Zoravo siyo huyu wa interview tu..ila huyu ndie Zoravo wa maisha yake mtu flani ivi so Humble alafu very peace😊....Tunakupenda na Tunakufurahia Man of God....Binafsi Nakupenda KAKA.
God bless you always kindly brother zoravo for such great wisdom ............. ✍️inchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana ; ✍️"ikiwa watu wa MUNGU walioitwa kwa jina lake wakijinyenyekeza mbele zake,wakaziacha njia zao mbaya ,wakaomba MUNGU anaiponya nchi Yao 🙌🙌🙌
Hapo kwenye mambo yanayo tokea kwenye nchi umeongea point Sana mtumishi barikiwa Sana kweli tuzidi kuomba kwakuomba kwetu Mungu atabadilisha Kwa ukuu wake
Amina inavyoonekana unampenda Mungu vizuri lakini hizo nywele zako basi uwe unazichana kwani kuacha hivyo hivi wewe huonagi , ifike mahali na wewe kubali kufundishwa si kila kitu upo sahihi vingine unafanya vibaya labda mch wako anakuogopa au kukuonea aibu.
Mimi jamaa simjui ila Mungu ampe hekima zaidi na pesa na akiri kubwa ya kutumia ila kimbia zinaa inafelisha maisha pambana na jitahidi kumuuliza Mungu mke wa kuoa sahihi
Wakati wa Mungu ukikujilia mshukur sana Mungu na ujue unaneema juu yako, usiegemee kwa mtazamo wa kuonewa na kupgwa vita.Ila ktk hayo yote Mungu pia akupe neema ya kupambanua ili uishi ktk kusudi la Mungu 🤝🤝
Very nice talk mdogo wangu, Mungu akuongoze zaidi una kitu kikubwa sana 🙏🏾, ila kuna wimbo nimeuona ukiimba mahali kuhusu hati ya mashitaka ilifutwa nautafuta, bigup sana Zoravo.
Nabarikiwa sana na interview yako,mwanangu Calvin anakupenda sana na anabarikiwa na nyimbo zako na ata mdogo wake anamwita Bella Kombo kwahiyo tunawapenda na Mungu awatumie vile apendavyo,Barikiwa sana mtumishi
Hatupo kwaajili ya kuomba pekee wala hatupo kwaajili ya kupinga ila tumeagizwa kuomba panapopaswa kuombea na kuonya au kukemea ikiwa mifumo inaenda vibaya. lazima uovu wa mtu ufunuliwe na uwekwe wazi kisha ndo tunamuomba Mungu atupe amani na utulivu
Mbona watumishi hawaishii tu kuomba bali wanahibir wanafundisha na hata kuonya jaman?,mog zoravo uko vizuri sana but ni ukweli ulio wazi kwa moja kati ya changamoto inayolitafuna kanisa ubinafsi na unafiki.
maadili ya wokovu yazingatiwe ,ili ushuhuda uwepo na injili iwafikie vyema walengwa. Muonekano wako ni kama muimba singeli , injili unayoitoa inakua ngumu kuwaokoa watu
@@harriethkinjoli5459 Mungu anaangalia moyo wanadam wanaangalia nje (mavazi na nywele) Kanisa la Tanzania linachelewa kumdhihirisha Mungu kwa sbb watu wako busy kunyoosheana vidole...
Toa manywele marefu yaliyovirigana juu kama mtu wa mataifa...nina imani ukinyoa vizuri utakuwa smart kama Kaka Ambwene Mwasongwe na hizo nyimbo.. uwepo wake utakuwa si wa kawaida na Mbingu zitafurahi sana...lkn ktk yote zidi kuinuliwa juu.
