤❤❤❤❤
Mungu ni Mwema🙏🏽
Hata sasa Bwana Yesu ni mwema siwezi kuhesabu mambo uliyonitendea tangu Kabla sijazaliwa ... mimba yangu ilipotungwa ulinichagua.... Ninaona wema wako Bwana. I appreciate wema wako baba❤️😍❤️
Kweli hata Sasa yeye Mungu ni mwema
Wewe ni Mwema is such a blessing.Nduta Waweru via Abudu brought me here.
Wewe ni mwema sana Mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Salute to a man who played bass guitar 🙌🙌🙌🙌👍👍thumb up for him. Hii bass ilivyo pigwa nasikiliza rohoni...🤩🤩🤩🤩 Nani ameielewa bass ilivyopigwa
Ameeeen
KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
@@jitujoely2140 KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
Huyu jamaa amecheza bass sana. Sio tu kuufuata wimbo bali na bass lenyewe linaimba na kuabudu
Sam bass ni nomaaaa🎸🔥🔥🔥
Ww ni mwema 🙏🙏🙏
This song has been ministering to me especially this period am mourning my Dad😭😭😭😭.My Lord is good at all times🙏
I have a thing with this song, I was in critical condition and my sister sung the song for I nd I came to life again
Kiukweli! kila mkono ulioshiriki kuifanya kazi hii; Mungu na akaonekane MWEMA nyakati zote kwenye maisha yenu. NIMEBARIKIWA MNOO. Nimesikiliza pia cover songs, zimefanya vizuri asee kiasi kwamba natamani kuwe na album ya wimbo huu pekee track kama 100.
Itoshe kusema kuwa, "Mungu anahitaji watu watakaomsema vizuri/ watakaomuwasilisha vyema.
Mungu wetu ni mwema kila wakati, God thank you for your new mercies every day
Oh YES HUYO NDIYE MUNGU WETU NA HIVYO NDIVYO ALIVYO...Ni MWEMA
Amen
KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
@@latifagiliad7785 KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
Mungu wewe ni Mwema kwangu na kizazi changu Amena
Mbarikiwe jinsi mlivyomalizia hakika mna vipaji
Mungu ni mwema ndio maana tu hai ,Tumshukuru.
Just lost my mama Mdogo breast cancer ♋️🤦🏾♀️🤦🏾♀️🥺🥺🥺🥺 hata sasa ni mwema 😢😢😢😢😭😭🤭🤧 GOD gives and takes away glory be to GOD please remember my family in prayer every here 🙏🏾 mwema bwana YESU
Mungu aendelee kuwafariji love. Ni mwema wakati wote
Uyu wimbo unanipaka Amani saaaana MUNGU Akuinuwee zaidi
Let’s take a moment to acknowledge the bass guitar in this song🙆🏾♀️🙆🏾♀️ MY GOODNESS 🔥🔥🔥🤩🤩🤩
Yaani...iko powa Sana....jamani...bass unanifanyia naurudia rudia ili nisikilize bass🙌🙌🙌
Its on another level...its the first thing i noted on the song
Yaani muziki ukavhezwa kwa ustadi. Sauti balanced.. mmm yote utukufu kwa mungu. Blessings
Excellence job on that instrument for sure
Alu/l,,/,/ⁿ_10""",g'
AMEN , MUNGU NI MWEMA
Whoever knew Bella back from days of 'Bongo Star Search, would have never imagined her total life transformation that she is experiencing right now.... Indeed, anything is possible!
Mungu you mwema nyakati zote. Ninapolia U mwema na ninapocheka U mwema.
Sijui ni Mara ya ngapi na ucheza huu wimbo!! Ni wimbo wa wa Ushuhuda wangu...
HIS GOODNESS endures forever..Hakika ' ata sasa Mungu ni mwema kwangu'. Amen
This is the song I will sing on my house opening and my daughter graduation and to my both girls first jobs wewe ni mwema kwangu utayatenda yote , umekua mwena na utazidi kua mwema 😢🙏🙏
Ubarikiwe kaka nabirikiwa na guy wimbo🙏🙏🙏
Walking down the aisle with this song. I claim my day in jesus name
AMEN!!!!
