JOEL LWAGA - ALIVYOKUTANA NA DIAMOND,WALICHOONGEA/ANARINGA?/UNYENYEKEVU NA UJINGA/KIPAJI KINILISHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2020
  • Moja kati ya mahojiano matata kabisa ni haya,tumefanya na #JoelLwaga mtu mwenye mavoko yake .Joel amefunguka mengi kuhusu maisha nje na ndani ya huduma,ameweka wazi kuhusu shtuma nyingi zinazomkabili..hakika si ya kukosa.
    The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
    Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
    Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
    Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
    Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
    Photography - SirMbezi
    Editing - Sirmbezi,

ความคิดเห็น • 37

  • @jamsonjames3618
    @jamsonjames3618 3 ปีที่แล้ว +10

    Mfinanga unaelekea mbali sana, your doing what many church youth are missing...just mark my point,."unaelekea mbali sana"

  • @yetromtambulo3452
    @yetromtambulo3452 3 หลายเดือนก่อน

    Well done bro Joel lwaga. Be blessed much. One day tutakutana tuu katika huduma

  • @lwimboderick7479
    @lwimboderick7479 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa sana hapa Mtumishi wa Bwana. Am blessed.

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 2 ปีที่แล้ว +1

    Unapohudumu nakulenga pesa, utajipata unatumikia pesa Ukamuacha Mungu.Biblia inasema huwezi tumikia mabwana wawili! Kile najua,Mtumishi anaweza mtumikia Mungu na maisha ikaonekana duni nikwasababu alimtumikia Mungu kwauaminifu.hakutanguliza tamaa.Mungu nimwaminifu ana wakati wakubariki mtu kifeza.ndiomana Yesu akasema tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na mengine ayo yote mtazidishiwa.yaani wewe kanisa likikuita ukabariki watu,utaomba wakutimizie kiwango cha pesa?iyo nayo sipoa.

  • @gaspamgasa2366
    @gaspamgasa2366 3 ปีที่แล้ว +2

    joel lwaga aliwahi kunijibu Dm nilijisikia vizuri

  • @giant_701
    @giant_701 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka joel nakukubali sana

  • @joshuabm
    @joshuabm 3 ปีที่แล้ว +3

    Minister Joel, that is really great and right on a point

  • @lucymuthoni1885
    @lucymuthoni1885 ปีที่แล้ว

    I love this show from Kenya 🇰🇪 it’s really inspirational and a blessing the people we admire we get to hear their story...
    That person that keeps on passing in front of the camera is really unprofessional 😢

  • @adellajohnbokato8453
    @adellajohnbokato8453 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli Kuna kitu kikubwa nimejifunza Leo kupitia ndugu Joel... By the way big up mtumishi mfinanga...

  • @oscarpelesi18
    @oscarpelesi18 2 ปีที่แล้ว

    Joel saluti sana....nimekutana na wewe kwenye maneno yako...sound mind indeed ...

  • @orverfredy2694
    @orverfredy2694 3 ปีที่แล้ว +1

    “Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa” muongozo wetu ni biblia tuache kumtukanisha Mungu. Yaani inafikia hatua mtu ukiwa mlokole unaonekana umepotea kimaisha... Vijana tulio amua kuokoka acha tuishangaze dunia. Akili kichwani, Yesu moyoni, pesa mfukoni....ubarikiwe mtumishi Joel, nimekuelewa sana. Hakuna unafiki hapa

  • @womanoffaith2001
    @womanoffaith2001 3 ปีที่แล้ว +3

    Congrats sir Mbezi

  • @lucymuthoni1885
    @lucymuthoni1885 ปีที่แล้ว

    I love Your firmness

  • @andrewkihwelo1482
    @andrewkihwelo1482 3 ปีที่แล้ว

    Mfinanga mimi ni mwimbaji.na kiukweli yoote aliyo yaongea joe ni sawa. Kabisaa. Nyongeza ya aliyo yaongea ni fanya ufanyalo huwezi kumpendeza kila mwanadamu.so ukitaka kufika mbali. Hebu angalia upande wako.maana ulicho itiwa wewe na MUNGU sicho walicho itiwa wao.kila mmoja alime mlaba wake na badaye tukutane kwenye mafanikio

  • @joymdemeka4036
    @joymdemeka4036 3 ปีที่แล้ว

    Joel Lwaga is very smart.