Halafu Mungu Hana hayo ,anaangalia moyo unaweza ukawa smart lakini moyoni haupo vizuri,yeye ndivyo style yake anayopenda so mwacheni kijana wa watu kikubwa ni kumuombea Bwana amwinue afanye huduma vyema na kupitia yeye watu wakafunguliwe
Gradis haule.. shida inaanzia kwenye kanisa alolelewa yeye liko free sana tofaut na mimi na ww ambavyo kwetu wachungaji wetu wanayapigia kelele. Mwisho zambi za kuiga pia nyingi sana na bado tutaona mambo ya ajabu kuliko mitindo ya nywele
Kaka punguza nywele mtumishi wa mungu huwa ana sura tofauti na wapagan. Ndio maana wanaosokota manywele inajulikana ni wahuni coz ndio asili yao. sura ya mtumishi hata police akiiona wala hawi na mashaka ana anaweza kukutetea kutokana na mwonekano wako pia mtumishi ni mtu alielidhika na hapendi makuu kama uzuri au usmat mungu ndie uzuri wake . Kama ilivyo tofaut kati ya mkubwa na mdogo hata sisi tujitofautishe na wapagan kimwonekano,kitabia,kimaadili,kielimu. Nakuombea mungu akusaidie na nawaombea wote nimegundua mungu ana vyombo vizuri ila giza limevifunika.
Muwe na akili ya kujua hiki ni kitu gani sio mnakupuruka tuu, na mkae mkijua ana mke na sio bela kombo lizee, rudieni tena muone. Mmenitafuta ee mtanyooka
Toa manywele hayo mpendwa wewe ni kio cha jamii. Kuna vijana wadogo wakutazama na wanaiga .kama unamcha Mungu anglia unavyokwaza watumishi .au kama hunyoi basi .uwe unazichana basi uwe na mwonekano wa kilokole . Mimi naamini kwamba weeewe ni mtumishi wa Mungu mkubwa lekebisha tuu mwonekano wako many manywele kama wavuta bangi. Usiwe na msimamo ya katokutaka kushauriwa labda tuu kama umejiunga na mashetani ufuge mwanywele ill iwe kama kivutio na kupata umaarifa
Msirudie tena kumuhoji huyu zoravo kwa chochote kile , hana mapenzi na bela na haitokuwwpo. Mungu awarudishie pressure zenu, mtumishi siku zote anakuwakaga ivo? Msiniletee mambo yenu ,mbona nyuma hamkubeba na huyo bela wenu
This soul is blessed beyond measure he is very young but has a huge brain May the Lord continue to bless him abundantly 🤲🤲🙏
Zoravo siyo huyu wa interview tu..ila huyu ndie Zoravo wa maisha yake mtu flani ivi so Humble alafu very peace😊....Tunakupenda na Tunakufurahia Man of God....Binafsi Nakupenda KAKA.
You’re such a blessing to this generation. Uzidi kuinuliwa mtu wa Mungu
God bless you always kindly brother zoravo for such great wisdom .............
✍️inchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana ;
✍️"ikiwa watu wa MUNGU walioitwa kwa jina lake wakijinyenyekeza mbele zake,wakaziacha njia zao mbaya ,wakaomba MUNGU anaiponya nchi Yao 🙌🙌🙌
I wonder why people are bothered by this young man's hair. 🤔 we love you from 🇰🇪 🇰🇪
Hapo kwenye mambo yanayo tokea kwenye nchi umeongea point Sana mtumishi barikiwa Sana kweli tuzidi kuomba kwakuomba kwetu Mungu atabadilisha Kwa ukuu wake
Amina inavyoonekana unampenda Mungu vizuri lakini hizo nywele zako basi uwe unazichana kwani kuacha hivyo hivi wewe huonagi , ifike mahali na wewe kubali kufundishwa si kila kitu upo sahihi vingine unafanya vibaya labda mch wako anakuogopa au kukuonea aibu.
Inferiority complex 😢
Kwa kweli mmnh hapana
Mbn Yuko vzr tyu anapendeza bn,what z kuchana nywele in this generation my dear
Kweli , wokovu una maadili yake ,
Mungu haangalii hilo, anaangalia kusudi alilo liweka ndani ya mtumwa wake....