Amen 🙏🏾
Amen
I claim this for me as well
Amen amen
Kwel n Mwema wakati wote ujumbe mzur songa mbele na kazi ya Bwana
Content within this song make me cry " Wema wako pia wakati hata wa machozi" Hata tukiwa kwenye mapambano kiasi gani JINA LAKO YESU litatajwa tuu tena kwa uzuri wala pasipo malalamiko
Hata sasa ni mwema 😢😢😢 tunapolia ni mwema tunapocheka ni mwema😊🙌🙌🙌🙌🙌🙌
WEWE NI MWEMA SANA BABA...🙏🙏🙏🙏
Nimerudia Rudia Sana Huu Wimbo, Kila ukianza Roho Mtakatifu Ananimbia MUNGU ni Mwema Sana Kwako, Najikuta Machozi yanatoka....ASANTE YESU 🙌🙌🙌🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Aaaah ilikuw wapi ulikaa ukatunga huu wimbo? Siwezi kuelezea uzuri wake
Daaaaaah!! Kaka shkamooooo...!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 aisee kizuri kisifie unaimbaa kaka
Indeed yeye ni mwema anatupenda upendo Hauna kipimo
From Liberia and I'm vibing with the song so much.. Thanks to my flat mate Winnie from Tanzania who has been playing this song every MORNING In our dorm 😭❤❤❤❤❤❤❤❤❤..... aiiiiiiiiiiiiii
I love it so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
amen, you welcome to Tanzania
NICE
Enjoy it❤❤
Welcome to Tanzania
Mungu ni mwema kweli na wa huruma.
Hakika Mungu wetu ni mwema... Bro Paul Mungu akuinue zaidi
Mziki mzuri
The song of my testimony is finally out 🗣🗣🗣🗣
KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
Good performance inatetemesha Sana akilini Hadi machozi ya furaha
Hata sasa ni mwema kweli,say wewe ni mwemaaaa unatupenda
Mmh Kaka umebarikiwa kwaajili ya kizazi hiki
#I remind u this,,!
Mungu ni mwema kila saa na wakati
Wema wako ni wa kila wakati... Haupimiki kwa majira fulani.... So powerful. On Repeat 🔂 mode.
Hakika MUNGU ni mwema katika hali zote
I can't control my tears whenever I listen to this song
Hakika Mungu ni mwema ktk maisha yetu. Ni mwema mno hata umfanyie ubaya gani yeye ni mwema tu
I am just getting to know this song three years later, and my oh my, what a pleasure. I cant stop listening to it. It touches my soul in a special way and links my heart gratefulness to God my maker. His Goodness is always present and constant no matter what! Much Love!
At this time of mourning our brother chira briañ in Kenya we really need God ...but when I personally listen to this song..I get energized and know that God is on our side and he has a reason for everything and everything happens with a purpose....so friends help me pray for our country Kenya 😢😢😢this yr we have experienced alot of tragic losses 😓💔💔
Wema wako, si kwa wakati wa furaha tu
(Your Goodness, is not only present in times of joy)
Wema wako, pia wakati hata wa majonzi
(Your Goodness is also present in times of grief)
Wema wako, haupimiki, kwa majira fulani tu
(Your Goodness cannot be measured in time)
Wema wako, ni kila wakati, na kila nyakati
(Your Goodness is present at all times, in all seasons)
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
(Even now He is Good; when we sing He is Good)
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
(When we weep, he is Good; when we laugh, He is Good)
Tunapopanda ni mwema, tunapovuna ni mwema
(When we plant, He is Good; When we harvest, He is Good)
Refrain:
Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema
(You are Good, You are Good, You are Good)
Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema (Repeat)
(You are Good, You are Good, You are Good)
Unatupenda x2 Wewe ni mwema (Repeat)
(You love us x2 You are Good)
Wema wako, ni kama mchanga, siwezi kuhesabu
(Your Goodness is like the soil; I cannot count it)
Wema wako, ni kama maji, yanayomiminika bila kukoma,
(Your Goodness is like the water; that flows without ceasing)
Mtu akinge, ama asikinge, hayataacha kutoka
(Should someone obstruct it or not, it will not cease)
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
(Even now, He is Good; When we sing He is Good)
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
(When we weep, He is Good; when we laugh, He is Good)
(Refrain)
This should be pinned
Thanks❤
Thank you so much for this🙏🏽
Nikiangalia Mungu aliponitoa nabaki kusema Mungu wew ni mwema,Hakika Mungu wew ni mwema,unatupenda😭😭😭🙏🙏🙏
For me sijaona kama wewe hapa tz brother Paul yaan ninapozisikilza nyimbo zako nabarikiwa mno God bless you
Haupo sahihi, Mungu amejisazia Watumishi wengii.. Usiseme sijaona kama wewe hapa Tanzania.. Ni vizuri ungempa Mungu utukufu kwa ajili ya kipawa na karama kubwa ndani ya brother Paul Clement.. Maana yote ni kwa ajili ya utukufu wake.. So utukufu anapewa Mungu sio mtu..