  • @eneajoseph2010
    @eneajoseph2010 3 ปีที่แล้ว +1

    nakukubar. Joel mungu akubarik

  • @gaspamgasa2366
    @gaspamgasa2366 3 ปีที่แล้ว

    asante kaka joel asee kumbe mi nilikua mtumwa wa kujishusha kwakua mjinga

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 3 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa Yuko vizuri Sana Mungu azidi kumbariki

  • @neemajames4083
    @neemajames4083 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Joel kaongea neno la faida

  • @geofreychacha489
    @geofreychacha489 3 ปีที่แล้ว

    Asante kk Joel lwaga umenifungua macho na masikio

  • @stephenmungure7072
    @stephenmungure7072 2 ปีที่แล้ว

    What a blessed interview

  • @fadhiliaugustino7704
    @fadhiliaugustino7704 3 ปีที่แล้ว

    God bless you Joel nimejifunza

  • @josephstephen1079
    @josephstephen1079 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kukutana na Diamond Plutnumz ni neema tena msanii wa nyimbo za kidunia?

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 3 ปีที่แล้ว

    Nimebalikiwa sana 🙏

  • @octavianfranc1384
    @octavianfranc1384 3 ปีที่แล้ว

    Apo sawa joel

  • @lumulimwakanjuki
    @lumulimwakanjuki 2 ปีที่แล้ว

    J uko sahihi bro

  • @magdalenaobet8502
    @magdalenaobet8502 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda uimbaji wako ubarikiwe Joel. Pia anza mazoezi upungue mwili hapo hujaoa ukioa si utapasuka wifi akifanya yake jikon punguza mwili bwana

    • @philemonpaulo1790
      @philemonpaulo1790 3 ปีที่แล้ว

      Huna habari kuwa alioa mwakajana au humfuatilii?

    • @magdalenaobet8502
      @magdalenaobet8502 3 ปีที่แล้ว

      @@philemonpaulo1790 Nina hbr post hii ni kabla hajaoa nashangaa inasoma miezi 8 tangu ipostiwe mh naona ilikuwa hewa

  • @joymdemeka4036
    @joymdemeka4036 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana hii interview

  • @chedystanley
    @chedystanley ปีที่แล้ว

    Brother na appreciate sana Kazi yako umenifanya nifunguke pia mm pia ni muimbaji tafadhali sikiliza nyimbo zangu kwa channel yangu hii hii Mungu akubariki

  • @babundoto5425
    @babundoto5425 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri inajengo

  • @miltonmugisha1805
    @miltonmugisha1805 3 ปีที่แล้ว +3

    Huo mfano wa Biblia umenifungua akili sana

    • @miltonmugisha1805
      @miltonmugisha1805 3 ปีที่แล้ว

      Mkuu napanga kukupigia tangu juzi, kesho haipiti

  • @patricksamwel6307
    @patricksamwel6307 2 ปีที่แล้ว

    Bro Joel huo ndio ukweli, tatizo la Watu flani flani wanataka tuishi kwa nidhamu za uwoga wakiamini ndio unyenyekevu no hayo ni makosa ndio maana tunapa changamoto nyingi za ovyo. Daah! aisee
    Mungu akubariki mwenye akili ataelewa ulicho shauli.

  • @amamlen3731
    @amamlen3731 3 ปีที่แล้ว +2

    Ayo maneno ukiyapima rohoni mmmh nihekima ya yuda..