Mimi jamaa simjui ila Mungu ampe hekima zaidi na pesa na akiri kubwa ya kutumia ila kimbia zinaa inafelisha maisha pambana na jitahidi kumuuliza Mungu mke wa kuoa sahihi
You look smart brother,unawavuta vijana wengine Kwa Mfalme Yesu.
Nice interview
Wakati wa Mungu ukikujilia mshukur sana Mungu na ujue unaneema juu yako, usiegemee kwa mtazamo wa kuonewa na kupgwa vita.Ila ktk hayo yote Mungu pia akupe neema ya kupambanua ili uishi ktk kusudi la Mungu 🤝🤝
Huyu kaka ana akili sana 👏..... nice interview
Nakupenda mtumishi wa MUNGU nimeelewa kuhusu maono
Very nice talk mdogo wangu, Mungu akuongoze zaidi una kitu kikubwa sana 🙏🏾, ila kuna wimbo nimeuona ukiimba mahali kuhusu hati ya mashitaka ilifutwa nautafuta, bigup sana Zoravo.
I have learnt alot 😢😢 😢😭😭be blessed 🙏
Baba hii ni dua yanguuuu unikumbuke......mbingu zikijaa sifa haleluya yangu iwe ya kwanza
Aliyekuja kuona video kwa sababu ya ndoa tujuane mapema
Nipo hapa
😂😂😂😂 haujaokoka wewe
haha
😂😂
Mm hapa😂😂😂😂😂
Quality Sound
#Congrats @Mr. Pazia
Nabarikiwa sana na interview yako,mwanangu Calvin anakupenda sana na anabarikiwa na nyimbo zako na ata mdogo wake anamwita Bella Kombo kwahiyo tunawapenda na Mungu awatumie vile apendavyo,Barikiwa sana mtumishi
Hatupo kwaajili ya kuomba pekee wala hatupo kwaajili ya kupinga ila tumeagizwa kuomba panapopaswa kuombea na kuonya au kukemea ikiwa mifumo inaenda vibaya. lazima uovu wa mtu ufunuliwe na uwekwe wazi kisha ndo tunamuomba Mungu atupe amani na utulivu
Peace and Love brother zoravo big deal
Very powerful message... Blessed MOG
Good interview. Zoravo be Blessed uende mbali kama tai
Very powerful ❤❤🎉🎉
I surely love Zoravo…anakitu kikubwa sana atafika mbali
Yes is true nimependa sana maelezo yake yuko vizur 👏👏
Zoravo anakarama ya Ualimu Piah ndani yake ... Mungu amuinue.🎉
Mungu ambariki sana ZORAVO na awabariki,,best interview
Kuna kitu nimejifunza sanaa mtumishi,Mungu akubariki sanaa🙏🙏🙏
Mungu amekuinua kwa kizazi hiki hivyo hivyo ulivyo.... God bless you man of God 🙏
Mungu azidi kukuinua Mtumishi
😂😂😂kweliiii nami nimekuja kuangalia sabb ya ndoa
God bless so much de Sevant of God Bro.Zoravo and our Dorector Pazia🎉
I like it from first moment to last❤
Hongera sana mtumishi wa Mungu neno liko ndani yako
Yaan we kaka mtoto wangu wa miaka 5 anakufuatilia sana, Mungu akutunze ili tupate warithi wako wengi
Amen
Mbona watumishi hawaishii tu kuomba bali wanahibir wanafundisha na hata kuonya jaman?,mog zoravo uko vizuri sana but ni ukweli ulio wazi kwa moja kati ya changamoto inayolitafuna kanisa ubinafsi na unafiki.
Huduma yako iko vizuri mnoo
Nimetoka na kitu leo,Mungu abatiki interview hii
Wise man.
Jina la mama zoravo please ajuaye
Segitoo
Anaitwa Tupone
Tupone mwakilembe anaitwa
Akili kubwa sana, Mungu akubariki
maadili ya wokovu yazingatiwe ,ili ushuhuda uwepo na injili iwafikie vyema walengwa.