Soma ISAYA 42:8, na ISAYA 43:7...
Mungu akubariki sana
Paul
Ubarikiwe Kaka! Sichoki kuusikiliza huu wimbo
Wow woow! On my play list.,narudia huu tuu sijui mara ya ngapi hii🙌🙌
Kwangu ni wimbo wa majira sahihi.,
Am Blessed 🙏
I've never resonated with this song like I'm doing now 3 years later when I'm going through a hard time was questioning God untill I came across this song
God has told me to praise Him in this season of waiting because He has already done for me what I need ,I will come to praise Him also in the season He has promised🙏
Nikisikiliza huu wimbo huwa nafarijika sana
Huu Wimbo una upako Wake Tofauti.... Ministering to me heavily 😭😭😭Anabaki kuwa Mwema kila Wakati....The Dual is Amazing....Baada ya Juu wimbo fanyeni nyimbo nyingine nyingi na Huyu Dada....Anasauti Tofauti...You guys are just Amazing🔥🔥🔥🔥Paul Clement you remain my Mentor...Neema ikutoshe
sometimes ni ngumu kujizuia kutoa chozi kwa yale BWANA KAFANYA kwetu ivo tunaishia kulia kwa furaha na kumpa utukufu yeye ni MWEMA
Wema wako haupimiki kwa majira fulan daaaah huu wimbo sichoki kuusikiliza jmn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2liimba mciban wa2waliokoka 112 ameen
Bro paul this Song ni Kubwa Sana, this is you sasa km vile umenifanyia Amani...
bro unajua nakubal kazi zako
KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
@@edwap599 KARIBU KUANGALIA
#jinalayesu
Deusdedith ft Walter chilambo
🔥🔥🔥👇👇👇
th-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/w-d-xo.html
MUNGU AKUBARIKI
Wema wako ni kama mchanga siwez kuhesabu amen . 🤲🤲
Im so blessed with this annointed song....Everyday i must listen it ,and my day become so blessed
gonga like kwa anaye listen now.
Wawawawaaaaaa wimbo hours umenijenga saaaaaaaana katika kumtukuza Mungu mkuu... eeeeeeeiiiiii shukran tele ndugu yangu
Natamani huu wimbo usikilizwe zaidi na watu wengi. Mungu wetu wa Mbinguni ni Mwema wakati wote hata nyakati za huzuni Yatupasa kumshukur na kuendelea. Kumngoja na sio kukata tamaa. Magumu yana sababu njema pia. Hongera kwa waimbaji, wimbo bora kwangu kwa muda wote
5
Wema wako Yesu..! Cheeii!!
Kama unaisubili gonga like 😍😍😍
Mungu wewe ni mwema kila wakt penda sana hii wimbo
Mtu akinge...amaa asikinge!!! hayata achaaa kutoka!!!!naufrahia wema wa MUNGU....mbarikiwe Paul&Bella kwa wimbo mzuri!!!.
Kenyans mnipee likes hapa za Paul na Bella
Wema wako ni kila wakati 💯
Blessed.Yeye ni mwema nyakati na majira yote anatupenda.
🙌to bass guiterist
Mungu wa Baraka ni mwema Nyakati zote