Muonekano wako ni kama muimba singeli , injili unayoitoa inakua ngumu kuwaokoa watu
Waooh glory glory glory
Waoooooo that's good to hear
Zoravo we barikiwaga tuuuuh😂😂😂
Nabarikiwa una jibu kwa utulivu sana ubarikiwe
Mtumishi hapo kidogo kila mamlaka imewekwa na Mungu kuna watu wajiweka
Hata waliojiweka... Ni Mungu ameruhusu
@@AnitaRweyemamuile kwamba ameruhusu haimaanishi amekukubali.Sauli alikalia kiti cha ufalme kakini Mungu alimkataa asiwe mfalme.
@@harriethkinjoli5459 Mungu anaangalia moyo wanadam wanaangalia nje (mavazi na nywele) Kanisa la Tanzania linachelewa kumdhihirisha Mungu kwa sbb watu wako busy kunyoosheana vidole...
Umeniongezea kitu ubarkiwe sanaa
God bless you mtumishi
Ndivyo anavyopenda awe
Hongera sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana
Wonderful..🎉
Una sauti nzuri hongera
Nimejifunza kituu hapaaa,KUJITOA KWAAJILI YA WENGINE,UTAKATIFU,USIFANYE UBAYA
Muñgu Akuzidishieee kabisaa
Kwakwel nimependa mfano🎉
Ana sauti nzuri sanaaa mtumishi
Mchungaji wake ananijua ivyo mnapoteza muda sana kumuhoji na kumfatilia kuhusu bela
Pole
@@Baba_ZEBUU pouwa
@@mbonimanafungo2491 ila nakushauri usiteseke sana
Mtumaini mungu anaweza kukupa anatekustahili
Huku kwenye comment utabaki kujichosha sana
@@mbonimanafungo2491😂
Jamaa ana madini balaa kichwani
Mungu akubaliki kaka
Mimi huwa naona ibada tu kwako mtumishi hakika umebeba ibada kaka.UTUKUFU KWA MUNGU.
Hapo kwenye maono na mawazo✍️
God bless you
Nyoaaaaa ndevuuuu
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Hata nywele apunguze kama kuchana zimemshinda
Fedha si kitu bila sisi... Ila sisi ni sisi bila fedha
Safiii
Good
Mbarikiwe sana
Mtumishi hoja hizo nywere zinapoteza ushuhuda
Zinapoteza ushuhuda kwako siokwa Mungu kikubwa amaniya moyo
@zoravo si ufunge ndowa bloo
@@AhmediSaidi-ju4py natarajia kufunga mwezi ujao kaka
❤❤
Hizo nywele zilivyo sio utukufu ,,,acha kudanganya ,
Nywele ndo kikwazo kaka vingine viko sawaaa tuu
Kikwazo kwako, lakini si kwa alieweka kusudi lake ndani yake
Kwaiyo hakuna mambo ya ndoa nisiendelee
😂😂
Nyweele za nini kuwa upendavyo mtumishi
Toa manywele marefu yaliyovirigana juu kama mtu wa mataifa...nina imani ukinyoa vizuri utakuwa smart kama Kaka Ambwene Mwasongwe na hizo nyimbo.. uwepo wake utakuwa si wa kawaida na Mbingu zitafurahi sana...lkn ktk yote zidi kuinuliwa juu.
Pole ujumbe wako umejawa ukakasi, na makasiriko.
Halafu Mungu Hana hayo ,anaangalia moyo unaweza ukawa smart lakini moyoni haupo vizuri,yeye ndivyo style yake anayopenda so mwacheni kijana wa watu kikubwa ni kumuombea Bwana amwinue afanye huduma vyema na kupitia yeye watu wakafunguliwe
Completely you know nothing
Sikiliza huduma yake mpendwa mengine muachie yeye na Mungu wake
Gradis haule.. shida inaanzia kwenye kanisa alolelewa yeye liko free sana tofaut na mimi na ww ambavyo kwetu wachungaji wetu wanayapigia kelele. Mwisho zambi za kuiga pia nyingi sana na bado tutaona mambo ya ajabu kuliko mitindo ya nywele
𝐾𝑢𝑚𝑏𝑒 𝑢𝑦𝑢 𝑗𝑎𝑚𝑎𝑎 ℎ𝑎𝑗𝑎𝑜𝑤𝑎 😢😢😢😢😢
Lakini anamchumba😂😂
@@phinaswai4718 yup uyo
Mnipitye please
🤔🤔🤔
🎉
😂😂😂😅 yaani
Kaka punguza nywele mtumishi wa mungu huwa ana sura tofauti na wapagan. Ndio maana wanaosokota manywele inajulikana ni wahuni coz ndio asili yao. sura ya mtumishi hata police akiiona wala hawi na mashaka ana anaweza kukutetea kutokana na mwonekano wako pia mtumishi ni mtu alielidhika na hapendi makuu kama uzuri au usmat mungu ndie uzuri wake . Kama ilivyo tofaut kati ya mkubwa na mdogo hata sisi tujitofautishe na wapagan kimwonekano,kitabia,kimaadili,kielimu. Nakuombea mungu akusaidie na nawaombea wote nimegundua mungu ana vyombo vizuri ila giza limevifunika.
Mama yake anaitwa nani cjaelewa
Mama kilembe
Mama mchungaji kilembe
Hongera servant of God
Muwe na akili ya kujua hiki ni kitu gani sio mnakupuruka tuu, na mkae mkijua ana mke na sio bela kombo lizee, rudieni tena muone. Mmenitafuta ee mtanyooka
Mbona umepanic dada ,wewe ndo mchumba wake nn😄
Ndo umwite mwenzako mzeee khaaah
@@doricesanga3287 nimwitaje yani? Sijaelewa
@@mbonimanafungo2491 Umeandika hapoo bella kombo lizeee
@@mbonimanafungo2491 kwan uzee wake wewe unakuhusu nini mpaka unapanic kiasi hicho?
blaza nina picha yako ya upara-- usisahau ilo
Toa manywele hayo mpendwa wewe ni kio cha jamii. Kuna vijana wadogo wakutazama na wanaiga .kama unamcha Mungu anglia unavyokwaza watumishi .au kama hunyoi basi .uwe unazichana basi uwe na mwonekano wa kilokole . Mimi naamini kwamba weeewe ni mtumishi wa Mungu mkubwa lekebisha tuu mwonekano wako many manywele kama wavuta bangi. Usiwe na msimamo ya katokutaka kushauriwa labda tuu kama umejiunga na mashetani ufuge mwanywele ill iwe kama kivutio na kupata umaarifa
Loooooh!!! 😅😅😅
Collected
Kwa mfano 😂
Msiniletee jasho kwa huyu mwanaume ,mkiimba huko mnakuwa na jasho hukoo muishie kwenye nyimbi zenu
Rudinu tena muone. Na bado atawasumbua sana na ivi kapata sura na bado
Hapo kwenye mfano amefanya tuelewe vizuri
Msirudie tena kumuhoji huyu zoravo kwa chochote kile , hana mapenzi na bela na haitokuwwpo. Mungu awarudishie pressure zenu, mtumishi siku zote anakuwakaga ivo? Msiniletee mambo yenu ,mbona nyuma hamkubeba na huyo bela wenu
Mbona kama unateseka sana kulikoni
Hahaha yaan cimuelew huyu dada anateseka na nn mara mchungaji wake ananijua hahaha Acha shobo binti
@@felisterben6716 hahahaha na bado
@@felisterben6716 ndo mnapenda amuoe limama
@@felisterben6716 huko kamcoment lizee bela
Sasa ivi sitaki kusikia mambo yenu uyo kuhusu zoravo. Lasivyo tutakosana pakubwa
Pole
😂😂😂
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
❤❤